Mtego - Madebe Lidai, Marry Kihungwa, Fadhili Msisiri (Official Bongo Movie)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ต.ค. 2024
  • Mtego by Madebe Lidai (Full Bongo Movie)
    Cast: Madebe Lidai, Mary Kihunga, Fadhili Msisir, Zakaria Jashi, Beatrice Charles, Hassani Mtambo
    Story - Hussein Shimary
    Locations - Zakaria Jasha
    Camera - Rama Bialo
    Editor - Madebe Lidai
    Producer - Hussein Shomary
    Director - Hussein Shomary
    Subscribe to Africha Entertainment: bit.ly/AfichaSubs
    The Best Of African Music: Kadogo Kamu: New Ugandan Music: New Zambian Music: New Rwanda Music: New Kenyan Music: New Taarab Music: New Gospel Music: New Tanzania Music: New Zanzibar Music: Kenya gospel music: Tanzania Gospel Music: Zambia Gospel Music: ugandan Music

ความคิดเห็น • 259

  • @tejawamapenzi1958
    @tejawamapenzi1958 6 ปีที่แล้ว +97

    Madebe Uko Sawa Kaka
    Natoa Vocha Atakae Pitia hapa

  • @safarimaduka5370
    @safarimaduka5370 6 ปีที่แล้ว +71

    Kama unamkubali gonga like nyingi kumpa amsha amsha

  • @Danielpablo92
    @Danielpablo92 6 ปีที่แล้ว +20

    Iko powa bwana sasa shauri yangu nataka utowe Kwanzaa movie ya mjini siyo 2.vijiji.napenda nikuone vile talent yako ipo bro

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila kiukweli wa tz tunajiendekeza jaman tukiwa namimba bc kes kwanini lkn wengine munaiga kabisa illi iweje mbona wazungu hawako ivyo wanaflay hatar wanacheza na mimba zao na wanaume zao hd raha😊😍😍

  • @isayamgeni169
    @isayamgeni169 5 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mlinde huyumadebe piamuongezee ujuzi asikukufulu baliatufundishe kiakili namaadiki

  • @salmaali3293
    @salmaali3293 6 ปีที่แล้ว +5

    shukurAni.kwamuvi.nzuri.

  • @officialtalenttv3882
    @officialtalenttv3882 6 ปีที่แล้ว +15

    Njaa ndio control ya mwili
    Mh! Madebe umetisha sana
    Keep it up

    • @jumawakita8343
      @jumawakita8343 5 ปีที่แล้ว

      official talent TV madebe nankubal

  • @rashidmohammed1267
    @rashidmohammed1267 3 ปีที่แล้ว +1

    Namkubari sana madebe 👏👏

  • @celinerwentaro354
    @celinerwentaro354 5 ปีที่แล้ว +1

    brother madebe uingizie pia town siyo vijijini tu. but una talent kwa kweliiiii

  • @mrskhamismussa9754
    @mrskhamismussa9754 5 ปีที่แล้ว

    Yaan madebe unaniondoleaga stress zooooooteeee na movie zako

  • @lulukipesile8582
    @lulukipesile8582 6 ปีที่แล้ว +4

    Madebe bana cjaelewa hii mv,, umekosea broo

  • @aishajuma712
    @aishajuma712 6 ปีที่แล้ว +4

    Iko poa sana

  • @johnmwakipesile7141
    @johnmwakipesile7141 4 ปีที่แล้ว +1

    Safiii

  • @leiylaomar9318
    @leiylaomar9318 5 ปีที่แล้ว +9

    Eti bunguzeni kubwata nyumba yengine hazina siling body 😀😀😀..alafu madebe ume nipunga ulipo eka mikono kichwan eti toba 😂😂😂yni madebe napenda kazi zako mpka basi sipiti movie yko asanteni nyote mlio husika

