Berry Black, Berry White Shirko Spark Na wengine wengi kwani mko wap jaman Mlikutwa na nn jaman Kuna vitu Tanzania tumevipoteza na tunavimiss sana dah 😢 had machozi
Back in the days watamu 2008 memories,this are songs that we are related to... bloody gengetone Na wasafi records Ni ushetani mtupu.this are nice and simple music
Hizi ndio zilikua nyimbo za enzi zetu, forever old skull bongo sibanduki apa
💯
Ushasema old school berry black na sumelli ao sio😂
Kabisa
Amapiano imeharibu bongo flavour we miss this kind of music😢
2024 na bado ni hit song😂.... Growing up listening to this....hapo Mrima Likoni😅
I was listening to this track Bomani, Likoni 😂
This kind of music will be passed from one generation to another imagine 2170 someone will be here listening to this master piece
You said well 👏
very true
very true
Exactly 💯🔥
2023! Am here enjoying this 15 year old song. Memories!. I wish it was on iTunes
Kweli tumezeeka kama hii ni miaka 20 imepita😭😭😭😭
Ujana Moshi wapita upesi
😂😂
Nilikuwa na albam ya huyu berry brack kipindi hicho naiskiliza sana
kwa haraka haraka enzi hizo unaambiwa nitajie top 10 ya wasanii bora bongo suma Lee alikua hakosi jamaa alikua anajua sana
nime miss enzi izo😭😭fav song foreva
Pole sana
Zanzibar ilikuwa na fleva yake tofauti sana east africa..gone are the days
Berry Black,
Berry White
Shirko
Spark
Na wengine wengi kwani mko wap jaman
Mlikutwa na nn jaman
Kuna vitu Tanzania tumevipoteza na tunavimiss sana dah 😢 had machozi
Kweli kabisa
Enzi zangu na hizi ,ndio bongo safi
Iv berry black uko wp daaaa unajua Sana hunaga ngoma mbovu yaniiiih
Wow nalia 😭😭😭kwa furaha wapenzi mko wapi jaman tunawamis sana
😢😢😂
Nakumbuka huu wimbo 2007 wakati nipo primary 😢
20th December 2020
12:12Am
Naisikiza kutoka Tanga
Sumalee Leo hii Shekh, Allah azid kumjalia kwakuifuata njia ya haq
Wew pimbi kweli...😜🤣
Mungu yumwema 🙏💗
Leo ndio nimeoa naina SIKU TATU SISEMESHWIIIII........MAPENZIIII YASOISHAAAA!!!!!@
Ivi kwanini unionapo mpenzi wewe unanuna,,,haina maana .my best part
😁tupo wengi aisee suma Lee ni next level
The best song ever listing to the track 2023 in Mogadishu Somalia 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇸🇴🇸🇴🇸🇴
Huu ndo mziki ambao unasikiliza mpaka moyo unatulia Og Gwanzula boy
2021 mko wapi ?
Nyimbo nzuri napenda sana.
nakumbuka nilkua prm school😐🤣
💃💃💃
Wasemeheni wote waliyowakosea 2023
Kiukweli hizi ndizo nyimbo ambazo Leo tunazokosa
2023 naitazama hii ngoma
Zapita siku tatu mpenzi wangu hunisemeshi....
Nakuita mpenzi wangu hunitikii.....
Nataka mpenzi wangu kitu gani kwako nmekosaaa
Love song🥰🥰... Enzi hizo ndo nakuax2...bado kakijana kadogo dogo nilizipenda sana..🔥🔥🔥🔥
This song is a vibe forever 🔥🔥🔥 2023
Vyakale Ni dhahabu
Tamu sana enzi za kibe 🙄🙆🙆🙆jamaa alalamika hadi analia 😭🙆🤦🏃🏽♀️
Berry ulienda wapi jamani we miss such nice music.
Songs like this is the closest we'll get to time travel. Love from 🇰🇪
Akii 🇹🇿🇺🇸 🎤
Apo unakuta unamkimbizia dem arafu aelewi somo 😂
2024 na bado hajanisamehe dahh 😤
ulimgongea mzazi wake??
Nakumbuka 2008 asubuhi natakiwa niwahi shule lakini Jana yake nilichelewa kulala sabab ya Top10 ya hizi Tracks..dah wayback sana..
Waaaah good memory 🙏🙏
Hahaha
This guys and song is world class Guinness Record 2024 is hitting harder no song can beat them....peace and love from UGANDA
Hizi nyimbo ni noma
Old is cold ❤ ina hit bado
Nakukumbuka nipo form 3
Hiyo ilikua baada ya kutengana na Berry white, alafu akatumia kama fumbo
Nyimbo zazaman nzuri kabisa
wooowwww much love from Zambia 🇿🇲. used to like this song when i was younger and still sounds lovely.
