WACHUNGAJI WAONYA MACHAFUKO, WAMTAJA MAGUFULI, RAIS SAMIA/ WAHIMIZA VIONGOZI WASIGOMBEE MADARAKA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ต.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 42

  • @danielkanso
    @danielkanso 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Asante kiongozi kwa kutujulisha zaidi na tunaomba Mungu atusaidie

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Barikiwa sana watumishi wa Mungu. Mungu aendelee kuonekana juu ya HAKI nchini kwetu.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sisi tunamtaja sana Mungu midomoni lakini mioyoni mwetu hayumo!! Kila hafla tunaanza kwa maombi, dua na sala lakini hotuba na matamko yanayotolewa yanakosa muunganiko na neno la Mungu.
    Mungu hadhihakiwi

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Sasa mwambieni mama samia akapumzike, hawezi kuingoza tanganyika, haiwezekani tanganyika tuuzwe kiasi hiki na haiwezekani tanganyika tuwe watumwa tena kwa WAARABU.

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mambo mazuri ila kitu Cha kwanza tuwambie hawa wanao tuongoza wache kulazimisha kutawala hata muombe lakini watawala wasipo tenda haki taifa halitatawaliwa waheshimu mamuzi ya wananchi

  • @AloyceMwitagila
    @AloyceMwitagila 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtumishi wa Mungu, cha msingi watu wapige magoti na kumwomba Bwana basi. Madudu tunayoyaona yanafanywa na viongozi hayavumiliki.

  • @rutashobyanovath1116
    @rutashobyanovath1116 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +3

    Acha utapeli mi sijaona ulichokiongea umemaliza MB zetu tuuu

    • @musaguga
      @musaguga 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Acha kejeli mbwa we

    • @musaguga
      @musaguga 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      We bado mdogo

    • @Gaynor1234
      @Gaynor1234 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndugu yangu yakikupata ndiyo utakapoyakumbuka maneno haya.

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Barikiwa mtumishi

  • @AyubuChacha-u6u
    @AyubuChacha-u6u 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asanten kiongoz

  • @KTMAHENGEMAHENGE
    @KTMAHENGEMAHENGE 31 นาทีที่ผ่านมา

    Maneno yanaonekana ya hekima ndani yake mnapiga kapeni ninayoiona ndanii sana kwa nini useme hata ukinyang'anywa usiwani, ubunge, nyamaza,
    Naona mnatishia watu kwa mwavuli wa kuonyeshwa na mungu,
    Nami nawakemea kwa jina la yesu
    Mnajidhihilisha kabisa mnapiga kapeni

  • @AmisiLulacha
    @AmisiLulacha 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mbona hamusemi kuusu watu kutekwa na mali zote za nchi kupewa waharabu na kupanga mipango mibaya ya uchaguzi

    • @Gaynor1234
      @Gaynor1234 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      Hao wako hapo si kwa ajili ya siasa bali kwa ajili ya kutangaza walivyotumwa na Mungu.

    • @OmmyJames-xn7ji
      @OmmyJames-xn7ji 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Waharabu 😢😢😢😢😢😢wewe ni mrundi

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 12 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Acheni kumkufuru mungu ninyi mnaojidai watumishi wa Mungu.Majanga nimajanga tu . Acheni kupotosha wananchi .Utamwaga Damu wewe .Acha uwongo na uzushi na usichanganye dini na siasa

    • @binsherbal6089
      @binsherbal6089 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Wewe Mkondya huna tofauti na Punda, kazi ya Punda ni kumbeba mizigo ya Bwana wake. Umekua mtu wa kupinga kila neno linalopingana na maoni ya mabwana zako. Wakisema Vijana wa UVCCM kua watapoteza watu hutoki na hilo domo lako chafu ukakemea. Uchawa wako umekufanya uwe unafikiri kwa kutumia makalio. Na nakwambia hata huo Ukuu wa Wilaya hupati utabaki na Kazi hiyo hiyo ya Uchawa na labda ya kua Usiejulikana ila kwa taarifa yako kwa sasa Wasiojulikana mshajulikana, tunawajua.

