BAADA YA KAMANDA WA POLISI TEMEKE KUZUIA MKUTANO WA GB 64 NA WENZIE,MWENYEWE AFUNGUKA KUTII AMRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 37

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 4 หลายเดือนก่อน +1

    Gb64 mimi ni mpenzi wa Simba na nimekuwa nikikuunga mkono ktk mambo mengi lakini hili la kufukuzana liacheni kwanza. Mlikosea mlipokuwa mnasema ati mnakwenda kumtoa Mangungu. Muda huu ni wa kutafuta umoja na si kufukuzana. Acheni harakati hizo usajili ufanyike kwa amani. Kwakuwa MO karudi naamini amani itarudi. Msionekane ninyi ndiyo washari. Kwani Mangungu anazuia nini. Yeye ni mjumbe tu wa Bodi. Na kila kitu kinaendeshwa na Bodi.

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 4 หลายเดือนก่อน +1

    Polisi ni Team mangungu tu hao. Always hawanaga sababu nyingine yyte ya kuzuia maamdamano au mikusanyiko Kama hii. Wanaleta ujinga wao wa kwenye siasa Hadi kwenye mpira.. shenz

    • @clarencemeena1628
      @clarencemeena1628 4 หลายเดือนก่อน +1

      Polisi hawana hoja yoyote ya maana ya kuzuia Mkutano wa Wana Simba, hata barua yenyewe imejibiwa kisiasa tu maana kama wanahisi kuna viashiria vya uvunjifu wa Amani kwanini Polisi wasilinde Amani kwenye Mkutano huo?

  • @NasriNassor-c2z
    @NasriNassor-c2z 4 หลายเดือนก่อน

    Itafika mwisho wake huyo mangungu wengi ni wengi ila wanachama simba wanjaa sana

  • @dismasmariananga4776
    @dismasmariananga4776 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu Gb64 Yuko vizuri ila Simba ni yetu sote apunguze mbwembwe,,,, na mdomo utamponza ajifunze kuongea maneno machache yenye busara na pia ajaribu kudili na familia kama anayo Simba Ina wenyewe jaman

  • @dstaroficial
    @dstaroficial 4 หลายเดือนก่อน +1

    Huu ndio muda wa azam kuchujuw mashabik wa simba nataman azam ianze vizur nihamie uko japo nijipoze moyo wangu azam azam plz kiwasheni kwel simba tuko wengi tunahama nanaomba Mungu mnch y kwanza simba tuwashwe goli 3 akili zitukae saw

    • @geofreykasinda1895
      @geofreykasinda1895 4 หลายเดือนก่อน

      Umeongea ukweli maana mashabiki ya Simba kweli kazi ipo sana

  • @Ommybabaa47
    @Ommybabaa47 4 หลายเดือนก่อน

    Duhh bora nibaki kuwa shabiki maandaz kuliko kuwa wanachama wa hii simba yetu unaweza jikuta umemrukia mtuu na kichwa maana unajikuta unapata chuki hasira masononeko kisa wajumbe na mwenyeki tena uliye mpigia kura, Wizara michezo nayo haituambi mashabiki nini kina kwamisha mchakato yann tabu tupuuuuu😢

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo joshua mutale viongozi tunaomba msimsajili coz ni mchezaji wa kawaida tu buana . Hana tofauti sana na chasambi

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 4 หลายเดือนก่อน

    HAIJAISHA MPAKA IISHE. APATIKANE MWANASHERIA AENDE MAHAKAMANI IPATIKANE HUKUMU INAYOWARUHUSU WANACHAMA NA WASHABIKI WA SIMBA WAFANYE KIKAO HICHO NA POLISI WAKIAGIZWA NA MAHAKAMA KUTOA ULINZI KABLA,WAKATI NA BAADA YA KIKAO HICHO.

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kamanda wa police ashachukua rushwa police tena

  • @halidimgonza5945
    @halidimgonza5945 4 หลายเดือนก่อน

    Gb64 tunakukubal ww ni mwana SIMBA haswaa, Mungu akulinde n viongoz mafisad wasije wakakudhuru

  • @OkrahMwandemela-wh2dh
    @OkrahMwandemela-wh2dh 4 หลายเดือนก่อน

    Mangungu uyo msenge uyo ameonga adi police ili mkutano usifanyike mshenzi uyo

  • @markmangaya4947
    @markmangaya4947 4 หลายเดือนก่อน

    GB unaakili nyingi sana,gombea nafasi kwenye CCM unatisha.

