BONGO ZOZO : WATOTO WANGU WANAIPENDA TANZANIA, LAKINI WAKIFIKA MIAKA 18 TANZANIA INAWAKATAA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • Watoto wawili wenye asili ya kitanzania wanya’anganywa uraia baada ya kufikisha miaka 18.
    Bongo zozo akilalamika kuhusu watoto wake Jeska na Miki wenye asili na uraia wa kitanzania kwa kuzaliwa na mzazi mmoja Mtanzania ( mama yao) kunyang’anywa haki yao ya uraia baada ya kufikisha miaka 18 . Anauliza je ni sawa kwa watoto hao kunyang’anywa haki yao ya uraia huku wakiwa na ndoto za kuishi katika nchi hii na kushiriki katika kulijenga taifa?
    Nchi nyingi tayari zimesharuhusu uraia pacha
    #ChangeTanzania #UraiaPachaTz

ความคิดเห็น • 100

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 ปีที่แล้ว +8

    Nashauri Bongo zozo na familia yake ni watanzania jaman. Ni wazalendo wa kweli. Waangaliwe kwa jicho la kipekee kabisa jamani.

  • @davidbochela1441
    @davidbochela1441 ปีที่แล้ว +7

    Pole kaka..naungana nawe..ikiwa mtoto amezaliwa kwetu..hawa ni watoto wetu.

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว +8

    Hivi ushapata uraia wa tanzania maana wewe ni mzalendo sana❤❤

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว +1

      Nawezi huyo ni rais wa Uingereza.
      So kuwa nchi yetu hairuhusu uraia picha ndo maana hajapewa anachofanya yeye ana wapambania watoto wake ambao amezaa na mtanzania.
      Mfano ww uwe mmakonde na mwenza wako msukuma, halafu waseme eti mtoto wenu akifikisha umri fulani aikane kabila ya mzazi mmojawapo ili awe kabila la mzazi mmojawapo.
      Do you see
      Does it make sense ?
      Hawo hao utawasikia wanasema mtoto ni hazina au tunu ya taifa

  • @ummahmed3354
    @ummahmed3354 ปีที่แล้ว +2

    Watunga sharia wa bongo na watu waserikalini wanaroho mbaya Kopitar kiasi...especially for diaspora...wanawsonea wivu na chuki sana...leo hii karibia kila nchi duniani facilitated dual citizenship kwa raia wao except Tanzania...yote kwa sababu yao...
    very sad and disappointed...I feel so sorry for this man and others...Tubadilike jamani...

  • @abdiomanzanz1655
    @abdiomanzanz1655 ปีที่แล้ว +2

    Inasikitisha kweli

  • @judithawadhi3510
    @judithawadhi3510 ปีที่แล้ว

    Mmmh Hii inashangaza hivi nilijua watoto wakizaliwa hapa ni watanzania

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v 2 หลายเดือนก่อน

    😢😢

  • @gracepatric4371
    @gracepatric4371 ปีที่แล้ว

    wahehe oyeeeeee😂

  • @adonisalfred8996
    @adonisalfred8996 ปีที่แล้ว +1

    Baba mkwe
    Baba mkwe
    Binti yako mzuri bana nataka nimuoe

  • @leonardalphonce8924
    @leonardalphonce8924 ปีที่แล้ว

    huku tanzania ukoo tunafwata kwa baba mbona nyie wenyewe mnawa nyanyasa waafrka huko kwenu

  • @allymwinyi970
    @allymwinyi970 11 หลายเดือนก่อน +2

    Hii familia ni wazalendo wa kweli wa Tanzania. Tusiipoteze, Jamani Mamlaka za nchi msikae kimya muda krefu. Roho zinatuuma kuskia maneno ya moyoni ya Bongo zozo. Totally breaking our hearts.

