USO KWA USO MZEE MAGOMA AVUTANA NA HAJI MANARA, WEWE HATUKUTAKI, RUDI SIMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 647

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 2 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂❤ magoma umetisha

  • @harbatramadhani2829
    @harbatramadhani2829 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mzee ana LOGIC flan hiv ukiwa na akili timamu utamwelewa vizuri

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 2 หลายเดือนก่อน +66

    Ukiangalia Comments Unajua Baadhi Ya Wa Tanzania wengi Bado wengi wana Ujinga na akili zimeganda hatupendi kujifunza au Kuelewa tunapenda kusikia maneno na umbeya..Mahakama hua haikurukupi iko makini.

    • @JosephDamasimushy
      @JosephDamasimushy 2 หลายเดือนก่อน +8

      We kenge nini wangap wanahukumiwa bila hatia

    • @engisack9610
      @engisack9610 2 หลายเดือนก่อน +3

      Point ✍️

    • @athumanimpanda4734
      @athumanimpanda4734 2 หลายเดือนก่อน +7

      We ndo huna akili, mahakama inaweza kukosea kutoa hukumu pia ndio maana kuna rufaa, lakini pia hii hukumu inamapungufu mengi kwanza Kesi ilisikilizwa upande mmoja bila upande wa pili kuwepo na taratibu za kimahakama zilikiukwa. Mahakama ilitakiwa watoe Tangazo kwenye vyombo vya habari ama magazeti hawakufika mahakama ndio inaweza kuamuru kesi isikilizwe upande mmoja

    • @barkemtika1575
      @barkemtika1575 2 หลายเดือนก่อน +2

      Mzee embu bAdilika kidogo mzee

    • @FranksonMkumbwa-mb3pp
      @FranksonMkumbwa-mb3pp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Nani alikuwa mshitakiwa? Na nani alisimama mahakamani , mzee mhuni

  • @raymondmwalisatile127
    @raymondmwalisatile127 2 หลายเดือนก่อน +9

    Ukiwa simba,, Raha kumsikiliza huyu mzee🔥🔥😂

  • @Lundege_Hips
    @Lundege_Hips 2 หลายเดือนก่อน +17

    Mimi ni shabik wa Yangu ila huyu mzee yupo sahihi sana

    • @selemapingon9286
      @selemapingon9286 2 หลายเดือนก่อน +1

      Hayupo sahihi. Anapotosha. Ni kutokujua tu. Real Madrid in Rais, Barcelona ina Rais. Uenyekiti unakuja kwenye vikao. Kukiwa namkutano then rais anakuwa mwenyekiti

    • @ShedrackThomas-nu1ko
      @ShedrackThomas-nu1ko 2 หลายเดือนก่อน

      Hakuna lolote

  • @rukundorwiza5223
    @rukundorwiza5223 2 หลายเดือนก่อน +3

    Hongera sana babu magoma tunakupenda we ndo yanga❤

  • @obijoha2877
    @obijoha2877 2 หลายเดือนก่อน +8

    Engineer Hersi na Degree , kumbe Magoma ana PHD😂

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 2 หลายเดือนก่อน

      PhD ya mama yako manina wewe

    • @omarypetro3207
      @omarypetro3207 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂 Jibu kwa hoja mama tena kafanyaje ​@@godsonkyense4742

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 2 หลายเดือนก่อน +29

    Yanga punguzeni kupenda supuu za bwerere msikizeni huyu babu yenu?

    • @Daudimhagams
      @Daudimhagams 2 หลายเดือนก่อน +3

      acha shobo fatilia team yako choko wewe yakwenu yamewashinda kazi ya yanga

    • @alittlemoretime
      @alittlemoretime 2 หลายเดือนก่อน

      Peleka upuuzi wako

    • @alittlemoretime
      @alittlemoretime 2 หลายเดือนก่อน

      Wemjinga nn

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 2 หลายเดือนก่อน +1

      😂😂😂 sawa kabisa

    • @hosea7919
      @hosea7919 2 หลายเดือนก่อน

      Inaonekana uliimia sana kwakukosa supu ya YANGA😂😂

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 2 หลายเดือนก่อน

    Bongo Dar es salaam kuna viumbe huyu ndio clip yangu ya kwanza kukaa na kumsikiza kwa makini .nikipata jibu huyu mzee amehibrand na huu ujio wake wa style hii mukimfahamu mutacheka sana sanaaa tu.kuna sauti zake anajijibu mara kapandisha kama nyerere mara kaweka sauti ya masoud.wandishi wa habari hawajamuelewa .mzee magoma ww ni msani wa mwaka tushio .ANAHITAJI MANAGEMENT

