Izo kula za apana anasimamia nani kama sio wakala wa ccm na wasimamizi wa uchaguzi ambao Woote ni familia Moja na hawakuweka Shelia kuwa ata kukiwa na kura za hapana basi kuwe na wakala mmoja wa upinzani kuakiki izo kula za hapana jambo nivile vile tu waliokuwa hawana wagombea kwenye viti vyao Woote watapita ata akama kura za hapana zikiwa nyingi kuliko za ndio na ao ndio ccm
Hukuyadhibiti , umechezewa tu. Hukuona mbali. Ilibidi mpiganie kutokuruhusu mgombea wa ccm pekee. Huko pia ni kupitishwa bila kupinga. Zitto umetumika bila kujielewa au ummetumika kwa kuiunga mkono ccm ipite. Bila kupingwa au kupingwa ni msemo tu ambao haujasaidia chochote. Umepoteza mvuto kwa kutokuwa serious na siasa. Siasa zako chafu zitto ulifikiri ni Chadema tu wangeenguliwa, Hukudhani kama ingegusa na kuathiri chama chako kwa namna hii. Kipande chako cha mkate si watanzania tunakitaka au kukikubalia. Tunahitaji mkate mzima na kiximkazi irudishwe Unguja na huyu unayeshea naye mkate Zanxibar. Usituletee ya Zanzibari Tanganyika. Usishiriki tena kutuuza. Tulishauzwa utumwani na hao watu. Its enough Enough is enough.
Nchi hii anae staili kutoa tamko nimmoja tu ni rais peke yake yeye zitto ninani amefika mara ngapi hapo kijijini kweni asiwadanganye msichanganye familia mtajuta mtakosa mengi
Very logical. Mwenye masikio na asikie. Iliyobaki ni kulinda kura. Za NDIYO ngapi na za HAPANA ni ngapi. Vyama vyote vya upinzani zingatieni haya
Hongera mkuu zitto
Nimelipenda Hilo jukwaa zait
Hongera sana zito
Hii nimeipenda
HOTUBA MOJA SAFI SANA NASHAURI VYAMA VYOTE VYA UPINZANI VIIGE SERA HIZI
Izo kula za apana anasimamia nani kama sio wakala wa ccm na wasimamizi wa uchaguzi ambao Woote ni familia Moja na hawakuweka Shelia kuwa ata kukiwa na kura za hapana basi kuwe na wakala mmoja wa upinzani kuakiki izo kula za hapana jambo nivile vile tu waliokuwa hawana wagombea kwenye viti vyao Woote watapita ata akama kura za hapana zikiwa nyingi kuliko za ndio na ao ndio ccm
Ushapata kura zote act haina mabaya
Hukuyadhibiti , umechezewa tu. Hukuona mbali. Ilibidi mpiganie kutokuruhusu mgombea wa ccm pekee. Huko pia ni kupitishwa bila kupinga. Zitto umetumika bila kujielewa au ummetumika kwa kuiunga mkono ccm ipite. Bila kupingwa au kupingwa ni msemo tu ambao haujasaidia chochote. Umepoteza mvuto kwa kutokuwa serious na siasa. Siasa zako chafu zitto ulifikiri ni Chadema tu wangeenguliwa, Hukudhani kama ingegusa na kuathiri chama chako kwa namna hii. Kipande chako cha mkate si watanzania tunakitaka au kukikubalia. Tunahitaji mkate mzima na kiximkazi irudishwe Unguja na huyu unayeshea naye mkate Zanxibar. Usituletee ya Zanzibari Tanganyika. Usishiriki tena kutuuza. Tulishauzwa utumwani na hao watu. Its enough Enough is enough.
Zito chawa
Ni sawa mlifanya juhudi angalau watapigiwa kura za ndiyo au hapana, je. wakala wa hapana atakuwepo? ni sawa na kupita bila kupingwa.
Kaka zito nakuelewa Sana shida umekaa kiutapeli flani hauko consistent kumlinda raia
Hiyo ni sera ya updp
❤❤❤❤❤🎉
Campaigns za ccm hazina attentions zozote ✌️
Kibaraka wa ccm
Wewe kibaraka wa mashoga
😳 Mwanasiasa pekee aliyesalia ambaye unaezamuomba feva na bado ukalala na amani, Zitto "Muha" Kabwe
Wapi ww C C M milele.
Acha ujinga ww
He kuwa firaun aligonga mwamba je iyo ccm
Tunakushukulu wana ilalanguru kuja kwetu
Nchi hii anae staili kutoa tamko nimmoja tu ni rais peke yake yeye zitto ninani amefika mara ngapi hapo kijijini kweni asiwadanganye msichanganye familia mtajuta mtakosa mengi
Mheshimiwa tatizo bado lipo kwani inaonyesha hakutakuwa na wakala wa kura za hapana. Kama ni hivyo shida iko palepale.
Wapinzani nawashanga.Mnampambania nani ?Wananchi ambao wapiga kuta ndiyo hao,wamepigika,wako hohe hohe wala hawajitambui.fanyeni shughuli zingine.
B
Nani atasimamia hizo kura za Hapana??..
Mawakala watakuwepo wa pande nyingine lakini je wataachwa wawepo bila kuletewa figisu za kuwaondoa ili CCM watekeleze wizi wao.