It's actually sad when the money you earn inakua taken by responsibilities za home and you have no family yourself sometimes you are working earning alot but you can't even buy a pair of good shoes😢
Unaenda kupimwa magonjwa ya STD kwa relative ya yule unaetaka kushiriki ngono nae, lady, unajisikia? Please usikue gullible hivyo next time or ever esp na mambo muhimu km haya. Goodluck *kairetu*/baby girl. Uko mzuri Sana na Very likable. Mungu awe nawe daima, akutunze, akubariki na akuinue; daima, daima. Amen.
Because you've opened up your story let me add my comment from the book of ( jonh 4:39:41:42) thanks so much remember that All overs we are sinners may this gospel go through the warld( jonh 8:58:59), jonh 8:11 do I condemn you, Jesus declared. Go now and leave your life of sin.
I'm sorry to say your generosity is stupidity. You can't feed those trying to kill you jamani. If you were wise hungerudi karibu na hiyo home after umeenda kwa uncle yako. Atimes watu watumie akili jamani 😭😭
Something different. Nathani huyo mtoto cz aunt/stepmom alikua akilewa. So akazaliwa na syndrome fulani kutokana na huo ulevi. Ati kazi bar frm 9AM mpaka 11PM. Haki hiyo ni slavery na, UNYAMA kupindukia. Si heri hata kule uarabuni. Wapi department of labour Kenya? Pleaseeeee, mko wapi? PLEASEEEEEEEEEEEE Please Maulana, regeshea huyu dada kile chote nzige zilizokula. Please Baba Mungu. Amen.
// Mimi huona host wakoshikolia phone au microphone zile ndogo throughout program, hata km ni ndefuu. Mbona wasitafute ile kitu ya ku hold? Kwani ina cost how much? Si mtafute ya mkopo mnalipa polepole. Plus msisahau kuwekesha insurance, incase ita/zitapotea.
Cont. Pale ulifukuzwa; Kuna msemo husema something like, ukifukuzwa huambiwi toka. Pole dada, umapitia, U r strong. Mungu akuonekanie. // Also, stop supporting all ur family km unashida. Leo ukiwa homeless n pennyless mbele au nyuma, nani atakusimamia? Mungu hutaka yule mtu anajisimamia, kufikiria na kujipanga. -Itakubidi ukajiuze, kisha? Mashida mengine ya magonjwa bila tiba; Hata anywhere duniani. Dada, si uchoyo wala roho mbaya, jiwekee pesa zako please. Jiwekee while u can, if u can.
Whats wrong host? Unatupatia jina moja tu.la huyu dada. That is Dina. Ni Dina nani? Watu waeza mtumia pesa vipi na just one name? Furthermore, hata spelling ya jina lake hatujui for sure. Is it Dina or Dinah with an h mwisho? Au ni ku exploit mnajua tu ku exploit watu vulnerable? Umekosa Sana. You can cause hata usaidizi mwengine angepata, asipate. Sooooo disappointed na wewe 'mundu wa mucii'. Pls rectify. Plus hizo details zake umesema tutaona umeandika, pia hukuandika.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
It's actually sad when the money you earn inakua taken by responsibilities za home and you have no family yourself sometimes you are working earning alot but you can't even buy a pair of good shoes😢
Painful story to hear. Mungu yupo na wewe Di..
WEWE MSICHANA SI UKAE BALI SANA NA YOUR DADDY NA HUYU STEP MUM, WEWE SIO MTOTO TENA
SHTUKA AAIII
Mwambie afunge miguu...the way she is sitting shows hapending hiyo senye yake. A girl sits with her legs crossed. Anyways nitamutumia kakitu asap.
Poa
Pole sana you loved your Dad's
Why take long time just go to the subject matter straight bana AAA!
Unaenda kupimwa magonjwa ya STD kwa relative ya yule unaetaka kushiriki ngono nae, lady, unajisikia?
Please usikue gullible hivyo next time or ever esp na mambo muhimu km haya.
