DR IPYANA - NIKIWA NAWE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 3 ธ.ค. 2024
  • #NikiwaNawe #DrIpyana
    “Nikiwa Nawe”, is a song that depicts the confidence and trust we have in Christ and because we have Christ.
    HE bore our shame for us,
    It pleased The LORD to bruise HIM for us,
    HE endured the cross and so much hostility for us,
    Despising shame for our sake,
    HE paid off our debts with a costly price of HIS OWN PRECIOUS BLOOD.
    Surely when we are with HIM, we will not be put to shame.

ความคิดเห็น • 427

  • @carolinemanyonge6697
    @carolinemanyonge6697 10 หลายเดือนก่อน +126

    I was in my own world of thoughts, depressed but this is a great encouraging message. It own rewind mode.Hoping for a miracle in my life.Can someone pray for me and my 5 children.

    • @serangesh3586
      @serangesh3586 10 หลายเดือนก่อน +4

      Peace be with you, i cover you and your family in the blood of Jesus Christ.

    • @faithkimilu3928
      @faithkimilu3928 10 หลายเดือนก่อน +3

      It is well my dear siz....GOD is on your side 🙏🙏🙏

    • @keithsereta7727
      @keithsereta7727 10 หลายเดือนก่อน +2

      It shall be well,He never leaves us nor forsakes us. God will work everything out.

    • @FurahiniJM
      @FurahiniJM 10 หลายเดือนก่อน +1

      He's with you! He'll never put you in shame...

    • @thomasbaraka9829
      @thomasbaraka9829 10 หลายเดือนก่อน +1

      God starts working when you surrender all to Him. Let him come to your rescue and it shall be well again.

  • @EstherdaqueenStar
    @EstherdaqueenStar 10 หลายเดือนก่อน +27

    Hakika nikiwa naye Mungu sitaaibika kamwe ❤️ kenya 🇰🇪 tugonge likes 👍 👌 tukisonga hivo 💃 💃 💃

  • @Dynah_Ndenga
    @Dynah_Ndenga 7 หลายเดือนก่อน +11

    Romans 10:11 Anyone who trusts in him will never be disgraced. Kristo ulifanyika aibu ili tuheshimike, in you i will put into trust. Mahali nime vikwa vazi la aibu naomba univike vazi la heshima mara nyingine tena, honor me once again oh Lord this is the cry of my heart

    • @priscalyimo4382
      @priscalyimo4382 7 หลายเดือนก่อน +1

      Amen

    • @kennethkibugi5653
      @kennethkibugi5653 5 หลายเดือนก่อน

      Amen..very powerful ministration of God's amazing love.

  • @Bumweann
    @Bumweann 10 หลายเดือนก่อน +21

    I can't sleep. I'm finding peace in this song. I feel like singing till morning

  • @marianandisi1641
    @marianandisi1641 8 หลายเดือนก่อน +4

    Kenya loves you Dr Ipyana . Mungu azidi kutukuka kupitia nyimbo zako ndugu yangu 🇰🇪🇰🇪👌👌

  • @birgenambale1534
    @birgenambale1534 10 หลายเดือนก่อน +68

    Romans 10:11 As Scripture says, “Anyone who believes in him will never be put to shame.”

  • @atusbaraka
    @atusbaraka 10 หลายเดือนก่อน +117

    Kama Unaamini ukiwa nae hutaaibika gonga like tubarikiwe wote 👍

  • @musaliaeugene7975
    @musaliaeugene7975 10 หลายเดือนก่อน +17

    Wow barikiwa sana kaka twakupenda kenya🇰🇪🇰🇪

  • @haidarygida6357
    @haidarygida6357 10 หลายเดือนก่อน +11

    Haleluyah this song comes in the right season,never be ashamed because im walking with you JESUS,umesema utanipigania nami nitakaa kimya.yahweh kaa nami daima.asante kwa kuchukua madhaifu yangu , YESU unishike hata katika madhaifu,unishike mimi na mtoto wangu, YESU unajua tulipotoka,sina wa kunisaidia ila ni wewe tuu YESU, YESU nakuhitaji sijawahi pita katika njia hii ila naamini sitoaibikaaana hakuna aliyekutegea akaaibika.

