Niliwekwa MSUKULE dukani kwa muda wa miaka 12

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 23 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 152

  • @MunezeroAmissa
    @MunezeroAmissa 2 หลายเดือนก่อน +2

    Kwakweli Baba Kuhani Musa awekewe ulizinzi na Bwana Yesu Kristo amupe maisha marefu sanaaa kwajili yetu mimi kama sijafika Ngomeni sitakubali Yesu Kristo nipe pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa niende Tanzanie 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️

  • @MunezeroAmissa
    @MunezeroAmissa 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kuhani Musa Yesu Kristo amupe ulinzi wakutosha amupe maisha marefu sanaaa kwajili yetu

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 ปีที่แล้ว

    Nachukuru kuona
    Niko
    TH-cam.
    Amiiiina 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @FrancisMukojkatangal-pm5hr
    @FrancisMukojkatangal-pm5hr ปีที่แล้ว

    Na pikiya mungu assante sana kwa kazi ya mungu kohani MUSA RICHARD mwacha ana tenda .nasema AMINA

  • @jonisshayo5334
    @jonisshayo5334 2 ปีที่แล้ว +3

    Aminaaaaa kubwaaaaaa ni yesu ngomeni matendo makuu ya yesu wa kuhani mussa richard mwacha

  • @MunezeroAmissa
    @MunezeroAmissa 2 หลายเดือนก่อน

    Kwakweli Baba Kuhani Musa awekewe ulizinzi na Bwana Yesu Kristo amupe maisha marefu sanaaa kwajili yetu mimi kama sijafika Ngomeni sitakubali Yesu Kristo nipe pesaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa niende Tanzanie 🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️🗣️

  • @titinmbega4128
    @titinmbega4128 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen MUNGU ni mwaminifu Ubarikiwe Kuhani Musa. watching from saudi Arabia

  • @yustermathias3856
    @yustermathias3856 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Baba mwenyezi mungu azidi kukubariki sana

  • @AminaNuru-k1o
    @AminaNuru-k1o 7 วันที่ผ่านมา

    Kuhan Musa Richard Mwacha mungu azidi kukupigania baba uzidi kutusaidia mm ni mmoja wao nilieponywa mgongo na kutolewa ktk mikono ya adui alienitesa kwa miaka mingi hivyo nimepata kaz nje ya nchi na ninayo kadi ya madhabau inayotembea naomba bwana yesu atembee na mm nipate kuilipa hii kad kwa wepesi na kwa haraka mungu anisaidie

  • @antoniashoo746
    @antoniashoo746 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu kuhani Musa,, naomba yesu afichue na kwangu

  • @maglenakessy2146
    @maglenakessy2146 2 ปีที่แล้ว +5

    Jamani yesu wa ngomeni anatenda miujiza. Ubarikiwe sana kuhani musa

    • @AdediPharmacy
      @AdediPharmacy 5 หลายเดือนก่อน

      Nitakutafuta popote pale

  • @TekraAllan
    @TekraAllan 6 หลายเดือนก่อน

    Amina kubwa kbs

  • @TekraAllan
    @TekraAllan 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @muzungunamalwalinet324
    @muzungunamalwalinet324 2 ปีที่แล้ว +2

    Amen atukuswe yesu wa gomeni

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy ปีที่แล้ว

    Mungu
    Anatenda
    Natunamichukuru
    Amiiina
    Balikiwa yesu.

  • @iddyhamis6869
    @iddyhamis6869 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu nitendeee yes wakwakohani msa najua upo na utatutendea mungu aendelee kumutumia huyu baba anatuokoa sanaaaa

  • @princemozes9923
    @princemozes9923 6 หลายเดือนก่อน

    Emeni 👍👍👍👍

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 ปีที่แล้ว

    Na wanafanana na
    Mutoto wako 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy ปีที่แล้ว

    Yesu
    Atukuzae
    Tunachukure.
    Amiiina

  • @samwelkirui286
    @samwelkirui286 ปีที่แล้ว

    Amina mungu wa kuhani musa naomba usitupite katika majaribu amen

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 ปีที่แล้ว +2

    Praise Lord hakika Bwana anaweza na kutenda hakika tunashuhudia matendo ya Mungu🙏🏼🙏🏼

  • @KhadijaMhenangu
    @KhadijaMhenangu ปีที่แล้ว

    Amina baba tusaidie tu kwa nguvu za yesu wa ngomen ninaamin.