  • @martinwesonga6486
    @martinwesonga6486 6 ปีที่แล้ว +5

    Iko vizuli

  • @geraldpallangyo7726
    @geraldpallangyo7726 6 ปีที่แล้ว +5

    nakubali sana mv zenu

  • @furahaamisi1982
    @furahaamisi1982 5 ปีที่แล้ว

    Asante movie nzuri

  • @amina2044amin-zv2gh
    @amina2044amin-zv2gh 11 หลายเดือนก่อน +1

    🙏👏👏👏

  • @rezeekybeiby1519
    @rezeekybeiby1519 6 ปีที่แล้ว +4

    Madebe bwanaa hehehheheh 😘

  • @mutisyamasuni1526
    @mutisyamasuni1526 3 ปีที่แล้ว

    I like it

  • @sitikisheto759
    @sitikisheto759 6 ปีที่แล้ว +35

    Kumbe leo nimerauka nakuzoeya kuangalia comment ndio tujue nitamu au laa sijui nisubir

  • @JohnEtyang-g4u
    @JohnEtyang-g4u ปีที่แล้ว

    Hii apana unatisha😭😭

  • @emanila5845
    @emanila5845 3 ปีที่แล้ว

    Realities are shown

  • @ismailjuma2302
    @ismailjuma2302 6 ปีที่แล้ว +1

    nice

  • @bunuadiyo5944
    @bunuadiyo5944 6 ปีที่แล้ว +5

    Movies za madebe nazipenda sana maana zinaonyesha utamaduni halisi za kiafrika. Lakini movie ya "Mtego"haikumalizika vyema maana hatukuona hatma ya Madebe kuadhibiwa na jini.
    Hata hivyo pongezi Madebe kwa kazi zako njema.

  • @galethmapexaa8677
    @galethmapexaa8677 6 ปีที่แล้ว +1

    Nice

  • @abuuzainab1489
    @abuuzainab1489 5 ปีที่แล้ว +5

    Madebe ww mshenzi kivyako sijakuonea mwenzako...eti hata alieumba sh 10,000 aliiumba siku ya valentine day ndio mana ikatoka nyekunda 🙏🙏🙏sio kila mapenzi mechi mengine mazoezi...salute madebe...

  • @mpajiramadhan3507
    @mpajiramadhan3507 6 ปีที่แล้ว +10

    Hahahaha siungeona foleni Hapa na wewe ungekuwa wa mwisho dah salute madebe mshamba hawezi kuelewaa

  • @emmanuelmataba5997
    @emmanuelmataba5997 5 ปีที่แล้ว

    Good luck blaza.

  • @jimsonmakweta5850
    @jimsonmakweta5850 6 ปีที่แล้ว +26

    Unamtamani mdada mzuri unamtongoza anakubali unamsariti kumbe mchawi anakuroga UNAKUFA

  • @mohamedsadiki1575
    @mohamedsadiki1575 6 ปีที่แล้ว +7

    Saut ipo chini san jmn

    • @zaynabumustaph4200
      @zaynabumustaph4200 5 ปีที่แล้ว

      Mohamed Sadiki ....nilijua ni cm yangu2 jamn

  • @hadijamrope9136
    @hadijamrope9136 4 ปีที่แล้ว

    Jaman nishida

  • @shufaahshafiki5642
    @shufaahshafiki5642 3 ปีที่แล้ว

    Mpaka raha joman madebe ni hatari

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 4 ปีที่แล้ว +4

    Mwanakuyatafuta mwanakuyapata😂munqemmalizia na kum banika2 akakomeegee uko😆nanyie yamewashuka xhuuu😂pambavuu mulijiina mmewinii wenyewe