  • @AbuuMatama
    @AbuuMatama 2 หลายเดือนก่อน +10

    Uyu mzee kumbe genius hivo

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 2 หลายเดือนก่อน

      UMEJUAJE NDUGU? HUYO MZEE WANA YANAGA WASIMPUUZE KAMWE kwasababu ANAHOJA NZITO WANAOMKATAA hawana uwezo wa kizibeba. ALIVYOSEMA KUHUSU ZOOM NA UKOSEFU WA UKUMBI INATIA AKILI SANA HAPO

    • @smarty1064
      @smarty1064 2 หลายเดือนก่อน +1

      Nilikua sijui kama ndo aliyekuw anashauri wachezaji wa kusajili, nilipoona kwenye social media nikajua anazingua na hana akili kumbe ni tofauti

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@YOSHUAMWAMPETA Hoja za mama yako manina Yoshua

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 2 หลายเดือนก่อน

      @@godsonkyense4742 IMANI,TAMADUNI NA DESTURI nilizokulia sikuwahi kufunzwa KUTUKANA ILA NAJUA AWAZAVYO MTU NA KUSEMA NDIVYO ALIVYO MOYONI MWAKE.

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 2 หลายเดือนก่อน

      NIKWELIIIII
      KBSAAAAAA NI GENIUS

  • @rizikimtei1635
    @rizikimtei1635 2 หลายเดือนก่อน +3

    Ili uwe mwanachama hai ni lazima uwe umelipia Card Yako.Wewe umesema huna card ,kwa hiyo ni kweli huyu Mzee siyo mwanachama hai w a Yanga.

  • @ShaibuAbdalla-z7g
    @ShaibuAbdalla-z7g 2 หลายเดือนก่อน +18

    Yan uyo mzee Yuko sawa kabisa

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 2 หลายเดือนก่อน

      Yuko sawa Kwa mama yako manina wewe

  • @JohnBegele
    @JohnBegele 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mzee una point tena kubwa tu, ila kueleweka kwa sasa hawata kuelewa, naamini kuna siku ipo utaeleweka.

    • @gweahshoo5120
      @gweahshoo5120 2 หลายเดือนก่อน

      Mbona kigwangala mligoma kumuelewa😂

  • @barakamwasenga2143
    @barakamwasenga2143 2 หลายเดือนก่อน +11

    Mashabiki wengi yanga oya oya hata hawajui magoma anasema nini

  • @JovianRichard-i5n
    @JovianRichard-i5n 2 หลายเดือนก่อน +7

    Mimi yanga ila mzee uko vizuri sana wa 2000 kukuelewa kaziii

    • @RosePetro-ck8pt
      @RosePetro-ck8pt 2 หลายเดือนก่อน +2

      Hauwezi kuwa ynga wewe

    • @JovianRichard-i5n
      @JovianRichard-i5n 2 หลายเดือนก่อน +2

      @@RosePetro-ck8pt wewe mwenye yangu unakadi ya yanga au ndiyo wale wapiga kelele

  • @waziriwaziri4330
    @waziriwaziri4330 2 หลายเดือนก่อน +3

    Huyu mzee ana uweledi sana kuliko hata msomi wa ovyo anayekandamiza haki za watu wapenda maendeleo Ila hata mimi nilipata wakati mugumu ivi kweli shabiki /mpenzi wa team furani kindakindaki unaweza hama.