  • @CatherineNzeki
    @CatherineNzeki 8 วันที่ผ่านมา +1

    Kuna kipindi nilipitia magumu na mapito mazito saana ila MUNGU alikua pamoja na mm na hakuniacha nka aibika kabisa.Alisimama upande wangu akanitetea na ata akaniinua mbele ya watesi wangu.Huu wimbo ulifanyika na mpk sasa umekua wa baraka saana kwangu.NAMRUDISHIA MUNGU SIFA NA UTUKUFU KWA MAKUU ALIYOYATENDA KWANGU

  • @thomaskisela726
    @thomaskisela726 10 หลายเดือนก่อน +6

    Whatever Altos are doing on the "...uwe waangu daima" is awesome ❤🙌🏼

  • @FurahaClementine-hg4lc
    @FurahaClementine-hg4lc 9 หลายเดือนก่อน +4

    Nikiwa na ww bwana sitahaibika nishike yesu usiniache nikiwa nawe mi na watoto wng atuta aibika Jehovah🙌🙌🙏

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 9 หลายเดือนก่อน +2

    Nikiwa nawe JEHOVAH SITAAIBIKA KAMWE ...... UWIIIIIIIII HALLELUJAH HALLELUJAH NIMESHINDA....

  • @theeproverbs31babe82
    @theeproverbs31babe82 9 หลายเดือนก่อน +4

    Huh I really cried my heart out to God when I heard this
    I took a break from work went home just played on speaker n prayed n prayed
    Nvr prayed that much n I felt God ❤❤❤

  • @IsharaLufayo
    @IsharaLufayo 9 หลายเดือนก่อน +1

    Asante sana ndugu katika cristu yesu ubarikiwesana n'a Mungu akuzidishie uduma wanyimbo🇨🇩❤

  • @petershedrack9435
    @petershedrack9435 16 วันที่ผ่านมา

    This song encouraged me when i was in desperate moments.i needed God and he worked for me .

  • @esthermliga4875
    @esthermliga4875 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen amen,mtumishi wa Mungu, Huu wimbo umekuja Kwa majira sahihi kwangu nimebarikiwa mno! Mungu azidi kuwatunza na kuwainua ktk viwango vingine!! Dr Ipyna endelea kunyenyekea mbele za Mungu ili azidi kukuinua na kukutumia zaid kadri yeye atakavyo!

  • @patrickmwendwa1410
    @patrickmwendwa1410 10 หลายเดือนก่อน +4

    Jamani YESU uwe wangu Dawamu, Nitaenda wapi bila wewe, mimi sijui waganga wa kienyeji nakujua wewe tu.🙌🙌🙌🙌🙌

  • @SalahParmale
    @SalahParmale 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu Mungu kweli wa Ajabu ...I can testify this 🥹🥹🙏

  • @godfreypeter4630
    @godfreypeter4630 10 หลายเดือนก่อน +7

    Wacha mwaka huu 2024 niongozwe na wimbo huu kutoka kwa mtumishi Dr.Ipyana,kaa nami BWANA!!! tembea nami BWANA!!! usiniache...

  • @JestoMussaJesto
    @JestoMussaJesto 10 หลายเดือนก่อน +1

    This is my song. Oooooh My Jesus
    Hakika nikiwa na wewe sintaaibika. Kaa nami bwana.❤❤❤❤❤❤

  • @mercyringo22
    @mercyringo22 6 หลายเดือนก่อน +5

    I always say! It will never end in shame. Never

  • @yehusonga624
    @yehusonga624 10 หลายเดือนก่อน +6

    Mungu akubariki sana Dr.Ipyana na Remnants wote pamoja na Grand Ibada yote kwa ujumla kiukwel huduma yenu n njema na izid kukua na kufika mbali zaidi ulimwenguni nje ya mipaka ya africa
    Watu waendelee kuhudumiwa na kubadilsiha maisha yao kumuelekea Jehova kwa kupitia nyimbo hizi zenye baraka sana
    Mpaka sasa bado ni ibada tosha
    Tunahudumiwa siku hata siku katika maisha yetu

  • @tommeyangel8086
    @tommeyangel8086 10 หลายเดือนก่อน +11

    There is no shame for me,, only when I have you Lord,, Be mine king of glory,,, What a blessing!!!❤🇰🇪

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 10 หลายเดือนก่อน +8

    My GOD 🙏🙏 this is More than a Song ... Powerful 🔥🔥 More Grace Man of God... you are such a Blessing 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 l Honor You🙏🙏.

