Jamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe!
huyo alie sema kua ukristo sio dini yeye sio muislam kamili ni msalia uji tu. anadhalilisha ukristo sababu ya huyo mwizi anaye jiita mchungaji. usishangae ni muislam kajifanya mchungaji yote ya wezekana.
Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni... ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini... ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine
Dalili za qiyama...Allah atupe mwisho mwema inshaallah...
Said Ndimbwa kweli
Aamiin
Mchungaji ni binadamu, iman inatoka kwa MUNGU, mwanadamu anapokosea msihukumu iman maana aliyeiba ni mwanadamu sio iman imeiba,
Don't call him mchungaji now just call him Mr. Footprints 😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆
Vinoza Mhone 😂😂😂😂
🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shindwa kwa jina la yesu pepo
Huyu dada.anavyoongea saut yake kama kajala
Mmmmmh
Sijapenda picha mlooweka 😃😃😃 mngeweka hata ya Nabil Tito 😃
😅😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂
Duuuuuuuh 🤔🤔🤔🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hahaha jamani nime cheka da huu alipo sema siku akiludi na kikombe mama anasema Leo hali mbayaa wallah
Huyo sio mchungaji ni muizi mkubwa anajificha kwa mungu😅🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 anaiba hadi chumviii na maharage 🙈🙈
Makubwa mchungaji mwizi masikini
Mmh huyu zoa zoa mamaye,Akome uichafua dini yetu,kibaka mkubwa
Mhh Kali hiyo
Uyo alijivika jina la mchungaji kama kivuri ila ukweli ni mwizi,
Kivuri. Cha uchungaji
Mama yangu mzazi😨😨😱😰
Huyo mwizi hapo hapa mfai uyo., ni bora
Hee makubwa mwizi huyo. Huo uchungaji ni kisingizio
Dah jamani dunia imeisha
Wasimfate matendo yake wayafate maneno yake
Jaman sasa wachungaji wapate wap
Kkkkkkkkkk Ni shdaaa
Ila uyo mke nayeye nimwizi
M'mbwa mwitu kavalia ngozi ya kondoo.
Anachafua sifa za dini huyo shetwani
Jamani kuna Waislam wangapi wanafanya makubwa hata zaidi ya haya? wapo Mashekhe waliolawiti je? na sisi tuwaulize Uislam nao ni dini? maana huyu mchungaji tu kudokoa ndo mseme Ukristo siyo dini. Hakuna kitu kibaya kama mwanadamu kujifanya mkamilifu kuliko wenziwe!
huyo alie sema kua ukristo sio dini yeye sio muislam kamili ni msalia uji tu. anadhalilisha ukristo sababu ya huyo mwizi anaye jiita mchungaji. usishangae ni muislam kajifanya mchungaji yote ya wezekana.
Waambie ni kabila
Duuuhh haya mambo kwel tabu sana
😂
Duh uyo kiboko
Zena Salumu naam
Kama Amna picha ya mtuumiwa usiweke kitabu cha mungu aliokosea ni binadamu kama nyie kwa nn mnaweka biblia mm muislamu lakini sijapenda
Hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni... ni Mimi na wewe kuacha matendo mabaya yaliokatazwa kwenye vitabu vya dini... ohooo uislamu ndio dini poa sio kweli jamani tuache kuanyooshea watu vidole uyo ametenda dhambi kama mtu mwingine
Hhh makubwa
hahahaha
kwani ukiristo n dini
Hapana ni kanisa
Ni kabila
Mungu na akulaanii
@@fabiolabeni71 😂😂😂 wewe unamajibu konk san
@@asmanicolaus1328 😂😂😂 oooh my gosh
😂😂😂😂
Kwani uislamu n dini?