    • @banagakatabazi9648
      @banagakatabazi9648 2 หลายเดือนก่อน

      Bwege tu huyu mzee. Anafikiri kwa kuangalia karibu sana

  • @JosephSaidi-db2rv
    @JosephSaidi-db2rv 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee magoma yupo sahihi kabisa.
    Ila mashabiki vitumbua hawawezi kumuelewa

  • @masumbukomola1911
    @masumbukomola1911 2 หลายเดือนก่อน +12

    huyu mzee ana akili sana

  • @rajabumalonda2625
    @rajabumalonda2625 2 หลายเดือนก่อน

    Kama ulizaliwa huna mvi na sasa una mvi ujue katka maisha mabadiliko ni lazima,kama unang'ang'ania ya zamani ujue huwezi kufika popote.Sasa Mzee usisumbue kichwa mi nakusashauri kasajili wachezaji baba na uwalipe ujipoze moyo kidogo

  • @FrankKamala-f9c
    @FrankKamala-f9c 2 หลายเดือนก่อน +9

    Haji manara na Ally kamwe ni nguvu moja sio nyuma mwiko 😁😁😁😁😁

  • @otmarykiowi4132
    @otmarykiowi4132 2 หลายเดือนก่อน +6

    Mzee anajua mpaka Zoom meeting 😂😂😂

    • @totonata5384
      @totonata5384 2 หลายเดือนก่อน

      He is well educated na ana uelewa mkubwa. Anajua anachokitaka na haki zake kama mwanachama

    • @ElizabethLukosya-lv2vf
      @ElizabethLukosya-lv2vf 2 หลายเดือนก่อน

      Mzee yupo sawa ila yanga vichwa vigumu badaye watakuja mkumbuka huyu Mzee

  • @NadhariusAman
    @NadhariusAman 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ukoo sawa mzee tumekuelewa

  • @ramadhanilessosaidi9691
    @ramadhanilessosaidi9691 2 หลายเดือนก่อน +3

    Magoma acha tabia hiyo.
    Umeona wapiiiii wanachama wa CCM nchi nazima wakakutana wote mkutano mkuu?
    Kuna wawakilishi.
    Hivi Magoma YANGA ni Ya Dar es salaam tuuuu.
    Na sisi wa mikoani tusemeje?

    • @roselynurio7645
      @roselynurio7645 2 หลายเดือนก่อน

      Wa mikoani shabikieni klabu za mikoani kama upo Iringa Lipuli😂

    • @roselynurio7645
      @roselynurio7645 2 หลายเดือนก่อน

      Baba anajieleza sana jamani

  • @jostonmwanukuzi6293
    @jostonmwanukuzi6293 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee Magoma anapoint

  • @mussatweve1270
    @mussatweve1270 2 หลายเดือนก่อน +5

    Safi sana mzee wangu

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 หลายเดือนก่อน +2

    Magoma mi5 tena😂😂

  • @latwifusiri164
    @latwifusiri164 2 หลายเดือนก่อน

    Kumbe mzee ana kadi ya kliniki afu wenzie wana kadi ya ATM

  • @ExzaudIpyana
    @ExzaudIpyana 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee yuko sahihi sana.inabid mmwambie hapo kunanini hapo kunaniniiiiiiiiii

  • @salimmalaka256
    @salimmalaka256 2 หลายเดือนก่อน +2

    NG'OMBE WA MAZIWA WANAOGOPA KUKOSA MAJANI 😂😂😂😂😂😂 MZEE MAGOMA YUPO SAWA KABISA

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 2 หลายเดือนก่อน +15

    Hamia Simba ukapewe usemaji badala ya Manara.

    • @saidkhamismasai1204
      @saidkhamismasai1204 2 หลายเดือนก่อน

      Ww ndio wa kuhama kwa vile hao ndio wanaijua yanga kuliko ww mtu wa juz

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 2 หลายเดือนก่อน

    NENDA SIMBA KWANI UMEKATAZWA CHAWA WW

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 2 หลายเดือนก่อน

    Very genius

  • @killingmleke1810
    @killingmleke1810 2 หลายเดือนก่อน

    Jinga hilo unajua Madrid wana raisi anaitwa perez kwani siyo Team ya mpira ile?