2022 and i am listening to this🥰Much love from Kenya🥰❤️🇰🇪
Aki🎤
Akii 🎶 🎧 🎤 🇹🇿🇺🇸
Hizi zlikuwa nyimbo
Rudi usikize
Great tune till now
Love from South Sudan 🇸🇸 2023
Daah hii inanikumbusha mbali enzi hizo 2008 nilitoka Safari moja kwenda nyengine naskia ngoja hii
Mwaka huyo nilikuwa kijana mwi mzuri
I know you wish me back! I can't stop playing this song.
one of my forever favourite song still listening 2024
2023, still listening to this masterpiece much love from Kenya 🇰🇪
When music used to be music... much love from 🇰🇪
Reminds me of Watamu to Malindi route Matatus.
2004 to 2010.
Greetings from Germany 🇩🇪
Nyimbo bado naipenda them days
Nice music,they'll hit Forever nataka unisamehee dada,kama kwako nimekosa
Daaah kitambo mwane tuu Big up sana ✌️
Inapita 3 mpenzi unisemeshi, bado Moto 2021
Back in the days watamu 2008 memories,this are songs that we are related to... bloody gengetone Na wasafi records Ni ushetani mtupu.this are nice and simple music
Kabisa shukran umenirudisha kwenye comment 2 years later
@@markusruhl6073 😂 ndio maanake
@@almeidhalu3238 😂😂💪💪💪
@@markusruhl6073 daaaah..Sai Niko Qatar Na miss homu
👍🏼👍🏼👍🏼
Bongo flava was so good. 👍👍👍
Iyi nyimbo mpaka ivi na enjoy bro
Ochu Mende dah 😭😭😭
Nyimbo zakitambo zimetulia sana
Daah maisha yanaenda kwa kasi sana. 2021 tunaojikimbusha hii song gonga like
Yaani! 2023
Wakati huo ndio nilikuwa nimeanza kubalehe,nikiwa form 2, still rocking 2022, September 🔥🔥🇰🇪🇰🇪
Wameenda wapi jamani this beautiful souls
Mike from Kenya ...I love this old school bongo ...walahi nimemiss izo Enzi....😍
Duuh kweli mwanangu sema mm nilikuwa nishanunua tv
When music was music 26th of December 2023 listing from Mogadishu Somalia 🇸🇴🇸🇴🇸🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Daaaa aiseee kitambo saana
Suma Lee,broo ulikuwa saf san.saut hyo mzee dah!!!
Suma lee Allah akusamehe na akujaalie ktk kumrudia kwake
I hope the future generations will remix such songs
safi sana imetuliya kimuziki kabisa big up
I'm the mecinary of this poems bigger than any track in the country 🔥🔥🔥
Inanikumbusha enzi hizo, wachu tu❤❤
nzuri jana, leo na kesho
Mzazi Tuva alipiga hii ngoma radio citizen kama kulalamika ingelalamika😂😂😂😂
😢😢kuna time ulikua unaskia hizo songs unafeell uko na confendance
uyu jamaa alikuwa anajua
Big like.. Arabu from Chicago 🇴🇲. Old song
kabisa haina maana.oyaa mazee babkubwa
Mahishchool dedications during funkies😢... Insider and straight talk magazines ...they don't make it like that anymore 😞
2023 nikiwa Pretoria🇿🇦 naisikiliza
Amazing sana enzi hizo nikiiwa bado young😊😊
Enzi zetu zilikuwa na maadili la kini sasa hapana , japo nazipenda zote zote kale na. Sasa🇰🇷🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇰🇷🇰🇷🇰🇷🇹🇿🇹🇿
Berry mko wapi we miss you guys
Bongo za kitambo waliandika mziki authentic. You can feel the realness of the song.
kizazi kile kilikuwa kinaimba vzr kwasababu hawajuingiliwa na piddy
Ni hatr ogopaaa💯💯💯
Inanikumbusha mbali sana pindi na miaka 9 niliikubali sana 2009
Niko hapa napitia t.b.t songs
Bongo fleva I miss those moments 🔥
When bongo fleva was bongo fleva 🙏🙏
Noma sana Hii. Old is Gold
Berry black alikua ndo diamond platnumz wa sahv
Big up producer Shirko 🇰🇪
Mimi kusikiya nyimbo iyi ni me zamani
🇹🇿🇹🇿🇹🇿 narud zanu Safar🎧🎧
Full handas! Back in the days when bongo music was real music! Classic masterpiece 👌🏾🎧
😂😂😂😂😂.imagine all along I thought anasema ati kula handas.
@@georgelagoslagos7806 hahaha kula handas 🤣
Hapo sawa Mombasani
2023 I'm still listening to the banger in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Berry back.nisam
😅😅always old is gold love more TBT😅😅
Jamani nyimbo zazamani zinafanya watu wakumbuke wapenzi wao wazamani ambao Nimax kwasasa. Mh.
Swahili language bwana it's the best, very nice song boys,keep it up ni poa sanaaaaaaaaa.
Karibu tz nikufunze swahili
Mangwe
This song ignites the urge of being in love. Who is ready😂😂