LIVE: Walichokisema WEMA SEPETU, SHAMSA FORD NA SHILOLE kwenye Arobaini ya Mtoto wa Zamaradi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 91

  • @happykaaya6167
    @happykaaya6167 6 ปีที่แล้ว +10

    Zama kweli wewe ni mtu wa watu Mungu akuzishie hekima

  • @nyamogafamily4262
    @nyamogafamily4262 6 ปีที่แล้ว +8

    Damu ya Yesu ikukinge mwanangu💕💕💕💕

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +3

    #wemasepetu 😍😍😍💚💚👌

  • @cynobaby50
    @cynobaby50 6 ปีที่แล้ว +2

    Ahaaaaaaaa shishi ur something else....!!!!

  • @zainabualtz1455
    @zainabualtz1455 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah 😍😍😍

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว +1

    hongereni wazazi wote wawili kwa kumleta mwana mumgu awakuzie ameen🙏🙏

  • @alimbwana4961
    @alimbwana4961 6 ปีที่แล้ว +3

    mungu akupe kila la kher byby pamoja na usalama wko

  • @aminaissa9521
    @aminaissa9521 6 ปีที่แล้ว +2

    Waoo mama anaongea vizuri mtangazaji utafkiri kasomea

  • @cliroseernest3592
    @cliroseernest3592 6 ปีที่แล้ว +3

    my wemaaaa

  • @christinekas5696
    @christinekas5696 6 ปีที่แล้ว +1

    #wemasepetu ❤❤❤💖💖💖💖💖👌👌👌👌

  • @christinekas5696
    @christinekas5696 6 ปีที่แล้ว +1

    Wema ☝☝☝

  • @christinekas5696
    @christinekas5696 6 ปีที่แล้ว +2

    Sepenga 🔥🔥🔥🔥

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 6 ปีที่แล้ว +2

    mashaAllah

  • @tumainimwaifunga3884
    @tumainimwaifunga3884 6 ปีที่แล้ว +2

    Hongera Zama

  • @jimmysemboni129
    @jimmysemboni129 6 ปีที่แล้ว +1

    Masha Allah

  • @kingoman7895
    @kingoman7895 6 ปีที่แล้ว +2

    Mashaallah

  • @faridahsumiismail7680
    @faridahsumiismail7680 6 ปีที่แล้ว

    Ma Shaa Allah mmependeza sana

  • @zulfatymkawa8093
    @zulfatymkawa8093 6 ปีที่แล้ว +1

    Hongera zama

  • @deboramrema2861
    @deboramrema2861 6 ปีที่แล้ว

    Hongera my kipenzi am so happ kuona ulivyo karibu na watu

  • @sarahsamwel3019
    @sarahsamwel3019 6 ปีที่แล้ว +1

    Allah akukuze mtt mzuriii

  • @saudanikwelibbyjmaneno.kun7372
    @saudanikwelibbyjmaneno.kun7372 6 ปีที่แล้ว +1

    mmpendeza. sanaa

  • @somakhamisi4614
    @somakhamisi4614 6 ปีที่แล้ว

    Mashallah dada ake zama

  • @directorpizo5447
    @directorpizo5447 6 ปีที่แล้ว +15

    bongo ndomana tunafel yan sherehe ya 40 hiv wakati kunawananchi tunalala njaa uku jaman hizo hela siwatupe ss ata elfu 50 tu tukauze kalanga inaniuma sana😭😭😭😭😭

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 6 ปีที่แล้ว

      elias paulo haaaaa nimecheka kwa sauti

    • @frankremigius1283
      @frankremigius1283 6 ปีที่แล้ว +1

      elias paulo pambana na hali yako

    • @mwanaamisa8193
      @mwanaamisa8193 6 ปีที่แล้ว

      elias paulo Kwelii kabisaa

    • @jescaramadhani1280
      @jescaramadhani1280 6 ปีที่แล้ว +2

      elias paulo unalala njaa wakat una smartphon

    • @sweetmama6885
      @sweetmama6885 6 ปีที่แล้ว +2

      Jesca Ramadhani Imagine. Akajambe mbele uko. Why apewe pesa? Tafuta zako acha ujinga. 😏

