ROSE MUHANDO ALIVYOKABIDHIWA ZAWADI YA GARI NA KUHANI MUSA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 491

  • @natrinemweha8625
    @natrinemweha8625 3 ปีที่แล้ว +19

    I love Rose soo much, nyimbo zake zanijenga sana, ninapotaka kumshukuru Mungu mimi huweka ule wimbo wake "Mpeni Bwana utukufu na nguvu", ninapokosa uvumilivu nakujiwa na wimbo wake "Bwana nipe uvumilivu"...Baraka tele Kuhani Musa, may God bless you abundantly.

  • @Davistoto1949
    @Davistoto1949 3 ปีที่แล้ว +4

    Amen hapa Kenya rose nizaidi ya dada neema ya mungu izidi kuwa naye upendo uzidi juu yako umetunyosha roho zetu kwa nyimbo asande watanzania kwa huo upendo pia

  • @theresiamanyanda1125
    @theresiamanyanda1125 2 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu ni mwema nimesikia kutoka machozi kwa ushuhuda mkubwa huu...wa kupewa gari..hakika mungu anarejesha vilivoliwa na tununu na madumadu...barikiwa Da Rose Muhando,hadi shetani aone aibu kubwa.Pia naomba watumishi wengine wakubwa mjifunze kuwabariki wainjilisti hawa wa nyimbo...mana ktk sifa mungu anashuka...

  • @olivasijila270
    @olivasijila270 ปีที่แล้ว

    Rose wewe ni baraka kubwa sna Africa Mungu aendelee kukufungulia milango kama ulivyo poke funguo ya gar namimi napokea funguo ya nyumba Kwa jina la Yesu pia Kuhani Musa Mungu akubariki Kwa kusikia sauti yake na kutiii barikiwa baba angu wa kiroho

  • @thepowerofsilentsoul2135
    @thepowerofsilentsoul2135 3 ปีที่แล้ว

    From Kenya,,rose Ni mama wetu kenya

  • @nicholasbundi9160
    @nicholasbundi9160 3 ปีที่แล้ว +6

    May God continue Empowering His real ministers... ..So touching and blessing... in Kenya with lot of Love

  • @jacquelinemwakasala9563
    @jacquelinemwakasala9563 3 ปีที่แล้ว

    Hata Nabii Mkuu Geordavie alimpa Goodluck Gosbert Gari kwa kweli inabariki sana watumishi nanyi kuwabariki waumini wenu.waimbaji nk.hata idara mbalimbali huko Kansan wachungaji muwe mnawatia moyo viongozi Kansan katika idara zoooote sio mnajilimbikizia Mali nyinyi tu mkihimiza waumini toeni toeni toeni

  • @kibetmiteiezekiel916
    @kibetmiteiezekiel916 2 ปีที่แล้ว

    God bless you pastor for leading the way. Christians in Kenya should appreciate the work done by Rose Muhando

  • @peninnahwanza6304
    @peninnahwanza6304 3 ปีที่แล้ว +5

    Ameeen...nyimbo za Rose zimenibariki sana barikiwa zaidi Dada Rose,,,I'm happy for you pastor for what u have done to this woman of God.Glory Glory glooooorrryyyyy be to the Most High God...Be blessed man of God.

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

    • @robinlaysonkuyava1407
      @robinlaysonkuyava1407 3 ปีที่แล้ว

      Amina nam napokea kwajina la Yesu kristo

    • @veronicawanja1991
      @veronicawanja1991 3 ปีที่แล้ว

      Kumtumikia hapa Duniani tutalipwa mara Mia na huko mbinguni mzima wa milele am so blessed

  • @moseskisala6255
    @moseskisala6255 3 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Kuhani Kwa jambo jema, Rose anastahili zawadi nyingi mno.Nawa hutopungukiwa na baraka za ajabu zitakufuata milele

  • @agneskyando3241
    @agneskyando3241 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana mchungaji,wewe ni mtumishi mwenye jicho la ndani,hao wanaombeza Rose hawana macho ya ndani ndomaana hawaoni kazi kubwa anayoifanya Rose.