Goodluck *kairetu*/baby girl.
Uko mzuri Sana na Very likable.
Mungu awe nawe daima, akutunze, akubariki na akuinue; daima, daima. Amen.
Because you've opened up your story let me add my comment from the book of ( jonh 4:39:41:42) thanks so much remember that All overs we are sinners may this gospel go through the warld( jonh 8:58:59), jonh 8:11 do I condemn you, Jesus declared. Go now and leave your life of sin.
Luhya Men wanapenda wanawake na hizo job zao za watchman haiya🙄🙄🙄
I'm sorry to say your generosity is stupidity. You can't feed those trying to kill you jamani. If you were wise hungerudi karibu na hiyo home after umeenda kwa uncle yako. Atimes watu watumie akili jamani 😭😭
Dunia ina mambo aisee karibu TZ watu wa roho mbya hawajafikia hio hatua
Nakutafuta D!
Ww nawe umepanua miguu zaidi
Ametaka iyonekane uwoni sket 😅😅
Ai, dela ata kama ni interview wachanga kuwa serious hivo for long😅
😂😂😂 sawa mkuu
Huyu dem ni mtu mzima.... You should act your age.... If you are not wanted somewhere then go
This girl problem started from her step mother. She need proper treatment and counseling and she will be well.
Beautiful girl
Huyu baba alisababisha tatizo kubwa la akiafya kwa huyu msichana.
I don’t see the use of this girl falsing issues u would have just left that house long ago
Something different. Nathani huyo mtoto cz aunt/stepmom alikua akilewa. So akazaliwa na syndrome fulani kutokana na huo ulevi.
Ati kazi bar frm 9AM mpaka 11PM.
Haki hiyo ni slavery na, UNYAMA kupindukia.
Si heri hata kule uarabuni.
Wapi department of labour Kenya?
Pleaseeeee, mko wapi?
PLEASEEEEEEEEEEEE
Please Maulana, regeshea huyu dada kile chote nzige zilizokula.
Please Baba Mungu. Amen.
// Mimi huona host wakoshikolia phone au microphone zile ndogo throughout program, hata km ni ndefuu. Mbona wasitafute ile kitu ya ku hold?
Kwani ina cost how much? Si mtafute ya mkopo mnalipa polepole. Plus msisahau kuwekesha insurance, incase ita/zitapotea.
Cont. Pale ulifukuzwa; Kuna msemo husema something like, ukifukuzwa huambiwi toka.
Pole dada, umapitia, U r strong. Mungu akuonekanie. // Also, stop supporting all ur family km unashida. Leo ukiwa homeless n pennyless mbele au nyuma, nani atakusimamia?
Mungu hutaka yule mtu anajisimamia, kufikiria na kujipanga.
-Itakubidi ukajiuze, kisha? Mashida mengine ya magonjwa bila tiba; Hata anywhere duniani.
Dada, si uchoyo wala roho mbaya, jiwekee pesa zako please. Jiwekee while u can, if u can.
// 2:01, hakua na bipolar ewe host. Ni depression. Depression inaeza kua mbaya, but bipolar ni mental disorder ingine ambayo hata ni mbaya Zaidi.
Whats wrong host? Unatupatia jina moja tu.la huyu dada. That is Dina. Ni Dina nani? Watu waeza mtumia pesa vipi na just one name? Furthermore, hata spelling ya jina lake hatujui for sure.
Is it Dina or Dinah with an h mwisho?
Au ni ku exploit mnajua tu ku exploit watu vulnerable?
Umekosa Sana. You can cause hata usaidizi mwengine angepata, asipate.
Sooooo disappointed na wewe 'mundu wa mucii'. Pls rectify.
Plus hizo details zake umesema tutaona umeandika, pia hukuandika.😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Dina makhokha
@@Deladocumentaryshow its Dinah Makokha
This story isn't adding up....
Kavae uko
Say my name is Not my names are
Nivile ni mingi