  • @gracekariuki4384
    @gracekariuki4384 9 หลายเดือนก่อน +2

    This song has been my prayer.. That I will not be ashamed as I represent God here on earth.So blessed to see it put in a song.i Have prayed so much as I listened to this song...

  • @daudimwalilino1219
    @daudimwalilino1219 10 หลายเดือนก่อน +3

    Thank you JESUS for this song. Sina Mungu mwingine ila wewe peke yako. #withYOUnoshame. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Nakutazama na kukutegemea wewe peke yako mbele yangu na nyuma yangu, kulia na kushoto. Psalm 34:5 They looked to Him and were radiant, And their faces were not ashamed.

  • @punjilaagnes4907
    @punjilaagnes4907 5 หลายเดือนก่อน +1

    God I bless you this Song is my anthem for 2024 year give me grace to walk with you lord and engrace me with your power.
    Dr Ipyana your Prophetic Worshiper of such Time more grace and Anointing

  • @ellenamutua4185
    @ellenamutua4185 5 หลายเดือนก่อน +1

    Just found this song today and ooh my😭😭can’t stop listening. God is faithful I can’t be ashamed

  • @evelynmuthama4117
    @evelynmuthama4117 10 หลายเดือนก่อน +6

    Such a powerful song. ‭‭Much blessings
    Psalms‬ ‭34:5‬ ‭NIV‬‬
    [5] Those who look to him are radiant; their faces are never covered with shame.

    • @judywanja5521
      @judywanja5521 10 หลายเดือนก่อน

      Waaooh...so pleased to be reminded of my favorite verse.

  • @mercywayua8576
    @mercywayua8576 10 หลายเดือนก่อน +9

    As long as I have you lord I know everything is possible
    My anthem for 2024
    May God bless Dr Ipyana more

  • @benjamingaliatano7291
    @benjamingaliatano7291 10 หลายเดือนก่อน +1

    Naona na matumizi vyema ya vyombo vya muziki, kweli vinatumika kumtukuza Mungu

  • @brianmorara6122
    @brianmorara6122 10 หลายเดือนก่อน +2

    😌😌😌niende wapi kwako kuna uzima 🤌 search my heart ooh lord . Indeed its a blessing song 🙏

  • @ericpaul9533
    @ericpaul9533 10 หลายเดือนก่อน +1

    Tumebarikiwa nahuyu wimbo mubarikiwe sana ❤❤❤ tunawapenda sanaaaaaa ❤

  • @Edesmarcel
    @Edesmarcel 2 หลายเดือนก่อน

    This song still heals me to-date ooo my GOD 😭😭🙌
    such a powerful worship 🙏

  • @AnnKioko-bu8dh
    @AnnKioko-bu8dh 9 หลายเดือนก่อน +1

    Those who trust in the lord will never be ashamed,,amen this is complete fulfillment of God's word,,,he is not a man that he should lie,,,,,I bless the lord for this great revelation from the great singer Dr.ipyana God bless you alot,,more grace always 👏👏

  • @Kare_Amani
    @Kare_Amani 9 หลายเดือนก่อน +1

    😩😩😩😩My Lord. I declare I will not be put to shame in Jesus name. 🇰🇪

  • @dianahmbughi7861
    @dianahmbughi7861 10 หลายเดือนก่อน +1

    Soo powerful kweli nikiwa na Mungu sitaaibika....glory to God. Barikiwa sana

  • @SamuelMwugusi-cu6hw
    @SamuelMwugusi-cu6hw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa Na Wewe sitaaibika Kamwe. Glory to God 🙏

