Freestyle Rap Battle | Cado Kitengo Vs Big Simple | Season 3 Ep.11 | City Rap Battles (CRB)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
- Hii ilikuwa ni Main Game ya CRB Season 3 Episode ya 11 ambapo Cado Kitengo alikuwa akichuana na Big Simple katika mpambano wa Round 5.
Show hii hufanyika kila Jumanne pale Mi Casa Lounge Tabata kuanzia saa 1 usiku mpaka saa 6 usiku. Fuatilia pages zetu za Instagram @cityrapbattles kufahamu zaidi.
#CadoKitengo #BigSimple #FreestyleRapBattle
Big simple yuko vzr maana sio mchezo kupambana na kado mwenye kitengo chake ila sio.kesi big'p all of yoh guys #bigsimple #cadokitengo!...✌
p we ni bong la jaji
Kado umepinduameza round1 kama liverpool
This is what we call #THE MAIN BATTLE
Nimemfuatiria kado kitengo uyu jamaaa habahatishii ni hatariii🔥🔥🔥🔥
Analeta dharau kwa chama langu wakati anandogo sana alipiti bomba langu ayeeeee
Cado amekutananacho mpka unaangalia 2 dakika duh
Aiyeee!!we kweli ya moto volcano## kado
Katika watu walioweza kubattle na cado na wameonesha upinzani na kumfunika pia ni huyu big simple, stan rhymes, na mimu
Cadoo show zako bei ghali
Unaleta zarau mbele ya chama lang wakati unayo ndogo sanaaaaaa ambayo aipiti bomba yanguuuuuu😂😂😂😂nomaaaa sanaaaa
Hahahaa Nomaa
Duuuh big simple liko vzur
cado
kado nondo noma sana
Kado always ni maunyama tuu
namuacha wazi misili ya kipala cha mkapa daah jamn kado We baba rao
big simple ni kado wa pili
Proverbs 13:1-13
A wise son heeds his father’s instruction, But a scoffer does not listen to rebuke. A man shall eat well by the fruit of his mouth, But the soul of the unfaithful feeds on violence. He who guards his mouth preserves his life, But he who opens wide his lips shall have destruction. The soul of a lazy man desires, and has nothing; But the soul of the diligent shall be made rich. A righteous man hates lying, But a wicked man is loathsome and comes to shame. Righteousness guards him whose way is blameless, But wickedness overthrows the sinner. There is one who makes himself rich, yet has nothing; And one who makes himself poor, yet has great riches. The ransom of a man’s life is his riches, But the poor does not hear rebuke. The light of the righteous rejoices, But the lamp of the wicked will be put out. By pride comes nothing but strife, But with the well-advised is wisdom. Wealth gained by dishonesty will be diminished, But he who gathers by labor will increase. Hope deferred makes the heart sick, But when the desire comes, it is a tree of life. He who despises the word will be destroyed, But he who fears the commandment will be rewarded.
ila big simple n mkali jaman
Duh! Hii battle ilikuwa ni noma.
Kitengo CRB watamchoka ila big simple uko vizri pia bro
Daaaaa battle iii ya mwaka kumaaaaaaaaaaaaaaaanisha nimeisoma vilivyo
kado mbon hauna huluma lkn
nom
sema kodo Leo umekutana na saizi yako.
Panado naivunja kati alafu nakunywesha nakijiko kadooooo
,,,,borth ov EM were on fire,,,,dat y round 1 nimei repeat km mara tatu iv,,,,respect ya gyzz,,,
so poa kabisa wewee cado m2 m,baya
cado noma Sana
Duu niutata ila Kado umeua
Cado moto
🔥🔥🔥🔥
Hapa ilibidi nimkubali tu cado coz alifanikiwa kum beat mwanangu simple g
Ayeeeeee
Cado kitengo cha mauaji
cado moto wa milele
hiii battle ya karnee
unajiita big simple wakt baba remy kwnz kwa umri huu ungekuwa na sare za academy
kado.jinni
Kado ayeeeee
big simple
round ya 4 kado🔥🔥
Cado og
Bigsimple
Motoooo
Cardo kitengo,hawa ma mc una waziba kama pengo...
Majai amp makin
Kado
daaah Kaka Kado noma
Kado kitengo
baada ya cado... naanza kuwa shabik wa huyu jamaa!!
cado unawwza ila
dog anakuzingua