Nostalgia, I was in lower primary..I grew up listening this great song here in Kenya🇰🇪🇰🇪 and is now 2021....show your love. Hug and kiss I love your music Tanzanian
Si kwamba tu naimba sometimes huwa nalia Hofu na mashaka ulipo nakuondoshea Ulisema waja mnyamwezi nikakungojea Sema mami sema lini utarejea? Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Uliposema waja wee mi nikakungojea Mara muda umepita Abdul Bonge umeshamboa Hivi kangoja mpaka Mola kamchukua? Sema mamy sema lini utarejea? Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Eh eh eh, I love you mami Oh oh oh, I love you girl Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Bongo toka ulipotoka miaka imepita Sijakuona wangu my darling Ni mbali huko uliko mi nna mashaka Nakosa raha kabisa Penzi lako nkilikosa baby kwangu soo Ndo mana mi nakwita baby baby kwangu njoo Nakupa laivu baby unanitesa roho Ndo mannakonda nadata na picha zako Au ndo ule mfano baby wanipenda roho Na ile nyama mbichi baby itaniuma roho Kama ni dili ntazicheza baadae Kwanza rudi home washangae Rudi home baby ili wapagawe Nicheze nawe Kuchi Kuchi Hota Haii Nakusubiri baby, nakungojea mchumba Nakusubiri nakungoja Mchumba usinizuge Nakusubiri baby nakungojea mchumba Na kama waja niambie baby yee iye Kama utanitosa mi nijua baby yee iye Haina mana sina jinsi I love you girl I love you shori everyday Haina mana sina jinsi I love you girl I love you shori everyday
It's funny how time flies, it's now one among our throw back songs and still hits like it was dropped yesterday, where did you go Mr Doggyman, came again with new hits, 2months to close 2021, who is with me here
This song reminds me so many memories, from high school 2010😭😭 lost most of my uncles, aunties, cousins n friends(may their soul RIP) l miss home soo much😭😭😭
Am speechless for this song. Every time am listening remind those days 2002 back then as I used to luv Soo much somebody but she ended to someone else . Bt still luv even today and Soo ever...luv cathy
Enzi hzo miaka ya2005-2008 ntawakumbuka sana mkisikliza hii nyimbo nakumbka somanga hyo npo na daz,nako tu nako,machalila,chunda,hashmu,kecha,na rama ndulumba ni hayari ujana maji yamoto ezi hzo hautuambii ktu
It has been long, zulfa my ex, you remember this was one of my best favorite song to listen all long day during our relationship, when i tune to this, i just recall back our moment! Missing you so much!
Kuna rafiki yangu utotoni alikuwa akiimba ivi, si ulinambia kwamba waja ma mdogo mamy nakungoja, alikuwa akiupenda sana huu wimbo, juzi nimemkumbusha tu kanambia nimtajie jina la msanii autafutw
2024...This will forever remain my favorite from MB dog.Happy new year folks
Happy new year ❤
Happy new year 2025 b😊
Wa 2025 tujuane kwa like maana mungu ametuvusha salama
Kama umerudi hapa 2024 gonga like hapa
tunashinda huku na kukesha huku....old is gold Wallah
💯💯💯
Legend
🔥🔥🔥
💯💯🔥
This song came out when I was 12 years old... It's 2024 and it still hits me differently. Sending love from Ethiopia.
I was 12 yrs too.
Remember singing it alll so well.
From Kenya.
Kama unaangalia hii ngoma huu mwaka 2024 gonga like hapa Kama zote 🔥
Niko hapa leo hii march 31 ,Ila naenjoy hii ngoma Kama imetoka Leo duuuh,tujuane tunaoendelea kuburudika na hii ngoma ndani ya 2021
Kwanzaa rudi home washangae
Nipo nawewe bonge moja la ngoma
Mwanangu nimekumiss mziki wa zamani
Tuchezenawe kuchi kichi ochae.
Kenya Mpango Mzima
Hizi ndo zikawa ngoma za kusikiliza milele kama unasikiliza twende na like❤❤❤
This are the real song
For future generation, please DON'T LET THIS SONG DIE. Damn a masterpiece of the classics.
2025 but the song still hit me deep bongo fleva are the best songs of all times shoutout to the producers the game is yours 🙌🏽
This man is Really talented. So sad he stopped releasing these masterpieces.