  • @wazirisaid8326
    @wazirisaid8326 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee Magoma yupo sahihi kabisa! Apewe timu yake mahakama imeshatoa hukumu na mzee ameshashinda. Sasahivi akina akina Aziz Ki, Diara, Mzinze, Chama, Mwamnyeto na wengine kibao wote ni mali ya mzee Mponda😊😊

  • @BADAWY575
    @BADAWY575 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu mzee bonge la comedy adi raha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mara anaonesha mkataba yalio andikwa anatunga hapo hapo paka mtangazaji kastuka 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @mbwanahasan2971
    @mbwanahasan2971 2 หลายเดือนก่อน +10

    Dah ccm kiboko yani mnawahamisha watu kwenye mada ya nape mkaona mlete mambo jaya ili tusahau

    • @wanyooshetv9987
      @wanyooshetv9987 2 หลายเดือนก่อน

      Nape kafanyaje

    • @lukasjelamisanana6770
      @lukasjelamisanana6770 2 หลายเดือนก่อน

      Nape kafanya nn

    • @NtamamiloGibson
      @NtamamiloGibson 2 หลายเดือนก่อน

      Nape ndio nani wewe? Aliyechapwa makofi na Kitenge baada ya kutumbuliwa na JPM 😂😂😂

  • @jazzjeff8431
    @jazzjeff8431 2 หลายเดือนก่อน

    Mpeni time yake mzee wa watu.....magoma ze hero.......tunataka katiba yetu Ile ile tuliishi nayo kiujamaa...hii ya allikamwe na wenzie

  • @YacobThiago-x3h
    @YacobThiago-x3h 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee magoma 2po naww mbaka mwisho wasafali yako upate haki cc wsnasimba tumesikitishwa Sana na upuuzi unaofanyika kwasasa ktk club ambayo ni watani we2 wa jadi

    • @seciliamchalo5627
      @seciliamchalo5627 2 หลายเดือนก่อน

      Pole bado hamjasikitika ila mnayemwogopa bado yupo sana

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 2 หลายเดือนก่อน

    Upeo bado sana mzee

  • @aku-vc09a11k
    @aku-vc09a11k 2 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni ndoto za mchana...Zoom au mfumo wowote wa online meeting una limit, na hii ndio hasara ya kulishwa maneno..its total uncalled for na ufinyu wa kufikiri

  • @snipershort6988
    @snipershort6988 2 หลายเดือนก่อน +4

    Kama mfumo wa makolo umekupendeza nenda huko, ndomana kesi za kimichezo unapeleka mahakama za kawaida ukifananisha taasisi inayojitegemea na chama cha siasa,. MZEE MMOJA WA HOVYO SANA KUMBE BADO HALIJITAMBUI HILI ZEE 😮😮 HEBU MWAMBIE AVUE NGUO AKASIMAME MBELE YA KIOO HUENDA AKAJIPATA YUPO KUNDI KIPI😢😢 INNALILAH WAINNAILA😊😊

    • @ndogoroedson199
      @ndogoroedson199 2 หลายเดือนก่อน +1

      Chuki tu imekujaa mzee yupo sahihi ninyi ndyo misukule mnaoburuzwa tu kws kuwa et yanga inafanya vizuri watu wasiseme

    • @shirrangimedia4570
      @shirrangimedia4570 2 หลายเดือนก่อน

      Kafiri wewe utakufa mibudu mjinga mkubwa huyumzee anahakili zaidi ya babayako unajieerewa wewe ?? Ungekua karibu ningekupga doko maana inaonekana unafilimbwa mshenzi mmoja

    • @godluckharuna7192
      @godluckharuna7192 2 หลายเดือนก่อน

      Msipomuelewa huyu mzee mjue bado hamjakua

  • @liberatvalence1510
    @liberatvalence1510 2 หลายเดือนก่อน

    Young African Akuna kumsamehe Kunguni kama uyu , Peleken Mahakmani achezee miaka saba kwa kufoji sain , akili ikae sawa

  • @imanimaulid8304
    @imanimaulid8304 2 หลายเดือนก่อน

    Yanga kueni makini sawa saizi mna mafanikio lakini baadae mnaweza Kuta kihenge hakina kitu Hawa wahindi wetu Hawa jeuri baadae ukuta sijapata faida yeyote

  • @MsafirGervas
    @MsafirGervas 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi ni yanga lakini huyu mzee yupo sahihi.

