Asante sana kws kuendelea kuangalia video. Hii Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuunga mkono huduma kwa ku subscribe kulike kushare na kwa comments zenu.
Asanteni sana kwa kuniombea Jana niliweza kuzindua Albamu yangu ya Kwanza iitwayo Mungu wetu wa ajabu. Albamu hii ina nyimbo 8 Video na 10 oudio siyo ya kukosa.
Hongrasanana naendelea kushea
❤❤hongera mama
Hongera sana ❤
Nimebarikiwa❤
Wao hongera sana Mama angu
Asante sana mama yetu Mungu akuzidishie
Hongera sana Aunt endelea kupeleka mbele kazi ya Mungu❤
Hakika Mungu wetu ni wa ajabu. Mbarikiwe sana
Tunaendelea kuucgeka wakatiujao
Barikiwa sana mama yetu, wimbo wa baraka sana
Hongera sana. Barikiwa
Barikiwa mama angu
Margareth, I love this.
Amen asanteni nyote.mzidi kubarikiwa
Hongera mwanangu kazi nzuri Mungu azidi kukuinua
Wimbo huu umenibariki Sana .Mungu azidi kukubariki
Honger sana Mung awabarik wimbo ni mzur sanaa
Amen Asante sana.zidi kubarikiwa
Amen Asante sana. Ubarikiwe sana
Good song Mama
Hongera sana kwa huduma hii
Asante sana ubarikiwe sana.
Pongezi kutoka M.U kenya ulitubariki sana Kwa kongamano letu
Amen Asante sana. Mungu atukuzwe
Hongera mama ulitubariki katika kongamano la kina mama kenya
Hongeren Kwa kazi nzur,kweli/mungu ni aajabu
You were a blessing at Seku Kitui..
Thanks mama
I appreciate the SPECIAL GIFT OF SISTER OF EXHALTING GOD"S NAME THROUGH SINGING THIS WONDERFUL SONG. AMEN. GOD BLESS YOU.
Amen thank you. Thank you for watching
Thanks for visiting our mother's union Kenya province
Amn.ubakiwe..
Asante sana Mungu atukuzwe
Amen Asante sana. Mungu aprwe sifa
Hongera sana mtumishi wa Mungu. Songa mbele zaidi. Umenibariki sana
Honger saana mama etu ,aunt, dada,mwalim,kiongoz,mkubwa wetu yaaan MUNGU AENDELEE KUKUINUA NDANI NA NJE YA NCHI
Nyimbo nzur san hakika mungu akubaliki san
Hakika MUNGU wetu Ni wa Ajabu,,,,,, mbarikiwe sana kwa huduma nzuri
Asante sana ubarikiwe sana
Asante sana. Ubarikiwe sana
Asante sana ubarikiwe sana
Wimbo mnzur sana, kazi nzur Mungu azidi kuwabariki na kuwainua kwenda viwango vingine
Amen Asante sana
Amen mama kazi njema
Congratulation to us MUNGU UZIDI KUINULIWA
Waoooo,love you mamaa
Asante sana kws kuendelea kuangalia video. Hii Mungu akubariki sana kwa kuendelea kuunga mkono huduma kwa ku subscribe kulike kushare na kwa comments zenu.
Aminaa
Asanteni sana. Kwa kuniombea na kunifollow
Asante sana ubarikiwe
Asanteni sana watu wa Mungu. Mungu azidi kuwabariki ninyi nyote. Tunaendelea kumpa Mungu sifa na Utukufu.
Hongera saana mama angu... Mungu akutumie kwa kiwango apendavyo
Asante sana. Mungu akubariki sana
Asanteni sana kwa kuniombea Jana niliweza kuzindua Albamu yangu ya Kwanza iitwayo Mungu wetu wa ajabu. Albamu hii ina nyimbo 8 Video na 10 oudio siyo ya kukosa.
Ameeeenn ❤😊😊
Hongera dada Magreth kwa wimbo mzuri. Akuzwe Yesu Kristo
Asante sana.
Amen Asante sana.
Nimebarikiwa sana na wimbo wako Mungu. azidi kukuweka kuwa jjuu na kipawa chako
Good job
Amen Asante sana Mungu atukuzwe.
Asanteni sana wapendwa. Mungu mwema apokee sifa.
Greatest
Amen
Amen amen thank you all. I blessed too..Mungu atukuzwe.