Love From Kenya
♥
Almost 2023 and this song still hits differently
And 2024 ... just bout around the corner
@@Saba-if5mustill hits
November 🎉🎉
Dec 18 Th/ 2023
From 2005 to 2024....it has been a journey of listening to good music
Nostalgia, I was in lower primary..I grew up listening this great song here in Kenya🇰🇪🇰🇪 and is now 2021....show your love.
Hug and kiss I love your music Tanzanian
Which year was it
@@luckydaniel8396it was released in 2006
@@luckydaniel8396 this song was released in December 2005 toward the newyr eve 2005/2006
@@kaporosalum6123 hahaha was just wondering I was graduating high school back in 2005....seems like yesterday
2021 Legends! Likes zikuje kama zote. This was quite a classic song. Sang my for my high school 🥰
This was one of the best song around 2005 in high school...used to dedicate this song to my high school girlfriend....si uliniambia kwamba waja❤❤❤
Nikiangalia izi nyimbo ndo naamini bongo uchawi upo wanaojua kuimba wanapotea wanabaki wanaotapikatapika haya tujuane hapa tuliopo hapa 2020❤
Nimecheka kifala😂😂😂😂😂😂😂
One of the artists that made me appreciate Bongo flavor!!!
The used to be on top of his game.Much Love from kenya
Me too dia
Yeah
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣💣💣💣💣👌👌👌👌
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💣💣💣💣💣💣💣
Hii nyimbo jamani inanikumbusha mbali sana nilimpenda damu moja hadi duuuh ,nilikuwa nikisikiliza naliaaaa...gongaa like kama na wew ilikugusa
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣
Ujaseme Kaka nautasema😂😂😂😂😂😂😂
These are the sweet forgotten bongo love songs that make you fall in love again ❤️❤️🔥🔥🔥 back when love was real .
Fr fr man . When life was so good
There is no oldskul bongo without Mb dogg🖋🌹
Si kwamba tu naimba sometimes huwa nalia
Hofu na mashaka ulipo nakuondoshea
Ulisema waja mnyamwezi nikakungojea
Sema mami sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Uliposema waja wee mi nikakungojea
Mara muda umepita Abdul Bonge umeshamboa
Hivi kangoja mpaka Mola kamchukua?
Sema mamy sema lini utarejea?
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Eh eh eh, I love you mami
Oh oh oh, I love you girl
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja
Si ulinambia kwamba waja Man Dog Man nnakungoja Bongo toka ulipotoka miaka imepita
Sijakuona wangu my darling
Ni mbali huko uliko mi nna mashaka
Nakosa raha kabisa
Penzi lako nkilikosa baby kwangu soo
Ndo mana mi nakwita baby baby kwangu njoo
Nakupa laivu baby unanitesa roho
Ndo mannakonda nadata na picha zako
Au ndo ule mfano baby wanipenda roho
Na ile nyama mbichi baby itaniuma roho
Kama ni dili ntazicheza baadae
Kwanza rudi home washangae
Rudi home baby ili wapagawe
Nicheze nawe Kuchi Kuchi Hota Haii
Nakusubiri baby, nakungojea mchumba
Nakusubiri nakungoja Mchumba usinizuge
Nakusubiri baby nakungojea mchumba
Na kama waja niambie baby yee iye
Kama utanitosa mi nijua baby yee iye
Haina mana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Haina mana sina jinsi I love you girl
I love you shori everyday
Y
❤ 😍 💖 thanks
Wafaa kuitwa Fatma Wanjiru... Uko sawa kabisa nakubali.
"Hofu na mashaka ulipo labda una-share"
"Ulivyosema waja wengi walikungojea..."
The most under-appreciated singer in bongo flava. A musical Genius.
Kama umeangalia hii ngoma 2020 gonga like kama zote
Tupo pamoj
Nakubali
Good song
Always a classic.Ngoma kali,inazidi kunoga.
Tupo oooooh
Mungu bado ni mwema kwetu... 😢 2023 Gonga 👍
MB Dog was a master trust me. The song is still my favourite 2024. God blessed him, walai South Sudan 🇸🇸 🙏
2019 and we still love the old school bongo vibe.. Bofya like kama upo.
If you are still bumping this you have good music taste much love from 🇰🇪❤️
Love
Alikiba amenirudisha hapa.....MB dogg made me fall in love with bongo music tangu 2006 nikiwa primary school
Me to tu same
Mungu akulinde popote ulipo Mb Dogg man hakika nmeenjoy sana mziki mzuri toka kwako kwenye ukuaji wangu!wewe ndo Mfalme wa hizj kazi
Ambao tupo mpka leo tumshukur mungu kwan weng tulipenda nyimbo kama iz ila hatupo nao tena tuseme ameeen
2019 still here and will still come back in future Inshallah..... Real music inagusa mpaka ndani ya roho haiishi utamu aaah...
