Huyu binti nampenda hasa katika wimbo wa "Yohana aliona mji ..." Hongera kwa kuanza nyumba. Maulana aibariki ndoa yenu, maana mmeaianza katika msingi imara, Yesu akiwa Jiwe lenu la pembeni.
Hongera mdogo wangu neema mungu akujalie bt mi nalalamika richa ya kua mwenyekiti wako wa assa tawi na kakaako tena rafiki yako mkubwa haukunipa taarifa kua unafunga ndoa ila yote mema kikubwa nakuombea kwa mungu akulinde na kkutia nguvu ili usimame vema kwenye maisha yandoaaaaa amina sana na hongera xana
barikiweni sana Ay Nyarugusu wimbo huu narudiarudia kusikiliza kinanda kimetulia sana sauti nzuri solo auti ya 3 na sauti zote zinanipa baraka sana. tulieni msitange mbali na huduma yenu.
AHSANTE ahsant ahsante🙏🙏 hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo jamani nimeelewa mm mwezenu nimepata kitu kupitia hii nyimbo barikiwa sana kwa huu wimbo moyowangu unaamani leo jaman tar 28/6/2020
Wenda ningependa nijue wangapi wenu,,muimbapo hizo nyimbo zenu,,Mnajua wangapi maelfu wa watu, munawaong'oa?Basi itoshe tu kusema hongera sana tena sana Iwe juu! MBINGUNI,,Amina
Nataman na ww ungeimba daaah....Nyarugusu nawaombea msiolewe mbali na kwaya yenu
Nice one listening and following from Kenya 🇰🇪. Meanwhile hongera Sana ay nyarugusu
Huyu binti nampenda hasa katika wimbo wa "Yohana aliona mji ..." Hongera kwa kuanza nyumba. Maulana aibariki ndoa yenu, maana mmeaianza katika msingi imara, Yesu akiwa Jiwe lenu la pembeni.
Umejuaje mimi pia hyvyo hvyo ule wimbo aliutendea haki
Hongera sana mrembo.Napenda huyu binti sana.Mungu na aibariki ndoa yenu.Kutoka Umoja Sda Kenya
Hongereni na kwenu pia waimbaji woteeee wa AY Nyarugusu, mmeimba vizuri.
Hongereni Sana Maharusi,. Bwana Mungu awabariki.
Nyumba yenu idumu ktk maombi daima.
Ujumbe Yoshua 24:15
Mbarikiwe saaan na mungu awatie nguv msonge mbele
Hongera mdogo wangu neema mungu akujalie bt mi nalalamika richa ya kua mwenyekiti wako wa assa tawi na kakaako tena rafiki yako mkubwa haukunipa taarifa kua unafunga ndoa ila yote mema kikubwa nakuombea kwa mungu akulinde na kkutia nguvu ili usimame vema kwenye maisha yandoaaaaa amina sana na hongera xana
Good job congratulations Ay nyarugusu
Hongera sana Mungu awaimarishe mdumu katika furaha
barikiweni sana Ay Nyarugusu wimbo huu narudiarudia kusikiliza kinanda kimetulia sana sauti nzuri solo auti ya 3 na sauti zote zinanipa baraka sana. tulieni msitange mbali na huduma yenu.
Hongera sana..Utukufu kwa Mungu
Ameen, Huyu ni mwlm wng htaa siamn.
Mbarikiwe Kwa wimbaji uliotukuka nawapenda Sana
Hongera sana nakupendaga sana kwenye ile nyimbo ya mji mtakatifu
AHSANTE ahsant ahsante🙏🙏 hakika nimebarikiwa sana na huu wimbo jamani nimeelewa mm mwezenu nimepata kitu kupitia hii nyimbo barikiwa sana kwa huu wimbo moyowangu unaamani leo jaman tar 28/6/2020
Hakika 🙏🙏
Barikiwa sana AY NYARUGUSU,MUNGU hakika anaiona kazi yenu atazd kuwaongoza
Neema jaman nmeimiss hii but hongera sanaaaaaaa wizoooo
Pianist ,mtunzi na sauti zenu hunijaza nguvu sana
MUNGU AWABARIKI SANA WANANGU, ENDELEENI KUMHESHIMU MUNGU NA SISI WAZAZI! MRS URIO
hongera sanaa daa neema. Mungu aibariki ndoa yako
Excellent composition to God's glory.
Yaani ad raha💕💕💕♥️♥️♥️
Hongera kwenu na Mungu awajalie katika familia yenu changa.
Amina
Hakika huwa nikitazama hii kwaya natamani uimbaji wangu ufanyike nanyi
@@nyarugusuaychoir1665 God bless you all
Hongera @Neema Andrew mwenyezi MUNGU, akutangulie mpz ndoa njema,
Hongereni Sana nyarugusu huwa mnanibariki Sana.