  • @hamishassan6784
    @hamishassan6784 ปีที่แล้ว +4

    Nakukubali sana naamini ujumbe wako umefika na utafanyiwa kazi Mama ni Msikivu atafanya lenyekufaa

  • @maryamsuleiman6340
    @maryamsuleiman6340 11 หลายเดือนก่อน +2

    Inasikitisha sana niubaguzi ,watt wetu Tanzania hata baba yao anaipenda pia 😢

  • @Veni584
    @Veni584 ปีที่แล้ว +16

    Bongo zozo ametuzidi upendo wa nchi yetu

    • @alzawahirabdallah2299
      @alzawahirabdallah2299 ปีที่แล้ว +2

      Nchi yetu yenyewe haitupendi unafikiri sisi tutaiependa

    • @nusrathmanyawa4501
      @nusrathmanyawa4501 ปีที่แล้ว +1

      @@alzawahirabdallah2299 Nchi yetu ina wapenda wageni sio sisi wazawa

  • @RebecaIsdory
    @RebecaIsdory หลายเดือนก่อน

    Jamani bongo zozo shemeji yangu na watoto ni wetu wa Tanzania lazima iwe hivyo ❤❤

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว

    Bongo Zozo hebu tueleze vizuri kuhusu kunyang'anywa uraia wa Tanzania imekuaje?. Maa sio wewe peke yako uliyezaa na Mtanzania kwanini wewe watoto wako wanyang'anywe uraia? Kama baba ni Mgeni mama ni raia watoto hawa walizaliwa wapi na lini? Hebu tuletee ufafanuzi wa kuzaliwa kwao kwanza ili sheria ya uraia ifafanuliwe

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 ปีที่แล้ว

    Pengine hiyo sheria hujaisoma vizuri ama hujaisoma kabisa. Mfahamu kila nchi inasherua yake ya uraia Watanzania msikurupuke kwakuwa mzungu

  • @so-Iam
    @so-Iam ปีที่แล้ว

    Hata wacongo nliskia wanamalalamiko kama haya. Ikishindikana wawe wabongo tu waachane na huo wa nje.

  • @JohnManyilizu-b6h
    @JohnManyilizu-b6h ปีที่แล้ว

    Bongo zozo wewe nimzalendo pia naomba nimuoe Jessica

  • @jonathanmaengo4281
    @jonathanmaengo4281 ปีที่แล้ว +1

    Yani bongo zozo hawa viongozi wetu ni hovyo sana …hebu angalia sasa watoto wetu wanawakataa pasipo sababu ya maana… imeniuma sana kuskia jambo hili

  • @jacklinejames1877
    @jacklinejames1877 ปีที่แล้ว

    Uwez amin eti machozi yamentoka. Sio vzur

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 ปีที่แล้ว +2

    Daah mpk nimeumia aisee. Yani wanaofanya tunashindwa kuwa pamoja na ndugu zetu waliozaliwa nje ya nchi ni hawa wazee wenye mawazo ya enzi za musa na farao. Tunatakiwa tufikie hatua tuamue kama wananchi kuwa tunataka uraia pacha kwa ndugu zetu ambao wamezaliwa nje ya Tanzania

  • @ClaudioSegunga-x5b
    @ClaudioSegunga-x5b 27 วันที่ผ่านมา

    wanakuaga majasusi hawa

  • @stevenchoga4147
    @stevenchoga4147 ปีที่แล้ว +2

    mimi mpaka machozi yamenitoka imeniuma sana yaani 😪😪😪

  • @hilalskach6205
    @hilalskach6205 3 หลายเดือนก่อน

    Tunawaitaji sanaaaaaa❤

  • @omarothman6608
    @omarothman6608 ปีที่แล้ว

    Huyu bongozuzu siojasusi lakini

  • @rynesawaya7043
    @rynesawaya7043 ปีที่แล้ว +7

    Tuna karibisha tanzania nchi ya aman na upendo 🙂🙂

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 ปีที่แล้ว

      Sasa wewe unamkaribisha anaeijua nchi yako kuliko wewe ameizunguka Tanzania kuliko wewe huyu ni mwenzetu basi tu

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 ปีที่แล้ว

      Qatar hata uzaliwe ukuwe kwao kama wazazi wako hawatokei hapo hupewi tu uaraia hata uishi miaka mia, labda uzaliwe usome hapo na uwe na kipaji kwenye michezo hapo watakufikiria

  • @GubraCity-dm5sx
    @GubraCity-dm5sx ปีที่แล้ว +1

    Bora ata bongo uku uwarabun awatoi uraia pacha ata mtt awe nasiku moja

  • @Andasonpaschal-pf1ld
    @Andasonpaschal-pf1ld ปีที่แล้ว +1

    Namkubari sana Bongo zozo lakini sijaelewa zaidi,,kwamba watoto wake wamenyang'anywa uraia wa Tanzania??????