  • @lucynoah1737
    @lucynoah1737 7 หลายเดือนก่อน +1

    Unanibariki sana mtumishi wa Mungu Dr Ipyana

  • @evalynependo3824
    @evalynependo3824 9 หลายเดือนก่อน

    Katika maisha yangu nikiwa nawe Bwana sitaaibika kamwe kwa jina la yesu kristo amen and Amen 🙏🏻🙌👏❤

  • @rhodakaranu5896
    @rhodakaranu5896 10 หลายเดือนก่อน +2

    You have never put me to shame and Lord you have walked with me this far. I will put my trust in you 🇰🇪

  • @thelmaevans6670
    @thelmaevans6670 10 หลายเดือนก่อน +2

    There's no shame for those who trust God almighty, Isaiah 50:7

  • @oyengojob
    @oyengojob 7 หลายเดือนก่อน

    This song blesses my heart. Nikiwa naweza sitaaibika uwe wangu dawamu 🙏🙏

  • @esthermbithembithi5342
    @esthermbithembithi5342 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nikiwa nawe sitaaibika . ❤❤

  • @gloryjoel7877
    @gloryjoel7877 10 หลายเดือนก่อน +2

    The song that I have listened athousand x1000 times 🙌❤️and yet am not tired of listening,I just see my studies smooth wth the song....hatuez aibika tukiwa na yeye hakika ...God bless this ministry
    Listening from tz🇹🇿🇹🇿

  • @RAYBOUY
    @RAYBOUY 10 หลายเดือนก่อน +2

    Nikiwa nawe yesu no more shame..what a great song🙏🙏🙌🙌

  • @danielsele4208
    @danielsele4208 10 หลายเดือนก่อน +4

    Blessing nakumbuka tulikua mabeyo complex dodoma kweny live recording

  • @gyanpoul3978
    @gyanpoul3978 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa nawe nikiwa nawe yesu nisaidie yesu wangu, no shame anymore because I be with you lord

  • @AlfredYusto-sc8yv
    @AlfredYusto-sc8yv 9 หลายเดือนก่อน

    Aaaiiii!! Nimebarikiwa na Kuingia Rohoni kwa Maombi Ya mabubujiko.
    Wimbo mzuri sanaaa Dr.Ipyana MUNGU akubariki sanaaa Unanimotivate Sanaa Dr. Ipyana Nakupenda sanaaa your My Role model 🙏🙏🙏🙇🙇

  • @FATUMANgala-j1z
    @FATUMANgala-j1z 3 หลายเดือนก่อน

    Mungu katangulie kwa biashara yangu najuwa nikiwa nawe sitaibika,uwe nami daima dawamu

  • @frankmutuku5294
    @frankmutuku5294 7 หลายเดือนก่อน +1

    may God bless you Dr. Ipyana. may that grace follow me to worship God for who He is and praise HIM for what He has done. For His glory and honor of HIS great NAME

  • @joelmaige407
    @joelmaige407 10 หลายเดือนก่อน +1

    huu wimboo unabariki sana sana🔥🔥🔥🙏🙏

  • @KarimJerry-qb1gm
    @KarimJerry-qb1gm 10 หลายเดือนก่อน +1

    Nikiwa na wewe Bwana sitaaibika nimekukimbilia wewe uliye uzima Wangu 🙏🙏🙇🙇

  • @rahabmwangi1485
    @rahabmwangi1485 10 หลายเดือนก่อน +2

    Jesus Christ bore my shame on the cross so that i could walk in confidence now snd always. What a wonderful Savior we have in Jesus Christ Son of the Living God Almighty ❤🙏🏾.

  • @ministermasinduma
    @ministermasinduma 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hakika nikiwa na wewe Yesu sitaahibika milele! Nijalie neema ya kubaki miguuni pako daima

  • @hamidakalokola3212
    @hamidakalokola3212 9 หลายเดือนก่อน +1

    Powerful song more annointing Dr Ipyana alm blessed this song helping me to create atmosphere of prayer everyday

  • @Janeth_Saukiwa
    @Janeth_Saukiwa 9 หลายเดือนก่อน

    Huu si wimbo bali ni sala kwangu 😢😢😢nakiri kusema mwaka huu sitaaibika no matter whats🙏🙏🙌🙌

  • @SamwelJoseph-yk3cw
    @SamwelJoseph-yk3cw 8 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa nawe hakika sitaaibika naam, nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye nguvu amen amen

  • @malifedhamachimu4882
    @malifedhamachimu4882 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ndio narudi nyumbni nilitk nije niusikilize kwa radio kubwaa sasa tulsbli sana mtu wa Mungu akubariki muno...

