MUONYESHE KIUNGO HIKI NAMFICHIE KIUNGO HIKI ATAKUPENDA SANA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 69

  • @afric01
    @afric01 3 ปีที่แล้ว +13

    Aslm alkm ww.... Masha Allah Sheikh Othman, wapendeza masha Allah!!! 😘. Umeniacha kinywa wazi shekh. Usafi unatakikana, lakini mengine mapya ningawa na Miata dah!!! Unaongea Sheikh wetu kipenzi. Umenibakishia tabasam, a smile 😊 Sheikh Othman. Thank you so much doctor 💊. Wewe ni daktari hadi kwenye ndoa masha Allah. Allah akupe furaha kama unavyo tufrahisha. Masha Allah. Jazakallahu kheir Sheikh wetu kipenzi. Tunakupenda sana. Shukran.

    • @khadijaangore4408
      @khadijaangore4408 3 ปีที่แล้ว +1

      Masha Allah Lahwala walakuwatah illabilah. Allah akufurahishie duniani n akhera sheikh wetu😍😍😍😍😍

  • @nushabdile3610
    @nushabdile3610 ปีที่แล้ว +2

    Mashaalah sheik osman Allah akupe Maisha marefu inshaalah

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 ปีที่แล้ว +9

    Shukran sheikh jazzakallahu khairan Allah akujalie umri wenye afya njema husuda na hasadi Allah akuweke nazo mbali.

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 ปีที่แล้ว +11

    Shukran shekhe Kwa darasa na mafunzo yenye mazingatio mazur insha'Allah najifunza mengi kuwa mke Bora Kwa mtarajiwa wangu Allah anijaaliye mwema Amin yaraby 🙏🙏🙏♥️♥️♥️

  • @Choppah-p2w
    @Choppah-p2w ปีที่แล้ว +1

    Mashallah sheikh wavutia

  • @zainabusingirankabo7487
    @zainabusingirankabo7487 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH kwa ukarimu wake akulipeni mengi mazuri duniyani, kaburini na akhera kwa kuzidi kutuelimisha pia azidi kukupeni afia njema. Asante

  • @sharifamohamed4452
    @sharifamohamed4452 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah unafafanua vzur Sana,,,,Allah akuongoze zaid

  • @fadhilaassey2340
    @fadhilaassey2340 3 ปีที่แล้ว +2

    Mashaa Allah kila.la heri shehe Allah akuhifadhi na kila shari

  • @hamidaa4372
    @hamidaa4372 3 ปีที่แล้ว +1

    Maa shaa Allah tabarakallah shukran shekhe wetu Allah akuhifadhi tunaelimika sana kwakweli

  • @hawayussuf9244
    @hawayussuf9244 3 ปีที่แล้ว +3

    MaashaAllah Allah akulipe kila lakheri

  • @azizadjumadazuu2731
    @azizadjumadazuu2731 ปีที่แล้ว

    Shukran sheikh wetu Allah akujaze kila la kheri!!yani hapo mwisho mwisho ndo umemaliza!!!!

  • @ibrahimkombe5855
    @ibrahimkombe5855 2 หลายเดือนก่อน

    Asalaam aleikum warahmatullah...niko na pendekezo...hiki kilma unachotoa ma sha Allah..ingekua bora pia kikifwatiliwa na tafsiri yake kwa wale tusojua kiarabu ili tuelewe

  • @OmanOman-pp2fj
    @OmanOman-pp2fj 2 ปีที่แล้ว

    Mashaa Allah Allah atufungue woote tunao taraj zawaji yaaarab tuwe mfano wa bikahdija

  • @maliamhotimaliamhoti5302
    @maliamhotimaliamhoti5302 3 ปีที่แล้ว +1

    Allah akulipe khery! Asante kwa elmu. 2nafaidika na mawaidha.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazzaka llahu kher

  • @hamisisima9018
    @hamisisima9018 2 ปีที่แล้ว

    Mashaallah shekh darasa zk ghadhwim Allah akuhifadh

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 ปีที่แล้ว +1

    Jazaqalahu khaira shekhe wetu tunakupenda

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว

    Ulikua unatowa mawaidha mazur Sana kwa wanandoa, na ndugu wazazi yaan nilikua napatafuzo makubwasan unavio sulaisha watu na matatizo Yao kweli unahekima San Allah akujalie Afya jema

