UNYAGO 《 EP 01》

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 436

  • @boncenagottalent
    @boncenagottalent  10 หลายเดือนก่อน +26

    NDUGU ZANGU SAMAHANI SANA KWA KUWA DISAPPOINTED ILA HII NI NZURI SANA NA IME TIMIA KILA IDALA MGENI WA KIJIJI ITAEMDELEA WASHIRIKI WALI PATA MATATIZO NAOMBA MNISAPOTI HUMU TUPO PAMOJA

  • @STANLEYKINYILI
    @STANLEYKINYILI 8 หลายเดือนก่อน

    Mko vizuri, filamu nzuri. Kenya Watching, twapenda

  • @SaidMohamed-d9k
    @SaidMohamed-d9k 10 หลายเดือนก่อน +7

    Much ❤❤❤ from Kenya namkubali sna Ruta man big up bro mungu akubariki n akuzidiashie maono yako

  • @ryangerald3791
    @ryangerald3791 10 หลายเดือนก่อน +6

    Waoooh nmefurahi kumuona mganga wa kijiji 🔥🔥🔥

  • @laizerboy3151
    @laizerboy3151 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kamweee sitaacha kukufuatilia nakukubali sana mwamba

  • @naomiehakizimana5000
    @naomiehakizimana5000 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi murundi nawapenda watanzania boncena juu sana unyago kali sana iyo nyimbo yitupe yote❤❤

  • @chadiaofficial
    @chadiaofficial 10 หลายเดือนก่อน +23

    Love from Chzdiz official to🇧🇮

  • @mayaashassan3918
    @mayaashassan3918 10 หลายเดือนก่อน +17

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @BailangyKaihogo-qm8ep
    @BailangyKaihogo-qm8ep 10 หลายเดือนก่อน +5

    Naitwa Bailangy man nawasalimia nyote man🙏🙏🙏🙏

  • @bongelabwana1940
    @bongelabwana1940 10 หลายเดือนก่อน +6

    Man huyo bint kashakuzimia man😊😊

  • @fatmajilo1513
    @fatmajilo1513 10 หลายเดือนก่อน +1

    Luta man I say umeweza hii immeenda ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 afu hiyo nyimbo atari

  • @adidjaVyumvuhore-tp3tc
    @adidjaVyumvuhore-tp3tc 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tupe vitu bwana mgeni w Kijiji.Umepatia sana kumpa Baisa kipande k cha kuwa mganga kwa Mara nyingine tena 🙏🙏🙏🇧🇮🇧🇮

    • @bernadethayamwaka1365
      @bernadethayamwaka1365 10 หลายเดือนก่อน

      Bayser anajua kuliko waganga wote wa Tz much love from 🇰🇪🇰🇪

  • @Idrisakasimu-s3l
    @Idrisakasimu-s3l 10 หลายเดือนก่อน +11

    Wakwanza kutoka Congo naombeni links zangu, ila boncena umetukosea tunapenda mgeni wa kijiji jamani

  • @sarahkararinyakinyua3618
    @sarahkararinyakinyua3618 10 หลายเดือนก่อน +3

    Mgeni wa Kijiji haikuisha tena mmeanza ingine but ni sawa tu

  • @ThamimaRajabu-bs2nd
    @ThamimaRajabu-bs2nd 10 หลายเดือนก่อน +13

    Boncena mgeni w Kijiji n VP ❤❤

  • @kathisyflavour6559
    @kathisyflavour6559 7 หลายเดือนก่อน +2

    kali sana luta hii big up keep it up

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kasi mzuri sana ruta mubarikiwe sana ilaa tunaomba mgeni wakijiji seson 3tafadhali🙏🙏💯💯❤️❤️❤️

  • @Jaydannychawaboy1.
    @Jaydannychawaboy1. 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hiii ni moto tena moto wa moto nimekubali Sana 😢😢😢❤❤❤❤❤

  • @ayvannyfreeboy3481
    @ayvannyfreeboy3481 9 หลายเดือนก่อน +3

    Much love from 🇨🇩🇨🇩

  • @evansmutuma-jo7cx
    @evansmutuma-jo7cx 10 หลายเดือนก่อน +3

    Much love from Kenya 🇰🇪 kazi Safi sana

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 10 หลายเดือนก่อน +1

    Weeeeh ino kali luta,,plz muiendelezee utamu ivi ivi salute🎉ajjab❤

  • @sinigiriraabdoulkarim6050
    @sinigiriraabdoulkarim6050 10 หลายเดือนก่อน +6

    Much love from cap town we love ❤ 😍 you all ep 2 please 🙏

  • @yusuphmatibula3819
    @yusuphmatibula3819 10 หลายเดือนก่อน +1

    Kaz nzur sana vip kuhusu mgeni wa Kijiji

  • @shidashida6060
    @shidashida6060 10 หลายเดือนก่อน +2

    👌🏿👌🏿💯,vipi kuhusu mgeni wa Kijiji mbona kimya.

