ISRAEL na IRAN: Maswahiba waliogeuka kuwa MAADUI wa KUFA! Fahamu chanzo cha URAFIKI wao kuvunjika

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • Bonyeza link hii kujiunga kwenye channel ya Telegram ya SnS - t.me/+uYTdRVvi...

ความคิดเห็น • 77

  • @billskeez92
    @billskeez92 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Asante bro Sky kwa makala 360

  • @IgiranezaLinda
    @IgiranezaLinda 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +9

    wakwanz keo kwa sns nipe like wa dau

  • @HissanEzrom
    @HissanEzrom ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Upo Gud Sanaa kka 🔥🔥

  • @byesigwafabian9255
    @byesigwafabian9255 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    wataelewa ni Mungu ni yupi na mungu gani anaweza kuokoa!
    Mmoja ana Mungu na mwingine a mungu!

    • @saleemsuleiman2220
      @saleemsuleiman2220 20 นาทีที่ผ่านมา

      Moja anamungu mwingine anashetani

  • @Djdiho257
    @Djdiho257 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Naomba like 7 tu

    • @AdolflazaroKanehenehe
      @AdolflazaroKanehenehe 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Umefanya nn Hadi upewe likes😅😅😅

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Like 7

  • @balikiabdala823
    @balikiabdala823 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    Jaman hizii vita bora zisheee watu wanakufa ambaoo hawana hatia 😢

    • @jumamussantuiche
      @jumamussantuiche 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

      Iyo ibada ya mashetani wakimarekani,umoja wa ulaya.

    • @MasterTulo
      @MasterTulo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Vita haiwezi kuisha endapo vitabu vya Dini ni vya kweli maana vimetabili kuwa ni vita ya milele

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    KHALID BELHASA from Dubai

  • @MakwegaSaidi
    @MakwegaSaidi ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Dj sma upo wapi hatuoni mambo yako

  • @alijuma7674
    @alijuma7674 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mayahudi wamelaniwa hao wamewafanyia hiyana mitume wao na hadi dunia itaisha wanahangaika tu

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 43 นาทีที่ผ่านมา +1

    Skay tuko pamoja

  • @DaudiMakaza
    @DaudiMakaza 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mungu wa israel ndo mungu

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Wa Tanzania atakua nani, wajinga ndio waliwao

    • @JeannetteManirambona-o6m
      @JeannetteManirambona-o6m ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu wa mashoga

    • @karimmkejina980
      @karimmkejina980 44 นาทีที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo mungu wako we sio mungu wakristo kama mandezi kwenye masuala ya dini yani kama manyumbu ebu chukueni muda wenu someni biblia sio kusomeshwa mtaendelea kuwa mazwazwa kwenye maswala ya dini

    • @ayoublupande3007
      @ayoublupande3007 22 นาทีที่ผ่านมา +1

      Nadhan huwa unasikiliza lkn huelewi Israel Mungu wake ni marekan Hana mda na Mungu unae msema ww ndo maana wapo kinyume na watumishi wa Dini wa kiyahud huko Israel hujui kitu

  • @mohamedkhalifa6014
    @mohamedkhalifa6014 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Daah wayahudi ni washenzii ila Safar hii watajuta

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      😂 kwenye ndoto zako watajuta
      Msije kulia hapa
      Maana Huwa mnaanza mkijibiwa mnalia

    • @immudimax6076
      @immudimax6076 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @@christinewomanoffaith5479 Walioanza ni wavamizi wa kiyahudi kuja kuendeleza ukoloni wao kwa waarabu na kuwauwa kwa halaiki usijitie upofu wala uziwi wewe una chuki zako binafsi na uislamu ila baado hujanuna maana ndio dini inayokua kwa kasi kuliko zote duniani.😂😂😂

    • @raymrash
      @raymrash ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@immudimax6076 mnageuza stori acheni uongo... ninyi Waislamu mpaka kwenye Quran yenu mnafundhishwa kuwachukia wayahudi na mnaamini mtakuja kuwaua siku ya mwisho ili aje Imaam Mahdi

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    DJ SMAA, tulikua tunampinga kuhusiana na Irone Dome, lakin kumbe kauli yake iko sahihi mpe Salam.
    Tunamuomba radhi

    • @raymrash
      @raymrash ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Radhi ipi kwani Israel wamekufa wangapi!?

    • @AhmedMsomoka
      @AhmedMsomoka ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      ​@@raymrashNENDA Israel ukaone WAMEKUFA wangap

  • @frankvianey2438
    @frankvianey2438 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mafahali wawili hawawezi kula zizi moja

  • @mrenobishoo1118
    @mrenobishoo1118 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Tunaomba Kujua history ya ukaribu Kati ya Israel na marecan ulianzaje!!!