  • @njerimathenge769
    @njerimathenge769 10 หลายเดือนก่อน +2

    God is good
    God is faithful.
    He has made me radiant and exalted me 🙏🏻🤗

  • @cantatemamkwe8867
    @cantatemamkwe8867 9 หลายเดือนก่อน

    Such a nice song Dr Ipyana with ya crew be blessed man of God nyimbo zako ni kati ya nyimbo zina faraja Sana while unapofikiri kufikia mwisho am sure when am with him I will never be ashamed

  • @joykapaya1970
    @joykapaya1970 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yes Lord, if i'll be with you always, i will never be ashamed,,,am humbled.

  • @agneschege1912
    @agneschege1912 10 หลายเดือนก่อน +1

    They looked to him and were radiant, and their faces were never covered with shame

  • @collins5575
    @collins5575 10 หลายเดือนก่อน

    Indeed 🙏🙌🙌🙏 tukiwa na MUNGU hatutaaibika kamwe
    Touching song🥺🥺🥺🙇‍♂️🙌

  • @florencenduta3541
    @florencenduta3541 9 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa na wewe sitaaibika milele👍
    God give more grace to keep birthing psalms from his throne.
    🇰🇪

  • @mwemaelyse2055
    @mwemaelyse2055 หลายเดือนก่อน

    from Rwanda we love you Dr🙏🙏🙏🙏🙏

  • @alicemuriithi7103
    @alicemuriithi7103 9 หลายเดือนก่อน +1

    Wow Dr Ipyana. Lovely worship song. Kaa nami Yesu. God bless you.

  • @frankmbise2283
    @frankmbise2283 10 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa na wewe sutaaibika!
    Amazing song! Mungu akulinde umtumikie yeye cku zote! Bwana akushike kwel asikuache 🙇🙇

  • @sophiawilson6580
    @sophiawilson6580 9 หลายเดือนก่อน

    Tukiwa na wewe Yesu hatutaaibika...tembea na sisi kama ulivotembea na Henoko BABA

  • @sonnycarmella6468
    @sonnycarmella6468 6 หลายเดือนก่อน

    Daima nikiwa nawe Yesu sitaibika kamwe.Amen.

  • @Saint-PaulFavour990
    @Saint-PaulFavour990 8 หลายเดือนก่อน

    Great song frm minister Ipyana nikiwa nawe sitaibaka kamwe katika huduma yangu Bwana🙏

  • @vivianmahuto6898
    @vivianmahuto6898 5 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa nawe Ee Yesu sitaaibika...haya ni maombi yangu

  • @patiencedali2721
    @patiencedali2721 2 หลายเดือนก่อน

    Much love from KENYA Dr IpYana & Team your songwriting skills are topNotch!! And the spirit of God so evident in your ministration.Baraka more Grace M.O.G.

  • @annakassege7134
    @annakassege7134 7 หลายเดือนก่อน

    2022 was the shame year and tough ever i was walking in darkness,midst of storms, troubles and trauma but Jesus rescued me and now he walks with me i can see the light in2024 hallelujah hallelujah 😢😊

  • @DafuJoseph
    @DafuJoseph 8 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu Dr. Ipyana.
    Nabarikiwa sana na nyimbo zako za kusifu na kuabudu

  • @doriskilele4025
    @doriskilele4025 10 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu nikiwa nawe sitaaibika,. You are my Dwelling place

  • @whitneywilliam8177
    @whitneywilliam8177 10 หลายเดือนก่อน

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌!!! Ninatembea. Ninasonga mbele. Nimeuona Wema na Nguvu zako YESU 😭🙌

  • @afyatanzania4354
    @afyatanzania4354 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uwe nami tena Bwana

