Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
  • 121
  • 335 466
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Bei Nafuu Kisemvule - Fursa ya Uwekezaji Mjini Dar es salaam #Viwanja
Je umekuwa ukitafuta viwanja vizuri vilivyopimwa Kisemvule Dar es salaam!?
Je unahitaji #Viwanja #Vilivyopimwa vya Bei nafuu Mjini?
Wahi Fursa hii adimu ya #Uwekezaji kwa Kununua Viwanja Nafuu Hapa mjini. Kumbuka Ardhi ni Rasilimali pekee ambayo itakupa Fursa ya kuwa na Kipato Endelevu.
Ni mradi mpya uliopo hapa #Kisemvule Kioo Dar es salaam wenye Viwanja zaidi ya 1000 katika Eneo #Tambarare ambalo halituamiashi maji kipindi cha Masika.
Viwanja Vimepimwa kwa ukubwa Tofauti tofauti kuanzia Sqm 200 na kuendelea. Na kwa kila Sqm 200 unajipatia kwa Tzs. 1,600,000/= tu ambapo unaruhusiwa kulipa kwa awamu bila riba wala dhamana.
Ukubwa wa #kiwanja cha Sqm 200 unajenga nyumba mpja kubwa ya vyumba vitatu na kila kitu ndani. Unasubiri nini ewe #Mtanzania Changamkia fursa hii kabla haija kupita!
Eneo Limezungukwa na Huduma za kijamii na Majirani wa kutosha! ambapo kutokea barabara kuu ya Kilwa ni km 6 (sita tu). Kwenye eneo hili unajenga #Nyumba na kuamia.
#Beinafuu ni Chaguo lako Kiwanja tambarare ni fursa yako unasubiri viishe?? Hapana njoo sasa ujipatie Viwanja vilivyopimwa kwa bei nafuu Hapa Kisemvule.
TUPIGIE SIMU SASA
+255747141871
MITANDAO YA KIJAMII
■Facebook👇
sadammpacha?mibextid=ZbWKwL
■Instagram👇
aisam.bestland
MIRADI MINGINE ILIYOPO SASA IFUATAYO👇
MIRADI YETU YA SASA @aisam.bestland
01. KISEMVULE OBEYCITY
●Bei: Tsh. 750,000/= tu
●Ukubwa: ft 40/50
●Malipo: Installment
●Umbali Km 6 kutokea road
●Huduma za kijamii zipo jirani
02. KISEMVULE MJINI
●Bei: Tzs. 3,500,000/=
●Size/Ukubwa ft 40/50
●Malipo: Installment YES
●Umbali: Mita 500 (Â―Km)
●Huduma za kijamii zote zipo
03. KISEMVULE KIOO
●Bei: Tzs. 1,600,000/=
●Ukubwa: ft 40/50 (SQM 200)
●Malipo ya Awamu
●Umbali: Km 3 kutoka road
●Majirani na huduma za kijamii zipo
04. VIKINDU VIANZI MJINI
●Bei: Tzs 2,700,000/=
●Ukubwa: ft 40/50
●Malipo ya awamu-YES
●Umbali/Distance ni km 4
●Huduma zote muhimu zipo
06. VIANZI PENTAGON
●Bei ni Tzs. 850,000/=
●Ukubwa: ft 40/50
●Malipo: Cash/Mkupuo tu
●Umbali ni Km 3 kutokea Vianzi
●Majirani na Umeme upo
07. VIANZI CHANG'OMBE
●Bei ni Tzs. 1,000,000/=
●Ukubwa ni ft 40/50
●Malipo: CASH(Mkupuo)
●Umbali Km 4 kutoka Vianzi
●Huduma ziko karibu sana
●Eneo ni tambarare
TUPIGIE SASA!
+255747141871
#nyumba #viwanja #realestate #property #viwanjavikindu #africancity #agriculture #dar #fursazauwekezaji
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡: 454