  • @specialevents4773
    @specialevents4773 6 ปีที่แล้ว

    Safiii.... Very Nice 😘

  • @saydabdallah387
    @saydabdallah387 6 ปีที่แล้ว

    love is every things

  • @tinnakimaro1091
    @tinnakimaro1091 6 ปีที่แล้ว +1

    irene paul🔥🔥🔥

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 6 ปีที่แล้ว +7

    Yaani 2019 haina haja yakukata sale ya kampeni sale tayari😂😂😂😂

    • @najmamuss2806
      @najmamuss2806 6 ปีที่แล้ว

      Mariam Hadija
      Hahaha umeonaeeeeee

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 3 ปีที่แล้ว

    🔥❤️

  • @faridahsumiismail7680
    @faridahsumiismail7680 6 ปีที่แล้ว

    Wema uko smart

  • @fatmamajuu5255
    @fatmamajuu5255 6 ปีที่แล้ว +3

    ila shishi anapenda sana sifa uwe unaangalia na mazingira

  • @sophiajumah4808
    @sophiajumah4808 6 ปีที่แล้ว

    Upendo ni mzuri sana

  • @habibaali9801
    @habibaali9801 6 ปีที่แล้ว

    Masha Allah
    😁👈🙏💯✔👌👍👏😘😍🌹🌹🌹🌟✔👑✔

  • @christinekas5696
    @christinekas5696 6 ปีที่แล้ว +1

    Wema oyoooooooo

  • @megkarugi9665
    @megkarugi9665 6 ปีที่แล้ว

    I love that lady mwenye anaongea na kitambaa ya orange Kwa kamati

  • @faridymkandala1767
    @faridymkandala1767 6 ปีที่แล้ว +3

    jmn mkiongea kiswahili mnakuaje

  • @kayakezmartine948
    @kayakezmartine948 6 ปีที่แล้ว +2

    Safi sana😍😍 zama

  • @rakiakhamiss2614
    @rakiakhamiss2614 6 ปีที่แล้ว

    MashaAlla

    • @princeroman3890
      @princeroman3890 6 ปีที่แล้ว

      Jaman Mnao koment hamuoni baadhi yenu huoni hata haya wivu ndio unaotusumbua weng ndio maana hatuendelei ,,ongera cta hapa ardhini kila m2 na maisha yake wala ucongope maneno yao machaf kwa wadau wako walio kutembelea zangu dua nakushushia na niko live nanyi kwanzia mpaka sas"""""""""""

  • @p.kasongot979
    @p.kasongot979 6 ปีที่แล้ว +1

    😘😘😍😍😍😍

  • @fedelischengula7891
    @fedelischengula7891 6 ปีที่แล้ว

    ongeleni nawatakia maisha mema yenefulaa zaidi

  • @maisha2557
    @maisha2557 6 ปีที่แล้ว

    I’m here for my girl shishi 😭😭😂😂

  • @aminamustafa3303
    @aminamustafa3303 6 ปีที่แล้ว +2

    Ungeeni kiswahili bwana

  • @nyepulamkumbipori1372
    @nyepulamkumbipori1372 6 ปีที่แล้ว +1

    Shishi hatareeeeeee

  • @hidayaallah3480
    @hidayaallah3480 4 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @faridahsumiismail7680
    @faridahsumiismail7680 6 ปีที่แล้ว

    Shishi nakupenda bureeeee

  • @jumbebakari6706
    @jumbebakari6706 6 ปีที่แล้ว +1

    Mnzingua bwan

  • @samymakoye5583
    @samymakoye5583 6 ปีที่แล้ว +2

    Kumbe na pombe zinaywekaga kweny arobaini sikuwah kujua

  • @mwanahamza2199
    @mwanahamza2199 6 ปีที่แล้ว

    wabongo r zinawashinda tofautishen r n.a. l

  • @Sifam634
    @Sifam634 6 ปีที่แล้ว

    Kweli wema SEPETU anasifa nzuri kwa kuwa WEMA SEPETU ni mudada aliye toleya macho kwa wanaume wawatu ila kuna wengi wao wamepita na waume wawatu pale na .acha tumupe sifa WEMA. Anavituko vyake ila hayuko kwa kupenda waume wawatu.