  • @rhumbakid_music.
    @rhumbakid_music. 10 หลายเดือนก่อน +14

    Wakwanza nikiwa kenya. Likes zikam

  • @queen_zashi
    @queen_zashi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Gys huyo anaye fanya beee kama anabeua yani anaboa bhbaaa anaudhiiii badilishen ubunifu

  • @tambatambamangala
    @tambatambamangala 10 หลายเดือนก่อน +4

    Bpncena tunakubali kazi Ila ,please tumaliziye kwanza mgeni wa Kijiji please sana.saison 3 tunaisubiri

  • @AbuubakarJuma-se9cp
    @AbuubakarJuma-se9cp 10 หลายเดือนก่อน

    Mwanang pm1 San luta man 🎉🎉🎉 Alf iii nyimbo imenikumbush mbali San dah❤❤❤

  • @DastanAnthony
    @DastanAnthony 10 หลายเดือนก่อน

    Nakukubar xan mtu wang piga kazi mungu atakufanyia wepesi kwenye maono yako

  • @R4m51d3
    @R4m51d3 10 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzur man unajua man pamban man nakukubali san askar wang man

  • @agasobanuye5364
    @agasobanuye5364 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unyama mwingi hapo umeuwa kabisa 🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪

  • @EdinaMorisi
    @EdinaMorisi 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nimemis mganga bahisa jaman na kobelo tuleteee mgeni wakijij 😢

  • @jamesthoya8261
    @jamesthoya8261 10 หลายเดือนก่อน +4

    Love so much from Kenya

  • @wilson-tx7te
    @wilson-tx7te 7 หลายเดือนก่อน

    nawafuatilia from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 toka mgeni wakijiji mpaka sasaiv

  • @SelemaniKhan
    @SelemaniKhan 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mgeni wa kijiji season 2 lakini good work boncena Luta Man

  • @lilpblackofficial9950
    @lilpblackofficial9950 9 หลายเดือนก่อน

    Ruta man ww mnyama kbs♥️❤️🇹🇿🇧🇮🇿🇲

  • @ntalarukadereva2504
    @ntalarukadereva2504 10 หลายเดือนก่อน

    Hongera zenu mov nzur sana.ila mb nyingi sana

  • @KeruboIrene1333
    @KeruboIrene1333 10 หลายเดือนก่อน +6

    Boncena please drop the song
    I love it 😍😍😍❤❤❤❤

  • @ElizabethKarisa-r2k
    @ElizabethKarisa-r2k 10 หลายเดือนก่อน +1

    Much love from Kenya🎉🎉🎉

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 หลายเดือนก่อน

    Wooow mpaka nikamkumbuka move mwali wakisaramo

  • @marinnnashi
    @marinnnashi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nitazidi kukubali kaka Boncena najuwa hii ninzuri sana

  • @benjaminwafula
    @benjaminwafula 10 หลายเดือนก่อน

    Luta man nimekusikiliza ukihojiwa na mbengo tv man umezungumza mdngi sana man hadi katika mazungumzo yale ndko nikasikia ukiitaja hii movie ya unyago man nami nikasema lazima niitazame man kazi yako naikubali man hapo ndipo man support yangu nikiwa kenya nakupa man unapendwa na wengi man kazi safi kutoka Tanzania man

  • @alfredtebeka2497
    @alfredtebeka2497 10 หลายเดือนก่อน +11

    Hata kama mimi sio mtanzania lakini nakubali kazi zako bony❤ , from drccongo🇨🇩🇨🇩

  • @audifaxkabura1360
    @audifaxkabura1360 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ruta man . Your fan from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @bolingodominic
    @bolingodominic 9 หลายเดือนก่อน

    Jamani. Mbona naona mandhari traditional rakini mienendo za wahusika ni modern

  • @LameckJayram
    @LameckJayram 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jamaa umetusha sna ❤❤much love from USA