āļ§āļĩāļ”āļĩāđ‚āļ­

Nyumba yako Jenga Hapa Viwanja Vizuri Vinauzwa Kisemvule Dar es salam #realestate #nyumba #viwanja
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 696āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
SOMA MAELEZO HAYA👇 Karibu kwenye video hii ambapo tunakuletea fursa ya kipekee ya kumiliki viwanja vyenye ukubwa wa ft 40 kwa 50 hapa Kisemvule, Dar es Salaam, kwa bei ya ofa ya shilingi milioni moja na laki sita tu! (1,600,000/=) ■Viwanja hivi vipo kwenye eneo linalokuwa kwa kasi, lenye mandhari nzuri na huduma za msingi kama barabara, umeme, na maji karibu na eneo. Faida za Kununua Viwanja Ki...
Viwanja Vikindu Mjini kwa Bei Nafuu - Miliki Kiwanja chako Leo!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 6812 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
SOMA HAPA👇 Karibu kwenye fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja chako katika eneo lenye utulivu na maendeleo - Vikindu Mjini Kwa bei nafuu ya Tsh. 4,500,000/=, unaweza kuwa mmiliki wa kiwanja chenye thamani kubwa kwa uwekezaji au makazi. Vikindu Mjini ni eneo linalokua kwa kasi, likiwa na miundombinu bora kama barabara za lami, maji na umeme, huduma za afya, shule, na masoko, inayokufanya uishi m...
OFA NONO #VIWANJA VYA KUJENGA #NYUMBA YA KUISHI VINAUZWA TSH. 750,000/= TU
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 3492 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
Umekuwa ukitafuta mradi wa bei nafuu kwa ajili ya makazi yaani kujenga nyumba ya kuishi hapa mjini? Usijali karibu kwenye mradi huu uliopo Kisemvule Obey V.I.P City ni viwanja vya bei nfuu vinauzwa kwa kulipa kwa awamu. Ukubwa wa Viwanja ni ft 40/50 ni ukubwa wa Kujenga #nyumba moja ya kuishi yenye vyumba vitatu na kila kitu ndani. Bei kwa kila kiwanja ni Tsh. 750,000/= ambayo unaruhusiwa kulip...
Viwanja Vinavyouzwa Vikindu Kazole - Fursa za Uwekezaji Katika Mji Uliochangamka Dar
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1.9K3 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
SOMA MAELEZO HAYA Karibu kwenye video yetu inayokuonyesha fursa za kipekee za kununua viwanja Vikindu, moja ya maeneo yanayokua kwa kasi na yenye uchangamfu katika mji wa Dar es Salaam! Ikiwa unatafuta nafasi ya kuwekeza katika ardhi yenye thamani inayoongezeka kila siku, basi uko mahali sahihi. Katika video hii, utapata taarifa muhimu kuhusu viwanja vinavyouzwa katika eneo la Vikindu. Tumeweka...
Viwanja Vinavyouzwa Pembezoni mwa Mji wa Dar es Salaam - Fursa za Uwekezaji 2024
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 8733 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
SOMA MAELEZO HAYA👇 Karibu kwenye video yetu inayokuonyesha fursa za kipekee za kununua viwanja pembezoni mwa mji wa Dar es Salaam! Ikiwa unatafuta nafasi ya kuwekeza katika ardhi yenye thamani inayoongezeka kila siku, basi uko mahali sahihi. Katika video hii, utapata taarifa muhimu kuhusu viwanja vinavyouzwa maeneo ya Mbezi, Kigamboni, Bunju, na Kigogo. Tumeweka mikakati madhubuti kuhakikisha u...
JIONEE VIWANJA VIZURI BEI NI ZAIDI YA KITONGA TSH. 750,000/= UJENGE NYUMBA YAKO!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 6583 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
@mamasamia #Tanzania #daressalaam Tumefungua mradi mpya wa Viwanja ambao ni nafuu sana....! Mradi unapatikana Kisemvule Obey ni eneo ambalo limepangiliwa na lipo sehemu nzuri zaidi. Ardhi yan eneo ni la kichanga na lipo juu halituamishi maji kipindi cha masika. Bei ya viwanja ni Tsh. 750,000/= kwa kila kiwanja yaani ni zaidi ya kitonga! ukubwa wa viwanja ni Ft 40/50 ni ukubwa wa kujenga nyumba ...
