Well said Konki❤. Mazinge amejidhalilisha na ameudhalilisha uislam . Huu ni upuuzi wa mambo ya kishetani/ ya uongo/uchawa.Eti shehe unaitwa kwenye tukio hili la kipuuzi halafu unaenda, shame upon you.Njaa ni mbaya sana janani.😢😢😢
Nimemsikiliza vizuri sana sheikh mazinge hakuna baya alilo ongea yeye alijikita katika kukataza zinaa na waliokuwa hawaja owa au kuolewa waolewe na kuowa. Na sheik au Ustashi, padri au askofu na mchungaji wanahaki wakiona watu wanazini au MTU anaishi na mwenza wake hawajaowana awambie waowane. Sasa mazinge amefanya kosa gani? Najuwa wanao mpinga wanapenda zinaa. Lakin japokuwa unapenda zinaa lakin mpongeze kwa alivyo kataza zinaa.
Leo Konki umenibwaga...Mazinge ana point aliyoiongea kukataza Pic za uchi kupostiwa na Kukataza Uzinzi na sio kwa hao wawili Kajala na Harmo bali kwa kila Kijana
Sawa kabisa dudu baya... umeongea sawa sanaaaaa... huyu mazinge katia aibu sana.. kaacha kuuza maji ya upako na mwenzake shek sharifu...? Anaanza kuranda randa tu mitaan
Ila kweli kuna muda hawa ndugu zetu waislamu kuna muda wanauwangusha wenyewe dini yao alfu yenyewe yanajifanya eti yako sahii mazinge shehe wao lokole mwijaku uyu stan yusuphu wote hawa dini moja wamefanya usenge pale alfu moja wao akikutana na mwarabu tu utaskia uislamu kupendana upendo wenyewe ndo ule au ni unafki tu
Dudu msema kweli mungu akuweke na akuondole maradh
Well said Konki❤. Mazinge amejidhalilisha na ameudhalilisha uislam . Huu ni upuuzi wa mambo ya kishetani/ ya uongo/uchawa.Eti shehe unaitwa kwenye tukio hili la kipuuzi halafu unaenda, shame upon you.Njaa ni mbaya sana janani.😢😢😢
Kweli kabisa dudu baya yaan inabidi aitwe na viongozi wa dini huyu mazinge daa katia aibu wallah
Ametia aibu kwa sababu amesimama mbele ya waandishi wa habari akakemea zinaa?
Sheikh Mazinge njaa imeshatoka tumboni sasa njaa ipo kichwani.. Ameanza kuwa mpuuzi mjinga kabisaaa...
Kwa sababu amekataza zinaa ndio ananjaa muogope mungu ndugu.
Konki yupo sawa
Safi kabisa dudu baya umeongea kweli
Huyu shehe ni mzima kweli mbona anacheka cheka ovyo bila sababu!
Mazunge amezingua kweli
Duh ww
Kwa sababu amekataza zinaa ndio ni mpumbavu? Umemsikiliza vizuri Hugo sheikh mada kubwa alikuwa anakataza zinaa anataka watu waowane
Njaa pia inachangia mazinge anaudhalilisha uislam
Mazinge ana kosa lolote yeye Anakemea zinaa.
Ila Kwa kumjaji huyu sheikh umezngumza vzr,hyu sheikh amezngua anapotea ssahv cjui Nan kamroga nan
Lipi baya amelisema sheikh?
Shehe mazinge anakimbilia wasanii Ana shindwa mijadara akikutana Francis ndacha.
Nimemsikiliza vizuri sana sheikh mazinge hakuna baya alilo ongea yeye alijikita katika kukataza zinaa na waliokuwa hawaja owa au kuolewa waolewe na kuowa. Na sheik au Ustashi, padri au askofu na mchungaji wanahaki wakiona watu wanazini au MTU anaishi na mwenza wake hawajaowana awambie waowane. Sasa mazinge amefanya kosa gani? Najuwa wanao mpinga wanapenda zinaa. Lakin japokuwa unapenda zinaa lakin mpongeze kwa alivyo kataza zinaa.