  • @zainabmohamad6232
    @zainabmohamad6232 2 ปีที่แล้ว

    Shukran sheik huwa nafatilia sana mafunzo yako allah akupe kila la kheir

  • @sumaiyaismail4917
    @sumaiyaismail4917 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah sheikh wetu tunakupenda Sana

  • @yaziduhamisi4096
    @yaziduhamisi4096 3 ปีที่แล้ว +2

    Jazakallah khery

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 ปีที่แล้ว

    Mashaallah mwenyezi mungu akulipe kila la kheri

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaalah

  • @nibigiramwajuma7925
    @nibigiramwajuma7925 3 ปีที่แล้ว

    Shukran shekh wetu allah akujalie kila la kheirry ishaallah

    • @azizasalum2408
      @azizasalum2408 2 ปีที่แล้ว

      Asalamu alaykum.mashallah mashallah darsa zuri .Allah akubarik

  • @maryambaby8509
    @maryambaby8509 3 ปีที่แล้ว +2

    Maasha allah🤲

  • @radhiaomary5591
    @radhiaomary5591 3 ปีที่แล้ว

    Maa shaa Allah sheikh napenda muqadima wako

  • @kyaraal2155
    @kyaraal2155 3 ปีที่แล้ว +1

    Shukran kwadarsa nzuri

  • @AishaSulait-z4e
    @AishaSulait-z4e 7 หลายเดือนก่อน

    Sheh Asante kwa mwaitha

  • @ashuraomary8859
    @ashuraomary8859 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashallaahi.usitanz.kipenzi.cha.watu

  • @aliabdallah4173
    @aliabdallah4173 2 ปีที่แล้ว

    Masha Allah, waweza

  • @daatumu8492
    @daatumu8492 3 ปีที่แล้ว +2

    Asalam alyekum ndungu zangu naomba munisaidie kupata no ya ustadhi tafadhalini Nina shida

    • @saikalyasi2707
      @saikalyasi2707 3 ปีที่แล้ว

      0772073026

    • @daatumu8492
      @daatumu8492 3 ปีที่แล้ว +1

      shukran

    • @saikalyasi2707
      @saikalyasi2707 3 ปีที่แล้ว

      @@daatumu8492 🙏

    • @daatumu8492
      @daatumu8492 3 ปีที่แล้ว +1

      @@saikalyasi2707 pole kwa usumbufu nakuulizaje hana no ya wtps

    • @saikalyasi2707
      @saikalyasi2707 3 ปีที่แล้ว

      @@daatumu8492 hiyo pia anapatkan wsp ndug🙏

  • @raheemarahman1435
    @raheemarahman1435 3 ปีที่แล้ว

    Shkran San shekhe wet kweli unatuelimisha mung akulipe kher inshallah

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si 3 ปีที่แล้ว

    Wallah hyo tabia ya wivu nilikua na mfanyakazi mwenzangu akirudi home mume amwambia achuchumae kisha aweka kidole mke akohoe ili ajue km hajachepuka hatar sana

  • @mtumwaali959
    @mtumwaali959 3 ปีที่แล้ว

    Allah akujaze kheri inshallah

  • @hamdukhamis6067
    @hamdukhamis6067 3 ปีที่แล้ว

    Mashallah tunakuelewa

  • @shabanirukundo4272
    @shabanirukundo4272 3 ปีที่แล้ว

    Asalam alaykum ustadh wetu.nilikuanafatilia mawaidha yako Sana naushauri kwa wanandoa Ila Kwasasa kipindikile sikioni tena .amakutokana natatizolile lilojitokeza nyakati zile

  • @kizamaulidi6004
    @kizamaulidi6004 3 ปีที่แล้ว

    Mashaallah allah akubariki

    • @mervaille61
      @mervaille61 3 ปีที่แล้ว

      Mashaallah 🤩😀😀

  • @salumnassib7780
    @salumnassib7780 2 ปีที่แล้ว

    Alhamhamdulillah

  • @Munatiyahilwa
    @Munatiyahilwa 2 หลายเดือนก่อน

    Kabati😂😂😂

  • @suhanaali1270
    @suhanaali1270 3 ปีที่แล้ว

    masha'Allah

  • @hamisimchuzi9218
    @hamisimchuzi9218 ปีที่แล้ว

    Hakika napata kujifuza vitu ving kutoka kwako shekh othuman mungu akujaze kher nyingi inshaallah