KUMEKUCHA...!!! KAMA ULAYA VIWANJA VINAUZWA VIKINDU BEI NAFUU
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1.4K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
#NAMBA YETU YA SIMU #0747141871 tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp. #nyumba #kigamboni #investment #realestate 👇👇👇👇👇 JE Unahitaji Viwanja vilivyopimwa Dar es salaam? Njoo ujipatie viwanja hapa Vikindu mjini ambapo kutokea barabara kubwa ya lami ni mita 50 tu. Viwanja vimepimwa kuanzia ft 40/50 ambapo utavipata kwa Tsh. Milioni tano na laki tano tu (5,500,000/=) pia vipo viwanja vya (4,800,000/=...
#VIWANJA VIZURI SANA #VINAUZWA DAR ES SALAAM GARI MOJA HADI #KARIAKOO
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1.2K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
#NAMBA YETU YA SIMU #0747141871 tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp. #nyumba #kigamboni #investment #realestate 👇👇👇👇👇 JE Unahitaji Viwanja vilivyopimwa Dar es salaam? Njoo ujipatie viwanja hapa Vikindu mjini ambapo kutokea barabara kubwa ya lami ni mita 50 tu. Viwanja vimepimwa kuanzia ft 40/50 ambapo utavipata kwa Tsh. Milioni tano na laki tano tu (5,500,000/=) pia vipo viwanja vya (4,800,000/=...
HII NI OFISI YAKO, JIPATIE HUDUMA BORA, VIWANJA BEI NAFUU DAR ES SALAAM.
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
HII NI OFISI YAKO, JIPATIE HUDUMA BORA, VIWANJA BEI NAFUU DAR ES SALAAM.
#NYUMBA NYINGINE YA KISASA #INAYOUZWA KWA #BEI NAFUU DAR (#Luxury house for sale in Dar es salaam)
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 4.5K5 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
#NYUMBA NYINGINE YA KISASA #INAYOUZWA KWA #BEI NAFUU DAR (#Luxury house for sale in Dar es salaam)
IPO #KIGAMBONI NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 4K6 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
IPO #KIGAMBONI NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA!
ðŸ‡đðŸ‡ŋ IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 7K6 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
ðŸ‡đðŸ‡ŋ IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
#NYUMBA BORA INAYOUZWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM-CHAMAZI/ Residential House for Sale in Dar es salaam.
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 18K6 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
#NYUMBA BORA INAYOUZWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM-CHAMAZI/ Residential House for Sale in Dar es salaam.
ðŸ”ĨVIWANJA KIGAMBONI-TUANGOMA ðŸ‡đðŸ‡ŋ BEI IMEPOA ZAIDI!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 2.4K6 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
ðŸ”ĨVIWANJA KIGAMBONI-TUANGOMA ðŸ‡đðŸ‡ŋ BEI IMEPOA ZAIDI!
ðŸ’Ĩ #VIWANJA VYA BEI NAFUU #VINAUZWA #VIKINDU SEHEMU NZURI ZAIDI #DARESSALAAM
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 3.8K7 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
ðŸ’Ĩ #VIWANJA VYA BEI NAFUU #VINAUZWA #VIKINDU SEHEMU NZURI ZAIDI #DARESSALAAM
ðŸ”ĨVIWANJA VINAVYOUZWA VIKINDU-VIANZI✅ïļ[DAR ES SALAAM] BEI NAFUU SANA! #Viwanja #daressalaam #Tanzania
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 3K7 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
ðŸ”ĨVIWANJA VINAVYOUZWA VIKINDU-VIANZI✅ïļ[DAR ES SALAAM] BEI NAFUU SANA! #Viwanja #daressalaam #Tanzania
✅ïļVIWANJA VITAMU KULIKO VYA #KIGAMBONI VIPO HAPA MBANDE #MJINI (#DAR ES SALAAM ) #VINAUZWA
