Daaaah,,,,,,,jamani mama Tasha wewe marafiki wa mwanao unawajua huyo ulimuona lini mpaka umwambie kila kitu kuhusu mwanao?? Na wewe chiko unahangaika tu umeshazidiwa
wooow nmewahi namba 1 watching in jeddah .... muwe na usku mwena nyte wnye mtatazama hii filamu . Mungu awaepushe na mahasdi wa kla aina ..🙏 may the blood ov lird cover u always🙏🙏🙏🙏
Chiko amejieleza kama yule shetani wa mzee tupatupa wa bahati bikuku kwa kweli hata mm nimeamini shetani anaweza kuzungumza maneno matamu.... Mr tasha and zatiti congratulations 🎉🎉🎊🎊🎊🥰
Sikuz vijana wameamua jaman wanaleta Kaz nzur zunzurtuu sawakuamukutuvuruga wote wanapost kwawakat mmoja ujamalihii imeibuka ingine mtu unachanganyiwa nimalizie au nihamie ingine😂😂😂
Alhamdulillah ndoa imepita xxa mpigane n chiko zatiti akiwa halali yako umenifurahisha sana bba zatiti maana hio ndoa haingekua rahis ivyo uko mbelen ila mila zenu ximetuokolea😂
Chiko we jisumbue tuu, huku Tasha na zatiti ndoa inaendelea, alfu mamake na Tasha haungeeleza mwanao alipoenda ulijua tuu mwanaonj haknaa rafikiye wa karbu asiyejua Tasha yupo kijijini, alfu afadhali hivyo babake na zatiti alivyo harakisha hyo ndoa maanake hiyo video Tasha angetymiwa kabla ya kumuoa zatiti hangemuoa kwa kuhofia uhai wa mamake
Chiko utaishia tu kupanga mipango na tasha anasonga mbele😂😂😂😂achana na mipango duni wewe😂kaa chini na umuowe candy ama sania umusaidie kulea mtoto wa mganga😂😂
Aaah chiko acha kumchezea akili mama wawatu bhana,wanaokubaliana na mm like hapa
Waliofurahia ndoa yake zatity❤❤❤❤❤❤mnipe likes
❤❤❤🎉🎉🎉🎉kweli kabisa
Mmmmh hapa kunamitihani napenda 🎉🎉🎉🎉lakini huyu alieachwa jamani 24:20
Harusi tunayo na tunatamba nayo🎉🎉🎉🎉🎉 hongera tasha
Sasa tunangoja Satiti apate mimba ya Tasha sasa
@@mildredjuma4889atapata mungu yupo naye🎉🎉
@@mildredjuma4889kabisaa
Tenaqqaa
Tashaa arudi nyumbani na jiko😂😂congratulations Mr tasha
Busati tunaitaka hy nyimbo nimenogewa na huyu mpez tumeikubali pia 🌺🌹🌹🌺🪴🌷🥀🥀
Pia mm naitaka sana nimeipenda sana
Jamani tangu nianze kuangalia sijapata hata like Moja mmmh jamani hebu nipeni na mim..
Afadhali Tasha kuozeshwa mana chiko anazidi kupanga mipango mipya huku💃💃
Muace atafeli 😂
Weeacha tu aki huyu sijui roho yakeikoje 24:20
Turofrahi baba zatiti kuwaozeshwa haraka.gonga like hapa
Jamani 😂😂 ndoa tunayo na tunatamba nayo like zangu wajamen🎉
Wenye tuniamini game ya chiko itafeli weka like. Ila harusi tunayo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤
Chiko anaboa ningekua karibu ningempiga bonge la bao 😂
Jmn na mm naomba like hata moja
Na mimi naombeni like nikanywee chai maana sijiui kazi yake
Ndoa ya zatiti imenikumbusha yangu baba watoto alikuja kunifata kijijini 😂😂 alivyo fika Tu kafungishwa ndoa nbaka sasa miaka 15 alhamdulillah
Wow hongela sN San mung azd kiwp aman ktk familia yenu hakika sio rahis
Hahah ndoa za namna hii huwa hazivunjiki
Mashaallah ❤😂
Hongera sana 😂😂
Maa shaa Allah Allah awadumishe katika ndoa yenu
Nani tena kakata mawasiliano kakimbia kuangalia house girl like hata kama ni mbili tu 😂😂
❤❤❤❤😂😂😂😂Mimi huu hapa nimekata mawasiliano juu ya house grill
Wewe Mama Tasha wewe,,yaani ungejua wewe acha tu niombe like tu uku mm😂😂.
Mama tasha kajichaganya kwa Chikoo ila hutawez huyo Chikoo kabisa 😅😅😅😅😅
@@mwanamisikifogo869 chiko akili hana bhana.,,,,,angejua ndoa imetimia hahahaaa
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂@@mwanamisikifogo869
Tuliofurahi zatiti kuolewa msinipite mnipelike na Mimi kesho ninunue nyama 😅😅
Like sikuhizi zinanunuwa nyama??