  • @husseinc
    @husseinc 2 หลายเดือนก่อน +26

    mgoma ana hoja asikilizwe

    • @ibrahimmbarouk1564
      @ibrahimmbarouk1564 2 หลายเดือนก่อน

      Bwana mkubwa Magoma, dhahiri ana ajenda ya chuki binafsi. Hafai kabisa, sasa njaa yake aseme nayo.
      Tizama sasa hata uhalali wa Ali Kamwe na Haji Manara.
      Yanga, Simba nakataa kuwa ni kabila.
      Mzee nakukumbusha mfano, Abdallah Kibadeni aliipenda sana Yanga lakini leo ni Simba kindakindaki, na mifano kama hii ipo tele.
      Sasa matakwa yako yawe ndiyo msahafu, huyu atizamwe kwa macho yote...

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 2 หลายเดือนก่อน

      ​@@ibrahimmbarouk1564asikilizwe na mama yako manina wewe

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 2 หลายเดือนก่อน +4

    Mafanikio ya club yanaficha madudu yanayoendelea ,,,tunabaki kusifia Team inafanya vizur mnasahau kuhoji

    • @stephanSandika
      @stephanSandika 2 หลายเดือนก่อน

      Wao walipo kuwa viongozi waliisaidia Nini timu

    • @jeremiahcharles6027
      @jeremiahcharles6027 2 หลายเดือนก่อน

      @@stephanSandika Team imeuzwa sio ya wananchi tena😁😁😁

    • @stephanSandika
      @stephanSandika 2 หลายเดือนก่อน

      @@jeremiahcharles6027 kawaida tu hata mo kawekwa b20

  • @MikidadiSalim-xk9dc
    @MikidadiSalim-xk9dc 2 หลายเดือนก่อน

    Mr Magoma umenivunja mbavu na pozi la kipwani ...

  • @MilajiHaji-f8f
    @MilajiHaji-f8f 2 หลายเดือนก่อน

    Mwanzoni nilikua namuona hafai ila ukweli nikwamba kufanya vizuli kwayanga kusifanye yanga ibiwe ukweli nikwamba GSM wana ibia sana yanga kweli jmn ukweli use mwenge hatakama sisi tunahitaji furaha ila ukweli nikwamba yanga inaibiwa sana nakubari mzee wangu tanzania waking wengi

    • @amadohlaiseri7809
      @amadohlaiseri7809 2 หลายเดือนก่อน

      Yanga isipo ibiwa wewe unafaidika nini?

    • @latwifusiri164
      @latwifusiri164 2 หลายเดือนก่อน

      GSM Ameiba nn...?

  • @richmaguzu4196
    @richmaguzu4196 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee yupo makini sana

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo Magoma anataka tu kuwa honganisha Yanga na CCM. Eti Hersi anapewa heshima kumzidi Samia. Mara boo club ya mpira ni chama, hakiwezi kua na rahisi. Kwani yeye hajui vilabu vikubwa duniani vina ma rais?

  • @saadaluvanga7024
    @saadaluvanga7024 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee upo makini Sana.

  • @frankhoffa8356
    @frankhoffa8356 2 หลายเดือนก่อน

    Nyoko sana we mzee. We unataka pesa tu sisi tunataka matokeo

  • @ILYASAKASSIM
    @ILYASAKASSIM 2 หลายเดือนก่อน +2

    Huyu mzee mwenda wazimu kweli,ata hajuwi anachokiongea ni nini?

    • @OnesmoMwacha-wp4bo
      @OnesmoMwacha-wp4bo 2 หลายเดือนก่อน

      Wewe umepofuka macho wewe ukiwa na njaa ukipata mtu akakupa mkate unauza kwenu.