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 2.5K8 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
✅ïļVIWANJA VITAMU KULIKO VYA #KIGAMBONI VIPO HAPA MBANDE #MJINI (#DAR ES SALAAM ) #VINAUZWA
✅ïļVIWANJA MBANDE-TAMBANI MJINI✅ïļVIWANJA VINAUZWA VYA KUJENGA & KUAMIA (DAR ES SALAAM ) #realestatetz
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 3.4K8 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
✅ïļVIWANJA MBANDE-TAMBANI MJINI✅ïļVIWANJA VINAUZWA VYA KUJENGA & KUAMIA (DAR ES SALAAM ) #realestatetz
KIGAMBONI✅ïļ VIKINDU ✅ïļ KISEMVULE VIWANJA NI RAHISI SANA! VINAUZWA NA VIMEPIMWA! UTAMU UTAMU ZAIDI
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 3.9K8 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
KIGAMBONI✅ïļ VIKINDU ✅ïļ KISEMVULE VIWANJA NI RAHISI SANA! VINAUZWA NA VIMEPIMWA! UTAMU UTAMU ZAIDI
KIGAMBONI KUMENONA VIWANJA VIZURI SANA VIMEPIMWA UNAJENGA UNAAMIA!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 8398 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
KIGAMBONI KUMENONA VIWANJA VIZURI SANA VIMEPIMWA UNAJENGA UNAAMIA!
VIWANJA VINAVYOUZWA AMBAVYO HUPASWI KUVIKOSA NI HIVI VYA KISEMVULE V.I.P CITY. #realestate
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 9459 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
VIWANJA VINAVYOUZWA AMBAVYO HUPASWI KUVIKOSA NI HIVI VYA KISEMVULE V.I.P CITY. #realestate
DAH! UKIVIKOSA VIWANJA HIVI....NI VIWANJA PEKEE VILIVYOPIMWA NA VINA HATI MILIKI VINAUZWA! KISEMVULE
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1.4K9 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
DAH! UKIVIKOSA VIWANJA HIVI....NI VIWANJA PEKEE VILIVYOPIMWA NA VINA HATI MILIKI VINAUZWA! KISEMVULE
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA NI NZURI MNOO MTAA WA MATAJIRI #investment #realestate #property
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 60010 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
NYUMBA INAUZWA KIGAMBONI KIBADA NI NZURI MNOO MTAA WA MATAJIRI #investment #realestate #property
JENGA NYUMBA KALI KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KURASIMISHWA KISEMVULE
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 21010 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
JENGA NYUMBA KALI KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWA NA KURASIMISHWA KISEMVULE
VIWANJA VYA VILIVYOPIMWA VYA KUPATA HATI MILIKI ZA WIZARA! KISEMVULE
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 42110 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
VIWANJA VYA VILIVYOPIMWA VYA KUPATA HATI MILIKI ZA WIZARA! KISEMVULE
Mradi pekee Uliopimwa na uliorasimishwa Kisemvule (Viwanja nafuu vilivyopimwa Vinauzwa)
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 36010 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™
Mradi pekee Uliopimwa na uliorasimishwa Kisemvule (Viwanja nafuu vilivyopimwa Vinauzwa)
BEI NAFUU ZAIDI YA SANA VIWANJA VILIVYOPIMWA VIKINDU-MALOGORO
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 2.7Kāļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§
BEI NAFUU ZAIDI YA SANA VIWANJA VILIVYOPIMWA VIKINDU-MALOGORO
USIKUBALI UAMBIWE VIWANJA HIVI VIMEISHA WAHI SASA! BEI YA KUTUPA NAFUU SANA!
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 2.4Kāļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§
USIKUBALI UAMBIWE VIWANJA HIVI VIMEISHA WAHI SASA! BEI YA KUTUPA NAFUU SANA!
OFA MTELEZO VIWANJA VYA KUZOA VIMEPIMWA KARIBU NA KIGAMBONI
āļĄāļļāļĄāļĄāļ­āļ‡ 1.2Kāļ›āļĩāļ—āļĩāđˆāđāļĨāđ‰āļ§
OFA MTELEZO VIWANJA VYA KUZOA VIMEPIMWA KARIBU NA KIGAMBONI