  • @samsonmzava1316
    @samsonmzava1316 3 ปีที่แล้ว

    Nice

  • @shakiramwenye1683
    @shakiramwenye1683 5 ปีที่แล้ว

    Nzur

  • @mohamedally1460
    @mohamedally1460 6 ปีที่แล้ว +15

    Nyumba nyengine hizi jamani hazina siling body punguzeni kubwatuka jamani 😂😂😂

  • @zulfarwanda8456
    @zulfarwanda8456 6 ปีที่แล้ว +4

    Madebe usiwe unaigiz hizi za kichaw cy nzur

  • @hirathsanayaniyusif6457
    @hirathsanayaniyusif6457 6 ปีที่แล้ว +1

    Kivetinam ndonn😁😁😁😁madebe

  • @sarahdjuma2566
    @sarahdjuma2566 6 ปีที่แล้ว +4

    👌👌👌👌😂😂😂😂😂😂mbavuzangu mie madebe huwa movie hiyi umenifurahisha saaana

  • @ajlascafff6095
    @ajlascafff6095 5 ปีที่แล้ว +1

    Sauti iko sawa lakini saa nyengine nikiongeza iko chini Mara iko juu jamani niko job najificha nikiwa naangalia muvi sauti ziwe sawa

  • @rehemasarum164
    @rehemasarum164 4 ปีที่แล้ว +7

    "Kama kila anaetembea nae angemng'ang'nia si ungeona foleni hapa na wewe ungekuwa wa mwisho"..kama umemsikia madebe gonga like

  • @safarimaduka5370
    @safarimaduka5370 6 ปีที่แล้ว +2

    Tisha mno mkali madebe.

  • @ashuramahali6643
    @ashuramahali6643 5 ปีที่แล้ว +1

    Part2??siion

  • @moussanduwimana4305
    @moussanduwimana4305 5 ปีที่แล้ว +4

    Mzee wama plan uyo Madebe Lidai

  • @nyukuriokuna9166
    @nyukuriokuna9166 6 ปีที่แล้ว +17

    Sasa hapa Leo nimewahi.pia angalieni comments zangu Leo mtaipenda

  • @graceyusuph2524
    @graceyusuph2524 5 ปีที่แล้ว +3

    Kama umemsikia enjo akiongea kisukuma achia like apa

  • @tundaclassic2704
    @tundaclassic2704 6 ปีที่แล้ว +7

    madebe wamdanganya mwenzio mwanamke Nani mjinga akubali kupagwa ama akubali kushare hahahha madebe lidai hatar ww

  • @gregolymwenda8499
    @gregolymwenda8499 6 ปีที่แล้ว +4

    Good

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 6 ปีที่แล้ว +3

    Madeb m sjaona sual msingi kumuuwa yule dada......kam ubunifu umepunguw halfu madebe ulizungumzia ishu ya njaa kw yule dada. ..hukuonesh wap amept chakula. ..kwa na ilikuw changmoto......ila nimependa ulipord kufny tukio la mauwaji....ple malizian nae uyo

  • @estershaban6297
    @estershaban6297 5 ปีที่แล้ว

    Sarut kwak madebe lidai unatisha

  • @suleshsayyid7748
    @suleshsayyid7748 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimepata funzo kua rafiki wa kweli ni mama tu maana ukifikwa n matatizo hawezi kukuacha mkono .
    Maana madebe kamuachia mshkaji msala wake dah ! Ni shida

    • @najmahabass8183
      @najmahabass8183 4 ปีที่แล้ว

      Amemsaidia sana lakini pia huyo mwanamke anzidi

  • @youngkillermsodoki7664
    @youngkillermsodoki7664 6 ปีที่แล้ว +7

    Movie nzuli

  • @gregolymwenda8499
    @gregolymwenda8499 6 ปีที่แล้ว +7

    Madebe anajua kukimbia

  • @customerservicehotelriupal8560
    @customerservicehotelriupal8560 6 ปีที่แล้ว +5

    MADEBE huna adabu kabisa Shemeji anaongea kivyetinam kabisa

    • @myqween3538
      @myqween3538 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂apa nimecheka hadi kelo