  • @jacobthuo4623
    @jacobthuo4623 3 ปีที่แล้ว

    Nilimjua nikiwa mtoto 1990s sasa mimi ni baba watoto ,Rose Muhando she's a prophet

  • @joynekesa4152
    @joynekesa4152 3 ปีที่แล้ว

    Glory be to God I'm a Kenyan but catching live from Saudi Arabia much love Rose keepon shinning in the Lord

  • @annenduva1007
    @annenduva1007 2 ปีที่แล้ว

    Mtumishi wa Mungu barikiwa sana kwa kumtii Mungu aliyekuita. Nayo baraka ya kutii ikufuate... You are a great inspiration.

  • @kirakaro7599
    @kirakaro7599 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen I feel it rose be strong you are dha choosen one❣️❣️♥️♥️💞mapito yako n ushuhuda kwagu injili bado utaitagaza

  • @lenuzkiprotich4330
    @lenuzkiprotich4330 3 ปีที่แล้ว

    Amen N amen.injili ya yesu isonge mbele.barikiwa rose muhando.

  • @sarahwaswa5819
    @sarahwaswa5819 3 ปีที่แล้ว +6

    Ameen ameen nime sikia roho yangu ikiwa na fraha ya majozi
    Asante mungu kwa kazi nzur ya kuahan🙏🙏🙏

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @felistusmulaimu1872
    @felistusmulaimu1872 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu aendelee kukumbuka Rose.
    You are a preacher of the gospel through music.
    This is just the beginning. God bless the pastor and the congregation of this church.
    God bless you.

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @annsmall5110
    @annsmall5110 2 ปีที่แล้ว +3

    I knew she will cry😔😍😍😍...she is always emotional when great things happen....we love you out great singer❤️

    • @KABWEMBIRIZI
      @KABWEMBIRIZI 8 หลายเดือนก่อน

      ❤❤❤❤❤ na

    • @KABWEMBIRIZI
      @KABWEMBIRIZI 8 หลายเดือนก่อน

      Bwana yesu asifiwe ❤❤❤❤ napenda mahubiri yenu

  • @eunnymwesh7291
    @eunnymwesh7291 3 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu!!! Rose Mundo she deserve it. Ukitenda wema utakufuata

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @amazingfluentenglishusedth2222
    @amazingfluentenglishusedth2222 3 ปีที่แล้ว +1

    Hallelujah Amen, Mungu ni Mungu fanya kazi ya Mungu mpaka wangaga na wachawi waokoke , do not touch my anointed, the Bible says forgive them Rose for they didn't what they were doing

  • @fridahkarimi5510
    @fridahkarimi5510 3 ปีที่แล้ว +8

    🇰🇪👏😀Asante mungu kwa kuongea kwaniaba ya mama yetu simba wa kike,Asante yesu kwa kufuta Rose muhando machozi,Jehovah watuliza moyo wa watoto wako,Jehovah Shalom

  • @catherinelandas1938
    @catherinelandas1938 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu Akupe maisha marefu mtumish wa mungu mussa na Rose muhando

  • @kfmtc2794
    @kfmtc2794 3 ปีที่แล้ว +1

    Wow 😳😳😳😳 GOD bless you pastor... MUNGU AKUBARIKI saaaana

  • @jairosattu9634
    @jairosattu9634 3 ปีที่แล้ว +11

    Mungu na akurudishie miaka iliyoliwa na nzige ...vyote virudi kwa utukufu wa Mungu

  • @teddylameck21
    @teddylameck21 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akutunze Rozi nimelia kwa furaha mno najuwa na mm siku moja Mungu atanifuta machozi akuna gumu kwa Yesu

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @MRSIMON9015
    @MRSIMON9015 3 ปีที่แล้ว +1

    MUGU akubariki zaidi mutumishi wa MUNGU🙏🙏🙏🙏

  • @selestinsongola2787
    @selestinsongola2787 3 ปีที่แล้ว +10

    Mm nampenda sana rose mhando anaeneza sana Kaz ya mungu wetu wa mbinguni amin

  • @ev.lydiamoses5629
    @ev.lydiamoses5629 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anisaindie sana nikawashikirie watu wake...Asante sana Mtumishi wa Mungu b blessed so much...today as a new year I have learnt a lot.