āļ„āļ§āļēāļĄāļ„āļīāļ”āđ€āļŦāđ‡āļ™

  • @GracePrince-p1o
    @GracePrince-p1o 12 āļŠāļąāđˆāļ§āđ‚āļĄāļ‡āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Bdoo vipoo

  • @samasob8233
    @samasob8233 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    why are you building roofs like that? Ni kwanini mmejenga nyumba ina paa kiasi hicho? mapaa kama hayo wanakuwa nayo ulaya na kwengine kwenye mabarafu ili barafu isikae kuelemea paa, nyie mna sababu zipi? naona sehemu kubwa Tanzania sasa hivi kuna mapaa ya mitindo hii, naomba mnielimishe kidogo, otherwise mnapoteza nafasi tu hapo juu

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 11 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Kipo bado?

  • @SalumMdumla
    @SalumMdumla 13 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Tajeni vipimo kwa metre

  • @SalumMdumla
    @SalumMdumla 13 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Ushauri wangu muwe mnataja vipipo kwa mita na siyo futi

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 13 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    âĪâĪâĪâĪâĪ

  • @RichardMustafa-v1i
    @RichardMustafa-v1i 15 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Nahitaji kimoj

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba 14 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      Tuwasiliane WhatsApp +255747141871

  • @SadikOmary-d2u
    @SadikOmary-d2u 20 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Naitaji kiwanja

  • @SadikOmary-d2u
    @SadikOmary-d2u 20 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Naitaji kiwanja vipo apo

  • @SalumMdumla
    @SalumMdumla 22 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Muwe mnataja viwanjwa kwa metre

  • @FatumaRashidi-jk5ki
    @FatumaRashidi-jk5ki 26 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Wpi

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq 26 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Kwani bado vipo mue mnajibu bas

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba 26 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

      "BADO VIPO" Unapohitaji huduma ya haraka tafadhali chukua namba kwenye video tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq 26 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Bado vipo

  • @PeterBaininwa
    @PeterBaininwa 28 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Bado kipo, nataka kimoja

  • @issahamisi1317
    @issahamisi1317 28 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Mm naitaji kiwanja hpo mtaa gani kigamb ama?

  • @NeemaEmmanuel-pk5fq
    @NeemaEmmanuel-pk5fq 28 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Bei my

  • @Fatuma-t6n
    @Fatuma-t6n 28 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Mm.nahitaji.kaka

  • @EverinRobert-cg6cx
    @EverinRobert-cg6cx 29 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Maji na umeme umeshafika

  • @EverinRobert-cg6cx
    @EverinRobert-cg6cx 29 āļ§āļąāļ™āļ—āļĩāđˆāļœāđˆāļēāļ™āļĄāļē

    Maji yapo

  • @peninahkithy9052
    @peninahkithy9052 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Za za izi huko 😊 si karibu na baharini kaka

  • @HajiJuma-d5q
    @HajiJuma-d5q āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    How much

  • @HajiJuma-d5q
    @HajiJuma-d5q āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Ila nipo nje ya nchi Dec24 lnshaallah nitakuwa nimesharudi tutabagain

  • @HajiJuma-d5q
    @HajiJuma-d5q āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mm ninahitajia kimoja kiwe kipo barabarani

  • @HajiJuma-d5q
    @HajiJuma-d5q āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mm ninahitaji kiwanja lakin cha njiani

  • @hatimmukhi6615
    @hatimmukhi6615 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Njia ya kufikia inapitika wakati wote

  • @hatimmukhi6615
    @hatimmukhi6615 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Salama Ipo karibu na bahari?