  • @ndikumanajackson9012
    @ndikumanajackson9012 6 ปีที่แล้ว +6

    Hongera Sana Mimi nilikuwa napenda movie za kivita siku moja uicheze

    • @daemuularmmy5280
      @daemuularmmy5280 5 ปีที่แล้ว

      Ndikumana Jackson aff awe komando😂😂😂😂

  • @habimanashabani9879
    @habimanashabani9879 6 ปีที่แล้ว +6

    mwalim wa lugha nakubali

  • @epifaniamponda5676
    @epifaniamponda5676 6 ปีที่แล้ว +3

    😂😂😂😂😂😂 eti anaongea kivyetinam madebe hahahahahaha

  • @immatarimo9554
    @immatarimo9554 6 ปีที่แล้ว +4

    nimeelewa madebe lidai😃😃😃😃😃😃

  • @bigirimanavestine3044
    @bigirimanavestine3044 5 ปีที่แล้ว +2

    Mimi nimejifunza mengi kupitia movie zako thx madebe

  • @jafaryodari797
    @jafaryodari797 6 ปีที่แล้ว +4

    Ajabu eti utamaliza kesi wewe madebe leo yamemfika shingoni dhuuu

  • @rehemamaduhu5642
    @rehemamaduhu5642 3 ปีที่แล้ว

    Camera mliyotumia ni low quality, alafu muda mwingine background ni kubwa kuliko sauti za watu halisi

  • @salumuidi6378
    @salumuidi6378 6 ปีที่แล้ว +4

    njaa aina ubamsa madebe kazi kazi

  • @iddysaidihamisi5429
    @iddysaidihamisi5429 5 ปีที่แล้ว

    tatizo sauti bana nazingua

  • @susansimiyu821
    @susansimiyu821 ปีที่แล้ว +1

    Sambamba

  • @josejoseph8197
    @josejoseph8197 5 ปีที่แล้ว

    Kalamba asali anataka kuchonga mzinga nn? Kila MV lazm nitok na musem

  • @mbachaliletv6548
    @mbachaliletv6548 5 ปีที่แล้ว +2

    Malizana nae huyooo #madebe we kiboko

  • @abdulazizi536
    @abdulazizi536 6 ปีที่แล้ว +5

    Nakukubali madebe

  • @lucybaby6448
    @lucybaby6448 6 ปีที่แล้ว +13

    Madebe ungejua ninavo kupenda😍😘

  • @safiyashabani8717
    @safiyashabani8717 6 ปีที่แล้ว +5

    Sio mechi yangine mazowezi

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 ปีที่แล้ว +2

    Mi nazidi kuwapongeza hiko vizuri # mtego.#2019 bado naitizama inavutia sana

  • @mrsliverpool4235
    @mrsliverpool4235 6 ปีที่แล้ว +4

    Nice

  • @abuubakrachani1943
    @abuubakrachani1943 6 ปีที่แล้ว +6

    Shemegi unanongwa sana

  • @ocholamwanafalsafa8627
    @ocholamwanafalsafa8627 4 หลายเดือนก่อน

    Kifilosofia hapa filamu imefeli,hakuna vile kuua huyo mhusika ni haki kwa mkewe,nimekataa.Japo filamu ilianza poa.

  • @samsonpeleka5275
    @samsonpeleka5275 3 ปีที่แล้ว

    Madebe ulipotelea wp

  • @akinyisusan8049
    @akinyisusan8049 6 ปีที่แล้ว +3

    Hahaha ati simpendi na wanaishi pamoja tamu sana

  • @richardmollel479
    @richardmollel479 5 ปีที่แล้ว +2

    Nakukubali sana madebe upo juu kinyama

  • @kitukuumkuvu499
    @kitukuumkuvu499 5 ปีที่แล้ว +3

    doo

  • @fikiraselemani7054
    @fikiraselemani7054 4 ปีที่แล้ว +1

    Madebe kwa kwel yupo vizuri

  • @jumailomo9499
    @jumailomo9499 6 ปีที่แล้ว +2

    move tam sana madebe Mungu akupe maarifa zaidi

  • @abdulmpunjo1241
    @abdulmpunjo1241 2 ปีที่แล้ว

    Eti changamoto Ili kuleta challenge

  • @francemwanawesa5966
    @francemwanawesa5966 5 ปีที่แล้ว +1

    et makosa sikuhz yamekua kama changamoto!! et tunafanya hiv ilikuleta challenge na mamb mengne hahahaaaaa hcho kingereza bhanaa noma sanaaa

  • @everinalugoma7851
    @everinalugoma7851 3 ปีที่แล้ว

    Siokila mapenz ni mengine mazoez madebe kiboko

  • @samsonpeleka5275
    @samsonpeleka5275 3 ปีที่แล้ว

    Madebe kumbe unajua kukimbia hivyo du!