  • @mbuthiaperis
    @mbuthiaperis 3 ปีที่แล้ว +6

    God bless rose. Humility is the key! Thank God for apostle nganga of Kenya...vita alikusaidia

    • @thomasmuyya7221
      @thomasmuyya7221 3 ปีที่แล้ว +1

      Wonderful, God is great. Thanks Pastor for your obedience to the Lord Jesus. Rose was and is prophetic singer and composer, Evangelist. Satan tried to attack her but now God has shown his purpose to call Rose to body of Christ. May God Bless all those who support her. May she be given wisdom to live and work with her colleagues who sing and perform with her.

    • @barsdleynyange564
      @barsdleynyange564 2 ปีที่แล้ว

      God is so faithful.l love this God.

  • @kennedybarasa1727
    @kennedybarasa1727 3 ปีที่แล้ว

    Be blessed man of God . mama Rose kupitia MUNGU anafaa cheo hicho

  • @Alex-lf4kq
    @Alex-lf4kq 3 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe sana mtumishi wamungu wewe umefuraisha mama rose mungu atakufuraisha dable atakurudishia mingi sana

  • @kamekafuraha1465
    @kamekafuraha1465 3 ปีที่แล้ว

    Dah hongera sana mtumishi wa Mungu hakika mapito ya Rozi muhando ni makubwa sana Mungu amekuonyesha mtumishi

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 3 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ni mwema waimbaji wametupwa wanataka support

  • @margaretmaina2764
    @margaretmaina2764 3 ปีที่แล้ว

    Isalute you pastor musa u did agreat job servant of God kupeana sisi huzoea pastor tu hupalikiwa na member b blsd pst musa iwatch u frm kenya nakuru am Maggie

  • @DM_15
    @DM_15 3 ปีที่แล้ว

    Dah kweli Mungu ni Mungu tuuu alipoteza kilakitu this time ameanza kumea ameanza ku get things. God bless you Rose mhando

  • @susanhyaola2370
    @susanhyaola2370 3 ปีที่แล้ว +1

    Iam a Kenyan and I love Rosy

  • @benjaminndagijimana574
    @benjaminndagijimana574 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu akubariki Mweshimiwa mpendwa umegunduwa siri ya Mbingu kwa kutii sauti ya Bwana Yesu Kristo

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 3 ปีที่แล้ว

    Mtumishi ubarikiwe sana Madam Rose Mungu akuongoze zaidi na zaid

  • @jacksonjamesndyabawe495
    @jacksonjamesndyabawe495 ปีที่แล้ว

    Rose she is just Godly sent.. May the lord bless you kuan

  • @ronohkipkoech9990
    @ronohkipkoech9990 3 ปีที่แล้ว +1

    So touching indeed, for sure Rose ur a blessing to the Nations, thank you Pastors for the courage to obey the voice of God and bless our dear Sister.
    So humbled 🙏. God bless you very much

  • @ezeedi871
    @ezeedi871 3 ปีที่แล้ว +6

    Unajua Rose Muhando kiukweli anahitaji heshima nyingi Sana kwa Muziki wa gospel hapa nchini kiukwel alistahili awe na pesa nyingi sana lkn sijui nikwann au mifumo yakwenue gospel kwamba lazima ujitolee sana kuimba bure kuperfom bure ndo maana labda yupo katika hali hii

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @charitykinya9660
    @charitykinya9660 3 ปีที่แล้ว +1

    I am a Kenyan gospel upcoming artist rose give me a challenge by the song utamu wa yesu and I had to start a race of music faster than anticipated.i love you 🌹

  • @suzaynnekenyagah1438
    @suzaynnekenyagah1438 3 ปีที่แล้ว +11

    My dearest rose mhando I love u so so so much and may God bless u and give u strength.
    All your songs are blessings to me.