  • @allykombo4915
    @allykombo4915 2 หลายเดือนก่อน +5

    Kweli huyu mzee ni mnafiki balaa

    • @youngsachafurniture5482
      @youngsachafurniture5482 2 หลายเดือนก่อน

      Uko wapi unafiki wake?

    • @totonata5384
      @totonata5384 2 หลายเดือนก่อน

      Mzee anaakili na busara. Anajua anachokitaka

    • @noorbazaar9063
      @noorbazaar9063 2 หลายเดือนก่อน

      Utopolo wengi ni mbumbumbu hivyo akitokea mtu mwenye akili anatukanwa.

  • @MussaCharles-l9p
    @MussaCharles-l9p 2 หลายเดือนก่อน +8

    We ungekuwa unaipenda yanga ungeishitaki mahakamani

    • @norbertmbena5896
      @norbertmbena5896 2 หลายเดือนก่อน +2

      ndo mahali penye hadhi ya kutasiri sheria

    • @IlhamKhalid-mt3jp
      @IlhamKhalid-mt3jp 2 หลายเดือนก่อน +2

      Kwaiyo ukipenda uburuzwe tu kama mzoga ?

    • @zeelamipango
      @zeelamipango 2 หลายเดือนก่อน +1

      Ulitaka aje ashitake nyumbani kwako

    • @MabenaKishapu
      @MabenaKishapu 2 หลายเดือนก่อน

      Kwan kaishitak yang ? ELEWA

    • @SalumuAlly-d9q
      @SalumuAlly-d9q 2 หลายเดือนก่อน

      Acha usenge babu haijashtakiwa yanga bali ni watu ambao hawaipeleki yanga inavyotakiwa

  • @chikualiy8705
    @chikualiy8705 2 หลายเดือนก่อน

    Naipenda simba yangu jamani ❤❤❤❤❤

  • @AshelyAbel-kg4kx
    @AshelyAbel-kg4kx 2 หลายเดือนก่อน

    Aise Mama samia Rais wetu mpendwa unayokazi ya kuwakomboa vijana wakitanzania wengi ufahamu hawana kwa tafiti niliyoifanyia kazi takiribani miaka mitano, maana yangu kubwa bado fikra za vijana wengi zipo kwenye mambo yakipuuzi hatupendi kujifunza bali tunaishi kwakujazwa upepo ila sio kupambanua mambo hivi ukiwa mwanayanga utamipingaje huyu magoma ambaye lengo lake nikujenga kwa kuweka mifumo endelevu

  • @AngelChàle-x3v
    @AngelChàle-x3v 2 หลายเดือนก่อน

    Unazingua mzee acha kukitetea kama ww ungefanyaje mwache mtoto wa wawt afanye Kaz ulikuwa wapi

  • @asnalimtv7690
    @asnalimtv7690 2 หลายเดือนก่อน

    Ila magoma upo vizur Sana mm naona bora wakuachie yanga kwanza Hawa watu wakuja tu sisi hizi Tim ni za wazaramo na wamanyema

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 2 หลายเดือนก่อน +9

    MZEE ANA HOJA ASIKILIZWE

    • @pambaboniface1199
      @pambaboniface1199 2 หลายเดือนก่อน

      wewe umemuelewa vuzuri kwa kuwa uelewa wako ni sawa na yeye hivyo usilazimishe wegine wawe kama wewe na huyo mzee wako

  • @FATUMABACARCADANGE
    @FATUMABACARCADANGE 2 หลายเดือนก่อน

    tokaaaaaa hautukutaki kolo ww

  • @SiaUrasa
    @SiaUrasa 2 หลายเดือนก่อน +3

    Jmn! Mna uhakika huyu mzee hana file mirembe??

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 2 หลายเดือนก่อน

    Hapo mwisho kamalizia vyema sana. Kaelezea maslai mapana ya nchi na kutufundisha kuacha uoga.