  • @barakakigora6502
    @barakakigora6502 6 ปีที่แล้ว +4

    Good

    • @ramsule4546
      @ramsule4546 6 ปีที่แล้ว

      Madebe wewe kiboko mwenyezi mungu akuongonze kwa kazi yako nzuri

    • @ramsule4546
      @ramsule4546 6 ปีที่แล้ว

      Chapa kazi mkaka mwalimu wa lugha ya kiswahili

  • @mashakamagembe1188
    @mashakamagembe1188 3 ปีที่แล้ว

    Madebe eti utamaliza hiyo kesi

  • @magidachimija5599
    @magidachimija5599 5 ปีที่แล้ว +1

    Shem anaongea kivietinamu

  • @hilaliomar7115
    @hilaliomar7115 5 ปีที่แล้ว

    kweli kabisaaaaaaaaa wapo watu kamaaa haoooo wanakupanga ushirikianoooo kisha kwenye matatizooooo wanakwambiaààaaaaa maliza mwenyeoó9oooooooo madebe umekua rafiki mnafiki unamwingiza mwezako kwenye kiza cha kumdanganya mkewe naukampaga ushauli wa kuuwaga, kumbe umeingia cha jini .

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 5 ปีที่แล้ว +1

    Wajifanya mashujaa mbona kitimtimu mwamwaya vumbi kila mtu njia yake.🤣🤣🤣🤣

  • @bintiiomary9500
    @bintiiomary9500 5 ปีที่แล้ว +1

    Apa mkucheza madebe

  • @ramadizzo7964
    @ramadizzo7964 2 ปีที่แล้ว

    Bro madebe na kukubali sana

  • @martiniwiliamu9064
    @martiniwiliamu9064 3 ปีที่แล้ว

    Mmekosea sana kumua uyodada.

  • @emmyjuma6329
    @emmyjuma6329 3 ปีที่แล้ว

    Eti kakonda kwa roho mbaya

  • @zeisharajab3704
    @zeisharajab3704 4 ปีที่แล้ว

    Me hata sijaielewa kiukwel

  • @sidemakuka2844
    @sidemakuka2844 6 ปีที่แล้ว +7

    Jamani sio siri watu wa nje ya nchi na sisi wadau kiukweli movie za madebe sio poa ninzuri Atari tuletee CD Johannesburg NabiiMseahili wambie wali wale wajekula waliWaoo

    • @pascalthomas4012
      @pascalthomas4012 4 ปีที่แล้ว

      Madebe uko vizr brooo

    • @pascalthomas4012
      @pascalthomas4012 4 ปีที่แล้ว

      Madebe uko vizr brooo

    • @mathildemwangaza109
      @mathildemwangaza109 4 ปีที่แล้ว

      Na wewe kiswahili imekutupa, eti movie za madebe sio poa ni nzuri what is that ?

  • @choggocharlen4454
    @choggocharlen4454 4 ปีที่แล้ว

    Nabbiimxwahili munguazidi kukuongeza ufundi wewenizaidi nauzidixhiwe zaidi.nakubalikilaunacho Fanya kinapendeza kukitazama nakinafundixha Jamii kazinjema kwenu

  • @twalibumndeme3012
    @twalibumndeme3012 6 ปีที่แล้ว +1

    Umetisha broo ukovizri

  • @samsonpeleka5275
    @samsonpeleka5275 3 ปีที่แล้ว

    Kumbe na kisukuma kimo

  • @pelusemanueli858
    @pelusemanueli858 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice movile

  • @jamesover620
    @jamesover620 5 ปีที่แล้ว +1

    Tunitaj yamjini jamaani