Siri za JINA LILILOKULEA ni Siri Itakayo Kuua!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 14

  • @AnnaGeorge-p2i
    @AnnaGeorge-p2i วันที่ผ่านมา +6

    Kwa kweli Allykk wewe ni Bingwa wa haya mambo. Mungu amekupa kibali cha utambuzi. Kuna jirani yangu jina lake ni Fahdi, mtoto wake wa kwanza anaitwa Fahmi, wa pili Faridi, wa Tatu Fauzia na, wa nne Fatuma. Mke wake anaitwa Ashura. watoto wote wameshindwa kwenda shule, Baba alinunua gari akaliuza baada ya mwezi mmoja. Mke wake alianza kuumwa ugonjwa wa kuchanganyikiwa miaka 4 iliyopita. Kuna kipindi walikua na madeni makubwa hadi nyumba Iliingizwa sokoni iuzwe ila mungu aliinusuru. Ila hadi leo maisha yao ni magumu kupitiza na mke wake bado mgonjwa. Hapa nimejifunza jambo kutoka kwako Allykk. Nyota za watoto na Baba zinamuangamiza huyu Mama. Wenye nyota H, T, R, F, L n X mjifunze. Hilo halina ubishi.

  • @AtanasSteven
    @AtanasSteven วันที่ผ่านมา +2

    Kwa kweli mwalimu kwa elimu yako umenifanya kuwa mtu huru na mwenye amani # I wish all the best for you, long life

  • @MankaMmari-q8r
    @MankaMmari-q8r 19 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    🎉🎉🎉🎉❤

  • @fauahamisi3560
    @fauahamisi3560 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Ni kweli mm naitwa faua lakini duh changamoto

  • @AnnaGeorge-p2i
    @AnnaGeorge-p2i วันที่ผ่านมา +2

    Fanyeni uchunguzi/utafiti wa familia za majirani zenu na marafiki zenu, mtagundua jambo na mtakuja kunishukuru. Hali kama hiyo ikijitokeza hakuna njia nyingine zaidi ya kutambika.

  • @fauahamisi3560
    @fauahamisi3560 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mi faua kwa hapa duh umenimulika

  • @johnmagubo4269
    @johnmagubo4269 23 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Hakika babu ,,,, nimefanya utafit pia nimeona hawa h ni matatizo ya tumbo san kwa wanawake ongera San,,,😅

  • @ClementLeonard-h9m
    @ClementLeonard-h9m 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunakupata sana

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na Mimi nilikuwa navimba tumbo nanilifnyiwa oprtn ila nashukuru mungu nilipofika king'wasa ndio ilikuwa kupona kwng

  • @hamidudigogo5863
    @hamidudigogo5863 วันที่ผ่านมา +2

    Hapo kwenye kuonekana mchawi mwanga unatuloga Yani sana tu changamoto ninyingi tu Sasa je suruhushi ya hizo changamoto Zina patikana au hakuna ?

    • @olivajoseph1697
      @olivajoseph1697 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Mtafute dear

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nakumbuka kabla y kufanyiwa op niliombewa n ww ndio kwenda hospital sikukaa sn siku tatu nikatolewa odini

  • @gracelaizerkisyoki7279
    @gracelaizerkisyoki7279 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haya niyakweli nina dadaangu jina lake linaanza R ana misukosuko mnoo mpaka naisi karogwa ndoa yake haijawahi kutulia anaishi kisa watoto😢

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Na mm napita. Changamoto mm n h