Tunaosema mipango ya chiko haitokamilika tugonge like apa
Harusi 🎉🎉🎉 tunayo wangwana na tunatamba nayo🎉🎉❤
Hapo ni jiwe moja ndege wawili Tasha hongera
Yan chiko utengeneze mwenyewe mchongo tena utoe msaada
Siamini kama Leo nimewahi kwa comment ni 15 Asante kwakutu harakishiya maua yenu 🎉🎉🎉🎉 from burundi
Waooo❤ napenda jamn nimechelewa naomba like zang
Mama tasha usije ukajichanganya na huyo kidudu mtuu utakuja kulia siku si nyingi
Chiko w nimnafiki wew kwa maumivu uliyompa zatit yani hutompata zatit wew
Mama Tasha kiukwl umefeli sanaaaah usimuamini kla mtu, pia utakiwe kumwamini mtu kwa haraka hvyo, mbona mama hujifunzi ktu kutoka kwa Sania
Mtume tadhuyo chiko Katia msaada Ili aende akapajue kwao Tasha na ajue Yuko wapi zatiti na Tasha ni mchongo wake tu huo
Kwel
Bora harusi tunayo story za chiko hazituhusu😂😂
@DoreenWanyon-x8y kitamulamba tena muace ashugulike
Chiko endelea kujichanganya lkn sisi ndoa tunayo na tunatamba nayo wivu wako huo utaumbuka
Mama Tasha angejua kasaidiwa na shetan wa mguu mmoja🙌🙌
Allah atamnusuru
Daaaah,,,,,,,jamani mama Tasha wewe marafiki wa mwanao unawajua huyo ulimuona lini mpaka umwambie kila kitu kuhusu mwanao?? Na wewe chiko unahangaika tu umeshazidiwa
Usijali zatiti utafanye selmoni tuu mjini 😂ila ciko azikucukuwe tena ❤mimi naona baba yako kafanya vizuli kbx like zenu jamani kutoka canada 🇨🇦
Hello
Chiku chiku chiku nimekuita mara ngapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mungu amejalia ndoa imepita ila Chiko umeshashindwa naomba Mungu Chiko asifanikiwe kumzuru mr Tàsha ❤
wooow nmewahi namba 1 watching in jeddah .... muwe na usku mwena nyte wnye mtatazama hii filamu . Mungu awaepushe na mahasdi wa kla aina ..🙏 may the blood ov lird cover u always🙏🙏🙏🙏
Ukimaliza kuwoji upite nikupee khubus my sister ❤❤❤❤❤
Nko Jeddah pia
Alhamdulilah ndoa ya Tasha na zatiti maashallah iwe ya kher 💕💕🎉
Nimenogewa na huyu mpenzii, nimenogewa kumuacha siwezi jaman hii nyimbo inapendeza sana
Nakwambia wàaà acha tu
Chiko hzo ngumi 😂😂🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🏃
Za kipochi manyoyaaa😂😂😂
❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉
Mama tasha huyo sio mtu mzuri jamani huwo ni mpango wake mama wanakuja kumteka tasha kuwa makini usijimalize
Nimenogewa kwa huyu mpenz kumuacha siwezi ila mwenzenu mii kwake ndio nimeshafika ila babaaaaa
Mzee Mkoloni Ametisha Akutakaku Jua lolote. Ndoa faster Upesi 😂😂 Yamkeka
Mama tasha leo umeshindwa kusoma energy ya mtu kweli umeniangusha mama yetu😢😢
Alikuw kweny matatz nd maan
Hongera sana mr tasha umetimiza ndoto zetu❤❤❤
Usiku wakwanza katika ndoa jamani nimtam nyie uuuuuuuwiiii❤ hongera tasha na zatt enjoy ndoa km niwe mie vile😂😂
Weweeeeee❤❤❤ndoa.tunayo.tunybib,..haruituna.❤❤wenyew..zat
hongera brother
ahaaaa sasa sawa leo zatiti kiasali utoe huna sababu😂😂😂😂😂
Kiasali tena😂😂😂
@@aishaomar2287ndio ili akirudi aludi vzr Chiko ahemewe
🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tunafuraiya sana ndoa ya zatiti na tasha
Weweeeeeee ndoa tunayo tunay bib harusi tunay sis wenyew zatit n tash ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂💯💯💯💯💯💯💯 🌹🌹🌹🌹🌹🌹🙏🙏🙏🙏Allah mwen jamn safo
Nimependa harusi ya araka ,,,Tasha haungeifanya mapema hii🎉
Mungu Yuko atajibu maombi ya Mr Tasha na zatiti wake chiko na upuuzi wako kubali kilikuramba humpati tena zatiti iyoooo
Huyu mama tasha naye cjapenda,tasha alimwambia asiambie mtu kumuhusu,bt ndio hiyo ashasema
Wakwanza Leo jamani 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Aaha hapo kwenye mazungumzo ya Tasha na mkwe wake nmepapenda Yan kuna mafumbo hapo😁😁😁
