Idhini

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024
  • Qaswida ya idhini kutoka almadrasatul-rauf-rahim kwamtipura inalazungumzia "tamko la kukubali au kukataa kwa muolewa katika kufunga ndoa"
    Iwapo atakataa akiwa na sababu za msingi ni vyema wazazi wadhamini tamko hilo maana yeye ni miongoni mwa wahusika katika jambo la ndoa.
    Licha ya umuhimu wa tamko hilo katika ndoa, waolewa wanatakiwa kutii na kuwa na heshima na wazazi wao!!!

ความคิดเห็น • 4