Hakika Mmeweza Kuziteka Hisia Zangu Battle ziko poa washkaji wanaweza kutembea na kwa mitindo huru.Mashabiki Tunataka hip hop ya kweli ambayo ipo katika misingi Sio zile za Mumble Rapper Ambao wanapoteza misingi Ya hip hop...Endeleeni Kutupatia Radha Halisi.Peace ✌
Ephesians 5:15-17 Be very careful; then, how you live - not as unwise but as wise, making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is.
Manigga black mc ni fireeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥 hizi battle bado zipo?
pana saiv hazipo ila kila mc wa hapo kwasasa anahalakat zake
Huyu jamaa wa black ni fire.. Sikia flow maze. But wote wako poa
Huyo jaji wa ktkt shoga nn anajibungunyuas
Noma sana black mc kaza but broo industry ya tanzania itakuitaji
Black mc 💪💪
Yeaaaaaa kwa heshima kubwa sana mazeee
Duuuhiiii
Sijaona crb yote black mc ni hatari
😁😁😁😁😂 Jaji anapiga tungi
hapa wameonyesha uwezo sawa
Stan Rhymes uyu jamaa Noma sana
Kwel hip hop sikivu Stan rhymes Umetisha tunataka ngoma zako....
final round wote wamefanya aiseeeeh
BLACK MC#BLAZAAAAA UNAJUAAAAAA
🔥🔥🔥
Aniiii hataaa nikiwaga sina ela ya kula natafuta ya bando ili nicheki realy HIPHOP
man jaruu jr sawaaaaaa
Ma mc wako fiti tatizo biti mbovuuuuu aaaah biti moja tu nas like nas only is gud
I didn't understand the word but flow was damn 🔥🔥🔥🔥🔥😵
Sorry 😂
Stan Rhymz ni mbaya🔥🔥
We staniii acha kumshika mwanaa...
Jamaaaa black noma
Kaka weeeeeeeeee stan we ni noma mpeseko hiiiiiiii😂😂😂😂😂
Black mc 💪💪💯💯
endeleeni na hii show,,tunapenda Kenya
😅😅🔥🔥
Ooouuuza blakiiiiiiii
🎤 #blackmc umeua
Hakika Mmeweza Kuziteka Hisia Zangu Battle ziko poa washkaji wanaweza kutembea na kwa mitindo huru.Mashabiki Tunataka hip hop ya kweli ambayo ipo katika misingi Sio zile za Mumble Rapper Ambao wanapoteza misingi Ya hip hop...Endeleeni Kutupatia Radha Halisi.Peace ✌
Nomaaa BLACK MC TZ
Black ni atariiii
Woooow Kali🏋️🏋️🏋️
Black umetixhaa
Eyooo
Black MC 100%
wote wako gud ila stan kauwa
Stan kakutana na vichwa tena za arusha anakulaga kusharaa ze black
✍️💪👍💯🔥💖 Mayotte op
Ephesians 5:15-17
Be very careful; then, how you live - not as unwise but as wise, making the most of every opportunity, because the days are evil. Therefore do not be foolish, but understand what the Lord’s will is.
Brack unaweza
Beat ya kwanza ni takataka
I vote for Stan Rhymes
Hahahahaha black umetishaaa
ndiondio
Jamaa anamsema mwenzake wakike mpaka nayeye kajiita wakike
Stan rhymes noma sana
black mc big up
stan nc
DA HUU MPINDI UTANILIA BANDO SIKU ZOTE
Black MC 🏜️
Black nomaa
🙄🙄🙄🙄🙄
Japo ling ila Stan noma
mleten hapo kado kitengo
Ma mc wanaliwa mbona hilo jamaa stan haliendi na beat linapiga2kelele but mnalibeba
Black mc is a big fantastic
Eeeee stan ni kwere asee
xhoo
Hujui Stan rhymes
Brack mc ww noma
Doooh
Rap nyingine za kitoto.... Tunataka mature lyrics
Hii ni Freestyle Battle... Elewa tofauti
black nouma
unatisha stan
🔥🔥🔥🔥
Black mc noma