The Vine Ft. John Lisu - Wakusifiwa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.ย. 2024
- Official Music Video of "Wakusifiwa" from The Vine Ft. John Lisu
Recorder Live at New Vine Church - GloryLand Mwanza-Tanzania
Credits:
Video: Mpix Films - insta: @mpix_films
Audio: Wider Music - insta:@wider_music
Lights: Joram
Music Arrangements: Kado Arrangers - insta:@kadoarrangers_tz
Music Director: Eric Kanju - insta:@erickanju
Vocal Arrangements: Lugano Isaiah - insta:@luggy40
Daaaaaah!!! Ni hatar sana wavunjaji Wabondaji kina Dosa na Teacher wangu Kanju heshima kwenu
NVC Oyeeeee
Mungu awabariki sana
Dosa J 🙌🙌🔥🔥God blessbu vine chuch
Mungu awapandishe viwango na viwango utukufu hata utukufu
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌👐
Very powerful worship. Zambia is worshipping with you
Muko vizuri mungu azidi kuwainua zaidi ,. Sicora nyangasa mwimbaji mukubwa Sana mungu azidi kiinua huduma yako
Dah hehehe miziki imelia had unahc ni kama wimbo unawah kuisha
Vinanda vimelia humu aloooo..!🤠
Hiyo yote ni intro haki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💥💥💥💥💥💥💥💥💥
Haki mtatuonyesha maneno haki ...
Haki jazz ama jaza mmefanya ..... Woooi ..
Sasa hiii tutakrak lini 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗 🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗
Eeh Mungu Baba yetu.. pokea sifa hizi kutoka ardhi ya watu wa nchi ya Tanzania. Unastahili 🙌🙌
Blessings
6-1, 5-1, 5b-1, 4-1 hatary hiyooo.. Kado on the air now.
MD kanju... Salaam zikufikie... I love this family... Amani... Nimeenjoy hii base sanaa... YESU ATUKUZWE ZAIDI SANA
Safi sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
The vine tz🔥🔥🔥🔥
Scola umenibariki moyo wangu
The 🍇
Bwana Yesu asifiwe sana 🙌
AMEEEEEN
I see you darling schola mungu awabariki
Huuu wimbo ni 💥💥💥 unabariki sana yan ......dah
Nilitaka kushangaa kwa jinsi ulivyocheza na kupost inawezekanaje nikose comment yako
@@samwelsengati1369 hahhahaha tufumbe macho tuombe sio kwa wingu hilo
🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Congratulations Mungu Azidi Kuwakuza na Kuwatunza Kwa Ajili Ya Utukufu Wake Ila Md KANJU🙌🙌
Kiruuuuu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri imejaa utukufu,Safari imeanza makubwa na mazuri yanakuja
nafurah kumuona bonge we2 wa mastep wa essence
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ameen
Wa kusifiwa
wa kuabudiwa
Ni wewe tu
Mungu wa miungu!
Haleluyaaaaaaa 🙌🏾
💥💥💥💥💥
Haloloyaaaaaa
Waoo waooo God bless you🎉❤❤❤❤❤❤
Waooo The Vine🔥🔥🔥🔥
Wakuabidiwa na kusifiwa ni wewe Tu mungu wa mungu 👏👏👏
kazi nzuri jaman imejaa utukufu
Mbarikiwe na Mungu
Wow ❤❤🎉🎉
💥💥💥💥
Unyama fulani
Nimebarikiwa sana mbarikiwe piah kwa huduma MD kanju na pacha wako mnaounda team ya kado arrangers mr dossa j mbarikiwe xn kila mahali mnapopita mnaacha Alama Mungu azid kuwainua xn tunawaombea xn 🆕 VINE 💕💕
🔥🔥🔥🔥
💥💥💥
Amen sana nabarikiwa kila mara niuskilizapo huu wimbo.Mungu awabariki sana
Ameeeeeeeen
Mmebarikiwa😇😇😇😇 sanaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤❤❤❤
💞💞💞💞🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Congratulation "the vine"Mungu azidi kuwainua
MD Kanjuuuu 🔥🔥🔥. Umetishaaaaa
Hongera sana Mrs brown nakupenda dada yangu
Hakika upo kumbe😂
Asante sana
@@CJMusic hello cj
Kazi Nzuri Sana Ya The Vine Ft Mtumishi wa MUNGU wa Kimataifa John Lisu🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 Utukufu kwa BWANA 🙌🙌🔥🔥
Ameen
Wooooow kazi nzurii the vinee Mungu azid kuwainuaa kwanza mmeongezeka ad rahaaa hongerwniiii mashujaa wa bwana kaz yenuu njemaa
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💕💕💕
Yesu u MALI yangu ina maana gani? Sio kwamba sisi ndio mali ya Yesu. Alitununua kwa damu yake? Let's us "RIGHTLY DIVIDE THE WORD OF GOD"
Hiyo ni yenyewe
Amen...
