#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Karibu utazame chaneli yako pendwa ya Star TV Africa.
    Jiunge nasi kupata habari za kitaifa na kimataifa, makala, burudani na habari za michezo katika nyanja zote!
    Kutoka Ilemela - Mwanza, Tanzania mpaka ulipo, TUNAKUFIKIA!
    Star TV Brightens Your Day !

ความคิดเห็น • 115

  • @charleschao9809
    @charleschao9809 ปีที่แล้ว +10

    Heche ni SMART sana

  • @mayalakatema2576
    @mayalakatema2576 ปีที่แล้ว +18

    Ukiona hii sms like unikumbushe nije niangalie Tena

  • @isaacmwakanosya338
    @isaacmwakanosya338 ปีที่แล้ว +8

    Inaleta afya kwa taifa kwa mida halo kama hii. Ahsante Nyanda.

    • @cosmaskacheli3002
      @cosmaskacheli3002 ปีที่แล้ว

      Kwa nini mnamdhalilisha huyu naibu waziri?

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +9

    Moleli mwepesi sanaaaaaaaa
    Kaaa mbali na hecheeee

  • @deodathsilayo3639
    @deodathsilayo3639 ปีที่แล้ว +5

    Heche yuko vizur sana anaongea vitu kwa undan sana

  • @jumahungulu9891
    @jumahungulu9891 ปีที่แล้ว +6

    Heche🙏🙏💥

  • @fazeelshomary2704
    @fazeelshomary2704 ปีที่แล้ว +2

    Heche's intellect is beyond the bald man with the suit

  • @mkorantambi2756
    @mkorantambi2756 ปีที่แล้ว +1

    Mtangazaji ulinganifu haupo hata kidogo!!Sijajua vigezo vilivyotumika kuwakutanisha hao watu,basi itoshe tu kusema Asante.

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 ปีที่แล้ว +7

    Heche big up

  • @loganoipatrick7744
    @loganoipatrick7744 ปีที่แล้ว +5

    Hamna kitu kibaya ndugu mtangazaji umekifanya kumleta chizi studio aongee na mwenye akili nyingi heche john A.K.A genius!!!!!we angalia hicho kipara utajua nini namaanisha 😄 mh aweso ni mtu smart sana 👏 lkn huyo kichwa laini hamna kitu hapo🙌🤸‍♂️🏃‍♂️

  • @isaacmmasi5905
    @isaacmmasi5905 ปีที่แล้ว +6

    Heche is far away from that person heche is smart and has exposure

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 ปีที่แล้ว +4

    bwana awabariki sanasana AMEN. SI MJADALA MZURI SANA,MOLLEL HUYO JAMAA SI W uwezo wake.

  • @boniphacewambura1427
    @boniphacewambura1427 ปีที่แล้ว +6

    Heche wewe ni mwamba nakuona mbali baba
    Pia nyanda Leo umeferi umemleta mtu wa chekechea kujadili hoja ,mm sikutegemea mawazo (hoja )za naibu waziri kuwa za kijinga kama za mtoto wangu Clayton (5yrs)

  • @mgishapetro8180
    @mgishapetro8180 ปีที่แล้ว +7

    Heche safi

  • @lucasmabelele6961
    @lucasmabelele6961 ปีที่แล้ว +5

    Heche ni heavy weight Mollel ni light weight

  • @abdulsinga2464
    @abdulsinga2464 ปีที่แล้ว +2

    Mollel mwepesi sanaaa kama karatasi

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 ปีที่แล้ว +6

    Km huyu ndio wazir tunamtegemea atuvushe sehem wallah tunajidanganya, wenye akili hawapat nafas ya kutuongoza ila wenye uwezo mdogo ndio hupata hizo nafasi sielew wanapataje hizo nafasi

  • @jerrymfinanga3773
    @jerrymfinanga3773 6 หลายเดือนก่อน

    heche ure very smart upstairs 🔥

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 ปีที่แล้ว +1

    Dah nitapata shida sana kuwaeleza wajukuu zangu kuwa huyu alikuwa Naibu waziri

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +3

    Awesso yupo vizuri sana

  • @mayalakatema2576
    @mayalakatema2576 ปีที่แล้ว +3

    Hapo mwishoni Heche umeua😂😂😂Eti pesa za serkali wamezifanya kuwa za Samia
    Akitaka kulamba viatu anasema Samia kaleta hiki
    Akitaka kujipendekeza anasema Samia kaleta hiki👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @richarddabryin9126
    @richarddabryin9126 ปีที่แล้ว +6

    Heche baba

  • @nyakujerwabiseko6974
    @nyakujerwabiseko6974 ปีที่แล้ว

    Good boy Heche my brother

  • @danstanmushobozi4352
    @danstanmushobozi4352 ปีที่แล้ว +3

    Hoja za ccm haziwezi kwa sasa haziwezi kumshawishi hata mtoto mdogo anaefikiri sana. Ila wale tu waliokunywa maji ya bendera.