  • @GtrudaUtenga-es4pq
    @GtrudaUtenga-es4pq āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Bado vipo

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    kaka nitajihakikishiaj kama hakuna utapeli please...mm nataka viwili kwny sehem moja ila NIKO NJE YA TANZANIA nafanyaje plz na kuna unaminif gan?

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Utajihakikishia pale utakapokuja Ofisini kufanya mahojiano kabla ya kununua

  • @LailaLl-r6v
    @LailaLl-r6v āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Bado vipo?

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Ndio bado vipo +255747141871

    • @LailaLl-r6v
      @LailaLl-r6v āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      @@aisambestlandviwanjanyumba hutumii wsp?

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Nitumie namba yako nikutafute

    • @LailaLl-r6v
      @LailaLl-r6v āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      @@aisambestlandviwanjanyumba umeiona?

  • @LailaLl-r6v
    @LailaLl-r6v āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    âĪ

  • @Salma1212-u3o
    @Salma1212-u3o āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mimi naitaji kiwanja je nitapata

  • @Salma1212-u3o
    @Salma1212-u3o āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Bado vipo au vimeisha

  • @HussainDADEEN
    @HussainDADEEN āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Nataka kama vp

  • @heriethmosha9868
    @heriethmosha9868 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Bado vipo

  • @LailaLaila-kg2qd
    @LailaLaila-kg2qd āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    50 kwa 40 unajenga vyumba vingapi kakaangu

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Vyumba Vinne dadaangu +255747141871

    • @LailaLaila-kg2qd
      @LailaLaila-kg2qd āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      @@aisambestlandviwanjanyumba Sawa nimekuelewa kakaangu Asante sana

  • @marionntomola1686
    @marionntomola1686 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Du

  • @PeterBaininwa
    @PeterBaininwa āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Bado vipo?

  • @usercabal
    @usercabal āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Kwanini viwanja mpime kwa futi

  • @amiramir-d7c
    @amiramir-d7c āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Amna utapeli mjomba

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Hii channel iko zaidi ya miaka 4 tunawasidia watu kupata viwanja kwa kujihakikishia fika pale ofisini KISEMVULE au tembelea kwenye mitandao ya kijamii 👇 INSTAGRAM instagram.com/aisam.bestland FACEBOOK facebook.com/sadammpacha?mibextid=ZbWKwL TIKTOK www.tiktok.com/@aisambestland?_t=8oWhfSDMUPV&_r=1 Tupigie simu kwa maelezo zaidi +255747141871

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Mimi pia nimefaidika bila utapeli

  • @rosemaryikamba5288
    @rosemaryikamba5288 āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Aisam best land property hawana ubabaishaji hawana tamaaa wala Madalali wako na office kila kitu kinafanyika Officially hata kama Uko nje ya Nchi pata mawasiliano nunua kiwanja bila utapeli.. Big up Sana 👍

  • @HussainDADEEN
    @HussainDADEEN āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Nimependa cna pesa yapamoja munanisaidiaje

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Tupigie au tutumie ujumbe WhatsApp tukusaidie +255747141871

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Vikindu Ipowapi Tafadhali?

  • @RichardNiyonkomezi
    @RichardNiyonkomezi āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Naitaji kiwanja vip ?

  • @bano_sadeghy
    @bano_sadeghy āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Hii nyumba bad ipo au ishauzwa

  • @bano_sadeghy
    @bano_sadeghy āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Hii nyumba bad ipo au ishauzwa

    • @aisambestlandviwanjanyumba
      @aisambestlandviwanjanyumba āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

      Ndio bado ipo +255747141871

  • @PeterBaininwa
    @PeterBaininwa āļŦāļĨāļēāļĒāđ€āļ”āļ·āļ­āļ™āļāđˆāļ­āļ™

    Vimeisha au bado vipo?