  • @kaobamaabel5561
    @kaobamaabel5561 6 ปีที่แล้ว

    Daaaaaaaaah! shishi nmecheka kwa heruf kubwaaaa

  • @ashminaabdullah5626
    @ashminaabdullah5626 6 ปีที่แล้ว

    wapi shishi

  • @faridymkandala1767
    @faridymkandala1767 6 ปีที่แล้ว +1

    shishi baby 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 6 ปีที่แล้ว +1

    Mke Wa mtu unavaje hivyo shasma shame on you

  • @nzoyihayalylyshadia4149
    @nzoyihayalylyshadia4149 6 ปีที่แล้ว

    Yaaani hapo kwa shilole ndo nimekwamia sitaki hata amalize ili nijifunze kingereza😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣

  • @marysnanga9889
    @marysnanga9889 6 ปีที่แล้ว

    vichwa vyenu kiswahili mnaugua pumu au?

  • @tinnakimaro1091
    @tinnakimaro1091 6 ปีที่แล้ว +3

    shamsa ovyooooo na miguu yake mibayaaaa

    • @sonkomike6999
      @sonkomike6999 6 ปีที่แล้ว +1

      tinna kimaro mizuri yko

    • @idayagangs124
      @idayagangs124 6 ปีที่แล้ว

      tinna kimaro mmbwa kweli ww

  • @mercyshakyz8707
    @mercyshakyz8707 6 ปีที่แล้ว

    Ila shishi umeniboa sana c uongee tu kiswaili.. Mxiiiw

  • @celinemakokha6915
    @celinemakokha6915 6 ปีที่แล้ว

    Kidogo shishi changamkia kingereza chako kiko chini sana unajitahidi lakini badooooo!!!

  • @jumbebakari6706
    @jumbebakari6706 6 ปีที่แล้ว +2

    Mbon aiyonyeshi

  • @tumaininicodem1906
    @tumaininicodem1906 6 ปีที่แล้ว

    bodaboda where ar u

  • @zubedasheila5025
    @zubedasheila5025 6 ปีที่แล้ว

    shishi akili huna

  • @iwacudancegroup6268
    @iwacudancegroup6268 6 ปีที่แล้ว

    Shishi though, hahahahaha

  • @salmahomary5652
    @salmahomary5652 6 ปีที่แล้ว

    wema umefunika wote

  • @lucywamucii3217
    @lucywamucii3217 6 ปีที่แล้ว

    Wallahi shishi ukijua kizungu hahahaa itakuwa taabu

  • @gabrielaantonio7648
    @gabrielaantonio7648 6 ปีที่แล้ว

    Huyu Shishi vipiiiiiiii lol

  • @bintabu1713
    @bintabu1713 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂 shishi maguuu hoyeeeee

    • @said306nyatu9
      @said306nyatu9 4 ปีที่แล้ว

      Jamani. Inaitwa. Sarah sio salaaaaaa

  • @fatmamaulidi6583
    @fatmamaulidi6583 6 ปีที่แล้ว

    Jamani MI wote nimemuelewa shishi

  • @ubahabdisahal7012
    @ubahabdisahal7012 6 ปีที่แล้ว +2

    Kkkkkk shilole wewe bala

  • @judyvicent7537
    @judyvicent7537 5 ปีที่แล้ว

    kweli hakutak mchango coz alijuwa tu italud

  • @sayrachuna6705
    @sayrachuna6705 6 ปีที่แล้ว

    Shamsa umechafua sherehe

  • @tumaininicodem1906
    @tumaininicodem1906 6 ปีที่แล้ว

    shishi umeua hahahaaa dota haaa sorry son

    • @wafaahage706
      @wafaahage706 5 ปีที่แล้ว

      OromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoRomaororoaoromaoromaoromaoromaormaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromOromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaormoaooromaoromaoromaormoaoromoromaoromaorooromaoromaoromaoromaoromaoromaoromoaoromoaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoromaoomooromoaoromaoromoromaoromaoromaoroma

    • @wafaahage706
      @wafaahage706 5 ปีที่แล้ว

      Oromaoromoromaoromaoromaoromororomaoromaoromaoromaoromoaoromaotrmaoromaoromaororomaoromaormaoromaoromaoromaoromaomaoromaoromoaoromaoromaoromaoromaormoaoromaoromaoromaormaoroma

    • @wafaahage706
      @wafaahage706 5 ปีที่แล้ว

      Ôromoroma