Konki safi sana unaongea point.
Leo Konki umenibwaga...Mazinge ana point aliyoiongea kukataza Pic za uchi kupostiwa na Kukataza Uzinzi na sio kwa hao wawili Kajala na Harmo bali kwa kila Kijana
Dudu zuri uko sahihi
KENYA welcome to prince akala TV 💕💕😊💕💕😊💕💕😊💕💕😊💕💕😊💕💕
Huyu jamaa anaumwa asee. Pole sana konki
Vizuri doctor unapatikana hospital gani?
😂😂😂watu mnamajib@@amadally5837
Dudu hujawah kuniangusha hongera sana
Kwani shekh mazimge anamatatizo Gani kwa sharifu fek upo hadi kwa kajala
Kwa sababu tukio Hilo ni lakuludia wapenzi ambayo wanazini ni dhambi
Sawa kabisa dudu baya... umeongea sawa sanaaaaa... huyu mazinge katia aibu sana.. kaacha kuuza maji ya upako na mwenzake shek sharifu...? Anaanza kuranda randa tu mitaan
MAZINGE ANAJIZALILUSHA KWAKWELI
Mazinge amekemea zinaa sasa anajidhalilisha wapi?
Umesema kweli kbs
Ukweli UPI? Na sheikh amekataza zinaa
Maneno yako ni ukweli kabisa mzee mazinge ajitathmini kwa mambo yanayoendelea juu yake huenda kuna sehemu kateleza yeye ni mtu muhimu
Upuuzi mkubwa sana
Mm uwa nasema ukimtumikia shetan utazaririka apa dunian ndio ya ushee
Ukweli konki masta
Mazinge sheikh njaaa ndy maana yupo huko kwenye upuuz
Anakataza zinaa alafu unasema yupo kwenye upuuzi msikilize mazinge ameongea nin ndio useme maneno yako ovyo
@Mumewangu Ww km nani babu ww nae km cha gumba hlkufai chukua cha kati
Yaani huyu shekhe amejishusha hadhi
Ila kweli kuna muda hawa ndugu zetu waislamu kuna muda wanauwangusha wenyewe dini yao alfu yenyewe yanajifanya eti yako sahii mazinge shehe wao lokole mwijaku uyu stan yusuphu wote hawa dini moja wamefanya usenge pale alfu moja wao akikutana na mwarabu tu utaskia uislamu kupendana upendo wenyewe ndo ule au ni unafki tu
Kweli kabisa
Sasa waislamu wana amri kumi? Pombe zishammaliza
Suala la mazinge halina utani,,atoke fronti aombe radhi,,,msichezee hii dini. Fulstop
C lazima aombe msamah watu amuombe msamah Allah Ila ajitambue arud kwnye mstari anajidhalilisha,uislam utabaki palepale ktk maandko yke hayafutiki
Mumeona blacgiena au balenciaga 😂😂😂😂
😂😂😂
Balenciaga ya mchina😂😂😂
Ww dudu ni mnafiq,ulimzungumzia diamond pasi na ushahid,Jambo hunaushahid nalo unalizngmzia mnafq sna ww
Yani hili lidudu nilibaya kweli Ndiomana Linaumwa Figo? Sasa mazinge anakosa gani? Kwasbb ya kukataza zinaa.
Uczungumzie ugonjwa wa mtu hauna mkataba na Mungu
Wwnao kuhoji hawana akili kama wewe hujuwi sheria za dining za kisilam
Sikiya sauti yake huu nae 😂😂😂😂
😂
We dada baya sabab wewe ni mkristo ndomana unasema sheghe wetu ni mpuuz ila angekua ni mchungaji uyo usinge subutu kua ni upumbavu nyoko zako wewe
Acha mapenzi ata angekuwa mchungaji kama kazingua anachanwa 2
Ww bwege kwel yn
Usimtetee ujinga ni amekosea kweli.
Mm pia muisramu lakni sijaunga mkono upuuzi alioufanya huyo sheikh sheikh Gani anawapatanisha wazinifu adharani
Mi ni muislam lakini Dudu yupo sawa Manzinge kazingua