  • @BarakaNgusa-g4n
    @BarakaNgusa-g4n 2 หลายเดือนก่อน +1

    We kinembe kabisa pamoja na anaekuhoji

  • @HafidhMwinyi-fp2po
    @HafidhMwinyi-fp2po 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mzee Ana umimi zaidi na haitakii mema Yanga.

  • @charlestesha4202
    @charlestesha4202 2 หลายเดือนก่อน

    Upo vizuri sana Mzee unahoja

  • @saudahassam3031
    @saudahassam3031 2 หลายเดือนก่อน +3

    Mzee unauchungu na team achana na vijana wa 2000 kina kamwe tetea mzeeeee

    • @godsonkyense4742
      @godsonkyense4742 2 หลายเดือนก่อน

      Mwambie atetewe na mama yako manina wewe

  • @asantelaizer6674
    @asantelaizer6674 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee unazeeka vibaya 😊

  • @peterkampambe4584
    @peterkampambe4584 2 หลายเดือนก่อน

    Don't use political amblera to defend you

  • @kazimotomaswi9700
    @kazimotomaswi9700 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani ni kweli nami nimeweka bando

  • @MaluguIkamula
    @MaluguIkamula 2 หลายเดือนก่อน

    NJAA INAKUUMA KUMBE NJAA UMEONA UMEFANYA KAZ MDA MREFU HUPANDI CHEO UNAONA VIJANA WAKO JUU WIVU NENDA KANISAN

  • @LilianBitwale
    @LilianBitwale หลายเดือนก่อน

    Nguruwe fc ndo wamejazana humu kumsifia nguruwe mwenzao😂😂😂 sasa ni hiv na nguruwe wenu huyo hamuiwez yanga 😂😂

  • @safarivahocha8077
    @safarivahocha8077 2 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu Magoma anaropoka au anakusudia kudanganya? Yeye anatumia zoom meeting gani hiyo ambayo ina uwezo wa kushirikisha watu milion moja? Zoom Business pekee ndo ina weza kuwa na wahuzuriaji wengi na kikomo chake ni wahuzuriaji 500.

    • @ziondaniel3953
      @ziondaniel3953 2 หลายเดือนก่อน

      Anaweza kujoin 1 watu elfu wakafuatilia hata kwa spika

  • @RubenIbrahim-st6dh
    @RubenIbrahim-st6dh 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe kaongoze mbuzi jinga kwl Mzee wa hovyo

  • @salimumohamed-jp8hf
    @salimumohamed-jp8hf 2 หลายเดือนก่อน

    Wote wanao mtukana magoma hawana ajili Mzee ana hoja asikilizwe

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 2 หลายเดือนก่อน

    NDIYE watatu MWENYE AKILI YANGA WOTE ZEROOOOOO.UNGANENI PAMOJA NA MZEE MAGOMA MJENGE YANGA YAKUDUMU WAPUUUZI NYINYI

  • @jseventz
    @jseventz 2 หลายเดือนก่อน

    mzee yupo sahihi na anahaki kabisa

  • @AbbasPuyaga
    @AbbasPuyaga 2 หลายเดือนก่อน +1

    Kwani mzee ukiona Yanga huielewi si uende ata ndanda kwani lazima uishangilie Yanga??

  • @omaryferuzi
    @omaryferuzi 2 หลายเดือนก่อน

    Mambulula ndo wanaompinga huyu mzee yupo sahihi

  • @mwitajoseph5003
    @mwitajoseph5003 2 หลายเดือนก่อน

    Magoma asikilizwe ana hoja za msingi
    Hoja SI mafanikio Yanga iliyoyapata
    Hata kabla ya Eng Hers Yanga ilipata mafaninikio
    Katiba laziima ifuatwe.

  • @augustinemainde
    @augustinemainde 2 หลายเดือนก่อน

    Asikilizwe kwani wakati wa kupitisha rasimu alikuwa wapi? Uendeshaji wa kizamani ndo una wenyeviti magoma ,makampuni ya sasa yana marais

  • @HusnaMomonyo
    @HusnaMomonyo 2 หลายเดือนก่อน

    Yaani mzee magoma nisayarinyingine kabisa anamuono wahayajuu

  • @exaveryMwakilasa
    @exaveryMwakilasa 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mzee hapendi maendeleo ya Yanga.

