Azam TV - Kumbe Erasto Nyoni mkulima wa jembe la mkono!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2017
  • Mbali na sifa kubwa aliyojizolea katika soka Tanzania, beki mpya wa wekundu wa msimbazi Simba, Erasto Nyoni, amewahi kujishughulisha sana na kilimo cha jembe la mkono, kama ilivyo kwa wakulima wengi nchini.

ความคิดเห็น • 44

  • @elizabethmlugu5564
    @elizabethmlugu5564 4 ปีที่แล้ว +2

    Uko vizuri baba mwenye nyumba

  • @mafisangojohanes1459
    @mafisangojohanes1459 5 ปีที่แล้ว +4

    Safi sana jembe LA simba no one like u

  • @mariamhaule1708
    @mariamhaule1708 2 ปีที่แล้ว

    Wakunyumba uko vzr mlongo wangu,

  • @shozylamparboom8393
    @shozylamparboom8393 4 ปีที่แล้ว +2

    Aseee Nyoni ni Mtu Makini saanaa Heshmaaake asee

  • @timothyxumbe901
    @timothyxumbe901 6 ปีที่แล้ว

    dah nakukubali sana erasto we n moja kati ya hazina ya tanzania keep it on mkuu

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 4 ปีที่แล้ว

    My role model in Tanzania

  • @yusufumbawala138
    @yusufumbawala138 6 ปีที่แล้ว +5

    Safi sana wa kunyumba.... kaza zaidi Nyoni

  • @Ram_1893
    @Ram_1893 3 ปีที่แล้ว

    Pongezi kwake kuwepo kwenye soka la ushindani kwa muda mrefu
    👊🇹🇿

  • @elizabethmlugu5564
    @elizabethmlugu5564 4 ปีที่แล้ว

    Uko vizuri

  • @Johansenjoshua1271
    @Johansenjoshua1271 ปีที่แล้ว

    Unyama

  • @robytv441
    @robytv441 6 ปีที่แล้ว +1

    mimi simba wa kulalia. mkikubali sana jombaaa

  • @user-vi5rv3ju9n
    @user-vi5rv3ju9n 5 ปีที่แล้ว +1

    Iko poa sana

  • @leonardmloha8521
    @leonardmloha8521 6 ปีที่แล้ว

    good sana nyon

  • @sholastika972
    @sholastika972 6 ปีที่แล้ว +5

    Wakunyumba wangoni oyeeeeeeeeeee

  • @shabaniathumani4004
    @shabaniathumani4004 6 ปีที่แล้ว

    Safii sana

  • @laurenciaedward6772
    @laurenciaedward6772 5 ปีที่แล้ว +1

    No one like u nyoni

  • @railatymlowe2052
    @railatymlowe2052 6 ปีที่แล้ว +3

    safii erasto Wa kunyumba tena mtaa mmoja

  • @mwanajumaraso4637
    @mwanajumaraso4637 10 หลายเดือนก่อน

    My brother erasto m.mungu akubarik kwenye majukumu yko mapya

  • @mohamedmiraji1341
    @mohamedmiraji1341 6 ปีที่แล้ว +1

    Namkubali sana jamaa anajitumaaa.

  • @robertkimario6266
    @robertkimario6266 6 ปีที่แล้ว +1

    saf san wakuyumba kaza but utafikambal

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 6 ปีที่แล้ว +2

    Mm nahitajiii utuleteeee Ibrahim ajibuu migomba

  • @thabitabdi5140
    @thabitabdi5140 5 ปีที่แล้ว

    sawa ww jembe nyoni

  • @salummasaga6622
    @salummasaga6622 4 ปีที่แล้ว

    Mambo vpy nambie

  • @danielybayo1689
    @danielybayo1689 5 ปีที่แล้ว +1

    huyu n hatar

  • @haikatheo6362
    @haikatheo6362 2 ปีที่แล้ว

    uyu mtangazaji ilo dundo

  • @raphaelfadga9639
    @raphaelfadga9639 6 ปีที่แล้ว +1

    xaaaf jooooh

    • @philimonkomba549
      @philimonkomba549 6 ปีที่แล้ว

      nakubaliii sanaaa home boy nyoni##komba wa bombambili songea...!!!!

    • @elihurumaernest5784
      @elihurumaernest5784 6 ปีที่แล้ว

      hatareeee Sana'a huyu jamaaa

  • @joshuaabel3015
    @joshuaabel3015 6 ปีที่แล้ว +4

    Nilimuonaga nyoni kikosini huwa sinaga presha

  • @allymkamba1115
    @allymkamba1115 5 ปีที่แล้ว

    Nyoni kura miyogo yetu ya rufijii ikwiriri

  • @johnjackson4363
    @johnjackson4363 5 ปีที่แล้ว +3

    Mtangazaji unaongea sana huwapi wachezaji nafasi yakutosha. Punguza kuongea sana acha wachezaji waongee zaidi

    • @chiconinde8135
      @chiconinde8135 5 ปีที่แล้ว +1

      Dah bro hiki kipindi kina aina yake ya uendeshaji...Hapo ni kijiweni,, siyo kipindi kama vipindi vingine!! Umeshawahi kukaa kijiweni??? Kama umewahi basi hutoshangaa sana

    • @saymarsaymar4654
      @saymarsaymar4654 4 ปีที่แล้ว +1

      @@chiconinde8135 yeap

  • @samiatiabayamini4336
    @samiatiabayamini4336 6 ปีที่แล้ว

    Ivi unajua wewe ulikuwa mchezaji wa yanga??? Ila simba tu janja janja ya kukufata uliko..... Kila la Kheri jombaaaa....

  • @erickjoseph3551
    @erickjoseph3551 5 ปีที่แล้ว

    aha nyoni wewe nyumbi iyi bombing iyi wakunyumba kabisa yani kaza broo

  • @leonardmloha8521
    @leonardmloha8521 6 ปีที่แล้ว

    good sana nyon

  • @happinessjosephat6674
    @happinessjosephat6674 6 ปีที่แล้ว +1

    Safi mkuuuuu

    • @paschalodas4955
      @paschalodas4955 5 ปีที่แล้ว

      paschal Odas hongela

    • @six1721
      @six1721 5 ปีที่แล้ว

      HAPPINESS JOSEPHAT