I still love this song... I used to hear nkiwa primary 2,3,5 now am 26yrs..still, 💕💕💕💕
Daaaaa nyimbo ya hisia kweli 😭😭😭 2019 mpo?
Dada,, nyimbo hizi inanikumbusha mbali xna,,
tupo
wamwonaje?
Hey
Hao ndo makungwi wa music
Kweli Kabisa.
Good old days thanks to TH-cam, refreshing our memories.... Some songs will never age!
Classic track.. Love from Kenya 🇰🇪
like kama unaamini mb dog ni fundi wa mziki
2019 ✌
Ok miss you lots.
Tumaini Kavishe mb forever
Namin
Mpaka 2020 nipo nayo
2021
Kazi kubwa na nzuri lkn pesa hakuna
kilichobaki we gonga like tuu!!
Ni kweli
😂😂😂
Yaani
😳😳🤣🤣🤣
Sad
Ngoma za huyu jamaa zote sijaona ata moja imechuja zote bado hit MB Dog your next level bro... 2019
Chaz Koillah lola
Kama umeiangalia hii ngoma siku ya Leo gonga like
It's funny how time flies, it's now one among our throw back songs and still hits like it was dropped yesterday, where did you go Mr Doggyman, came again with new hits, 2months to close 2021, who is with me here
SIJUI KWANINI HIZI NYIMBO SIKUHIZI HAZIPIGWI NA BADO ZINA VUMA OLD IS GOLD 💃💃💃🇰🇪🇨🇿 2019
Wpanaiga kweny tbt sku ya thursday wanaweka old hits songs zote kuanzia wasafi tv,ITV kweny The Base, TVE,had EATV
Who's still coming back here 2018? This was a hit!
brings back soo many memories
Best song
ngoma kali
hizi ndio nyimboooo
🙌
MB dog legendary... Used to watch him on EATV... Much love from Uganda...
Mimi ni mkongoman 🇨🇩 i was watching when i was 7 years old it's very wounderful to watch again in 2023
Intrumentals inakubalika sana🔥🔥🔥🏋️♂️🏋️♂️🏋️♂️🏋️♂️ndugu zanguni kutoka tz hebu gongeni likes za mb doggy jameni
kama Unaiangalia 2024 Gonga like hapa halafu Tototo wa 2000 Mtaache kidogo
Duuuh ndo tunazeeka eti😢
Kama umeangalia hii ngoma 2019 gonga like twende sawa
sana
BONGO 360 pw
Yani hizi ndo nyibo zenye ladha ya asali
Ngoma kali inanikumbusha kitambo
@@ipyanasankey8633 hizi ndo ngoma za kweli
That band transition is everything,respect from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
From Ug..proud to be part of old bongo flavour team...
"We don't search for old songs"
"We search for gold memories"🎶🎶
20..
Everlasting masterpiece🎉❤
This song reminds me so many memories, from high school 2010😭😭 lost most of my uncles, aunties, cousins n friends(may their soul RIP) l miss home soo much😭😭😭
Sorry dear
17 years on. Made me fall in love with Bongo music in 2006
All they way from the DRC 🇨🇩. This track reminds me of my childhood in Goma ❤️
Hit after hit Mb dogo kwa ingekuwa ndio mapinduzi ya music bingo kama ilivyo sasa angeluwa na mpunga sana
Manze 2024 na bado ngoma inabamba hivi jooh much love from Kenya 🇰🇪 ❤️
Mb doggy man +254 anyone here 2019.?
