Vitesse: Soko la pilipili kichaa ni kubwa na la uhakika, tunawahamasisha watu walime kwa wingi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 48

  • @dieudonnenjejimana4441
    @dieudonnenjejimana4441 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda saaana

  • @BarakapetroMapesa
    @BarakapetroMapesa 19 วันที่ผ่านมา

    Mniffollow namba ang nalima pia jla sijapsta kampun nipo geita kjjn

  • @re-bv8xl
    @re-bv8xl 2 ปีที่แล้ว

    Asante Sana!

  • @DaudiMwita-y4o
    @DaudiMwita-y4o 6 วันที่ผ่านมา

    Hello habari mie ni mkulima wa pilipili kichaa NAMI napenda kilimo hiki naomba namba ya simu tuwasiliane vizur

  • @MosesMnyantope-zw4ed
    @MosesMnyantope-zw4ed 4 หลายเดือนก่อน

    Duh

  • @emmanuelkuyunga6825
    @emmanuelkuyunga6825 3 ปีที่แล้ว

    Habari,nilihitaji maelezo mazuri juu ya kilimo cha pilipili kichaa.

  • @tanyanyakipande8082
    @tanyanyakipande8082 4 ปีที่แล้ว +2

    Contact plz

  • @Bill_afrika
    @Bill_afrika 4 ปีที่แล้ว +1

    Good one

  • @tingbatuuka7278
    @tingbatuuka7278 3 ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana na ntakuja kuwauzia na PIA kufanya kazi na nyinyi

  • @vedastokeya3344
    @vedastokeya3344 3 ปีที่แล้ว

    Nawaza sana nipeni Namba p'se

  • @michaelaloyce6019
    @michaelaloyce6019 4 ปีที่แล้ว +1

    I mean Vitesse

  • @mdmunira8981
    @mdmunira8981 3 ปีที่แล้ว

    Naona number za Hao vtese company

  • @godfreygramsen5910
    @godfreygramsen5910 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba zenu kwa ajiri ya ushauri

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว

      Karibu sana Godfrey Gramsen. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

    • @godfreygramsen5910
      @godfreygramsen5910 4 ปีที่แล้ว

      @@promoonlinetv7442 namshukuru Sana ngoja nijiunge kwa ushauri zaidi

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 2 ปีที่แล้ว

    Watu hawana Muda hip wa kulima bila kujua Bei sio kulima kwa story tu

  • @venancelumambo4674
    @venancelumambo4674 2 ปีที่แล้ว

    Mnanunua bei gani kilo moja?

  • @rizikiramadhani8678
    @rizikiramadhani8678 3 ปีที่แล้ว +3

    Nimeipenda habari yako ya leo ila tunaomba mawasiliano ya shilika ili tawasiliane nao mojakwamoja kaka kamaitawezekana

  • @jumannematimbwa8259
    @jumannematimbwa8259 4 ปีที่แล้ว +2

    Sokoni kilo ni Tsh ngapi?
    Huchukua muda gani kupanda Hadi kuvuna?

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว

      Bei yake ni nzuri tu. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

    • @ibrahimngirini8737
      @ibrahimngirini8737 3 ปีที่แล้ว

      @@promoonlinetv7442 hii pili pili kichaa,ndo hiyo inayoitwa pili pili mwendo kasi...?

    • @godwingodfrey6146
      @godwingodfrey6146 3 ปีที่แล้ว

      @@promoonlinetv7442 taja Bei mkuu hapa tuko real nzuri Sana maana yake Nini kuwa siriaz

    • @emmanuelchiza7733
      @emmanuelchiza7733 2 ปีที่แล้ว +1

      Bei ni sh elfu 11 kwa kg lakini makampuni uchwara hununua kwa sh elfu 5 kwa kg

    • @mohammedmataucar66
      @mohammedmataucar66 2 ปีที่แล้ว

      @@emmanuelchiza7733 ipiii kampuni mzuri ya kuuzia ?