  • @marwagabrielmwita4947
    @marwagabrielmwita4947 10 หลายเดือนก่อน +18

    Pure talent ❤pure entertainment ❤Bonacena you are on next level

  • @IRENEIRENE871
    @IRENEIRENE871 10 หลายเดือนก่อน

    Good work lutaman aki MUNGU azidi kukupa kibali 🙏🙏🙏🙏

  • @FatmaNkuna-vd8py
    @FatmaNkuna-vd8py 10 หลายเดือนก่อน

    Luta waelekeze bsi wakata wa kulia wajitahid kutoa Machoz bas nataman ningekua karibu ningewakilisha

  • @WakishuaTz
    @WakishuaTz 10 หลายเดือนก่อน +3

    ❤unyama ni mwingi sana ❤

  • @dorcusjames4796
    @dorcusjames4796 10 หลายเดือนก่อน

    Napendelea kujuaa sehem gan hioo.

  • @rajabuhamzambagonyonge3257
    @rajabuhamzambagonyonge3257 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huna Kaz mbovu Kaka pamoja Sana Kaka tupo nyuma yako

  • @angelavayinga914
    @angelavayinga914 10 หลายเดือนก่อน

    Nimependa salam, mko vzr❤😊

  • @sarikokiagape7685
    @sarikokiagape7685 หลายเดือนก่อน

    tunaomba mwendelezo wa my heart yoo😢

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 10 หลายเดือนก่อน +19

    Keep going luta man❤❤

  • @augastinekwoba4273
    @augastinekwoba4273 10 หลายเดือนก่อน +5

    Very nice and enjoyable episode

  • @NichorausRichard
    @NichorausRichard 10 หลายเดือนก่อน +3

    Unazd ku improve man,, hongera sana

  • @laizerboy3151
    @laizerboy3151 10 หลายเดือนก่อน

    Nani kama wew boncena respect sana ndugu

  • @mariduofficial
    @mariduofficial 10 หลายเดือนก่อน

    Mnatuchanganya jaman sasa sisi tuelewe nn mgen wa kijiji finally aijafikia mnarushq movie zingine kama mnashindwa muendelezo wake si ni bora mkakaa chin mjitafakari

  • @stephanosafari3792
    @stephanosafari3792 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nice one luta man bt naomba sana utumalizie mgeni wa kijiji

  • @RehemaSalim-d3g
    @RehemaSalim-d3g 9 หลายเดือนก่อน +1

    Boncena love you so much❤❤❤

  • @aishaqassim1777
    @aishaqassim1777 10 หลายเดือนก่อน +3

    Jamani mbona hii ni burudani nimeipenda mno like zinfine😊😊😊😊

  • @Morgan-di3jb
    @Morgan-di3jb 10 หลายเดือนก่อน

    Mbona mgeni WA kijiji haikuisha😂,, from Kenya 🇰🇪🇰🇪

  • @JamaliHocho
    @JamaliHocho 10 หลายเดือนก่อน

    Unyama sana it song mnyma mkar sanaaaa

  • @yohanekopilato-wn3lo
    @yohanekopilato-wn3lo 10 หลายเดือนก่อน +3

    Nakubaliii sanaaa

  • @karembo7082
    @karembo7082 10 หลายเดือนก่อน +2

    Rutaman umetisha sana unyama mwingi man❤❤❤

  • @zuluRaphaelItangishaka
    @zuluRaphaelItangishaka 10 หลายเดือนก่อน +4

    Rutha Man,unanitesa man❤❤❤

  • @WilsonDamian-y4r
    @WilsonDamian-y4r 10 หลายเดือนก่อน

    Nakukubari sana kaka ruta man big boy ,pamoja sana kanda ya ziwa tz mwanza
    Getman

  • @belitoantonio3823
    @belitoantonio3823 10 หลายเดือนก่อน

    Unyama sana❤❤❤man....from Mozambique 🇲🇿🇲🇿🇲🇿man😀😀😀

  • @FelicianAndrea
    @FelicianAndrea 3 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo boya analia kama kondoo ananikela Mimi

  • @halimabindshaban3105
    @halimabindshaban3105 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hizi ndo filami napenda sana

