Shuhudia vitu vinavyosababisha saratani ya koo 'kunywa pombe, Tumbaku'
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 27 ม.ค. 2025
- Daktari bingwa wa magonjwa ya uzazi na wanawake kutoka hospitali ya Salaaman iliyopo Temeke, Abdul Mkeyenge ameeleza vitu vinavyosababisha saratani ya koo ikiwa ni pamoja na unywaji pombe kupita kiasi na utumiaji wa tumbaku.
Eka namba za kazi Dr
Mnapatikana wapi
Nipatie namba Yako doctor