  • @sherwinassociates3030
    @sherwinassociates3030 2 ปีที่แล้ว +4

    naomba nami maombi nko na inlaw wangu kutoka mkoo wa marangu mwika, kaka huyu niwazimu tulipata tarifa kwamba alipotea mwizi sita sasa na ajulikani alipo jina lake ni Jeradi kImaro ( I m from Kenya pls help us with ur prayers)

  • @PriscaPatrick-kk9dd
    @PriscaPatrick-kk9dd ปีที่แล้ว

    Naomba na mm mungu wa kuhan musa akanionekanie na mm maana mama angu akamfijue

  • @edwinmsunza1246
    @edwinmsunza1246 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu wa ngomeni anaweza

  • @GraceSambula
    @GraceSambula 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu wetu ubaki kua Mungu

  • @MaselinaJoni
    @MaselinaJoni 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu ni mkubwa sana tumwabudu mungu cku zote👏🙏 munguu Amina.

  • @bigirumanalululouise4540
    @bigirumanalululouise4540 2 ปีที่แล้ว

    Amen nimimi namini mama yang tomuona amen🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇸🇦🇸🇦🇸🇦🙏🙏🙏🙏

  • @peridamtweve1882
    @peridamtweve1882 2 ปีที่แล้ว +2

    Wewe yesu nissidie na mm matatizo yangu

  • @emmanuelmollel818
    @emmanuelmollel818 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen mtumshi wa mungu akupee maisha marefu

  • @Cecyscola
    @Cecyscola 2 ปีที่แล้ว

    Watanzania mungu awabariki ingekuwa Kenya ,huyu mtumishi angekuwa ametusiwa

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 ปีที่แล้ว

    Amiiiina &
    Amiiiina 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @kabwefrancine99
    @kabwefrancine99 2 ปีที่แล้ว +2

    Himani yangu hina nifanya niamini miujiza unayo hitenda ,baba kuhani mungu wako ani kumbuke kweli na mimi🇧🇮🇧🇮 😭

  • @genevevamarco
    @genevevamarco 5 หลายเดือนก่อน

    Bwana Yesu atukuzwe,nami naomba maombi dada yangu alipotea kwenye mazingira yasiyoeleweka ni Zaid ya miaka 18

    • @OgenKandie
      @OgenKandie 4 หลายเดือนก่อน

      🎉 lb😮

  • @fridahmbusa-g5x
    @fridahmbusa-g5x 10 หลายเดือนก่อน

    Amina baba ni wewe tuu baba

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 ปีที่แล้ว

    Mungu wewe!!!???????
    Amiiiina munguu
    Baba Musa lichard nachukuru saana
    Balikiwa Nuru ya mbinguni iwongeze iguchukiye
    Amiiiiina baba

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy ปีที่แล้ว

    Nasisi tuliicha juwa
    Akwani. Musa
    Lichard
    Mwacha. 🖐️🖐️🖐️🖐️

  • @merrymussa2833
    @merrymussa2833 2 ปีที่แล้ว +1

    Daah wew ni mungu mfalume unae tawala milele🙏

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu akuweke milele love dady mwacha

    • @marylovemakiria7771
      @marylovemakiria7771 2 ปีที่แล้ว

      Asante sana mungu WA ngomeni na nabii Richard musa hakika mungu anatenda

  • @bernadetakadyi3955
    @bernadetakadyi3955 2 ปีที่แล้ว

    Achen Mungu aitwe Mungu

  • @pamelaachieng6968
    @pamelaachieng6968 2 ปีที่แล้ว

    Bwana asifiwe na,shukuru,manofgod,Musa kwa,kazi,mzuri,anayofanya,kwa,kufuguawatu nauendelee,kuaribu,kazi,zawachawi,sana

  • @veronicamillinga
    @veronicamillinga ปีที่แล้ว

    Amina Baba fichua nakaa familia yetu

  • @brigmtafutanjia4561
    @brigmtafutanjia4561 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nasema ni asante naamini siku nikifika ngomeni nitapokea uponyaji wangu na wachawi wote wanaofuatilia familia yangu watateketea

  • @fabiolaboniphas192
    @fabiolaboniphas192 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen ,yesu kritu wa ngomeni ananguvu.