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

      Acha umbumbumbu wako wewe.
      Kila kitu kaelezea hapo.
      Acha kuuliza UTOPOLO kulingana na kichwa cha habari

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY ปีที่แล้ว +1

    Kabisa hila nyinyi inatakiwa
    Muwe munakuja kuja tanzania🇹🇿
    Mala kwa mala hapo sawa tutawakubal
    But nyinyi inatakiwa muje kwa mama
    Yenu kamwene kule iringa region

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 ปีที่แล้ว

    ni ujanja wa kizungu

  • @rashidyasser9423
    @rashidyasser9423 ปีที่แล้ว +1

    Serikali inahofia swala la uraiyapacha Watanzania waishio nnje wanaweza wakaja na misimamoyao wakatufungua akili huko nnje kuna watanzania wengi wasomi.. hawa wamesha zoeya kutuburuza

  • @abubakaradnan4689
    @abubakaradnan4689 ปีที่แล้ว

    wewe penda Tanzania na watoto pia wapende Tanzania lkn ujue sheria ya hiyo nchii unayo inasharia zake kama vile UK, kupenda kwako Tanzania harusiwi mtu kuwa na uraiya wa nchi mbili.

  • @yohana1242
    @yohana1242 ปีที่แล้ว +1

    Bongo zozo ukinip mwanao jesca atapat uraia uku

  • @jenajalal9972
    @jenajalal9972 ปีที่แล้ว

    Wama come to ug

  • @juangpusu9399
    @juangpusu9399 ปีที่แล้ว +10

    I'm also in the same predicament with my 2boys.The law needs amendment and Thanks for sharing.

    • @bildadkweka7044
      @bildadkweka7044 6 หลายเดือนก่อน

      you must follow our law!! the law is understood well enough by Tanzanians. you can stay in your beautiful whatever nation you were born.

  • @bonnyngowo7567
    @bonnyngowo7567 ปีที่แล้ว +2

    Uraia pacha ni sasa👍🇹🇿👍🇹🇿🇬🇧

  • @footballtzee
    @footballtzee ปีที่แล้ว

    nchi hii inaenda kwa uwizi hivyo vumiilia tupemda 2025 tuponao tena uamiaji tunazo tabia zao

  • @jonathanmaengo4281
    @jonathanmaengo4281 ปีที่แล้ว

    Kuna wahindi wengi kweli siyo raia wa Tz lakini hawasemi chochote kuhusu hao .

  • @erickagwe8841
    @erickagwe8841 ปีที่แล้ว +2

    Hoja nzuri sana umeamsha mawazo

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 ปีที่แล้ว

    MPE NAFASI JESCA AJE TANZANIA NINAAMINI KIJANA WANGU HAPA ATAFANYA MAMBO MTOTO ABAKI KUWA MHEHE AU MNYALUKOLO

  • @SKY-fk3fz
    @SKY-fk3fz ปีที่แล้ว +1

    Kwanini only Tanzania, nchi zote zintoa

  • @lilykarim8968
    @lilykarim8968 ปีที่แล้ว

    Tunawahitaji sana tatizo walioko kwenye madaraka wanajifanya wao ndiyo miungu ya kutoa amri pole baba hawajachelewa

  • @frankezakayo4447
    @frankezakayo4447 ปีที่แล้ว

    Bongo uko vizuri sana sema serikari yetu hii tunaijua sisi tumeizoea ina 'wenge' kama zote

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 ปีที่แล้ว

    Tanzania inakosa fursa nyingi raia pacha unafaidanyingi kwanza tunawachezaji wengi wakitanzania walioko niche lkn sera yaovyo ya viongozi mambumbu wa ccm ndoimetufikisha hapa

  • @nasrimbaraka341
    @nasrimbaraka341 ปีที่แล้ว

    Hiyo haiwezi kubadilika tanzania hata ukae miaka Mia bado lkn haiwezi Kua raiya

  • @Andasonpaschal-pf1ld
    @Andasonpaschal-pf1ld ปีที่แล้ว

    Namkubari sana Bongo zozo lakini sijaelewa zaidi,,kwamba watoto wake wamenyang'anywa uraia wa Tanzania??????