  • @rajabuamani1754
    @rajabuamani1754 3 ปีที่แล้ว

    Ahsantum yaa sheikh kwa darsa nzur

  • @magenimussa3239
    @magenimussa3239 2 ปีที่แล้ว

    Mashallah

  • @zainabmaulidi9846
    @zainabmaulidi9846 3 ปีที่แล้ว

    MASHA ALLAH

  • @rahmaayoub7519
    @rahmaayoub7519 3 ปีที่แล้ว

    Waalaykum Salam wa rahma tullah wabarakatu

    • @omanlover5470
      @omanlover5470 2 ปีที่แล้ว +1

      Mashallah tabaraka llah

  • @juniorborbo
    @juniorborbo 3 ปีที่แล้ว

    Sheikh darsa zuri sana lakini nakuomba ukizungumza uengeze speed kidogo maana unaongea pole pole sana na inachosha mara nyengine kwa msikilizaji.

  • @zohoraramadan4540
    @zohoraramadan4540 3 ปีที่แล้ว +1

    Umenena ,kuna shekhe wa jina huyo yuko hapo dar kabla hajaoa alikuwa mpole kweli alivokabidhiwa mke aliondoka ukweni mpaka miaka 3 hajapiga hata simu namke wake anakaa nae mpaka mwaka wa 4 ndo wamekuja wote natamani nimtumie hii clip nione shekhe uko wapi hapo.

  • @jumanyambi5351
    @jumanyambi5351 3 ปีที่แล้ว

    Yaani hilo la kufuatiliwa linakera sana unamuona kama mnyama bora ndoa ivunjike tu inakondesha

  • @AshaAsha-ng1ug
    @AshaAsha-ng1ug 2 ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye hunajipya,nimecheka🤣

  • @halimasaid4977
    @halimasaid4977 3 ปีที่แล้ว

    Nimecheka kakipimo hahaha

  • @زينبعليعبدالله-ز3س
    @زينبعليعبدالله-ز3س 3 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂

  • @ahmedabdi9697
    @ahmedabdi9697 3 ปีที่แล้ว +1

    Mashaallah

    • @ahmedabdi9697
      @ahmedabdi9697 3 ปีที่แล้ว +1

      Wallah shekh ninavyo kufatilia shekh nime kuwota shekh nime ota wewe mm nilikuwa naludi nyumba nika kuwona nika sema. Uyu siyule shekh ninae muwona yutubu kuna nyumba ukaingiya na mm nili taka ni kuwone ili nikupongeze na kazi zako unazo zifanya na mm nika ingiya pale ulipo ingiya ww nikakuta mulendani kuna msikiti alafu lile nikama gorofa kunangazi zinapandisha juu nikapanda ngazi zile mpaka juu nikawa kuta watu nikawaambiya nataka nikutane na shekh wakanambiya shekh kapunzika saivi daa lili uzunika sana nikabishana nao wale watu nikawauliza chumba chake kipo wapi waka nielekeza kile pale nikagonga sana mlango haukufunguwa nikaondika nikaja sikunyingine nikapanda zile ngazi mpaka juu nikakuta kulejuu kunashule ya kiislamu nikawauliza watu na muuliziya shekh wakanambiya shekh hayupo wakati naondika nikakutana na mwanafunzi katiyawale mmoja ni lafikiyangu na mjuwa kabisa nikamfata nika muuliza namuuliziya shekh akanambiya una mtafuta shekh akaniweka chini akanambiya una taka Mali kamatulizo Nazo sisi basi mtafute shekh utapata Mali kama tulizo Nazi sisi wakati ananileta kwako ndo sikujuwa tena ndoto imeendeleyaje

    • @athumanimichael292
      @athumanimichael292 ปีที่แล้ว

      MashaAllah ahmed

    • @faridaikussi
      @faridaikussi ปีที่แล้ว

      ​@@ahmedabdi9697 subhaanallah muombe Allahu akujuze juuyahiyo ndoto

  • @SsAa-by2ty
    @SsAa-by2ty 3 ปีที่แล้ว

    Masha allah