Hongereni sana ,sasa nami nakuja hapo nyarugusu AY kutafuta figa
Hahahaaa karibu sana
Asanteni kwa ukaribisho (tuombe kheri) soon ntakuwa hapo
Hongera hongera saaana!
Waaaaaw God bless these familly❤❤❤
Mbarikiwe ay Kwa nyimbo nzuri nabarkiwa xna
Hongera sana.
Wenda ningependa nijue wangapi wenu,,muimbapo hizo nyimbo zenu,,Mnajua wangapi maelfu wa watu, munawaong'oa?Basi itoshe tu kusema hongera sana tena sana Iwe juu! MBINGUNI,,Amina
Hongeraa sanaa
God bless you because of your ministry proceed to keep the taste of god music
Hata mimi nakuja kuoa kwenye kwaya yenu ili mniimbie, maana mnanikosha sana Hongereni nyinge kwenu❤️❤️❤️❤️🎁🎁🎁
Iko furaha katika familia hii mpya AMinaaa
Heee, hongera sana Mwalimu wangu kumbe umeshafunga ndoa. Mungu awe nanyi ktk ndoa yenu
Hongera saana Maharusi
Wimbo tamu sana.nimeipenda.
Hongera sana, Mungu awe kiongozi wao
Woooow mmeimba vzr sanaaaaa ay nyarugusu hongeraaaaaa sanaaaaaa Neema mungu aibarik ndoa yenu
GOD with u ❤❤❤❤❤❤❤ y0u do well
Hongereni Nyote, Bwana azidi kuwapigania na kuwabariki hata ktk kazi za Mikono yenu.
Good I love this choir
Rahabu unaimba yaani 💕💕💕 hadi natamani kuimba nanyi
Beans awalinde ktk ndoa yenu.
Dumuni katika maombj ba nyumba yenu iwe ya Sala siku zote.... Hongereni Maharusi
Hongera hongera
Always i feel peace in my heart when listening songs from my church choir ,AY be blessed ALOT
Nice song God bless you
Nyie watu ni balaaaaa
Congratulations mungu awe upande wenu👪
Hongera nyarugusu for the song
BWANA AIBARIKI FAMILIA HII MPYA, WAIMBAJI WA AY NYARUGUSU MNATUBARIKI SHAMBANI MWA BWANA WA MAJESHI
Lutema Hindia Kaje ,,,mnaendeleaje na Beata wetu huko??
Hongera sana kwa ushindi wenu.Bwana awabariki na awapiganie hadi mwisho wa Safari.
Lutema,vipi Beatha wetu jamani tumemmisi
Amen
@@veronicaenock7292 MUNGU NI MWEMA
May God bless Nyarugusu AY choir, I am being blessed as I stay at home because of Corona Virus
Congratulations to the new couple
Amen
Wow!!!!Hongera...hongera
Barikiweni sanaaaa.I like it.
Congratulations. May God continue to bless your marriage
Hii nyimbo katika nyimbo za ndoa mlizo wahi kuimba hii inakonga moyo mtunzi naomba popote alipo heshima kwake
Mbarikiwe wana ndoa na waimbaji pia mungu awabariki🇰🇪
Haipiti siku sijasikiliza nyimbo zenu MUNGU awainue kiwango zaidi ya kiwango
May Our Lord God Enlighten you, Ay Nyarugusu...a nice & Gracious song on Marriage Counsels.
Congratulations to the new family, Awesome pice. +254
Nzuri saanaaaaaaaaaaa. Hongereni
hongera sana Utukufu kwa Mungu.💞
Hongera nanyi nyarugusu
Hongera hongera sanaaaa😍😘😍♡♡
Nampenda sana huyu dada ,,, Neema Uwe na maisha mema
Wow, awesome. May God lead you in your marriage life.
Nice mbarikiwe
Hongera neema
Hongera sana
Hongera neema
Hongera sana
Best wedding song ! baraka tele
Kila la heri Mungu awabariki sana
God bless the couple,though I don't understand the language but I enjoy listening to the song,God bless you, watching from south africa
Mubarikiwe sana,
Mimi pia nasema Hongera hongera sana
Hongera,nice song
Huu familia wanaendeleaje
MUNGU awe nanyi
Sauti ya pili wameimba ktk umaridadi mkubwa sana
Jmn hongera ney xhemej yang
Hongera neema barikiw
Mungu awabariki sana..
amina kubwa
Am blessed
My choir
Hongera sana Neema,
Very congrats!
Nyarugusu hoyeeeeee
Please don't miss translation to English in your next videos. We like yours songs but would love to the full massage
Kuna mwenye sioni aki hapo..mwenye alifanya arusi before hyo ..ni msichana mrembo black beauty
Nice song
Mungu abariki ndoa yenu
wimbo tamu sana
An empowerment
Nawapenda Sana
Hongera kwao🙏
Itoshe tu kusema
"Hongera hongera sanaaaa"
Mungu awe nanyi
Homgera zao sanaaaaaaa
Very nice song indeed