Nimeangalia video nyingi zinazoelezea Bitcoin na Blockchain lakini hii ndio ya kwanza kuielewa kwa %100. Thanks Brother Endelea kututoa ushamba. Afrika tupo nyuma sana!
Nice video, It is really helpful to us traders, Investing in crypto is the best and fastest way of making money, but only few understood the secret of crypto currency.
Mrs. Evelyn remains my number one broker for life, I invested $1200 with her and I was credited $6500 in a 3days interval. Mrs. Evelyn is a teacher not only a broker.
I have heard a lot of good news about this lady called Mrs. Evelyn, how is helping people to increase their financial status in a twinkle of an eye, I think I'm gonna give it a try.
I've tried this some time ago but it wasn't successful, but I do get positive news about how it has elevate people financially. Please how do I invest with crypto currency? legit platform, please
Video kama Hii ambayo inaweza kuchange maisha wa watanzania wengi af unakuta ina views 720 tu ila video za kina harmorapa na amberlulu ndio ukakuta zina views 500K ila umechambua vizuri sana katika level za juu sana na umeeleweka sana unafaa kuwa financial advisor..Hongera sanaa kaka Bongo zozo,Naomba video zinging nzuri kama hizi!
Such a good training nilikua naomba kama itawezekana hicho hicho kidogo unachoelewa utuelekeze jinsi ya kuinvest na hatua za kufungua account na kuanza invest tafadhali...
Mimi Muhehe wa Kaning'ombe ndugu yangu wewe Bongo Zozo ;Ninakufuatilia sana unafanya vizuri sana kwa mambo mengi umekuwa ukitueleza na kutufundisha keep it up!Nakufurahia sana
Bongo zozo , Fujo isiyoumiza. Asante sana kwa Elimu hii, nimefuatilia video tokea mwanzo mpaka mwisho. Naomba kutoa ushauri maana video hii ni Mwaka 2021 April . Tupate elimu nyingine ya wakati huu na mpaka kufikia 2025 kuna mabadiliko mengi yamejiri pia. Tupate kufahamu kwa wakati huu ni njia gani na namna gani ya kuweza kutumia ulimu hii ya Bitcoin
Nashukuru Kwa kutupa elimu... Napenda kufaham kiundani nipo najifunza kupitia account yako na naomba uendelee kutoa tutorial zingine Za muendelezo ili tuweze kuifaham zaid
Umeilezea vzur nimejitahidi sana kuzifatilia youtube maelezo yake kutoka kwa wataalam wengine lakini kwako nimepata uwelewa zaidi umtumia mifano mepesi na mizuri kuweka wepesi wa mtu kuelewa Big up ntajiatahidi kukufatilia zaidi kwenye vipindi vyako vingine juu ya BITCOIN ili nasi tuwe mawakala wa kuwatoa watu ushamba
Hili Darasa Ningehitaji Kulipa Fedha Nyingi Sana Ila ,Nakushukuru Sana BONGOZOZO Kwa Kutupa Darasa Hili Bure Kabisa La Cryptocurrency Tena Kwa Lugha Rahisi Ya Kiswahili..Mungu Akubariki Sana🙏🏻
Barikiwa sana nimejifunza.. I'm getting the clarity. This year baada ya kupata understanding ya kueleweka ntawekeza kidogo nione Growth yake (naiacha ikue hata miaka 5+😂) Asante kwa ushauri.. nitawekeza pesa ambayo niko tayari ku_risk
Mbali na kununua bitcoin je kwa wale watakaohitaji kufanya mining ni vitu gani vya kuzingatia wakati was kumini bitcoin na namna ya kulink wallet yako na mining browser
Blockchain ni cryptography techniques inayo fanywa na computer kuchanganya code herufi na number 256, namba hizo zinaitwa HASH, hizo hash ndio Bitcoin, ETH na coin nyinginezo nyingi, ukitaka kujua zaidi kuhusu Bitcoin jifunze Blockchain ni nini hapo ndio utajua Bitcoin
Pi coin inakuja kusolve hizi changamoto za Bitcoin kama ushuru wa serikali, mtu akifa, kushuka na kupanda, waanzilishi na wamiliki wote kujulikana kwa KYC, n.k.