  • @riwayazakiswahilitv4635
    @riwayazakiswahilitv4635 ปีที่แล้ว +1

    Shikamoo Heche

  • @prospervedasto4366
    @prospervedasto4366 ปีที่แล้ว +2

    Nakubaliana na Ndg Heche, tatizo ni UONGOZI, hata Mwl Nyerere alitanabaisha mambo 4 ili tuendelee; Ardhi, Watu, Siasa safi na Uongozi BORA!!

  • @mputamputaa5347
    @mputamputaa5347 ปีที่แล้ว +4

    Heche mmoja ni ni sawa na wabunge wote wa ccm na samia kama motisha

  • @eliudimwakasenga9754
    @eliudimwakasenga9754 ปีที่แล้ว +1

    Heche unatisha we noma

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 ปีที่แล้ว

    Nyanda watu kama moreli unawatoa wapi? Mbona empty set

  • @leitonyngayama6882
    @leitonyngayama6882 ปีที่แล้ว +2

    Amesema trilioni mi sanu... 😂😂😂😂😂

  • @johanesfulgence3641
    @johanesfulgence3641 ปีที่แล้ว +1

    Dah! Waziri anasema kwenye halmashauri moja wamepeleka X-ray zaidi ya 200? Ina maana tuseme halimashauri ina vituo vya afya 40 kwahiyo kila kituo cha afya na hospitali wamepeleka X-ray 5

  • @norascohaule8158
    @norascohaule8158 ปีที่แล้ว +3

    Hiv hizi ndizo hoja za naibu waziri?

    • @ntobisabho1497
      @ntobisabho1497 ปีที่แล้ว

      dah
      huyu Mollel alipataje unaibu waziri? He is very shallow badala ya kujikita kwenye hoja yuko speed kuattach mtu....hovyo kabisa.

  • @pythagorasgibson3305
    @pythagorasgibson3305 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa anauliza kwann miaka 61 ya uhuru mnajadili mambo ya kawaida kuhusu umeme, vyoo, zahanat nk mollel analeta siasa hapa

  • @thomsanga7956
    @thomsanga7956 ปีที่แล้ว

    Naibu waziri mweupe sana, hamna kitu 😁

  • @Expedito2512
    @Expedito2512 ปีที่แล้ว +1

    Uwiii dadave, uwi nene nyenyenyeeee!

  • @sadickd_knuckle5456
    @sadickd_knuckle5456 ปีที่แล้ว

    Alloyse nyanda unamuandaa John heche kuwa rais

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 ปีที่แล้ว +2

    Aweso yupo vizur ttzo yupo ccm ila mollel hapana nimemkataa, ni muongo, yaan hana vision huyu sio kiongozi atakayetuvusha

  • @timonleo9720
    @timonleo9720 ปีที่แล้ว

    Daah 🤣🤣🤣nacheka kama mazuri lkn kuna shida sana kwenye uongozi wa Nchi hii. Mollel anatakiwa kupelekwa Sobber ase. 🤔🤔🤔🤔

  • @akidanyanje9072
    @akidanyanje9072 ปีที่แล้ว

    Kunywa fanta Mr Heche nakuja kulipa

  • @franksiame6302
    @franksiame6302 ปีที่แล้ว +4

    Moleli kavamia mtumbwi wa vibwengo

  • @g-abbastechnology1818
    @g-abbastechnology1818 ปีที่แล้ว

    naona tu vile heche amejichapia mingumi ya kutosha kwa wazir 😂😂😂😂

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 ปีที่แล้ว +1

    Mtozi yuko kisiasa, very biased!. Huu mjadala ni kama ulipangwa ili kuponda CDM,ila Heche yuko juu!!

  • @davidnnko9428
    @davidnnko9428 ปีที่แล้ว +1

    Wamasai wana roho ngumu sana.Hapa ni sawa na kujitoa Muhanga.

  • @noelbryson7840
    @noelbryson7840 ปีที่แล้ว +1

    Watu wanatoka ulaya wanakuja kutibiwa wapi??😂🤣🤣

  • @hanslikecha4786
    @hanslikecha4786 ปีที่แล้ว

    Mjandala mzuri sana

  • @danstanmushobozi4352
    @danstanmushobozi4352 ปีที่แล้ว +2

    Aweso afadhali anajibu kiungwana.

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 ปีที่แล้ว +1

    Mwandishi umetukosea sana, huyo wazir Kuna muda alisema Kuna vituo elfu 8 hlf akaja kusema vitu Mia 7,kwann hukukazia mkanganyiko huo, kipindi cha magu kulikuwa na vituo Mia 4 amesema, je ndan ya miaka miwili ya rais Samia ina maana wamejenga vituo elfu 7 na Mia 6?