  • @estareliasmagesa8791
    @estareliasmagesa8791 2 ปีที่แล้ว +1

    Aminaa yesu wa ngomeni anaweza yote

  • @babievicta3149
    @babievicta3149 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema

  • @ZawadiMeshack
    @ZawadiMeshack 3 หลายเดือนก่อน

    Fichua na familia yetu watesi wote mtumishi wa mungu

  • @agathemilulu6573
    @agathemilulu6573 2 ปีที่แล้ว

    Mungu nimwema kilasiku

  • @miriamannamakhanu7592
    @miriamannamakhanu7592 2 ปีที่แล้ว +1

    Hi ushuhunda umenipa moyo jamani Mungu anatenda mambo makuu Jina la Yesu liinuliwe
    Mtumishi kuhani Musa nabii wa Mungu nikumbuke kwa maombi sina ndoa

  • @joycewafula935
    @joycewafula935 2 ปีที่แล้ว +1

    Amiiina yesu wa ngomeni ya ..nabii Musa anaweza, mungu asidi kumpa kohani Musa miaka mingi am watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇰🇪🇸🇦🇸🇦🇰🇪🇰🇪🇸🇦🇰🇪 🙏

  • @philomenetakubungo3180
    @philomenetakubungo3180 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sana naataendelea kutenda tunajua kama kupitia iyi maombi nasi Mungu atatenda

  • @djumazuena52
    @djumazuena52 2 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu kristo wa ngomeni na mimi unikumbuke kama unavyokumbuka wengine

  • @salmaali3675
    @salmaali3675 2 ปีที่แล้ว +2

    Acheni mungu aitwe mungu hakuna wakulinganishwa nae 🙏🙏🙏

  • @kautharkayu6326
    @kautharkayu6326 2 ปีที่แล้ว

    Good bless

  • @astelliaadrea5478
    @astelliaadrea5478 2 ปีที่แล้ว

    Ngome ya kuhan musa ifunguwe milango na vifungo vyoote vilivyofunga maisha yangu

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen mama🙏🏼🙏🏼

  • @cecygeorge4443
    @cecygeorge4443 2 ปีที่แล้ว

    Ruwa nawainenge pfinya lanye.na mtumishi wa Mungu Kuhani Musa Mungu akulinde na kukubariki dadyyy

  • @officialglorymichael7782
    @officialglorymichael7782 2 ปีที่แล้ว

    Amen kweli mungu mwema

  • @astelliaadrea5478
    @astelliaadrea5478 2 ปีที่แล้ว

    We mungu tuhurumie wanadam

  • @HusnaSharifu
    @HusnaSharifu 8 หลายเดือนก่อน

    Muuguzi anakwepa maelezo jamani usifiche ukuu wa mungu hata uwe raisi

  • @bahatiagape7121
    @bahatiagape7121 2 ปีที่แล้ว +1

    Jaman Mungu wa mbingun nirudishie na mama angu jaman...Dahha Mungu tenda miujuza kwa Mama angu.🥺

  • @BettyGeorge-sn2nn
    @BettyGeorge-sn2nn ปีที่แล้ว

    Jaman huyu mungu mwacheni tu

  • @giftpamelagiftpamela4494
    @giftpamelagiftpamela4494 2 ปีที่แล้ว

    Waaaah watu wanadhambi sana sio wote wana roho nzuri jamani

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Pole

  • @allymwakibinga442
    @allymwakibinga442 2 ปีที่แล้ว

    Duh, Bwana utuhurumie

  • @nyotajules1732
    @nyotajules1732 2 ปีที่แล้ว

    Apelekwe kwa mtumishi

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 2 ปีที่แล้ว +1

    SHETANI NI MWONGOOOOOO. YESU NI NGUVU.