    • @dinahjelagat9399
      @dinahjelagat9399 3 ปีที่แล้ว

      Be blessed sister continue ministering God's word to people

    • @kandoyamitoyababeliministr9573
      @kandoyamitoyababeliministr9573 3 ปีที่แล้ว +1

      Ubarikiwe pastor

    • @mildredonduru2459
      @mildredonduru2459 3 ปีที่แล้ว

      👍👍👍👍👍👍👍👍👍

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @johnmomanyi4397
    @johnmomanyi4397 3 ปีที่แล้ว +6

    Congratulations pastor. God used you as an instrument to help Rose muhando.Many happy blessings.

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @elizabethmwangi5082
    @elizabethmwangi5082 3 ปีที่แล้ว

    God bless Pastor Musa, na pia ampe Kibali zaidi Rose Muhando

  • @lidyahqw4615
    @lidyahqw4615 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeeeeeeeen🙏🙏mungu ni mwema zaidi mum Rose sasa ako mahali pajuu Hallelujah

  • @nancyachieng1406
    @nancyachieng1406 3 ปีที่แล้ว +4

    Rose mhando ni mwimbaji shujaa mbarikiwa wa mungu

  • @mwalongojulius1755
    @mwalongojulius1755 3 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa baba YESU aendele kukusimamisha imara ili injili isonge mbele NAKUPENDA UNA MOYO WA YESU WA KUSAIDIA WENGINE.

  • @chantal347
    @chantal347 3 ปีที่แล้ว

    Haleluya haleluya haleluya Kuhani wewe ni Dkr Magufuli kwakweli wachungaji wengi warikuwa wanamwambia kwamba wanamupenda manafiki tuu mwenye wupendo niwewe Mchungaji wakweli rose muhando balikiwa kuzidhi Niko Rwanda kigali

  • @asiathoya7660
    @asiathoya7660 3 ปีที่แล้ว +6

    Hivi ndivyo bwana anavyotenda Kwa waaminifu wake. You really deserve this rose muhando.

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @aminasaid5131
    @aminasaid5131 2 ปีที่แล้ว

    Da Rose upo vizuri Sana

  • @brianbobs8915
    @brianbobs8915 3 ปีที่แล้ว +5

    Mungu hamwachi mja wake,,she deserves the best

  • @carolinenjiro41
    @carolinenjiro41 3 ปีที่แล้ว

    Hadi machozi yamenitoka, barikiwa nabii Mussa🙏💅💅🙌

  • @yvetteuwase2740
    @yvetteuwase2740 3 ปีที่แล้ว

    Pastor Mungu akubaruki baba wangu 🙌🙌🙌🥰🥰🥰🥰🥰💯

  • @LLL3712
    @LLL3712 3 ปีที่แล้ว +1

    "Vitu vikuubwa ambavyo hukuweza kufanya kwa maisha yako utavifanya kwa miujiza ya Yesu"

  • @winniewanjiru2384
    @winniewanjiru2384 3 ปีที่แล้ว

    Aah God bless. I wish l had it ,l would bought for you V8 to know how much your songs touch me.

  • @mathiasngomango2570
    @mathiasngomango2570 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu azid kuku baliki Sana .kwaajili ya kumbaliki Rose muhando

  • @reginamukama7333
    @reginamukama7333 3 ปีที่แล้ว

    Yesu asifiwe.atukuzwe na aabudiwe milele Amina.Rose tumika mama usirudi nyuma

  • @abundance-M
    @abundance-M 3 ปีที่แล้ว +4

    Wow great prophet l love this ministry from Kenya

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @jaqlinematowo3342
    @jaqlinematowo3342 3 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa pamoja nae Mungu ambariki Mtumishi wa Mungu

  • @wakahama3814
    @wakahama3814 3 ปีที่แล้ว

    Mchungaji mungu akubaliki sana ..rose mungu akuongoze sana

  • @brunonamanga4768
    @brunonamanga4768 3 ปีที่แล้ว

    Pole Rose hongera Rose ujumbe wako umefika

  • @angelakway973
    @angelakway973 3 ปีที่แล้ว

    😭😭am touched rose chipuka mama nawiri kabisa ,nimuda wa maadui zako kulipizwa kisasi na Yesu wako

  • @briandemes2912
    @briandemes2912 3 ปีที่แล้ว +9

    These made me shade tears.I love Rose muhando ..