  • @jimpazclimpaz1794
    @jimpazclimpaz1794 ปีที่แล้ว

    Huyu ndo naibu waziri ambae watanzania wanaomtegemea awavushe nchi hii ina hasara sana huyu hafai hata kuwa mwenyekiti wa mataa

  • @is-mailh.makame5420
    @is-mailh.makame5420 ปีที่แล้ว

    Kma unatazama hii video mwaka 2050 fahamu hawa ndio viongozi tuliokua tupo nao mwaka 2022😂

  • @digotossi6941
    @digotossi6941 6 หลายเดือนก่อน

    Heche akili nyingi sana aisee

  • @danielndam5997
    @danielndam5997 ปีที่แล้ว

    Watanzania tukisema ccm imechoka muwe munaelewa morer ndio taswila ya ccm

  • @leitonyngayama6882
    @leitonyngayama6882 ปีที่แล้ว +2

    Nasungumuza, CCM NI WATU WAONGO SANA HAWA UMBWA... KWANINI ANAPAMBANA NA CHADEMA WAKATI TUNAZUNGUMZIA MAMBO YA TAIFA NA YEYE NI KIONGOZI? BOGUS

  • @deogratiustweve2611
    @deogratiustweve2611 ปีที่แล้ว +2

    hapo Sasa maji umeme Ajila

  • @alisenmbambagwa6790
    @alisenmbambagwa6790 ปีที่แล้ว +1

    yaani nyanda anataman heche aendelee kuongea ila hawezi kusem tu

  • @emmapaul1766
    @emmapaul1766 ปีที่แล้ว

    Molel mpumbavu sana tena namshaur aje asome coments huku ili ajitathimin.

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Maccm mnamatatizo yauchoyo ubinafusi ubabaishaji vilevile mnatabia ya kuongeangonjera naporojo tu lakini uhalisia hamuna ccm mumelaaniwa kusema uongo!!!

  • @juliusmsangi6849
    @juliusmsangi6849 ปีที่แล้ว

    Nilifikiri wanaojigamba kuwa wana demokrasia wasingetawala nchi kwa miaka 60 bila kupisha wengine! Bashir Ali alisema watatumia vyombo vya Dola kuhakikisha wanabaki madarakani! Mollel think beyond your nose!

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 ปีที่แล้ว +1

    Katika Makosa Mtozi umefanya ni kumuweka Heche na Molel kwenye mjadala mmoja..Heche ni mtu wa Facts wakati Molel ni mtu wa Propaganda na maneno ya kuokoteza!!Hawezi hata kuisemea Wizara yake

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 ปีที่แล้ว

    Nashangaa kusikia maneno yaajabu etikubomoa serikali huyujamaa anamaanisha Nini?? kubadilisha serikali nikawaida siyo uhaini,, wababaishaji waporaji matapeli hawashauliki hao tunawajuwa nivigeugeu,

  • @saidbaro6062
    @saidbaro6062 ปีที่แล้ว

    Mollel ni Daktari mchumia tumbo hana hoja ya msingi, ni blabla tu mdomo uende kinywani, Heche tupambanie vijana tunapata tabu

  • @issackmwakyami2740
    @issackmwakyami2740 ปีที่แล้ว +1

    Acha uongo we kibendela fata upepo chawa , eti mtu wa ulaya aje atibiwe kwenye hospitality zetu hizi zilizojichokea zenjewe mollery acha ujinga unatukosea Sana watanzania

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 ปีที่แล้ว

    Yaani huyu ndio Naibu Waziri 😃😃 shame of us

  • @mnasaeules6857
    @mnasaeules6857 ปีที่แล้ว +2

    Heche👊👊👊👊

  • @shaficabdalaziiz218
    @shaficabdalaziiz218 ปีที่แล้ว

    Jamaa ana vituko mpk heche anacheka, eti ndio waziri uyoo😀😀, tanzania bwn

  • @michaelminja
    @michaelminja ปีที่แล้ว

    Sauti haijakaa vzr

  • @wilhelmibaganisa5493
    @wilhelmibaganisa5493 ปีที่แล้ว

    Nyanda usirudie kutuletea huyo kibwengo , mwepesi sana Tena sanaaaa

  • @leitonyngayama6882
    @leitonyngayama6882 ปีที่แล้ว +1

    Chadema wapeleke maji wao wanatoa wapi pesa?

    • @venanceluhanga7382
      @venanceluhanga7382 ปีที่แล้ว

      Jamanii😂😂😂😂😋😋 huyu mmasai wangempa dk 2 sukar ingepanda dadeki

  • @floraashery224
    @floraashery224 ปีที่แล้ว

    Niliisubili sanaaa hiii

  • @salom6403
    @salom6403 ปีที่แล้ว

    Cheo cha mollel tungempa baba levo

  • @elimumwaipaja74
    @elimumwaipaja74 ปีที่แล้ว

    Mijadala kama hii ni afya kwa Taifa. Nataman kuona ikishamili kama kipind cha kikwete.. hongera nyanda.. wakumbuke na Viongozi wa Serikali za Wanafunzi pia, hata wastaafu wanayomengi sana including mimi..