  • @rhodamagembe5535
    @rhodamagembe5535 2 ปีที่แล้ว +2

    Uyo anaemuhoji anatakiwa amuhoji vizuri maana atuelewi chanzo Nini adikuonekana na Nani alimuweka msukule

  • @fahauesau3667
    @fahauesau3667 2 ปีที่แล้ว

    Asante bwanay

  • @atamediatz1139
    @atamediatz1139 2 ปีที่แล้ว +4

    Hivi mbona yule binti aliyepita hotelini ambaye alisema amemefufuka mbona sijaona habari zake huku?, Video ninazo tulimrikodi na mbona yule kijana aliyesema kuwa ni baba yake mbona na yeye nimemuona kwenye mitandao kuwaalishakufa? Nizipost hizi video hapa....nipo nazo kwenye simu zisije kupotea

  • @shilaggg5978
    @shilaggg5978 2 ปีที่แล้ว

    mungu ni mwema

  • @kkjustn8385
    @kkjustn8385 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ni mwema sana sana

  • @sweetletmushi2801
    @sweetletmushi2801 2 ปีที่แล้ว

    Yesu tusaidie

  • @worldinternationalgospelmi4907
    @worldinternationalgospelmi4907 2 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu wa ngomeni nitendee na mimi kwenye Familia yangu watu wanakufatu hapo kwetu yesu nitendee na mm Kuna mtoto wa kaka yangu kapotea tangu 2018, Mwezi 8 akiwa na Miaka 6 a naitwa Tedi yesu wangomeni nitendee nipo Omani 😭😭😭natamani ningekuwa tanzania na mm Familia yangu inateketea yesu wa ngomeni nisaidie

    • @husseingabo5497
      @husseingabo5497 2 ปีที่แล้ว

      Kwa akili zako we unajua hao misukule kweli ? Kuwa na akili sisi hapa tunae dogo ambae alipewa laki Moja ajifanye msukule Kwa kuhan Musa na tunae hapa na ukitaka nikupe hata namba yake utampigia atakwambia Kila kitu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@husseingabo5497 mmm mkakubali laki moja??

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@husseingabo5497 ungesema alipewa milion 10,laki uigize kufa??

    • @Awatee
      @Awatee 2 ปีที่แล้ว

      @@husseingabo5497 Ajabu tena mtoto wa kiislamu eti yesu wangu msiba mkubwa huu ndugu zangu tusome dini yetu kwa hakika dada angu umekufuru hio ni shrki kwa sababu yesu hawezi lolote bila ya idhini ya ALLAH

    • @winfridagama5832
      @winfridagama5832 2 ปีที่แล้ว +1

      Kila MTU na Imani yake

  • @AgripinaNdubulaRaphael
    @AgripinaNdubulaRaphael 6 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi tajanasisitulihoko hulaya

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 ปีที่แล้ว +3

    Jamani kila aneandika humu Yesu anaandika kwa herufi ndogo hata majina ya watu Mungu awasaidie mbadilike maana mnapoandika yesu haipendezi wala haina utukufu kwa Mungu

    • @RodahDiwege-gt9pk
      @RodahDiwege-gt9pk ปีที่แล้ว

      Ni kweli MUNGU syo Mungu

    • @AnitaKaogo-vh2gm
      @AnitaKaogo-vh2gm ปีที่แล้ว

      Bwana yesu asifiw mtumishi wabwana naomba uisaidie familia yangu na ndoa yangu na watto wetu

  • @afamefunaokeke6966
    @afamefunaokeke6966 2 ปีที่แล้ว +1

    wapigweeee

  • @KakaKirikalaizer-ph8ts
    @KakaKirikalaizer-ph8ts ปีที่แล้ว

    dunia kuna maajabu

  • @astelliaadrea5478
    @astelliaadrea5478 2 ปีที่แล้ว

    Bwana atukuzwe

  • @FaridahMouhamed
    @FaridahMouhamed ปีที่แล้ว

    Mungu Mkubwa

  • @atamediatz1139
    @atamediatz1139 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wa Mbinguni aishiye Milele uso wake ukaende nanyi..