  • @shelamsongwe8500
    @shelamsongwe8500 4 ปีที่แล้ว +2

    Namba za simu

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว +1

      Salamu Shela. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

  • @zakariajackson9278
    @zakariajackson9278 4 ปีที่แล้ว +1

    Naomba mawasiliano tafadhali

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว

      Ndugu Zakaria. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

  • @michaelaloyce6019
    @michaelaloyce6019 4 ปีที่แล้ว +2

    Mnapatikana wapi Vicesse? Namba ya simu?

  • @victormwalyolo5870
    @victormwalyolo5870 2 ปีที่แล้ว

    Kuna tetesi zinaendelea hawa jamaa hawapokei sim Kaz Yao ni kuuza mbegu tu . Kuweni makin na middle man

  • @ramadhanikulyama3927
    @ramadhanikulyama3927 3 ปีที่แล้ว +2

    Mbona hajatoa mawasiliano

  • @laurentmaguta2043
    @laurentmaguta2043 3 ปีที่แล้ว

    naomben mawasiliano ya simu kwa kampuni inayosimamia kilimo ca pilipili kichaa

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 10 หลายเดือนก่อน

    Huo mkataba unakuweje ili kabra ya kulima mkulima apate uhakika wa soko ili kuepuka hasara

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  5 หลายเดือนก่อน

      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @TNFM-m1j
    @TNFM-m1j 2 หลายเดือนก่อน

    Naweza kupata mawasiliano yetu tafadhali

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  หลายเดือนก่อน

      Promo Online TV imetembelea mradi wa kilimo cha biashara kichaa unaoendeshwa na Vitesse huko Ikwiriri Kibiti na hapa Mkurugenzi Mkuu wa Vitesse Catherine Ibambasi anauelezea mradi huo.
      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  หลายเดือนก่อน

      Promo Online TV imetembelea mradi wa kilimo cha biashara kichaa unaoendeshwa na Vitesse huko Ikwiriri Kibiti na hapa Mkurugenzi Mkuu wa Vitesse Catherine Ibambasi anauelezea mradi huo.
      Je unaswali, au unahitaji kuunganishwa na watalamu wa kilimo, mazingira, maliasili na utalii? KIJANI CONSULT itakuunganisha nao, unachotakiwa kufanya ni kulipia sh. 1000 tu kupitia TIGO LIPA NAMBA 22922127, kisha tuma ujumbe au piga simu kwenye namba ya 0655753023, kueleza hitaji lako, NASI TUTAKUHUDUMIA.

  • @hamissuleiman7700
    @hamissuleiman7700 3 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji kulima na nyinyi nina heka22

  • @hamissuleiman7700
    @hamissuleiman7700 3 ปีที่แล้ว +1

    Mim nalima kibaha misugusugu

  • @erenesteliasi895
    @erenesteliasi895 4 ปีที่แล้ว +1

    je lushoto inakubalika

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว

      Ndio, inafaa kabisa. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

  • @antonycharles3733
    @antonycharles3733 4 ปีที่แล้ว +1

    Nahitaji mawasiliano yenu

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  4 ปีที่แล้ว +2

      Karibu Antony. Jiunge na PromoCARD kupitia 0686928828 ili uweze kuunganishwa na masoko, wakulima na wataalamu katika kilimo, ufugaji, mazao ya misitu na utalii

  • @ZubedaAbdallah-yy6zh
    @ZubedaAbdallah-yy6zh 10 หลายเดือนก่อน

    Toeni mawasiliano

    • @promoonlinetv7442
      @promoonlinetv7442  6 หลายเดือนก่อน

      habari, ilikuweza kupata namba ya mtaalamu unahitajika kuchangia kiasi kidogo cha fedha kuanzia shilingi 1000 kupitia lipa namba 22922127 jina Kijani Consult Tz, kisha utapatiwa namba ya mtaalam unayemhitaji. karibu