Mmefanyika kuwa baraka sana
Kanju Dosaa hatareee
Mungu azidi kutukuzwa
did i just hear another wonderful song? ooh God bless you guys. indeed yesu nampenda sana.
Utukufu kwa Yesu
Naipenda Sana hii version ya Huu wimbo ambao awali ulikuwa mkubwa Na Sasa upon juu Zaidi. Eee bwana pokea Sifa hizi.
Miziki imelia 🙌🔥🔥🔥
Utukufu kwa Mungu
Great music
Wow mungu awabariki
Utukufu kwa Yehova #wakusifiwa🔥🔥🔥
Wow! Nimekwama hapo kwa intro.
Yesu nakupenda sana
Kazi nzuri sana. Keep it up!
Hakuna mwingine wakusifiwa na kuabudiwa zaidi ya aliyeko juu ambaye ni mkuu na kupitia yeye tunapata kuokoka.
Watumishi wa Mungu asante kwa wimbo mzuri Mungu azidi kuwapa nguvu ili muweze kuitenda kazi yake .Amen
🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Glory to God of New Vine
Nakupenda
Big up guys nice we need more Jonathan from Kenya 🇰🇪 lovely team much love 😍
Mungu awatunze muendelee kutubariki🙏🏾
Praise God
Amina
Liking it from Kenya🇰🇪
Woow very powerful🔥
Tanzania is blessed beyond words... wow
Kanju and Dosa hatary sana - Since Mzumbe
Hongera sana
Nice
Ameeeen
More blessing praise the Lord almighty
Good music
Nakubali
Amen
Wow! I never get tired of this song our worship song in church Kenya loves you
Please add the lyrics to this
Glory to God🔥🔥🔥
Mungu ni mwema ...
Nzuri sana Mungu awabariki
Powerful the Vine forward we go for the glory of God.
Kupitia huu utukufu mlioufanya pamoja nimebarikiwa sana na nimewapenda bure nyie wapendwa hahahhahahaha
Hallelujah, GOD Bless you💫💫💥
Aii ..intro ya 3 minutes 🤔🤔🤔🤔
Kwenye intro ndo wamezingua
@@yohanamuhambe9422 ndio ila...wimbo upo sawa. Unabariki,
Yote ni kwa utukufu wa MUNGU 🙌🙌🙌
Hahahahaaa 😁😁😁🙈🙈🙈🙈Imebidi nicheke aisee
@@yohanamuhambe9422 intro inabidi iwe fupi ee
Hatar sana.....💥💥💥💥💥💥
This arrangement is on fire!!🔥🔥
Glory to God
Powerful sanaaaa
Such a powerful song,be blessed
Hallelujah
I love it
My dancing shoes 👟...what a Praise👏👏🙌Stay blessed
Wow!! Nice song
wooooouuuh wouuuuuuh wouuuuooh wooooooooouuuuuuh wooooouuuuuh, AM SO MUCH BLESSED WITH THIS SO POWERFUL SONG..... GOD BLESS YOU ALL,....... GLORY AND HONOR BE TO OUR ALL MIGHT GOD
what a song 🙌❤
So beautiful and amazing