Ayoub landkred manula ally salim wako pale wekezeni pesa kwa hao mtafika mbali bila hvo maji hayabebwi kwenye tanga la nyanya kenge nyie kila siku tabora timu nzuri timu nzuri kumbe mnajichanganya wenyewe
Simba wanawazalau Tabora sababu ya kuwafunga kiwizi wizi wawaamuzi, lakini pia wachezaji wao wazuri hawakucheza siku hiyo eti hawakuwa wamekamilisha vibali lengo lilikuwa simba awafunge tu,sasa angalia azam waliwacheka yanga walipofungwa wakasema yanga mbovu leo wamefungwa wao nao ni wabovu wengi tu hata KMC nao pia wote wanaofungwa na Tabora ni wabovu tusubiri mzunguko wa pili Makolo wataliwa tu..😅😅😅
Ila kushenywentwa na tabora bao 3 ni aibu sana haikuwai tokea Tanzania 😢 UMEJISAHAULISHA TU YALE MAUMIVU NA SIKU HIYO KESHO ILIVYOKUWA AIBU DUUUH NYANI HAONI 🎉
Hunakumbu kumbuwewe simba alisha malizana na tabora kitsmbo na tabora alishenyetwa. Labda mzunguko wa pili . Nawapili yanga mta gongwatuu mnaenda kupigiwanpalepaĺe azam
Safi sana tabora united , km viwanja vingekuwa Bora tungekuwa na ligi Bora zaidi
Home sweet home tabora🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hawa tabora wameshindikana kwakwel
Mmenifurahisha tabora mmetusaidia kuwanyamazisha💚💛
Mpira umekuwa kweli game nzuri mkubwa ananyanyasika fresh tuu😊
Huyu makambo anaweza kua top score kwa mastricker
Hawa tabora wapo vizur kwakwel
Ahsanteni sana TABORA wamenyamaza bwana bado.mmoja
Mmoja huyo alishawafunga
Mmoja hayupo ni nyinyi vilaza Wa jangwan
Kwn hawa tabora wana mpango gani na timu za dar??
Magoli yote ni makosa ya golikeeper wa Azam
Tabora ninyoko kudadeky 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Haii asali Kila Moja atailamba kasoro Simba pekee
sawa
Azam kipa letu lina makosa mengi sana kwa sasa
Pole sana wewe unashabikia azm
Safi sana TBR, mlitupiga, lakini mmetulipia kisasi kwa hao ukwaju
Na watakuja kuwapiga tena tbr na azam
Timu zote zilizo juu ya hawa nyuki hat moja haijachukua point 3 muhimu, ni timu tishio kwa makocha wa timu kubwa
Hauna kumbukumbu vizuri Simba hajamfunga 3-0 au Bado
We Kalamba tatu kamili huyo tabora weju
Usiitaje Simba tulishawafunga na hawawez Kutufunga
Acha uongo hakupigwa tatu na simba
Good team
Twenzetu TABORA UTD Bado mmoja 😅😅😅
Shkamoo tabora
Kadi ya uanachama wa Tabora United naipataje?😂
Tabora si mchezo msimu huu!!??
Chikorokoro,utawauwa wenzio🤣makambo hongera 🎉
Kipa wa Kimataifa anafungwa magoli ya kawaida sana, kweli bongo nyoso
Azam mlicheka Kuni iliyokua Kwa moto mkakosa kujua hata nyie mtaingia jikoni Leo mmekipata
Kunamtu kafurahia kati nae walimbonda na hao wote wawili😂😂😂😂
Hawa tabola gali limewaka
😢😢😢😢😢😢😢😢
Azamu mkome wadhenzi yie
My club😂
NASEMAJE SISI KAMA SIMBA HATUJI TABORA LABDA MTUFATE KWA MKAPA HATUJI
Ww Simba kwel au shobo
@Shu-w7f au ww ndiyo umekuja kuleta shobo kwenye comment yangu umeitwa
Lambalamba na asali hipi tam?