  • @husseinsauti4054
    @husseinsauti4054 ปีที่แล้ว +1

    Nimekusoma sana Bongo zozo

  • @hekimamtazamo4151
    @hekimamtazamo4151 ปีที่แล้ว +1

    Uwezi mnyanganya mtu aliezaliwa Tanzania na kuondoka kwenda ugaibuni akifikisha miaka kumi nanane kwani yeye kaamua kuwa mtanzania basi waacheni hata hizo inchi zao za ugaibuni hazita wafatilia

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      Wewe sizani kama unajua faida ya uraia pacha kamahuelewi maadahii nafuu unyamaze hizi nizamazingine uraia pacha unafaida kubwa sana

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 ปีที่แล้ว

    Daah tuache ubanguzi yaani hawa watoto wanahaki yakuwa watanzania 😢😢😢

  • @jiwekichwa2857
    @jiwekichwa2857 ปีที่แล้ว +1

    Tupo pamoja mzalendo #2

  • @habariduria1359
    @habariduria1359 ปีที่แล้ว

    Nisaidie namba zako tuongee vizuri kwa hilo sawa

  • @stevenobunde9345
    @stevenobunde9345 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo kwani wewe uko na uraia wa Bongoland?

  • @faustinejoseph7702
    @faustinejoseph7702 ปีที่แล้ว

    Unakuta hata wimbo wa taifa haujatungwa na MTANZANIA

  • @stephennyagonde637
    @stephennyagonde637 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo naomba ushare wimbo wote huo wa background mwishoni. Sijui nani kaimba

  • @atomicexposior6012
    @atomicexposior6012 ปีที่แล้ว

    Una matan sana faza 😁

  • @mosesmdemwa5665
    @mosesmdemwa5665 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭😭 Naomba Jessica aolewe na kijana wangu mzee

    • @SophlaJackson-nt1nc
      @SophlaJackson-nt1nc 11 หลายเดือนก่อน

      ili iweje wafrica mjaa tamaa kuzani kuoa mzungu kuwa tajiri 😡

  • @SaidiHilaly
    @SaidiHilaly ปีที่แล้ว

    Inaskitisha sanaaa ila ujumbe umefika

  • @atomicexposior6012
    @atomicexposior6012 ปีที่แล้ว

    Nimzarendo sana nakubari sana faza

  • @pascojm6816
    @pascojm6816 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo eeh, Jessica kaolewa? 👀😁

  • @shaabanramadhan6770
    @shaabanramadhan6770 ปีที่แล้ว

    Serekali ina mambo yakishamba san

  • @akimu-gl7zp
    @akimu-gl7zp ปีที่แล้ว

    Serikali iwaludishehao waje walitanganze taifa

  • @joedmwasi7830
    @joedmwasi7830 ปีที่แล้ว

    wapewe haki yao jamanii

  • @tatusalum2834
    @tatusalum2834 ปีที่แล้ว

    Tunawataka sana hawa ni wtt wetu

  • @amirimuhsin560
    @amirimuhsin560 ปีที่แล้ว

    Nakubali

  • @justussebastian4779
    @justussebastian4779 ปีที่แล้ว +3

    Kwakweli ,nchi yangu inatakiwa haraka sana wafanye mabadiriko katika eneo la uraia pacha, hasa kwa waliozaliwa ndani ya nchi yetu. Wawape kabisa. Ona tunapoteza masuper star wengi kama hawa vijana. Congoree Bongo zozo tunakupenda sana kwa kazi ya kuisema vyema nchi yako Tanzanian