  • @fidelmbai3642
    @fidelmbai3642 ปีที่แล้ว

    Viongozi mliyoko madarakani msipende kufanya midahalo na opposition parties wanawabaneni kutokana na hali halisi jamani...mitaani uku watu wanawaongelea hovyo sana Chama tawala

  • @fidelisgeorgesinsangoh7244
    @fidelisgeorgesinsangoh7244 ปีที่แล้ว +1

    Mollel anabweka tu...

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 ปีที่แล้ว

    Aweso ameweza kujibu hoja.

  • @johnmosha9590
    @johnmosha9590 ปีที่แล้ว

    Chadema pote hero na akisimama cdm mmoja lazima waje ccm wengi wengi tuu

  • @mussamushi6958
    @mussamushi6958 ปีที่แล้ว

    Kipindi safi sana hiki

  • @magembekisabo9632
    @magembekisabo9632 ปีที่แล้ว

    Huyu Mollel mganga wake noma. Yani ni upupu hamna kitu

  • @johsonsamson5291
    @johsonsamson5291 ปีที่แล้ว

    Ukitaka kuheshimika ongea ukweli mara vituo zaidi 8000 mara tumejenga 764 huyu sijui amekuaje waziri

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 ปีที่แล้ว +1

    Huyu molel bora baba levo

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 ปีที่แล้ว

    Heche yupo vizuri sana. Pole sana Molell, maana umekutana na jiwe lililochongoka sasa limekukataata ovyo.
    Ki ukweli, Heche yupo vizuri namkubali kwa zaidi ya 91%>

  • @waltermsangi8349
    @waltermsangi8349 ปีที่แล้ว

    Hahahhaah mollel kapaniki uwezo mdogo .......hii ni debate Kati ya darasa la 3 na PhD holder

  • @josephmagori4612
    @josephmagori4612 ปีที่แล้ว

    Huyu wazuri hajielewi hata kidogo

  • @kenedrocky5964
    @kenedrocky5964 ปีที่แล้ว

    MH HECHE INATOSHA JAMANI MZEE BABA. UNAPIGA SPANA KWENYE MSHONO BROTHER!!!!!🤣🤣🤣🤣 CCM IMECHOKA. VIONGOZI HAWANA SERA, MAONO ZAIDI NI KUSIFIA NA KUJIKOMBA KOMBA KWA MH RAIS TU!!

  • @najumongdeoxcar6728
    @najumongdeoxcar6728 ปีที่แล้ว

    Aweso amejibu vizuri Ila huyo kilandage mwingine Ni fala

  • @geofreymatengo9746
    @geofreymatengo9746 ปีที่แล้ว

    Hahaaa naibu waziri anaangalia upande upande kichoyochoyo

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 ปีที่แล้ว

    Itabidi Police wafuatilie Hilo swara la mwenyekiti kutaka kuuwawa.

  • @kafunyaerick5553
    @kafunyaerick5553 ปีที่แล้ว +1

    Mollel 🤦🏿‍♂️🤦🏿‍♂️🚮

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 ปีที่แล้ว

    Yaani kichwa cha huyo mla kodi zetu kilivyokaa hujiulizi mara mbili kuwa ni zwazwa, hoja hana anacheka cheka tu

  • @klementuroky6303
    @klementuroky6303 ปีที่แล้ว +3

    Molel Ni tapeli muongo mchumia tumbo hafai kuwa kiongozi Ni hovyo sana,Malaya wakisiasa

  • @josephatmagoma2511
    @josephatmagoma2511 ปีที่แล้ว

    Uyo naibu jamani hamna kitu

  • @karenkimambo3686
    @karenkimambo3686 ปีที่แล้ว

    Usitutoe kwenye reli mambo ya kuuana ulikuwepo kwanini hukusema kipindi hicho,uache umbeya

  • @richardmipawa9039
    @richardmipawa9039 ปีที่แล้ว

    Tunaomba kipindi kiwe kinarudiwa ili waliokikosa wapate Frusa ya kukisikia.

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 ปีที่แล้ว

    Et rais ametoa trillion mia 5😂😂, bajet yetu ya nchi ni trillion 21 hlf rais ametoa trillion Mia 5 kwa ajili ya umeme aisee😂😂

  • @davidnyambuche352
    @davidnyambuche352 ปีที่แล้ว

    Hahaha inabidi nicheke tu

  • @stevekanuya111
    @stevekanuya111 ปีที่แล้ว

    😆😆😆😆😆