Jinsi ya kupata Token yako ya Luku

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ต.ค. 2024
  • #UjanjaNiKujihudumia
    Jinsi ya kupata Token yako ya Luku
    Bonyeza *150*01# Chagua 6 "Jihudumie"
    Kisha chagua 7 "Token za Luku"
    Chagua muamala ambao hukupata Token za Luku
    Weka namba yako ya siri kudhibitisha na Hapo utaona Tokeni zako.

ความคิดเห็น • 14

  • @abdulsaidi5174
    @abdulsaidi5174 2 ปีที่แล้ว +2

    Mnazingua nyie ukiingia apo wanakuletea miamala ya cku zilizopita amna lolote

  • @MariamuKiondo
    @MariamuKiondo ปีที่แล้ว

    Mnazingua sana tigo nimenunua umeme tarehe 29/3naletewa tokeni leo tarehe 7/4 naogopa kufanya manunuzi kwenye tigo

  • @jafetzani8568
    @jafetzani8568 ปีที่แล้ว +1

    Hivi sasa umeme wakununua kwenye simu hauminiki mimi jana tar17/09/2023 kidogo mnilaze na giza nimenunua umeme 5000/ Mpaka leo 18/09/2023 umeme haujafika kila nikiwapigia mnasema mnanitumia message hii mitambo yenu hivi sasa imekua ya Analog.😢

  • @MARYMRISHO-l3u
    @MARYMRISHO-l3u 9 หลายเดือนก่อน

    Jaman yani nimewaomba token zangu za tarehe 3dec.mmesema mnatuma hamja tuma.na leo tangu asubuhi umeme haununuliki.jamani jalini wengine

  • @mussangailo4840
    @mussangailo4840 ปีที่แล้ว

    Unyama sana

  • @laurencebenedict9724
    @laurencebenedict9724 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona mie sijapata token na hio huduma nimefanya

  • @MARYMRISHO-l3u
    @MARYMRISHO-l3u 9 หลายเดือนก่อน

    Yani huduma kwa wateja mnakata sm yangu.heeee

  • @laurencebenedict9724
    @laurencebenedict9724 7 หลายเดือนก่อน

    Mbona mie sijapata token na hio huduma nimefanya

  • @minahshaban2844
    @minahshaban2844 2 ปีที่แล้ว

    Kwa token ambazo zina mda kam mwezi mmoja kupita je unazipataje

  • @mirnatmaksady8442
    @mirnatmaksady8442 4 ปีที่แล้ว +1

    Taken zangu zimegoma kuingia

  • @edwinvictor9236
    @edwinvictor9236 3 ปีที่แล้ว

    Tatizo ukijiudumia tu hutapata kawaida tena

  • @MlatiDani
    @MlatiDani 11 หลายเดือนก่อน

    00782