Kwa wale tunao angalia hii video 2025 gonga like hapa 😅😅
2025
Bongo zozo mpole na mvumilivu sana hauna hasira tunakupenda sana tz
Tunashukuru sana bongozozo umenifungua baadhi ya vitu big xana
Nimeangalia video nyingi zinazoelezea Bitcoin na Blockchain lakini hii ndio ya kwanza kuielewa kwa %100.
Thanks Brother Endelea kututoa ushamba. Afrika tupo nyuma sana!
sio africa, sema wewe
Asante sana kwa elimu nzuri
Nashukuru kwa elimu
Darasa zuri Mungu akubariki kwa upendo ulio nao Bongo Zozo
Kazi nzuri kaka asante sana
Nice video,
It is really helpful to us traders,
Investing in crypto is the best and fastest way of making money, but only few understood the secret of crypto currency.
Yes crypto currency is very profitable especially with the current increase in value, but I still don't understand how this whole thing works.
Mrs. Evelyn remains my number one broker for life, I invested $1200 with her and I was credited $6500 in a 3days interval. Mrs. Evelyn is a teacher not only a broker.
I have heard a lot of good news about this lady called Mrs. Evelyn, how is helping people to increase their financial status in a twinkle of an eye, I think I'm gonna give it a try.
I've tried this some time ago but it wasn't successful, but I do get positive news about how it has elevate people financially.
Please how do I invest with crypto currency?
legit platform, please
Wow, she is indeed a nice broker and a good teacher, a beautiful creature too hehe. Just invested $500 with her.
Nimejifunza kitu. Asante sana. Pamoja. Heradius
Video kama Hii ambayo inaweza kuchange maisha wa watanzania wengi af unakuta ina views 720 tu ila video za kina harmorapa na amberlulu ndio ukakuta zina views 500K ila umechambua vizuri sana katika level za juu sana na umeeleweka sana unafaa kuwa financial advisor..Hongera sanaa kaka Bongo zozo,Naomba video zinging nzuri kama hizi!
Ndio mkuu video kubwa sana hii kwa vijana wanao jitambua
Kibongo bongo bado haijaanza au
Namna ya kujiunga adimin tadhazali
Mwamba nimesoma kwa uchungu hi comment yako,,,, nashukuru sana nimeshanza kusoma vitabu vinavyohusu bitcoin
@@canisiusclemencemkuyu6505 nielekeze ni vitabu gani hivyo mkuu...tafdhali
Such a good training nilikua naomba kama itawezekana hicho hicho kidogo unachoelewa utuelekeze jinsi ya kuinvest na hatua za kufungua account na kuanza invest tafadhali...
Congrats brother Zozo,,,, tupe elimu tujikwamue aisee,,, God bless you
Tunafundisha cryptocurrency kwa shilling 20000 10k mwanzo 10k ukishajua karibu 🤗
@@leocadia8795 nipe namba yako kaka
Binance ninini kaka et
@@leocadia8795Habari unafundisha bado bitcoin
Asante Sana bongo zozo
God bless swahilo yk iko vzr sn
Ahsante sana kwakutupatia elimu hii Bongo zozo
👆👆👆👆
Dm here for guidance and learn more about crypto currency investment.
Shukrani kiongozi 🙏🏾
Mimi Muhehe wa Kaning'ombe ndugu yangu wewe Bongo Zozo ;Ninakufuatilia sana unafanya vizuri sana kwa mambo mengi umekuwa ukitueleza na kutufundisha keep it up!Nakufurahia sana
Pamoja sana jembeee upo vzr brother isichoke kutuelimisha wabongo tunakutegemea big up sana & be blessed
Ahsante sana
Asante Bongo Zozooo, tumeondoa ushamba wa Bitcoin
Jamaa nimempenda Bure anafundisha criticaly bila misemo migumu mifano inayoaks anachosema
Asante sana Nick
Oya wewe ni lecture mzuri sana
aisee Asante sana sana zaid yasana
MUNGU akubarik sana bongo zozo❤❤❤❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 tuache Tamaa,umenichekesha sana BONGO ZOZO
Asante Bongo zozo.