Mwenzako alinyolewa zako tia maji,,,club mbalimbali ziliungana yanga alivofungwa Bado mtaona mengi
Kipa wa Azam achunguzwe
Kweli kabisaa
Ni mwendo wa vipigo to kasolo simba
Barafu imepakwa asali😂😂
😂😂😂😂
Bado mwekundu mmoja
7:45 Hhaha, what u looking at ref? How is this offside :D
kumbukeni tabora alilambwa na simba
wakatisimba anamfung wachezaj nane hawana vibali
Nyuki hakumbatiwi jmn 😂😂😂
Mtasema mengi
Azam bhana, mmmmhhhh
Tabora Ni noma
Awaiwez simba ukwer ndo uwo
Kuna watu waliokolewa na Bodi ya Ligi.
Amefufuka
Mamae
Mbabe wao ni simba TU subilini mtaona😂
Pitches! Pitches! Pitches!
Tabora wa moto sana
Tabora ni kama maji usipo yaoga utayanywa
Ayoub landkred manula ally salim wako pale wekezeni pesa kwa hao mtafika mbali bila hvo maji hayabebwi kwenye tanga la nyanya kenge nyie kila siku tabora timu nzuri timu nzuri kumbe mnajichanganya wenyewe
azam ban wakifungwa huwa wanachekesha wanatak kila kitu kiwe upande wao hahahahaha
Awa tabora wamebakisha mmoja tu wawe maarufu tanzania😂
Simba wanawazalau Tabora sababu ya kuwafunga kiwizi wizi wawaamuzi, lakini pia wachezaji wao wazuri hawakucheza siku hiyo eti hawakuwa wamekamilisha vibali lengo lilikuwa simba awafunge tu,sasa angalia azam waliwacheka yanga walipofungwa wakasema yanga mbovu leo wamefungwa wao nao ni wabovu wengi tu hata KMC nao pia wote wanaofungwa na Tabora ni wabovu tusubiri mzunguko wa pili Makolo wataliwa tu..😅😅😅
Maneno meengiii
Kwan Simba akifungwa na yanga si atashenyetwa Tena Mara ya pili au unajisahaulisha
Ila kushenywentwa na tabora bao 3 ni aibu sana haikuwai tokea Tanzania 😢 UMEJISAHAULISHA TU YALE MAUMIVU NA SIKU HIYO KESHO ILIVYOKUWA AIBU DUUUH NYANI HAONI 🎉
Utopolo wote hawajui kuandika😮😮😮 lamda kikwete na baba manara bas
Mechi na simba refa aliwanyima goli,, che Marlene kavamiana na kipa wake refa kakataa goli eti kipa kaguswa 😅😅😅😅,, Wizi kinoma noma
Azam waliwacheka yanga nao wamekutwa
Hao tabora dawayao ni simba2
Labda makolo mbebwe refa akichezesha kwa haki makolo hamtoki
Hawa nyuki bhna wameshindwa Kwa time ya taifa SimbaSc
Komesha ya nyuki ni simba
Bado nyie
Bado hamjakutana nayee kwaiy tuliza makalio dawa ije ikuingie 😂😂😂
Mulicheka Yanga leoje mutacheka ao mutaliya????????????usicheki mamba nahajavuka muto😂😂😂😂😂
Tabora tuchapie watu mpaka waseme ila kwa simba ndo dawa yako
@saf sana tabora
Tabor ni yanga yetu ya muzimu ilio pit
Tulijuaaa ni makoro kumbe na nyiee
Hunakumbu kumbuwewe simba alisha malizana na tabora kitsmbo na tabora alishenyetwa. Labda mzunguko wa pili . Nawapili yanga mta gongwatuu mnaenda kupigiwanpalepaĺe azam
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 NYOKO NYOKO NYOKO FEI AKABANA NA PUA KUTUNYALI YANGA SASA LEO WAMENYOFOLEWA NA NYUKI MPAKA WAKAOMBA POOO.SHENZIII KABISA 😊
Watakuwa mtu
Makambo aende yanga tu
Bado simba watapigwa tano
Hatuendi
Emanuel acha ushabiki wakishamba huo
Tabora hatari🎉🎉🎉🎉🎉