    • @MwanaHussein-s2n
      @MwanaHussein-s2n 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Israel ni katoto ka kike cha marekan kanachodekezwa

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nahisi walivyokumbia kimbia dunia nzima wengi walijikuta America, ndo maana wamarekani wengi Wana asili ya kiyahudi. Well labda siku moja sns watatuambia ukweli

  • @jibriladat5749
    @jibriladat5749 25 นาทีที่ผ่านมา

    Inaonesha vuta ya Israel na Iran niyaushawish ndiomana Israel na Marekani huwa wanavamiya makundi ya wasuni na Nchi zawasuni kwamana vita ya wasuni na Israel nakiimani ilavita ya Shia na yahudi niushawishi kunakitu kinaitwa uyahudi nyuma yapaziya ya Uislam

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka sky mbona mala zako ni Sawa na za bishop ngonyani, au mlisoma chuo kimoja?! Cha historia na thiologia ,uhusiano wao sio hapo Tu NI tangu cha dario na koresh majemadari wawili middle passion Empire, na koresh ndo aliwapa Uhuru wayahudi baada ya kuipindua dora ya Babeli

  • @omarali7
    @omarali7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kama ni maadui Nasrallah nani amempana kwa Israël!? Siasa ni kama ndoa yenye tunaona ni machache sana kuliko yenye ako nyuma ya pazia,tutizameni tu

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Iwapo Kama mungu ndiye aliye teuwa utawala wa wauwaji umuwakilishe yeye basi hana akili aiwezekani tuandikiwe vitabu amri mojawapo ndani ya vitabu ni (usiuwe)na inabidi atuweke wazi kwa kutuma ishara kuwa utawala wa sasa niwakisiasa aliyo leta yeye ulisha futika raha sivyo tutamuona hana akili mungu,

    • @isacksimonmahungilo
      @isacksimonmahungilo 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kama ulishafutika atakuja kuchukua akina Nani maana nawao lazima wamuone

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@isacksimonmahungilo nimssema utawala sijasema vizazi au viumbe vyake sisi Tuna dhambi atawafata hata mbuzi sisimizi n.k

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ukisoma agano la kale utashangaa, ni Mungu aliyewaambia watoto WA Israel wakiongozwa na Musa wauwe watu wote watakao wakuta kwenye nchi aliyowapa. Inasisimua na inatisha lakini Mungu ni Mungu huwezi kumuuliza 'kwa nini'
      Naona tuendelee kumuomba hii vita viishe, watu wasio na hatia wanafariki bila hatia.

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      @@MsAggie5 kama aliandika yeye hivyo vitabu mpka sasa niupendeleo,ukitumia nukuu ya kitabu kuniukumu kifo nikakuchoropoka, sirudi tena kwa imani ya mungu na maandiko yake, siamini kama mungu anaupendeleo wa jamii moja dhid ya nyingine ni siasa tu

  • @saidinsenda954
    @saidinsenda954 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asnt sana tunaombo makala 360 ya osama bin laden

  • @hassanmlawa-o6s
    @hassanmlawa-o6s 19 นาทีที่ผ่านมา

    Kawaida tu rafiki yako mkubwa aweza kuwa adui na adui yako mkubwa aweza kuwa rafiki

  • @longinolubagula6291
    @longinolubagula6291 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona peke yako unatunyima ladha ya habari (DJ)

  • @paschalfausitine7108
    @paschalfausitine7108 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ndomana. Mimi, sina , natambuwa , mizimu, nyie wenye dini ,uaneni, huko, mkimaliza. Mtanikuta nipo ,pale ,nawasubiri, viva , Palestine, hahaha 🤣

  • @AFRICA_D669
    @AFRICA_D669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Neno langu kwa israel, niliomba waka anzishe mivutano kati yao na German&russia maana ndio mataifa yaliyo waangamiza ndugu zao nakuwaachia pengo ambalo hawato weza kuliziba mpka sasa, ila ni nani aliwambia wazurure kwenye nch za watu 😏

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mungu huwa ana WA punish kila wakimkosea tangu old testament! Mungu alifanya watawanyike, ila akikumbuka agano lake na Ibrahim huwa anawahurumia na kuwapa unafuu. Hata hii vita Mungu akitaka watapigwa lakini kama atakuwa nao basi bado sana vita kuisha.

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@MsAggie5 ila umeongea sawa ila swala la nguvu ya Vita kumuhusisha mungu ni makosa yani Biden atoe siraha netanyahu ashinde useme ni spirit ya mungu hakuna kitu kama hcho

  • @gurtielectronic
    @gurtielectronic 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    0:49 kila siku nachungulia makala 360 kama kuna jipya😂

    • @AFRICA_D669
      @AFRICA_D669 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      We jamaa ni Mimi mimi ni wewe 😊😊

  • @zuricakes6817
    @zuricakes6817 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunataka updates za vita bana....'Operesheni Bandika Bandua'😅

    • @raymrash
      @raymrash ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Watawavunja moyo Waarabu 😂😂😂

  • @omondiowino7875
    @omondiowino7875 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Matatizo ya middle East yameletwa na dini ya kiislamu... angalia wenzetu wa Nigeria... Bokoharam wanawachinja Wakristo kisa tu jamaa flani kwa jina la Muhammed aliwaambia kuwa maadui wao wakubwa ni Wakristo na wayahudi...nkt!

