ไม่สามารถเล่นวิดีโอนี้
ขออภัยในความไม่สะดวก

🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ส.ค. 2024
  • Mzee MAGOMA Atia BARIDI NDANI YA YANGA, UKWELI WAJULIKANA Ndani Ya JANA NA LEO - 17-07-2024

ความคิดเห็น • 17

  • @hillwilltv6781
    @hillwilltv6781 หลายเดือนก่อน +4

    Magoma anapoint zake msikilizeni msimbeze,unajua kila penye mwanya pananjia ya ulaji

    • @edsongerson2988
      @edsongerson2988 หลายเดือนก่อน +2

      Amesikilizwa ila anachoongea ndo hakieleweki

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 หลายเดือนก่อน +1

    CHAMA ARUDI TIMU YAKE AZIZ AENDE KAIZER.....PACOME....ARUDI HII NI SURA HARISI YA WATANZANIA...AKIWA NA SHIDA ANAOMBA KWA BAKURI NA AKISHIBA ANADHARAU NA KUCHUKIA ATUA ALIZO PIGA....BURUDANI.....TUACHANE NA MPIRA TURUDI KWENYE SIASA

  • @kelvinjohn5584
    @kelvinjohn5584 หลายเดือนก่อน +1

    Mgongolwa anakwepakwepa hayuko straight

  • @kelvinjohn5584
    @kelvinjohn5584 หลายเดือนก่อน

    33:47

    • @kelvinjohn5584
      @kelvinjohn5584 หลายเดือนก่อน

      Oscar unachambua kwa weledi sana.Ningumu sana kesi kuendelea mahakamani eti taasisi kubwa kama yanga isiwe inajua,kuna uhuni.upo

  • @user-eh5xn9zm1g
    @user-eh5xn9zm1g หลายเดือนก่อน

    Huyomzee hanabaya, mahakama nisehemu ya haki, na ukiona watoto wako kilasiku wanatoka kula kwajirani ujue, wamemwomba ma2 yao hichochakula hawapewi? Ndiomaana kaenda mahakamini!

  • @yalhafoundationafrica9961
    @yalhafoundationafrica9961 หลายเดือนก่อน

    Magoma ni shujaa wa yanga

  • @AlfredRutaguza
    @AlfredRutaguza หลายเดือนก่อน +1

    Magoma anahamu ya kugongwa kunako

  • @johnmwasilu7087
    @johnmwasilu7087 หลายเดือนก่อน

    Oscar Oscar uko sawa lakini huyo mwingine ni mbumbumbu bado hajamuelewa Magoma

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 หลายเดือนก่อน

    Hamjielewi kwani kura za rais au mbunge kuna watu wachache eanaopiga kura? Kwanini kusiwe na vituo kila tawi wapige kura?

  • @patricklaiton8939
    @patricklaiton8939 หลายเดือนก่อน

    MSALITI WA YANGA NI HIYO BODI YAKE

  • @novusengineering_tz4523
    @novusengineering_tz4523 หลายเดือนก่อน

    Mnanichanganya...kagoma alikuwa anaishtaki taasisi sio mtu, sasa tunaaminije kama kuna upngo??...maana kwa uelewa wangu mdogo, baada ya kagoma kufungua kesi lazima mahakani ilitoa taarifa kwa mshtakiwa kwa maandishi....
    Sasa uo uongo unapitia wapi? Mahakama haijui address ya body ya wqdhamini wa yanga?

  • @proisolution7166
    @proisolution7166 หลายเดือนก่อน

    KWANI HII KAZI YA UTANGAZAJI MKATABA WAKE UPO KAMA WAHUDUMU WA BAR?KUHESABIANA VISODA KILA JIONI .CSE MNAHAMA HAMA SAANA OFISI.LEO WASAFI,KESHO CROWN KESHO KUTWA TUPENDANE REDIO,NK.

    • @proisolution7166
      @proisolution7166 หลายเดือนก่อน

      NA MNAONEKANA MNA RAHA SANA ,THE SAME NA WAHUDUMU WALE,ANAWEZA KUFNYA KAZI WIKI HII RESORT,KESHO UTAMKUTA KINGATI NK.

  • @HMwanga
    @HMwanga หลายเดือนก่อน

    Kweli huyu mwingin 🤣