Mungu atawaonyesha udhaifu wa uchambuzi wenu. Hizo ni mechi 11 waneshinda 9 na kupoteza 2 na ni ndani ya majeruhi wengi kuliko timu yeyote na iko nafasi ya pili ktk. msimamo wa ligi. Uzuri hamuonagi aibu na kusema Yanga imerudi kwenye ubora wake. Subirini bado masaa mawili tu. Amina.

Uyu hafayi tunasubiri sana
Yaani ss Yanga sjui tumepotea wp jamani
Huyu haeleweki, sasa tatizo ni kocha au wachesaji
Hivi huyu jamaa yeye ninani pale yanga mpaka kuizungumzia Yanga kama vile yeye ndio anaijuwa