Asante kwa elimu
Thank you sir,we appreciate for this
Nimeamini wew n mtanzania na watanzania dotukoivo.shukran kwamapenzi yako kwa Africa
Shukrani kwa elimu uliotoa,pia tayari Tanzania imesharuhusu criptocurrency.
Bwana Bongo Zozo shukrani kwako kwa somo hili zuri na muhimu. Tafadhali tusaidie kutoa maelezo ya jinsi ya kujiunga au kuwekeza kwa njia ya Bitcoin.
daaah bongo zozo asante kwa kunifunza mm nilikuwa nasikiaga tuu
Bongo zozo , Fujo isiyoumiza.
Asante sana kwa Elimu hii, nimefuatilia video tokea mwanzo mpaka mwisho. Naomba kutoa ushauri maana video hii ni Mwaka 2021 April . Tupate elimu nyingine ya wakati huu na mpaka kufikia 2025 kuna mabadiliko mengi yamejiri pia. Tupate kufahamu kwa wakati huu ni njia gani na namna gani ya kuweza kutumia ulimu hii ya Bitcoin
nakubaliana na wewe tumfate kwenye page yake ya instargram
Much love from Kenya
Much from Kenya
Mwemwee mtoto mzuri mrembo sana huyo jamn
Bongo zozo ubarikiwe sana
OK poa tumekuelewa bongo zozo
Sawa
Very helpful
Nashukuru Kwa kutupa elimu... Napenda kufaham kiundani nipo najifunza kupitia account yako na naomba uendelee kutoa tutorial zingine Za muendelezo ili tuweze kuifaham zaid
Njoo inbox nikueleze zaidi
Unajiungia wapi😢
Blessed 🤝🙏
bonge la elimu
Nice bro
Elimu nzuri Kwa karne ya 21
Umeilezea vzur nimejitahidi sana kuzifatilia youtube maelezo yake kutoka kwa wataalam wengine lakini kwako nimepata uwelewa zaidi umtumia mifano mepesi na mizuri kuweka wepesi wa mtu kuelewa Big up ntajiatahidi kukufatilia zaidi kwenye vipindi vyako vingine juu ya BITCOIN ili nasi tuwe mawakala wa kuwatoa watu ushamba
Tony, nipo DSM kama unataka jua zaidi
I'm really interested for sure
hii video itaishi.
bongozozo utaishi.
Nice
ah kiongozi huyo dada mmmmmh kwakweli hiyo sura yake dah nimzuri sana naomba msalimie mwambie nampongeza sana kwa sura yake nzuuriiiiii sannaa
Nipo tanzania najiunga vip
#bongo zozo
Brooo unajua
Somo madini tuuu.. 🥇 👏 👏 👏 👏
Hili Darasa Ningehitaji Kulipa Fedha Nyingi Sana Ila ,Nakushukuru Sana BONGOZOZO Kwa Kutupa Darasa Hili Bure Kabisa La Cryptocurrency Tena Kwa Lugha Rahisi Ya Kiswahili..Mungu Akubariki Sana🙏🏻
Naomba unifunze vizuri
Ahsante sana zozo
One love brother
Who is here 25 July 2024
😊
Barikiwa sana nimejifunza.. I'm getting the clarity. This year baada ya kupata understanding ya kueleweka ntawekeza kidogo nione Growth yake (naiacha ikue hata miaka 5+😂)
Asante kwa ushauri.. nitawekeza pesa ambayo niko tayari ku_risk
Ongera sana kaka, nilikuwa naitaji kujua zaid umuhimu wa kutumia smart contract kwenye cryptocurrency (Bitcoin) na namna gani inavyofanya kazi.