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @RoseMary-fe2pu
    @RoseMary-fe2pu 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu haji mja wake....mungu anakupenda Rose be humble always and serve God faithfully you will go far...you deserves the best cogrts dada Rose..kumbuka Mama Gatware alikutamkia baraka kabla mwaka uishe🙏🙏more blessings to come

  • @elizabethmwandu6937
    @elizabethmwandu6937 3 ปีที่แล้ว +7

    Oooooh Mungu wangu😭😭😭 yaani nimelia machozi ya furaha Mungu akubariki sana baba hakika Mungu hajawahi kumuacha mtumishi wake aende mikono mitupu🙏

  • @nyakundihellen6822
    @nyakundihellen6822 2 ปีที่แล้ว

    Wow,,,what a blessing,,,,,wow,,,,Rose go,,,go,,,spread the gospel of the Lord 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 loves you

  • @nahashonmueke9143
    @nahashonmueke9143 3 ปีที่แล้ว

    Surely, Rose Muhando, has really been a blessing to me and many, she's really a Mother to many, may the LORD, do her good.......

  • @lumosinewton9333
    @lumosinewton9333 3 ปีที่แล้ว +3

    Yes, she deserves it.... barikiwa mum Rose muhando

  • @estherkazungu0798
    @estherkazungu0798 2 ปีที่แล้ว

    Hoooooo ,yesu ,aaaaamen,barikiwa sana past nami napokenya unabii huu kwangu kwa jina layesu

  • @raphaelsikumbi5517
    @raphaelsikumbi5517 3 ปีที่แล้ว +1

    Rose MUNGU akuzidishe kazi yako ni njema

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi2448 3 ปีที่แล้ว +2

    Mtumish barikiwa San pamoja na roseee

  • @hatangimbabazzisenzoga980
    @hatangimbabazzisenzoga980 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki na jamaa yako kwa kutii Saiti ya Yesu Kristo na kutii na kuweka kwa matendo.Mungu Akumbuke wa tumishi wake Mungu wanaomutumikia kwa Roho na kweri.

  • @juliusngugiofficial7893
    @juliusngugiofficial7893 3 ปีที่แล้ว

    Kitendo kizuri sana hicho, Mungu akubariki sana mchungaji kwa kufanyika chombo kumtia faraja Mkiristo mwanzako iyo ndio injili ya kweli..

  • @maryamjey6340
    @maryamjey6340 3 ปีที่แล้ว +2

    Ameen and glory be to God the most high.. jina la bwana lihimidiwe milele. Rose you deserve this and more... Wish my fellow Kenyans can do something to this queen.

    • @daviskipleting571
      @daviskipleting571 3 ปีที่แล้ว

      th-cam.com/video/obVMdVYeuP8/w-d-xo.html

  • @deborahkambua9522
    @deborahkambua9522 3 ปีที่แล้ว

    Mwamini Mungu IPO siku utabarikiwa,,, congrats mam rose

  • @stevenmaketa8051
    @stevenmaketa8051 3 ปีที่แล้ว

    Asante mungu kwa kumtumia mtumishi wako kumzawadia gari rose muhando mwimbaji wa I Jiko na mba moja tanzania

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @constanciamosha5144
    @constanciamosha5144 3 ปีที่แล้ว +6

    Thank you Jesus for that God times is Best Rose continue to do good work in Jesus Mighty

  • @johnmacharia5147
    @johnmacharia5147 3 ปีที่แล้ว

    Pastor uinuliwe tena na uzidishiwe. Amina.