  • @esthernyarkoani1253
    @esthernyarkoani1253 2 ปีที่แล้ว

    Yes u anaweza yote

  • @esthersifa7995
    @esthersifa7995 2 ปีที่แล้ว

    Amen amen

  • @uchebechebe8653
    @uchebechebe8653 2 ปีที่แล้ว

    Ipo siku Ukweli utajitenga na Uongo,...
    Daima hviambatani kati ya Maji na mafuta ya taa....
    Yaani kweli kabisa mtu awekwe msukule then akule matunda....aaah ...hakika
    Msukule hali matunda

  • @RodahDiwege-gt9pk
    @RodahDiwege-gt9pk ปีที่แล้ว

    Nilizan alizikwa

  • @victoriajulius5072
    @victoriajulius5072 2 ปีที่แล้ว +5

    Mungu Asante kwaajil ya maish yangu na familia yangu nakupenda mungu wangu 🙏🙏

    • @bahatirichard8423
      @bahatirichard8423 2 ปีที่แล้ว

      Mungu wangu na mimi umkumbuke mdg wangu samson Richard mosha uko alikowekwa arudishwe jamani Mungu wew unaweza sana Mungu wa Kuhani Musa naomba ukumbke familia yangu

  • @janetwakasa8021
    @janetwakasa8021 2 ปีที่แล้ว

    mungu wacha aitwe mungu

  • @bernadetakadyi3955
    @bernadetakadyi3955 2 ปีที่แล้ว

    Wachaw wote wapigwe kwajina la yesu

  • @ev.walterkalenga9783
    @ev.walterkalenga9783 2 ปีที่แล้ว +1

    What is a msukule,,?

    • @uchebechebe8653
      @uchebechebe8653 2 ปีที่แล้ว

      Msukule
      Can u say that is a people live like a die...am not sure if am light with ma broken lnguage

  • @fatmaomary3981
    @fatmaomary3981 2 ปีที่แล้ว

    Nipo Omani Nawapenda sana

    • @maglenakessy2146
      @maglenakessy2146 2 ปีที่แล้ว

      Tunatamani sana kuhani musa uje Moshi tunahitaji sana uponyaji baba.

  • @chazi136
    @chazi136 2 ปีที่แล้ว

    Mngu azid kukutumiya kuvunja nguvu zotezakichawi

  • @GodfreyFrola
    @GodfreyFrola 8 หลายเดือนก่อน

    Baba mfufue mwanangu na mimi jaman

  • @costavalenci7699
    @costavalenci7699 2 ปีที่แล้ว +2

    Hamueleweki

  • @kilonzokallage6159
    @kilonzokallage6159 2 ปีที่แล้ว +1

    Kweli maajabu ,aliekuwa anamnyoa msukule ndevu ni nani

    • @uchebechebe8653
      @uchebechebe8653 2 ปีที่แล้ว

      Hawa wanaleta mzaha na Mungu,yani me mpk roho inaniuma jinsi unvyoona watu wakichinjwa
      Kwa Kisu butu😂😂😂alafu mwanahabari anajifanya Kama hajui kitu yaniii

  • @kinggidion6833
    @kinggidion6833 2 ปีที่แล้ว +1

    Mung wa kuhani musa anatisha

  • @DorikaDorika-ct7fp
    @DorikaDorika-ct7fp 7 หลายเดือนก่อน

    Kamikazi

  • @valcomangapie8590
    @valcomangapie8590 2 ปีที่แล้ว

    Ngome ya YESU kimara temboni ndo habari ya mjini

  • @onedaymandando5225
    @onedaymandando5225 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @dianamdaku9802
    @dianamdaku9802 2 ปีที่แล้ว

    Oooh GOD😢