Commender RPC Anasema marubani wametokacwazima, na anapowataja majina yao anasema walikuwa.... namnukuu "rubani wa Pili alikuwa anatwa Alex Venance Mushi..." Ina maana baada ya ajali kabadllisha jina?
HONGERA KWA UOKOZI LKN NIMEKWAZIKA KWA MKUU WA POLISI WA MKOA KUTAMKA MAJINA NA VYEO VYA MARUBANI SAWA KABISA HILI LA KABILA LINATOKA WAPI KWA UTARATIBU GANI SIO MAADILI YA TANZANIA KUTAKA A KWA MAKABILA SERIKALI I LIKE MEE HILI
bukoba zinaangukaga ndege tu. kweli wahaya nyie nomaa
Poleni sana
Matukio ya leo tahere shilini na mojs
Hera comes Majaliwa
Chanzo Cha Ajali ni Mwendo kasi full stop.
Commender RPC Anasema marubani wametokacwazima, na anapowataja majina yao anasema walikuwa.... namnukuu "rubani wa Pili alikuwa anatwa Alex Venance Mushi..." Ina maana baada ya ajali kabadllisha jina?
Porice wamejishika viuno katika uwokoaji
Vifaa vya uokozi pia hamna!!!!!!
Aibu hii.
Watu wanavuta kamba kama wapo gym
Kweli kutaja kabila amechemsha angekuwa Taifa ingine hapo sawa 😂😂
JAMANI KABILA NI SEHEMU YA UTAMBULISHO KWA UTARATIBU WA POLISI NA MAHAKAMA.
Kunanini bkb?
Lakini hata hivyo Mungu ashukuliwe sana
Afande unetutisha uliposema alikuwa anaumwa.. alikuwa anaumwa......
Ni sababu gani kutaja kabila ya rubani? kwani kuwa mtazania haitoshi? huyo afande simuelewi.
Visheria vya mkoloni hivyo hadi leo unataja vipi kabila la mtu
@fahadfaraj6474 mimi huwa nakasirika sana kwenye kipengele cha polisi kuniuliza "wewe ni kabila gani?"
@@johnlembo2955 sheria za mkoloni ambazo hadi leo wanazo ambazo ni zakishenzi
Usimlaumu kutaja kabila huenda ikawa yeye ni mkenya
Ni utaratibu wa Polisi kuandikisha kabila na dini ya mtu, makazi take, n.k. wanapoandika tiooti ya tukio linalomhusu.
Duu, hamchelewi kusema mlikuwa kwa mazoezi
Ilidondoka au imetua mbona maigizo
Trh 20 mwez wa7?
Kilikuwa na haja ya kutaja kabila la mtu kweli????
HONGERA KWA UOKOZI LKN NIMEKWAZIKA KWA MKUU WA POLISI WA MKOA KUTAMKA MAJINA NA VYEO VYA MARUBANI SAWA KABISA HILI LA KABILA LINATOKA WAPI KWA UTARATIBU GANI SIO MAADILI YA TANZANIA KUTAKA A KWA MAKABILA SERIKALI I LIKE MEE HILI
Rudi shule utajua kwanini kutaja kabila ni muhimu
Uyu afande matako kweli makabila yanatusaidia nini panya road wewe
kazingua
Ilitua Tena?
This guy he shouldnot say trib issues ...am so upset with that
Mohamed from zambia
That's Tanzania's policing formality, name,age and tribe are used to identify an individual.
Ajari imetoka uwanja wa ndege?? Au imetokea ziwa Victoria?