  • @fredrickclemence8936
    @fredrickclemence8936 3 ปีที่แล้ว +4

    Amina Kubwa🙏🙏 Mungu na ukubariki Mtumushi Kuhani Musa

  • @samsonodhiambo2953
    @samsonodhiambo2953 3 ปีที่แล้ว +3

    Am from Kenya and I really appreciate the work of the lord.

  • @bernadette6266
    @bernadette6266 3 ปีที่แล้ว

    Asante Sana Mchungaji Mungu awabariki

  • @hellenwanyama6608
    @hellenwanyama6608 3 ปีที่แล้ว

    My favorite rose muhando be blessed

  • @cosmasleza1528
    @cosmasleza1528 3 ปีที่แล้ว

    Mungu anayejua kubariki akubariki sana mtumishi

  • @emilylukwiri6160
    @emilylukwiri6160 3 ปีที่แล้ว

    Hakika mungu ni mwema kila wakati ubarikiwe sana pastor 🙏

  • @iradukundadavid5917
    @iradukundadavid5917 ปีที่แล้ว

    Ubarikiwe Mutumishi wa mungu 🙏🙏🙏

  • @elipanmuya7323
    @elipanmuya7323 2 ปีที่แล้ว

    Mungu na alibariki kazi yake

  • @salomemgaya1244
    @salomemgaya1244 3 ปีที่แล้ว

    Wooow nakupenda YESU KRISTO hujawahi kumtupa alie kutumaini ,nakupenda Rose wewe ni shujaa, kaa mama utulie Mungu wa mbingu na nchi akuheshimishe.

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @kazunguhenry7894
    @kazunguhenry7894 3 ปีที่แล้ว

    It's very wonderful, May God bless you and May bless your ministries, and bless all Tanzanian

  • @eliasaimoni7008
    @eliasaimoni7008 ปีที่แล้ว

    Mungu aendelee kumtuza mtumishi wake kuhani Musa

  • @naomisamsoni1040
    @naomisamsoni1040 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Bwana.

  • @Limmieofficial
    @Limmieofficial 3 ปีที่แล้ว +2

    Oooh my God my mother she deserve every gift,the hardwork this mama has..😭😭God bless you mama miaka mingi utaishi 🙏🙏

  • @nickkilo6884
    @nickkilo6884 3 ปีที่แล้ว +1

    Rose is a big inspiration to many ....I love you mama rose.....May God bless you tu sana

    • @marthamwaipaja6182
      @marthamwaipaja6182 3 ปีที่แล้ว

      *#GET** THE SOLUTION OF WHAT YOU'VE BEEN PRAYING FOR#*
      👇👇👇👇👇👇👇👇👇
      th-cam.com/video/-naj-bdQclk/w-d-xo.html

  • @mercynamusia622
    @mercynamusia622 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen 🙏 barikiwa sana mtumishi

  • @gladysmomanyi409
    @gladysmomanyi409 3 ปีที่แล้ว

    This is quite humbling. Rose Muhando deserves the best, she has gone through alot. May God preserve her and help her to ascend to higher levels in her ministry. God bless you man of God

  • @JikonineboTaita
    @JikonineboTaita 3 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭 look at God. Rose endelea kumtumikia Mungu dadangu kwa roho wako wote.

  • @mauamwaimu701
    @mauamwaimu701 3 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaa kubwaaa Sanaaaa mtumishi wa mungu kuhani musa richard mwacha mungu akubariki sanaa

  • @rutijohnsonmwamfupe1943
    @rutijohnsonmwamfupe1943 3 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU AKUBARIKI SANA SANA MTUMISHI WA MUNGU KWA KUMBARIKI DADA ROSE AHSANTE SANA SANA MIMI KM MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI NIMEPOKEA KWA MOYO WA SHUKURANI KUBWA NI ZAWADI KWA SISI WAIMBAJI WOTE PIA.DADA ROSE HONGERA SANA SANA.AHSANTE BWANA YESU KWA AJILI YA KUHANI MUSA🙏

  • @rrrzhall4660
    @rrrzhall4660 3 ปีที่แล้ว

    She works diligently to serve God.Congratulations woman of God!