ZUBEDA: MFANYAKAZI WA NDANI ( SEASON TWO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ก.ค. 2024

ความคิดเห็น • 9

  • @user-yf5gd5zz8p
    @user-yf5gd5zz8p 8 วันที่ผ่านมา +1

    Asanteni kwa kazi nzuri sana nimefurahia simulizi hiyi yenye mafunzo mazurikutoka kubakwa kuma mfanyakazi wa ndani na baadae kuwa mama mtoto na mke
    Tusimzarau mtu kwa ajili ya matatizo ya maisha mtu ni mtu tu hakuna tofauti ya mke na dada wa kazi kila mwanamke anaweza kuwa mke asanteni sana

  • @SabinaSabinajoseph
    @SabinaSabinajoseph 20 วันที่ผ่านมา +1

    ❤❤❤❤❤

  • @habibanasoro9024
    @habibanasoro9024 9 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kaka ❤

  • @vichekeshotv5260
    @vichekeshotv5260 20 วันที่ผ่านมา

    ❤❤ msimuliaji upewe mkataba

  • @WwEe-qc7tc
    @WwEe-qc7tc 12 วันที่ผ่านมา +1

    Mwanaume mwenye kiburi na dharau akikutana na binti jeuri na mwenye kutojali hela ,sifa, mwonekano na cheo cha huyo mwanaume na kumpuuza kwa tabia zake mbovu haswa kwa wale wanaume wenye kupenda kuwachezea wanawake akisha kutana na mwanamke jeuri anae jielewa na kujiheshimu huwa kama dawa yenye sumu mbaya kwake kwani meanamke huyu huwa namsimamo na kuitumia jeuri kwa kumnyoosha mwanaume mbatilifu,fithuli,jeuri na mwenyekutawaliwa na kiburi kwa mali zake nakutamani kwanguvu zote zakihela,madaraka ,Elimu
    mwonekano ama ukoo ili tuu kumpata binti jeuri ili tuu kumvua nguo yake yq ndani akifaulu amthalilishe ila kwa ugumu wakumpata na kumtesekea kwa kutafuta njia zakumpata ili ayatimize yake siku akimpata huwa nitofauti na yale ambayo aliyafikiri kwani huzama na kuzama undani wakina kirefu chanapenzi ya yule jeuri maana huwaacha wanawake wake wote tabia zake chafu mbovi alizo kuwa nazo na kujijengea jina jipya lenye mabadiliko makubwa na mapenzi yasio pimika kwa kukubaliwa na biti kiburi na wakimaskini nakumfa ya kuwa mke na sio mchepuko

  • @rauhiyasuleiman4626
    @rauhiyasuleiman4626 17 วันที่ผ่านมา

    Simulizi pambe ❤ Asante msimulizi kwa simulizi taaam❤ ila ipo slow

    • @Simulikanasi
      @Simulikanasi  17 วันที่ผ่านมา +1

      Ipo slow kivipi kipenz, tungependa kujua ili tujirekebishe na tujiimarishe zaidi na zaidi😊