    • @davisnyandindi4917
      @davisnyandindi4917 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Jina lako plus jina lako haviendan kabisa na ujinga ulio uandika

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Kama mnajua kuna damu itamwagika kwa nini hamuambii huyo mama yenu asimuachie mkwe wake kuharibu uchaguzi kwa sababu ugomvi uliopo Sasa ni kuchafua uchaguzi

  • @rosekagabo5120
    @rosekagabo5120 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu awabariki

  • @songombingo108
    @songombingo108 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zuieni Viongozi wa Serikali kujipenyeza makanisani na misikitini kujifanya wanahubiri amani bila kumalizia neno Haki. Vinginevyo hakuna jipya.

  • @robertmasele9895
    @robertmasele9895 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waanze na waumn wao mbona nchi itakuwa fresh tu!

  • @malamlaaj9852
    @malamlaaj9852 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mungu alisema na mtumishi wa Mungu?? Usemaji bila hatua ni bure?? Mungu ni wa woote. Msishuhudie bila kuchukya hatua ya kuokoa. Kumwaga damu kunachochewa na ninyi mnaojiita mabalozi!!??

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunashukur viongozi wadini Pengine Hawa wahusika watatasikia

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 10 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    R.i.p Jpm

  • @francissimwinga-gb2vd
    @francissimwinga-gb2vd 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Sawa mnaongelea amani mbona hamuongelei haki nchi kama inawatu watekaji itakuwa na amani wambie hawa walio madarakani wakishindwa kuungwa mkono wasibebe bunduki waende wakapumbuzike

  • @Mosmwampa
    @Mosmwampa 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Anzeni kufukuza viongoz wa serikali kanisani maana ndio wanaleta vurugu ndani ya nchi

  • @YustinoAllex-c4m
    @YustinoAllex-c4m 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mtumishi asante sana kwaneno ila Mtumishi haki haki huinua taifa himiza haki haki ikiwepo amani ipo tu wakiona vyama vingi nitatizo wafute wabaki peke yao mbona nisinpo tu

  • @madetetv6576
    @madetetv6576 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nacheki movie hapa

  • @reginas1832
    @reginas1832 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huu utawala unateka na kuua hadharani, wanauza rasilimali zetu mmekaa kimya.
    Hii Tanganyika inatakiwa ikombolewe. Damu inaenda kumwagika hizo zinazomwagika za akina Mzee Kibao ni maji. Oneni aibu hata kidogo

  • @albertkamala6843
    @albertkamala6843 16 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Haki ya Mungu i wapi?
    Mnaojiita WATUMISHI WA MUNGU simameni kwenye HAKI YA MUNGU kama alivyosimama Askofu Desmond Tutu na wachache wengine HADI KUANDAMWA na waliosimama upande wa dhuluma na UKIUKWAJI WA HAKI YA MUNGU, dhidi ya wana wa Mungu..WANANCHI!

  • @EmmanuelChrispin-bo5xh
    @EmmanuelChrispin-bo5xh 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mambo ya utabirimwaxhie mwamposa

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waambien wez wa kura

  • @muharamijuma1569
    @muharamijuma1569 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Huna jipya Acha kutafuta UMARUFIU. MUONGÒ MKUBWA

  • @josephatkajange8714
    @josephatkajange8714 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mbona hata wewe kwa kaulib upo upande furani? Tena unaegemea upande wa waovu!

  • @johnenos9473
    @johnenos9473 22 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Upuuuzi mtupu

  • @NuruLutembeja-h1r
    @NuruLutembeja-h1r 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Acheni utapeli wa kisaikorojia,mbona hampigi kelele juu ya utekaji na ufisadi?Waambieni watawala kutenda haki,kwani haki ndio chanzo cha amani.Kingine viongozi wa dini wanao kemea uovu wa watawala mnawaita eti wanasiasa,kama unataka uteuzi utafute kwa njia nyingine hii njia haitatu NASA.Acheni upuuzi na kujipendekeza,mmeona sadaka zimepungua,sisi kwa sasa wa Tanzania si wamiaka milioni iliyopota,warubuni wajinga!

  • @DrjosephKingo
    @DrjosephKingo 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wakwanza ameongea angLau ila hu,o mama na huyo watatu ni waongo na matapeli.wanatembelea probability kufool wajinga. Hawa manabii mbuzi wa siku hizi wanachungulia uwezekano wa matokeo ambayo hata layman anaweza kuyaona kisha wanaita unabii.

  • @kinkybanjukome217
    @kinkybanjukome217 15 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pumbavu mkubwa wewe

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 14 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Matusi siyo utamaduni wetu piani kinyume na inavyoelekezwa ktk matumizi ya mtandao