  • @wadhawatz
    @wadhawatz 10 หลายเดือนก่อน +1

    Chukua maua yako ❤❤
    Mwakinego muigizaji
    ❤🎉🎉🎉🎉

  • @dinah9303
    @dinah9303 10 หลายเดือนก่อน +12

    Good job boncena 🙏

  • @nurusaid4698
    @nurusaid4698 10 หลายเดือนก่อน

    We Luta Pia Nawe Warukera Mjeni Wakijiji Bado Ujatumalizia Umeanza Nyengine

  • @joycesamwely7896
    @joycesamwely7896 10 หลายเดือนก่อน

    Hii movie alitakiwa awepo ratifa ingenoga hatarii Tena ingekuwa ni fire

  • @IsiakaMckandyaKandya
    @IsiakaMckandyaKandya 10 หลายเดือนก่อน +4

    Nani kamwona ness wa kwenye tamthlia ya 4:04 kibenteni😂😂😂

  • @jumasadiki141
    @jumasadiki141 10 หลายเดือนก่อน +2

    Hapo kaumwa n ng'e au nyoka ila movie za kibongo😅😅😅😅

    • @MRJ1308
      @MRJ1308 10 หลายเดือนก่อน +1

      Cobra kabisa man

  • @SaleheKizamile-pf5js
    @SaleheKizamile-pf5js 9 หลายเดือนก่อน

    Nakukupali sana man kazizako sakiasiri sana bigap man

  • @-rebeth
    @-rebeth 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wow ruta man nimkubari kwer ❤❤❤❤❤

  • @yvannsengiyumva2143
    @yvannsengiyumva2143 10 หลายเดือนก่อน

    Léo umetuangusha umefanya vitu vyakizamana ,rakini maongezi niya kisasa

  • @زهرةكيني-ث3ل
    @زهرةكيني-ث3ل 10 หลายเดือนก่อน +3

    Wow nice movie 🎥❤❤❤

  • @halimamohammed7863
    @halimamohammed7863 10 หลายเดือนก่อน

    Waah nice movie ❤️❤️😍much love luta man 👌🔥🔥

  • @mariusmwijage522
    @mariusmwijage522 10 หลายเดือนก่อน +1

    Jaman nampenda sana belina

  • @daudimtafa3804
    @daudimtafa3804 10 หลายเดือนก่อน +3

    Kenya represented

  • @HamisiFaraji-ej5mf
    @HamisiFaraji-ej5mf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Namkubali sana ruta man❤❤❤❤😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @FelicianAndrea
    @FelicianAndrea 3 หลายเดือนก่อน +1

    Mambo ya shalukhan hayo au sio rutaman

  • @maryd1538
    @maryd1538 10 หลายเดือนก่อน +1

    Much love from kenya❤❤❤

  • @AshiraffMohammedy
    @AshiraffMohammedy 10 หลายเดือนก่อน

    Muvi nzuri IRA stories haikamiriki

  • @martinsenyagwa9172
    @martinsenyagwa9172 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂Mganga jau,Mmbea atari,,hatulii hadi taarifa anaenda toa nwenyewe physically😂😂

  • @iam_eri_tz1
    @iam_eri_tz1 10 หลายเดือนก่อน +1

    Umetisha kinoma Man

  • @MrMelody647
    @MrMelody647 10 หลายเดือนก่อน

    Ruta man nakakubali sana man 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @NicksonRajab
    @NicksonRajab 10 หลายเดือนก่อน +2

    Much love from 🇰🇪🇰🇪🤛

  • @dorcusjames4796
    @dorcusjames4796 10 หลายเดือนก่อน +1

    Location tam sana. ❤. Movie yenyewe kali

  • @HakizimanaMoussa-rr2rf
    @HakizimanaMoussa-rr2rf 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ongera sana boncena

  • @maombipatience9735
    @maombipatience9735 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hako kafumu kambea jamani 😂😂

  • @nasrahassan2260
    @nasrahassan2260 10 หลายเดือนก่อน

    Ruta man nakukubali sana ukovizuri❤❤❤

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 10 หลายเดือนก่อน +1

    😂kumbe lutaman ilamdada anamkatajicho kampenda

  • @FrankHelman-zw2jc
    @FrankHelman-zw2jc 10 หลายเดือนก่อน +1

    Iuta man mwamba San uyu bro

  • @michaelwafula455
    @michaelwafula455 10 หลายเดือนก่อน

    Waaaaaahu zuri sana. ❤❤❤❤❤keep up the good work you are doing

  • @Bongomtaanitv
    @Bongomtaanitv 10 หลายเดือนก่อน

    Namkubali cna man from KENIA Man