JENGUA: "Mama amepata ushauri mbaya, sijamuona/ siwezi kuamini"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 26

  • @salomemukani1627
    @salomemukani1627 6 ปีที่แล้ว

    Na mukubali sana kwa movie .uyu mpee hongera .

  • @saidasalim6372
    @saidasalim6372 6 ปีที่แล้ว +2

    Nikweli kabisa na uso wake ulikwa wazi sijuwi wenzetu hawajuwi mana ya eda ni nn Atakwa chizi huyo mama subhanallah Allah Atamsamehe

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 ปีที่แล้ว

    Well said

  • @abdallamwinyi4790
    @abdallamwinyi4790 6 ปีที่แล้ว +1

    Mama ana tamaa mpaka amsahau heshima ya dini..Mungu amsamehee..kisha hana hata majonzi ya kuondokewa na mume..kweliii pesa haina huruma...

  • @fatumaabdalla1018
    @fatumaabdalla1018 6 ปีที่แล้ว

    Mwenye kukaa eda hatakiwi kuonekana Wala kuskiwa sauti yake huyo mama mtaftieni mwalimu afunze hajakaa eda inavyotakikana

  • @khamiskhamis5323
    @khamiskhamis5323 6 ปีที่แล้ว

    Saw saw Mzee jengua Mama kakosea kwa sababu yupo ktk Eida,,,Eida ni jambo muhim sn ten sn tuu

  • @mbodzebemasika7477
    @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว

    Bora umetusaidia babu..Uislamu wa siku hizi ni matatizo

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 6 ปีที่แล้ว

    nikweli mzee jenguo hata akipewa pesa haruhusiwi kupokea kwa mkono anatakiwa awekewe chini ndio aokote

  • @eliamadete1081
    @eliamadete1081 6 ปีที่แล้ว

    Kwani jengua na majuto wapo ndugu

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 6 ปีที่แล้ว +1

    Mi namkubali jengua pamojaa👍👍👍

  • @najmamakame9881
    @najmamakame9881 6 ปีที่แล้ว

    Pesa pesa pesa shetani jaman mali hizi dah mungu niepeshe kabisa kuwa natamaa ya vitu ambavyo si jasho langu

  • @nassororamadhan2515
    @nassororamadhan2515 6 ปีที่แล้ว

    Hhaha jengua huyoo

  • @mohammedabdallah6390
    @mohammedabdallah6390 6 ปีที่แล้ว

    Wanasemaga eti wa kwanza na mie ndo ivo RIP KING

  • @husnauthman7609
    @husnauthman7609 6 ปีที่แล้ว

    Eda ni ngum sanaa

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 6 ปีที่แล้ว

    Alivofanya sivo kizuka hatakiwi kuonesha uko wake wala sauti duu mali mali mbaya

  • @sadasambuka4766
    @sadasambuka4766 6 ปีที่แล้ว

    Nikwer amekosea awez kuongea kama ivyo

  • @abdallahtupa2702
    @abdallahtupa2702 6 ปีที่แล้ว

    mumesomq kuwa hawezi kuongea au mumesikiasikia

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 6 ปีที่แล้ว +8

    Nili comments hapa mama alivyohojiwa ni Haram mama ambaye yupo kwenye eda nakuanza kuongea sauti yake kusikika watu humu povuuu likawatokaaa eti ooooh hayajakukuta mara ooooh asipoongea msaada atapata wp haya janguo huyoo anawajibu 🙅

    • @sadasambuka4766
      @sadasambuka4766 6 ปีที่แล้ว

      onlymeruky nikwer hairuhusiwi

    • @rehemajuliusoman7372
      @rehemajuliusoman7372 6 ปีที่แล้ว

      Nikwer kabisa upo sahihi

    • @mbodzebemasika7477
      @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว +1

      haram haram kabisaa

    • @mbodzebemasika7477
      @mbodzebemasika7477 6 ปีที่แล้ว +1

      hata mimi nliambiwa hapa hayajanikuta nkasutwa humu.nliposema mfiwa hahojiwi..from the first minute mke akifiwa eda inaanza anafichwa haskiki hata sauti na alipo haenuki ila kwa privacy sana