Kweli tuna kumbukumbu kali pamoja.🤜🤛👍
uu wimbo nlkua naupenda sana mpk kwenye daftali lashuke niliuandka lv u mb dog man
I've heard this song for over 20yrs but it still sounds so fresh in my head. I'm not fluent in swahilli but I mime it 😂
Bro love
It’s 2024 na bado tuna enjoy hili bonge la song. Mungu azidi kutupa umri mrefu soteni. #Yankolowski 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The best ever kw kwel yan dada angu aliacha kupika akiskia hii nyimbo shallout mwamba nmkubali mb dog
Kwanza ludihome watu washangae sulinambia. Kama utaja gonga. Hapa like
Mb dog we miss you come back to game. ..wapi like ya +254 ....2019
Miss him badly
Any kenyan here..its 2023 Nov 18th still loving this song❤❤❤❤❤
Nikoo🥳…this song is so nostalgic
@@moseh3373 kabisa
Eeeeeh bana weeh Mb doggy bado unatamba sana mwanangu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Am speechless for this song. Every time am listening remind those days 2002 back then as I used to luv Soo much somebody but she ended to someone else . Bt still luv even today and Soo ever...luv cathy
Daah kitambo saana 2006 nikiwa namaliza darasa la saba nyimbo haichujii hii
Niko Hapa 2021 mtoto wa Mama Samia Suluhu 🙏🔥
2022 who is here,Bongo records was baddest 🔥🔥🔥
Uyu mwimbo jamanii 😭😭nime ukumbuka leo 2021mb dogg ni alikuwa mkali kweli 😭😭😭
Hii nyimbo yanikumbusha mbali kweli,,, I like it❤❤
It's 2024 and listening to this east African banger ❤🇰🇪
This is the pioneer of the modern bongo flava. He is un sung person but he has inspired a lot of youths to be in the game
2020💃💃I'm still vibing to your songs MB Doggy you should make a come back....love from 254
Daaaah aisee Mb Dogg ww ni miongoni kwa wasanii bora wa muda wa bongo fleva
Kama umerudi kuutizama huu wimbo2024 gonna like nikupe 🎉🎉🎉🎉🎉 yako
....imma dulla marangu kilema mambo ni motoooo
MB dog still representing 2023 👏 👏 👏 G.O.A.T 🐐
Music that will never expire. Today is 2022. Someone will watch it in past 2030 please tell them to carry it to the next generations
Wote tulio sikiliza 2024 weka like yko apa
Sisi tupo
Legendary man🎉😇
kitambo sanaaa
We respect bongo old school 🇰🇪❤️❤️💋
My favorite guy I love u much love from Uganda 🇺🇬 ❤
ngoma kali sana aisee, kitambooooo, lakini bado inabamba 2024
Jamani naombeni like zenu 2019 old is gold
Kali xaana
Nakmbka mbali sana najisikia laha mtp
This song holds tonnes of memories - Reminds me of my golden days in Iringa - What a time it was.. Back the music had feelings
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥🤌👌👌👌🙆♂🙆♂🙆♂🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🚀🔒🔒⛓⛓⛓
Iringa representing Downsouth
where did mb dogg go to listening to 2019
Enzi hzo miaka ya2005-2008 ntawakumbuka sana mkisikliza hii nyimbo nakumbka somanga hyo npo na daz,nako tu nako,machalila,chunda,hashmu,kecha,na rama ndulumba ni hayari ujana maji yamoto ezi hzo hautuambii ktu
It has been long, zulfa my ex, you remember this was one of my best favorite song to listen all long day during our relationship, when i tune to this, i just recall back our moment! Missing you so much!
The producer of this song deserves a Grammy awards
Nice song I.miss this guy so much pliz come back
A legend of the Bongo genre. Sadly, the most underrated.
very true
Truly underrated
The most underrated yet talented
Very true 💯
Kuna rafiki yangu utotoni alikuwa akiimba ivi, si ulinambia kwamba waja ma mdogo mamy nakungoja, alikuwa akiupenda sana huu wimbo, juzi nimemkumbusha tu kanambia nimtajie jina la msanii autafutw
2023 niko hapa, bado nazipenda sanaaa hiz nyimbo, salute forever
MB DOGGY MAN, THE GUY WHO TOOK BONGO MUSIC TO THE NEXT LEVEL WITH GREAT VOCALS. 2022 LOCKED FROM KANYA'S FINEST CITY, NAIROBI.
2019 drop like kama umecheki 19
👍
I used to have a crush on this man when I was young, well I still have a soft spot for him💙💙
listened to this this song in 2009,kuna muda mapenzi yalinitesa kweli,,2023 love got solution
One of my favourite song....more luv from kenya##MB DOG
Kwa Wanaojua mziki..jamaa hajatokea fundi kama huyu...mpaka leo 2024 inabamba
This is the first jam I heard when I came home from the hospital the day mum died. It was on 16th August 2007 and I was only 16. I miss my mama.
So sorry for the loss
😢
Miaka yote hii Ngoma haivundi nyimbo ndio hizi jaman zamani Raha sanaaaaa 2018 gonga like tuwe pamoja milele
This song speaks volume...B.I.G love from🇰🇪🇰🇪
Na kumbe watu walianza kula fare kitambo it's 2024 but still feeling this song