  • @Overcomercharlz
    @Overcomercharlz 10 หลายเดือนก่อน +2

    Amen much blessing man of God from Kenya we love u

  • @zawadijasminenjau7801
    @zawadijasminenjau7801 10 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa nawe Yesu sitaaibika uwe wangu milele 🙏🙏🙏🛐🛐

  • @godfreymatikoo
    @godfreymatikoo 10 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi hongera sana kwa kukubali kutumiwa na Mungu maana ni Rohi mwenyewe anaeimba na wewe coz nyimbo zako zina upako sana wa kubadilisha kilichokuwa kinyonge na kupata nguvu, Tukiwa na Mungu hatuaibiki kabisaa

  • @saloshaddy248
    @saloshaddy248 9 หลายเดือนก่อน

    Sitahaibika nikiwa nawe Yesu.
    Hallelujah jina lako nalibarikiwe milele na milele

  • @punjilaagnes4907
    @punjilaagnes4907 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anajivunia sana wewe Dr Ipyana Mungu akuzidishie upako na unyeyekevu

  • @maryannewanjiku4085
    @maryannewanjiku4085 8 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa na wewe sitaaibika....The lord is my hiding place ....i just love this song ...Thank you Daktari for the awesome song

  • @byamungufrancois9434
    @byamungufrancois9434 8 หลายเดือนก่อน

    Vraiment nakuwaka na barikiwa naweye ,mungu akutiye nguvu siku zote !!natamaniaka kuimba nawe piya

  • @annalisemachumu-sk1ko
    @annalisemachumu-sk1ko 10 หลายเดือนก่อน

    Nikwa nawewe Bwana cina mashaka kamwe, shukuran sana mtumishi Kwa huu wimbo hakika ni umekuwa baraka kwangu

  • @paschalshimba
    @paschalshimba 10 หลายเดือนก่อน +1

    Unanibariki sana kwa nyimbo zako DR IPYANA

  • @peninahmunyao8149
    @peninahmunyao8149 8 หลายเดือนก่อน

    Pain and shame aint my portion in Jesus Name.Amen

  • @franciskorir6394
    @franciskorir6394 10 หลายเดือนก่อน +1

    Where would I be without you oh Lord....never leave me nor forsake me! Amen

  • @Ministerlawrencesamwel
    @Ministerlawrencesamwel 10 หลายเดือนก่อน +11

    Wa kwanza like zangu❤

  • @kwashjoyce7393
    @kwashjoyce7393 10 หลายเดือนก่อน

    Nikiwa nawe sitaibika uwe wangu dawamu. that's my desire🥰

  • @official_allex_marealle4013
    @official_allex_marealle4013 10 หลายเดือนก่อน

    Chakusema sina ila Mungu ametupendelea sana kuwepo enzi ya huduma yako kaka Ipyana hakika umefanyika baraka mno

  • @jacklinemmochi6433
    @jacklinemmochi6433 10 หลายเดือนก่อน +1

    Lord , be with me.
    You are the lifter of my head.
    Let your hand be with me 😢

  • @nancynyoike4270
    @nancynyoike4270 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hallelujah. Thos is more than a song, its a prayer and declaration a convenant between me and Jehova God.

  • @elyask9574
    @elyask9574 10 หลายเดือนก่อน +2

    Watching from Kerugoya, Kirinyaga, Kenya.

    • @judycharles7612
      @judycharles7612 10 หลายเดือนก่อน +1

      Tubarikiwe pamoja,niko Nairobi

  • @benjamingaliatano7291
    @benjamingaliatano7291 10 หลายเดือนก่อน

    Be blessed Dr. Ipyana, hakika ni wimbo tafakarishi na wenye kuweka mtu uweponi.

  • @hategekimanamariespeciose5701
    @hategekimanamariespeciose5701 7 หลายเดือนก่อน

    Amen amen ubalikwe sana Burundi tunakupenda pia❤❤🎉🎉

  • @catherinelubabali3232
    @catherinelubabali3232 8 หลายเดือนก่อน

    What a powerful song full of holy spirit. I cry very much when I listen to this song. Coz God has been very faithful in my life. Be blessed Man of God.

  • @ianilume7801
    @ianilume7801 10 หลายเดือนก่อน +1

    Blessings.nikiwa nawe Mungu Niko sawa kabisa.