Kaka angu chiko uko vzr sana ndugu yangu mungu azidi kukuinua kila uchwao jmn wanaompenda kaka angu chiko wekeni like apaaa❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Harusi tunayo 🎉🎉🎉🎉we chiko acha mambo Yako ww ata mungu hapend
Hio harus ya kijijini ishafungwa
❤❤❤
Chiko unalet triki za ovyo wew hautifanikiwa kamwe n ndevu zako hizo kam majan ya shule ya mingi 😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Jamani mama Tasha hujiongezi ,mtu umemuona leo wakubali kuchukuliwa video khaaaa
Chiko amejieleza kama yule shetani wa mzee tupatupa wa bahati bikuku kwa kweli hata mm nimeamini shetani anaweza kuzungumza maneno matamu.... Mr tasha and zatiti congratulations 🎉🎉🎊🎊🎊🥰
Hap kwa mam tash jamn wapendw Kuna kitu tunajifuanza sio Kila mtu n WA kumuamin
Chiko ulijifunzia mafunzo kolombia😂😂😂🎉🎉
Sema unaumwa kwa roho
Chiko mwaka uyu utayiramba maski mama Tasha iyo video niyakujitamba kwa tasha pole mama Tasha
Sikuz vijana wameamua jaman wanaleta Kaz nzur zunzurtuu sawakuamukutuvuruga wote wanapost kwawakat mmoja ujamalihii imeibuka ingine mtu unachanganyiwa nimalizie au nihamie ingine😂😂😂
Jameni kijiko unafanya vibaya kama satiti amekukata itika waja kufanya mambo ya kuraaniwa
Wee mama hujui kitu hizo ni plani tu utaona baadae
Mama Tasha ,chunga saana na chiko,anataka kujua ukweli WA Maisha ya Tasha,anajifanya mizuri Kwako ila nyoka 🤣🤣🤣🤣
Mashallah ❤❤❤❤❤❤❤
Ndoa tayari Sasa twataka tumuoneshe chiko kuwa mimba tunauwezo wa kuibeba🤸🤸
Ni kweli
Alhamdulillah ndoa imepita xxa mpigane n chiko zatiti akiwa halali yako umenifurahisha sana bba zatiti maana hio ndoa haingekua rahis ivyo uko mbelen ila mila zenu ximetuokolea😂
Tash hongera❤❤
Mashaallah hongera Mr tasha❤❤❤
Ujanja huo chiko,❤❤❤❤
😂😂😂😂 mama Tasha jaman 😭
Huyu jiko na candy n kama akili zao zimesimama
Chiko mnafiki nyie
Leo zatiti anashika mimba 😊😊😊😊
Sijapenda chiko anavojionyesha kuwa mtu mwema kumbe nunyoka shindwa usifanikiwe Kai msaidie mama Tasha jamani uwiiiiiiiiii
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Zatit na Tasha kazi nzur Sana busati TV ilove you wapenda wote jaman tulio furahia tujuan hap chin
Huu unafiki wa chiko leo n kiwango cha SGR😂😂🤣🏃
Alooh😂😂
Nakubali chiko❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Mchungaji chiko unadrama😅😅😅
Mhuu jamani chiko ni mshenzi mungu mkubwa amsaidie mama yake Mr Tasha dhaaa
Mama Tasha ushamaliza mwanao kabisaa wamama tuwe na siri.
Chiko we jisumbue tuu, huku Tasha na zatiti ndoa inaendelea, alfu mamake na Tasha haungeeleza mwanao alipoenda ulijua tuu mwanaonj haknaa rafikiye wa karbu asiyejua Tasha yupo kijijini, alfu afadhali hivyo babake na zatiti alivyo harakisha hyo ndoa maanake hiyo video Tasha angetymiwa kabla ya kumuoa zatiti hangemuoa kwa kuhofia uhai wa mamake
Kimekulamba chiko
Haaa🎉🎉🎉
Wauuuu nimefika leo kabisa yaani kinoma nikingojea zatiti na Tasha 😂😂😂😂😂
Chiko Na mamake TASHA MUMEUWA KABISA❤😂😂😂😂😂
Mashaa Allah tabaraka Allah iwe ya hery tasha na zititi
Duhhhh kumbe chiko umepanga mpango😢😢😢😢
Lets go
Hii nyimbo ya siwezi kumuacha hata mukimchukia yaitwaje jamani
Hivi chiko mnauelewa kwel jaman et nikimjua huyu chiko utasikia habar yake
Chiko ukiwachwa achika nyokoooo😅😅😅😅😅ndoa iko n tunatamba nayooooo
Chiko utaishia tu kupanga mipango na tasha anasonga mbele😂😂😂😂achana na mipango duni wewe😂kaa chini na umuowe candy ama sania umusaidie kulea mtoto wa mganga😂😂
Hadi mm leo naweka coment hongera tasha🎉🎉🎉
Inamaaana mm wakwaza au nimekosea😂😂😂😂
Pamoja na mm hongera 🎉🎉🎉
Mr Tasha ❤❤❤❤