    • @alijuma7674
      @alijuma7674 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Mtume Muhammad sio jamaa kidole juu wewe

    • @omondiowino7875
      @omondiowino7875 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@alijuma7674 Yeye ndo aliyewadanganya nyote .. Yani jamaa anawaambia ukifa kwenye vita dhiidi ya wayahudi au Wakristo basi wanawake 72 ndo zawadi yako huko kuzimu..na nyinyi pia mnakubali😂😂😂

    • @ShawnBeatz
      @ShawnBeatz 14 นาทีที่ผ่านมา

      @@omondiowino7875 kaka hili ni janga kubwa, wakristo na dini zingine zimejaliwa neema ya kutumia akili kidogo kuliko kulishwa vitu vyenye chuki ndani yake

    • @JosephBalebanga
      @JosephBalebanga 9 นาทีที่ผ่านมา

      ​ata wewe umezaliwa ukiwa muisilamu maana kila anayezaliwa anakua muisilamu ila wazazi wake ndio watakao mbadilisha badaa ya wao kubadiliswa na wazazi wao vile vile kwa bahati mbaya sasa hakuna mtu yeyote asiyekua muisilamu eti akijipa matumaini ya kuingia peponi bi maana pepo ni ya waisilamu wema tu na hakuna pepo ya asikua muisilamu abadani.

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hii vita inachochewa na netanyau tu Iran wangemuua vita inaisha fasta

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Si mpaka 😂

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sns siku zote tunajua inaipinga maghalibu na washilika wake na ata islaeli ilivo toa onyo laia kuondoka lebanoni mlisema anawatishia saivi anaishambulia mpo kimya mlisema hata lebanoni wako vizuri saivi wako wapi kupigana kijeshi na islaeli

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kwani wamekwisha au na wakat kilasiku wana shambulia

  • @CalebThomas-ie4zy
    @CalebThomas-ie4zy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Shida ya waarab wanahesab wasio waislam kama sio watu wa mungu (udini+ubinafsi)

    • @yonamakeleleilenge2545
      @yonamakeleleilenge2545 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

      Tatizo siyo dini kila watu wa fate Yabo wayaudi ni watu wabaya

  • @raymrash
    @raymrash ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Hii kusema Waarabu waliondolewa kwa nguvu Si kweli...kwa sababu mpaka leo Kuna Waarabu zaidi ya milioni 2 katika nchi ya Israel. Ukweli ni kwamba Waarabu waliambiwa na Waarabu wenzao wapishe ili Wayahudi waangamizwe. Matokeo yake wakashindwa vita na Wayahudi hawakukubali warudi maana walikuwa ni wasaliti

    • @AhmedMsomoka
      @AhmedMsomoka ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tupo ukwel WAKO ww, umezaliwa mwaka ELFU 2000, ukamezeshwa TAIFA LA MUNGU ni flan kumbe mashoga yaan Kila mtu ANAWAJUA HAO WASHENZ kuwa hawana ARDHI YYTE na ni wauwaji TU na mashoga wakubwa pumbavu

    • @raymrash
      @raymrash ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @@AhmedMsomoka hivyo ndiyo historia ka-google kama unabisha

    • @aasatt78
      @aasatt78 46 นาทีที่ผ่านมา

      @@raymrashiyo google ni ya Wahudi wanaandika wanachotaka ni uongo Wapelestina waliondoshwa kwa nguvu na wengine kuuliwa vijijini mwao na kupokonywa ardhi zao hao waliobaki ni kwamba wao hawakuondoshwa au hawakupokonywa makaazi yao

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    SHIDA NI WARABU, HAWA JAMAA WAKIMALIZWA DUNIA ITAKUWA NA AMANI, SAFARI HII IRAN AMEYAKANYAGA, SUBIRI KISASI

    • @natual7572
      @natual7572 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Hahahahahaha sawa ngoja tuone

    • @Planet_Zong
      @Planet_Zong 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Iran sio mwarabu

    • @zanzibarsmzenji
      @zanzibarsmzenji 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wacha upuuzi wewe

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Soma historia acha zenefobia wewe Wa Iran sio waarabu😢😢😢

    • @AliNassor-qt6fm
      @AliNassor-qt6fm 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Sasa shida ni waarabu au Israel iliyowaondosha wapalestine katika maeneo Yao , sasa hata hiyo history huisikii