  • @NdolimanaSamwel
    @NdolimanaSamwel 4 หลายเดือนก่อน

    Uyo kamanda kama Simba itafanya vibaya msimu ujao basi tutamuuliza yeye, maana sisi tunataka kujenga Simba yetu yeye anatukwamisha

  • @BamBam-q6l
    @BamBam-q6l 4 หลายเดือนก่อน

    Mangungu mama weee umesha toapesa kwa masikali ili ujijeng nafc bas ume fer bro kmnulizaliwa bs ujiandae

  • @MohdAli-fl2ef
    @MohdAli-fl2ef 4 หลายเดือนก่อน

    Gb64 upo sahihi

  • @Khmediy3241
    @Khmediy3241 4 หลายเดือนก่อน

    Jaman majaliwa we si simba mwenzetu tusaidie kikwete atatuua na uyanga wake

    • @halidimgonza5945
      @halidimgonza5945 4 หลายเดือนก่อน

      sio kikwete voo, ni mchemba

  • @geofreykasinda1895
    @geofreykasinda1895 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo kamana ni yanga ndio maana amesitisha

  • @saimonntani6831
    @saimonntani6831 4 หลายเดือนก่อน

    Huyo kamanda huyo naye anaonekana anachuki naSimba.kwani watu wanakusanyika sababu ya kusululisha club yao sasa iweje asimamishe huwo mkutano? Kwani yeye nimkubwa kuliko mlilo? Aundiyo machawa wautopolo?😊

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Mo usivunje mkataba wa jombe mangungu amlipe jobe kama alivyo mleta lasivyo akaebechi mwazo mwisho naona wamepatana ten pasent unamwondoa phili bareke kwakua wamekataa kugawana mishahara aibu nabado tutajua mengi lakini kwauwezo wa mungu ataondoka tu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Hakuna itelejesia hapo nirushwa tu.

  • @josephatjordan2150
    @josephatjordan2150 4 หลายเดือนก่อน

    Wameshampiga Pini tayari😂😂😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Kamanda kachukua chake takukuru Fanya kazi yako mangungu katowa rushwa

  • @DezzyMkalawa
    @DezzyMkalawa 4 หลายเดือนก่อน

    Rushwa tu kuoga an'ka

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn 4 หลายเดือนก่อน

    Tff tanzania hakuna kitu

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 4 หลายเดือนก่อน

    Tff hoyi Kwa yanga rushwa kibao tff

  • @MwazambaMicrofinance
    @MwazambaMicrofinance 4 หลายเดือนก่อน

    Yan nyie mtapotea kabisa msimu ujao

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 4 หลายเดือนก่อน

    Kinyooooonge..

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 4 หลายเดือนก่อน

    Huyu mo FC usiweke mambo ya siasa humu kwenye mpira.

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 4 หลายเดือนก่อน

    Yni mashabiki wa simba kama mazombi yni mo anafanya kile anachotaja shida ya simba ni mo mngeonyesha msimamo kidogo huyo muhindi angenywea na mngemnyoosha asinge wasumbua tena sasa mlivyo majinga mo kaja kupiga polojo mmeshamkubali huo ugonjwa mnao ufuga utawatesa sana
    Hili tatizo walikua nalo ynga kwa manji waliamini manji akitoka ynga hakuna tajiri atakuja wekeza yanga nikawasema wakawa hawaelewi lkn katoka manji kaja gsm

  • @WakiliHaule
    @WakiliHaule 4 หลายเดือนก่อน

    Uyu GB anatakiwa akapimwe mkojo...uyu ni kiongozi wa Tawi la Simba mamlaka ya kuanzisha mkutano mkuu wa wanachama au kuratibu maandamano ya wanachama wa simba anatoa wapi?...uyu ukimuangalia kwa umakini unamuona kabisa ni mchochezi...

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 4 หลายเดือนก่อน

    Mwanachama lakinikatiba yako hauijui ninyi ni yanga mmetumwa kutugawa wanasimba sababu huyo mangungu nae kuna wanasimba wanamuunga mkono hata km nyie mnamtukana pia sikiliza hotuba ya kaduguda nyie mbumbumbu nyambafu

    • @frankmwinuka6298
      @frankmwinuka6298 4 หลายเดือนก่อน +1

      Wewe ndio unamtaka ili aendelee kuharibu timu ufurahie na utopolo wenzako

    • @dstaroficial
      @dstaroficial 4 หลายเดือนก่อน

      Kwel ss mbumbumbu naamini