LOCAL CAGE ya Mbao KIBAHA Banda la kisasa KUKU 3000 (JENGA KWA GARAMA NAFUU KWA TUMIA SLIDE EGG)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Kalibu Charity Farm, Leo tumewaletea video inayoonyesha ni kwanamna gani unaweza kujenga Banda Bora na lakisasa kwa garama nafuu zaidi, na Banda hili linajengwa hatua kwa hatua. Fuga kisasa iwezekupata kipato kikukwa katika ufugaji wakuku kwa kutumia slide eggs, okota mayai kwa urafisi bila kuchafuka #layer #vifaranga #banda #kuku #mayai#cage #fursa #ufugaji #fursa #biashara

ความคิดเห็น • 4

  • @fidesbernard4835
    @fidesbernard4835 11 หลายเดือนก่อน

    Nimependa banda zuri sana,

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  11 หลายเดือนก่อน

      Pia ni Banda Bora sana, unaweza kuangalia design tofauti tofauti kwenye video zetu nyingine

  • @taifaali7418
    @taifaali7418 11 หลายเดือนก่อน

    Mfano niko zanzibar nikihitaji fundi kutoka huko kuja huku kwa ajili ya kujenga lakini material's nikatowa mwenyewe .vipi inawezekana?

    • @charityfarm1226
      @charityfarm1226  11 หลายเดือนก่อน

      Pia tunafanya hivyo, ukiwasiliana na sisi tutakupa mchanganuo wa garama zote, then utanujua vitu tukujengee kulingana na uhitaji wako