SEMAJI AHMED ALLY Vituko Sana DEBORA Ndiye Binadamu Pekee Hana MADHAIFU | ATEBA Ushauri RONALDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 11

  • @BellaTuyi-hd7tw
    @BellaTuyi-hd7tw 21 วันที่ผ่านมา +1

    Team tunayo lakn shinda inakuja kwa kiungo mpishi wakuwapika streank wetu mbn namba 9 tunazo nzuri.. ispo kuwa fungafunga... Steve mukwala n mchezaji mzur Sana sema bado hajapata kiugo wakumpkia mbele.. akipata watu wakumtengenezea nafansi mbn MUKWALA kila siku atakuwa anatupia magoli kama kangere kipindi kile.
    Siwezi kuongea Sana ngoja tusubir huko mbele Ila ubingwa huo n WETU mwaka huu na Miaka inayo kuja.
    ✍️ Mabetu &Co

  • @hassanimangare8966
    @hassanimangare8966 23 วันที่ผ่านมา +2

    Ahmed usimsifie mchezaji kupitiliza watamroga, acha hiyo sio nzuri.

  • @SarahMathias-v1g
    @SarahMathias-v1g 19 วันที่ผ่านมา

    Wambie semaji lakafu

  • @faustineinnocent6933
    @faustineinnocent6933 20 วันที่ผ่านมา

    Ahmed unafanya kazi nzuri lkn unatuharibia wachezaji wetu unawasifia kupitiliza. Ungewaacha wao wenyewe waoneshe uwanjani. Angalia ulivyompamba pa omar jobe na fredy ukamwita fungafunga, yako wapi?

  • @calistMallo
    @calistMallo 23 วันที่ผ่านมา

    Comedian man

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 23 วันที่ผ่านมา

    Simba dirisha dogo Moodewji kumsajiri Elie Mpanzu aje chapu

  • @user-pf7zw2cl4h
    @user-pf7zw2cl4h 23 วันที่ผ่านมา

    Simba isipochukua ubingwa mwaka huu itabidi utuachie timu yetu punguza maneno

  • @NemesMasawe
    @NemesMasawe 23 วันที่ผ่านมา

    Ilaaa semajii la caf

  • @seikhan5115
    @seikhan5115 23 วันที่ผ่านมา +1

    sisi tunakula kwa kuhojiana!!!🎉🎉 sasa unahs kwann anapenda kuongea kila ili kila MWANDISHI anatkiwa apate sauti ya AHMED ALLY tusimseme vibaya MSEMAJI wetu anatetea ugali wa WANYONGE😢😢

  • @AizeckChala
    @AizeckChala 23 วันที่ผ่านมา

    Semaji maneno mengi kuriko vitendo

    • @innoinnovative7730
      @innoinnovative7730 23 วันที่ผ่านมา

      Vitendo gan ssa unataka akacheze au