SHEIKH WA MKOA WA MWANZA AIKOSEA QUR'AN MBELE YA WAISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    We mzee kabeke muogope Allah wacha uongo unaudhalilisha uislam na waislamu

  • @gabrielmzomkunda4881
    @gabrielmzomkunda4881 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    WEWE KABEKE NI MASHEKH UBWABWA KUJIPENDEKEZA KWA CCM NA SERIKALI...WEWE UNAGOMBANA NA KILA MTU ..DR MWAKA ,MAMA B , SHEKH MAZINGE, BARAZA LA URMAA , WEWE NJAA YAKO MBAYA SANA UMESLIM KUMBE NI NJAA TU

  • @how4114
    @how4114 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    PLEASE JIENGEZE KWENYE MICE APO WAKIJA WAGENI UNASHARE HIYOHIYO 🎤 MOJA NA SANA WANAWAKE

  • @Daudimakaza-s1v
    @Daudimakaza-s1v 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo hakikish unaufany upembuz tulikutuma wapganishe hao magaid kaz yk unaipga vzr hkk unaonekan umeshiba hlo lidin

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mwaipopo usichoke kusema ukweli

  • @kijitamfyomi5598
    @kijitamfyomi5598 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kabeke arudishe pesa alizokula za yule mzee alietaka kwenda hija mzee wetu kashindwa kwenda hijjah pesa zake kala kabeke

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata wewe Mwaipopo ni mshenzi jitafakari hizo tiba zako unazotoa

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t ชั่วโมงที่ผ่านมา

    HIVI HUYU SHEKH ANAJUA KWELI MANENO MENGINE ANAYOSEMA KWENYE HADHARA HII.....ANAINAJISI QURAN TUKUFU!

  • @Matalatala267.
    @Matalatala267. 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hata wewe Mwaipopo ni mshenzi jitafakari hizo tiba zako unatoza watu pesa kubwa hawaponi afu unafokea sana wagonjwa