    • @MeryemKoca-b2q
      @MeryemKoca-b2q ปีที่แล้ว

      Upo sasahihi kabisa Bongo zozo 👏

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si ปีที่แล้ว

    Wapewe uraia

  • @elinamilyatuu7337
    @elinamilyatuu7337 ปีที่แล้ว

    Nchi ngumu hii

  • @nicomgaya889
    @nicomgaya889 ปีที่แล้ว +3

    Taratibu za kibongo ni za kishamba tu

    • @johnekoko
      @johnekoko ปีที่แล้ว

      Yaani nashangaa mbona mpaka Sasa hatuna urai pacha😢😢😢😢

  • @zainabukhamis3667
    @zainabukhamis3667 ปีที่แล้ว

    Miki ni handsome😍

  • @Optionxll_Playz1
    @Optionxll_Playz1 ปีที่แล้ว

    Hawa wanatawa wetu hawafai

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 ปีที่แล้ว

    Hao ni wa tongo zetu

  • @mohammadoman8963
    @mohammadoman8963 ปีที่แล้ว

    Mashaallah

  • @saidwayawaya5356
    @saidwayawaya5356 ปีที่แล้ว

    Bongo zozo niozeshe mm huyo Jesca. Niishi nae Tanzania.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว

      Hahaaaa nakweli aseee iliapate uraia haraka

  • @easternyerembe7271
    @easternyerembe7271 ปีที่แล้ว

    So painful

  • @lydiathomas2905
    @lydiathomas2905 ปีที่แล้ว +1

    Bongo Zozo Watanzania tunakupenda, na zaidi tunawapenda watoto wako kwani wanadamu ya Tanzania. Je wako tayari kuwa kukana uraia wa nchi yako? Maana nchi yetu hairuhusu uraia pacha.

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 ปีที่แล้ว

    Hoja hii ni muhimu saana. Mimi kama mama ambaye nimezaa na mtu kutoka nje pia inaniuma saaana. Nchi yet iliangalie swala hili kwa umakini

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 ปีที่แล้ว +1

      Kweli dada yangu lkn uraia pacha unafaida kubwa sana lkn viongozi wetu sijui kwnn hawaelewi

    • @Shakira-Nb
      @Shakira-Nb ปีที่แล้ว

      Kwahy wanataka watoto wamkane mama Yao ambaye n mtanzania hyo n akili kweli umkane mama Yako

  • @sweet16honey75
    @sweet16honey75 ปีที่แล้ว

    Hiyo ndio shida ya Tanzania kwetu Kenya hatuna hayo sisi

    • @gibsonjosephat6352
      @gibsonjosephat6352 ปีที่แล้ว

      Hatuwezi kuwa kama ninyi mabepari ( Capitalists)

    • @sweet16honey75
      @sweet16honey75 ปีที่แล้ว

      @@gibsonjosephat6352 ni kwa kina mama lakini hamutaki uraia wa nchi mbili sisi nenda ukichoka rudi nyumbani

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

    Kwanini wakufanyie hivi hamani nimeumia

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 ปีที่แล้ว

      Unajua nn hawa viongozi wetu wana fikra mgando.
      Wana kitu kinaitwa kwa kiingereza self satisfied (yaani umimi). Mfano una mpenzi wako akisha maliza haja zake afu wewe bado anaitwa au muite self satisfied 😀😀😀
      Sasa hawa watawala wanaamini hawa watu wa nje wana nguvu kiuchumi wakiwarusu watakuja wengi hivyo watahatarisha ile hali yao kuabudiwa , halafu wata wapa wenyeji maujanja au tuseme kutufungua akili.
      Kitu ambacho hawataki.
      Wewe unafikiri hii hali ya maisha tulio wengi tunalalamika maisha magumu , bidhaa wanaifanya bei juu ni hali ambayo inatengenezwa ili waweze kututawala.
      Inafanywa hivi maksudi ili kila siku wewe uwe una wazia kula yako ya siku.
      Kwa kifupi kuna formula ukisoma soma huko unaweza kukutana nayo.
      Inasema.
      Ili uweze kumtawala mtu mtengenezee mazingira ya kumtawala. Ikiwemo kumlipa malipo madogo ktk kazi Halafu bidhaa bei juu na vitu kama hivyo

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 ปีที่แล้ว

      @@nuruworldinsight2957 ❤️❤️❤️🙏