Nimekupata bongo zozo
Bongo zozoooooooo❤️❤️❤️
Thanks a lot Sir 👍
Nitumie Namba yako
Bongo Zozo uko sahihi sana,shida kubwa kwa sisi Watanzania ni ukosefu wa Elimu ya Huu Mfumo,Binafsi niliibiwa bitcoin mwaka 2017.
Sydney sasa huibiwi, njoo inbox nikueleze zaidi
@@nimrosenasser9147nahitaji kujifunza hiii kitu mkuu unaweza nisaidia ?
Sawa ndugu.
Bongo zozo karibu Arusha kunajambo laki huku
good
Nice🤔🙌
❤😊❤
Shukran
Hello
Bongo zozo mi nakukubali asee mzungu wewe uko poa
yaani bongo umenielewesha vizuri sana naweka mzigo sasa naaza na blockchain au bitcoin?
God bless you brother
Kwa mantiki hii bongo zozo basi utajiri upo kwa MTU yeyote tena kwa kasi ya Hali ya huu kikubwa focus tu
Bro unaelew btcoin
oohh that's nice
Mbali na kununua bitcoin je kwa wale watakaohitaji kufanya mining ni vitu gani vya kuzingatia wakati was kumini bitcoin na namna ya kulink wallet yako na mining browser
Unaweza kunielekeza zaidi
Jinsi ya uchimbajii wa Bitcoin
Bongozozo natamani Sana hii kitu
Bit coin
Natamani kuijua na kuifanyia kazi
Njoo inbox nikueleze zaidi
👊🏿👊🏿
💰💵👏
Je nawez kuchimba bitcoin kwa sas?
NAOMBA NAMBA YAKO UNIPE MAELEKEZO VIZURRI
Njoo inbox tuwasiliane tafadhali
Nafunguaje brockchain
Na katika uchimbaji WA Bitcoin inategemeana na kiasi na ndivyo asilimia inaongezeka kutokana na fedha Yako si ndivyo au nimeelewa vibaya
Blockchain ni cryptography techniques inayo fanywa na computer kuchanganya code herufi na number 256, namba hizo zinaitwa HASH, hizo hash ndio Bitcoin, ETH na coin nyinginezo nyingi, ukitaka kujua zaidi kuhusu Bitcoin jifunze Blockchain ni nini hapo ndio utajua Bitcoin
Shukrani
Tunajaribu kukusanya Pi π huenda badae zikawa dili
🔥🔥🔥🔥🔥✊✊
Kidokidogo tunawaelewa
Yes nimechelewa kucheck video hii ila nimevutiwa sana please naombeni msaada wa maelezo zaidi
Nataka kujua naweza ku hold coins zingine under Btc. Coz kwa bei yake ya sasa I can't afford
me naomba uniangalizie jinsi ya kuverify account ya local bitcoin kwa vitambulisho maana naona inakataa me imenikataria
Je bitcoin wanauhusiano wowote na pi Network?
Samahani Bitcoin Ina uhusiano gani na royal q
Pi coin inakuja kusolve hizi changamoto za Bitcoin kama ushuru wa serikali, mtu akifa, kushuka na kupanda, waanzilishi na wamiliki wote kujulikana kwa KYC, n.k.
Haujatuonesha namna ya kutoa hela bank na kununuaa na kuuza kurudisha bank bongo zozoo
Hujaangalia basi. Localbitcoins.com.
@@BongoZozo thank you umetusaidia sanaa kwa haya maelezo yako
@@BongoZozo naitaji link ya application ya bitcoin manne
@@fatumagaturwa2121 je umeisha fanikiwa, kama bado njoo inbox nikueleze
Sasa najiungaje? Hela nitatolea wapi.. 😢
Bongo zozo somo nzuri ila utaonaje kuwa bitcoin imepanda au imeshuka thamani?
Download trust wallet kutoka play store
Ndugu yangu bongo zozo nakubali na Mimi hii elimu nakubali sana
Njoo inbox nikueleze zaidi