Bunju SDA Youth Choir ; Kandokando

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 41

  • @bahaticosmasi2665
    @bahaticosmasi2665 ปีที่แล้ว +1

    Amina sana Hakika Mungu wetu ndie kiongozi wetu Mungu awabariki sana kwa kazi njema ii ya wokovu

  • @lahelmichael4173
    @lahelmichael4173 ปีที่แล้ว +1

    Amina, barikiweni sana wapendwa. Mungu aendelee kuwatumia Kwa kazi hii njema.

  • @moricegirbertsangu
    @moricegirbertsangu ปีที่แล้ว

    Nabalikiwa sana kaz nzuri bro lembo

  • @josephbundala1830
    @josephbundala1830 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri sana vijana Bunju choir. Mungu awabariki sana kwa huduma

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Amina kaka mkubwa , tuendelee Kushirikiana kusambaza kazi hizi ili kazi ya MUNGU iwafikie wengi

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Amina kaka mkubwa

  • @bernthedr
    @bernthedr ปีที่แล้ว +1

    Naam Amina barikiweni sana wajoli,, 🙏🙏

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa pia mkuu, MUNGU awe kiongozi mwema katika utumishi wetu sote

  • @pendoshimiyu8368
    @pendoshimiyu8368 ปีที่แล้ว +1

    Mmbarikiwe sana wimbo unabariki

  • @mengikalula2473
    @mengikalula2473 ปีที่แล้ว

    Mungu awatumie apendavyo

  • @eliyamarwa9578
    @eliyamarwa9578 ปีที่แล้ว

    Mungu awatie nguvu Watu Wa Mungu

  • @daviddominick5274
    @daviddominick5274 ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe mno

  • @asafulugari9911
    @asafulugari9911 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri mno, Mungu azidi kuwatunza watu wa baba

  • @mndalimndali8978
    @mndalimndali8978 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyezi Mungu awabariki

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Amina , karibu u subscribe ili kuweza kupata taarifa mara tu tunapoachia wimbo

  • @mussauziely
    @mussauziely 8 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa san

  • @alvinlembo8581
    @alvinlembo8581 ปีที่แล้ว +1

    Aminaaaaaa wimbo mzuri sana ❤️❤️❤️❤️

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa mwl wetu , MUNGU aendelee kukutumia vyema mnoo

  • @emmanuelmnkeni1939
    @emmanuelmnkeni1939 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe sana I do pray for you

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Amina pastor Bwana azidi kusikia maombi yako kwetu

  • @papaampera3354
    @papaampera3354 ปีที่แล้ว +1

    Golden melodies Mungu azidi kuwainua.

  • @Egoni-wk6id
    @Egoni-wk6id ปีที่แล้ว

    Mbarikiwe

  • @stratonmmassy7195
    @stratonmmassy7195 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awabariki kwa huduma njema

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Karibu sana , subscribe ili kupata taarifa ya nyimbo zenye jumbe mbali mbali , Kila tunapoziachia

    • @eliyamarwa9578
      @eliyamarwa9578 ปีที่แล้ว

      @@bunjusdayouthchoir Mungu awa bariki sana wapendwa

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Mungu Yu pamoja nas sote

  • @rebekasabato3000
    @rebekasabato3000 ปีที่แล้ว +1

    Amina Mungu atukuzwe kwaajili yenu wimbo ni mzuri na maneno yake na hata shooting yake pia hvyo Bwana awabariki❤👏

    • @omodesigner
      @omodesigner ปีที่แล้ว +1

      Milele na milele amina

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Rebecca sabato , tunakumiss mnoo , endelea kufuatilia kwa ukaribu mnoo, nyimbo zenye ujumbe na Kali kutoka Kwa Bunju Sda Youth Choir... Tusaidie kuwafikishia na wengine Kwa kusambaza link, kazi ya MUNGU iwafikie wengi

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว +1

      Amina

  • @ruthkakulu943
    @ruthkakulu943 ปีที่แล้ว +1

    🙏

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Barikiwa Sana Sana Ruth Kakulu, Kaa tayar Kwa nyimbo mpya siku za usoni , Usisahau kuwasanbazia wengine wote wapate jumbe hizi kazi ya baba isonge mbele

    • @bunjusdayouthchoir
      @bunjusdayouthchoir  ปีที่แล้ว

      Amina

  • @mussauziely
    @mussauziely ปีที่แล้ว +1

    Tuendelee kusherea kwa malafiki zetu

  • @nemesyfredrick2663
    @nemesyfredrick2663 ปีที่แล้ว +1

    MUNGU awabariki kwa huduma njema