Mashaalah mungu ni mwema. Mungu akupeni Afya njema wote.. Wachezaji. Viongozi. Na bechi la UFUNDI. Na kitengo cha Habari na mwasiliano mungu akupeni Afya njema.. Na kesho ni ushindi. Tuseme Amiiiina 👏👏👏👏👏💛💚💛💚💛💚🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Hakika najivunia kuwa mwana yanga na inshallah kesho tuta shinda natuta furahia kwa uwezo wake allah dua zetu ziko nanyii viongozi wetu benchii laufundi pamoja na wana jeshi wetu tuko nanyi kila mwana yanga tuzidishe dua kwa wachezaji wetu
Mashaalah mungu ni mwema. Mungu akupeni Afya njema wote.. Wachezaji. Viongozi. Na bechi la UFUNDI. Na kitengo cha Habari na mwasiliano mungu akupeni Afya njema..
Na kesho ni ushindi. Tuseme Amiiiina 👏👏👏👏👏💛💚💛💚💛💚🇴🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Ukitoa kikubwa utapokea kikubwa Asanten wapendwa MUNGU awatangulie kwenye mambo yenu🙏🙏
Maashaalah jazaakalaah semaji wa ukweli ali kamwe
Masha Allah Allah azidishe kheri n barak tele katk kil jamb.
In Sha Allah na iwe kheri ya mchezo wetu wa kesho
Kila la kheri inshaallah 💛💛💚💚💯
Moyo wa mawingu mungu awatangulie kesho tushinde amina
Kheiry nyingi🎉
Moyoo wa upendo na huruma inshallah Allah atubariki kesh
Safi 🎉
Mungu Ibariki Yanga Mungu Ibariki Tanzania 🙏🙏🙏
MashaAlah,heri kubwa
Hakika najivunia kuwa mwana yanga na inshallah kesho tuta shinda natuta furahia kwa uwezo wake allah dua zetu ziko nanyii viongozi wetu benchii laufundi pamoja na wana jeshi wetu tuko nanyi kila mwana yanga tuzidishe dua kwa wachezaji wetu
Hongeren wananchi wenzang
Sawa
Yanga bingwa
Inshallah
Allaah Akbar
Familia yenye furaha na Amani siku zote huwa imebarikiwa
Akika mungu tatusimamia