  • @SangiwaMsangi-x4x
    @SangiwaMsangi-x4x 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee ruko pamoja mpaka wakuueee

  • @simonainea5387
    @simonainea5387 2 หลายเดือนก่อน

    Usipokaza fuvu unapata faida ya maelezo kwa huyu mzee. Na wengi wanawaza Furaha ya iliyopo na kuacha kujifunza mambo mengine muhimu ya TIMU.na sio kwa watani YANGA tu hata Simba Kuna kitu najifunza kupitia magoma.
    Eti mke anasema mimi sitoki hapa mbona nakula,navaa lakini anasahau mume anampa urithi mke mwingine hadi nyumba unayoishi.amkeni utopolo

  • @freddopeter
    @freddopeter 2 หลายเดือนก่อน

    Mashbiki wa simba tunaskia rah sana kumskilza huyu Mzee apewe mauwa yake tu

  • @MakarangaJilala
    @MakarangaJilala 2 หลายเดือนก่อน

    Huna Kaz nyingine mzee

  • @AlexChawe
    @AlexChawe 2 หลายเดือนก่อน

    Upo sahihi sana 💪

  • @mandeladaudy5264
    @mandeladaudy5264 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee tulia acha wenge

  • @nipashekambwili7289
    @nipashekambwili7289 2 หลายเดือนก่อน

    Wewe mzee sio kweli suala la uwakilish lipo maeneo yote je ww ni mwanachama wa chama gani je nec wanaingia WANACHAMA wote usitudanganye magoma,tunakuheshimu punguza mtandao narudia Tena tunakuheshimu tafadhali sana.

  • @IbraRajabu
    @IbraRajabu 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee msenge huyu ahamie simba

    • @agnesjohn9382
      @agnesjohn9382 2 หลายเดือนก่อน

      Ahamie simba timu yake amwachie nani

  • @sadathboutique6253
    @sadathboutique6253 2 หลายเดือนก่อน +2

    Hili zee chonganishi sna nw linataka kumgombanisha mama Samia na hersi kiufupi uyu mzee ni mchawi sna

  • @allykimbulaga8885
    @allykimbulaga8885 2 หลายเดือนก่อน

    Anasifia timu inayopotea iliyoshika nafasi ya 3 kwenye ligi anaiponda timu bingwa huyu mchawi wa MCHANA

  • @cmellengotila1803
    @cmellengotila1803 2 หลายเดือนก่อน

    Mzee yupo sahihi

  • @justinjasson7070
    @justinjasson7070 2 หลายเดือนก่อน

    Hakuna Duniani mkutano wa watu millioni moja, hata vyaka vya siasa vinafanya mikutano yao kwa mikuu kwa uwakilishi, hicho anachokitaka Mzee wetu hakiwezekani coz hata Zoom ina limitation ya members.

  • @miriam5735
    @miriam5735 2 หลายเดือนก่อน

    Mashabiki wa Simba wote ni wasenge kama huyu mzee

  • @simonainea5387
    @simonainea5387 2 หลายเดือนก่อน

    Rais wa TIMU😂😂😂 Bora hata sisi tulimzuga kusema Rais wa heshima

  • @shafiibobalish8532
    @shafiibobalish8532 2 หลายเดือนก่อน

    Magoma hana akili. Magoma tabia hii sasa haina nafasi, ulikuwa unaifanya hii tabia ya kipindi hiko, maisha yamebadilika mzee. Wizi wenu wewe, Mwaipopo na marehemu Rashid Binda sasa hamuwezi kuutekeleza siku hizi.

  • @japhetmiyoi6280
    @japhetmiyoi6280 2 หลายเดือนก่อน +4

    Analopoka tu mtoto wake mwenyewe anamkataa kama Hana Hela aseme tumsaidie tu shida tu zimemjaa

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,....Yaani magoma kweli chale Chaplin...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.....sasa ndo anaongea nini....magoma tuache, 🤣🤣🤣🤣🤣