THAMANI YA MZALIWA WA KWANZA - Ev. Japhet Magoti
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Naitwa Japhet Magoti ni mtumishi wa Mungu ambaye nahubiri na kufundisha neno la Mungu kuhusu habari za Yesu mwenye wokovu. Mungu amenipa baraka ya mke mmoja Veronica Japhet Magoti na watoto wawili wa kiume Jayson na Jayvyn Japhet Magoti.
Unaweza kushiriki huduma hii kwa sadaka yako ili tuzidi kupeleka injili kwa watu wengi kwa njia zifuatazo:-
Mpesa 0764062976 jina JAPHET MAGOTI MATOTI
Safaricom mpesa number 0713307222 Japhet Matoti
Tigopesa 0712526937 Veronica Kanick
CRBD BANK 0152318092200 JAPHET MAGOTI
Mungu akubariki sana.
Mungu azidi kukubariki ufike mbali na familiya yako
Hili nalo ni kweli mtumishi yani unamwongelea mtoto wangu kabisa
Amen 🙏🙏🙏 nimejifunza mingi pastor barikiwa sana
You are blessings to me
Ni kweli mtumishi, mzaliwa wa kwanza Mambo yake yakiwa mabaya, hata wanaofuata maisha yao yanakuwa na dhoruba nyingi mpaka kufikia mafanikio
amen
Asantee kwa somo zuri, ulichokiongea Ni kweli kabisa, nimeona hata kwenye familia yetu,
Thamani ya mzaliwa wa Kwa ni mm
Amina mwalimu nimekuelewa Sana ubalukiwe Sana
Baraka tele mchungaji wa Mungu
🙏🙏 Asante kwa somo zuri la mzaliwa wa Kwanza nimejifunza mengi
Umefunza vizur kabisaa, ila Sasa tuwasaidiye je hawa Wazaliwa wakwanza 😮
Mungu akubariki Sana. Mchungaji
Barikiwa sana Mtumishi
Ubarikiwe Sana mtumishi wa bwana. Baba Mungu akubariki daima. Amina.
Amen glory be to God
Good teaching mtumishi wa Mungu, am enjoying it here at keroka
mtumishi je wanaotoa mimba inakuadjee hii
Amen mtumishi wa Mungu
Mungu akubariki Sana kaka
mimi ni wa kwanza kwa mama yangu
Mtumishi maombi yako niya muhimu sana kwangu
Dah
Barikiwa sana mtumishi
Mungu akubariki sana Mtumishi.
duuu mungu atuhurumie
Amen🙏
Amen pastor
Mi ni mzaliwa wa kwanza naitaji maombi yako
Pastor naomba number
Naomba number za Mchungaji magoti
+255622880510