Haleluya YESU NI BWANA WA MABWA JINA LAKE LISIFIWE MILELE NA MILELE UFUNUO 4 11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa. Haleluya ame
Haleluya YESU NI BWANA WA MABWA JINA LAKE LISIFIWE MILELE NA MILELE
UFUNUO 4
11 Umestahili wewe, Bwana wetu na Mungu wetu, kuupokea utukufu na heshima na uweza; kwa kuwa wewe ndiwe uliyeviumba vitu vyote, na kwa sababu ya mapenzi yako vilikuwako, navyo vikaumbwa.
Haleluya ame
Mungu akubariki sana tuombee tarime Mungu atuokoe
AMEEEN baba AMIEL MUNGU azid kukutumia kwa viwango vya juu
AMINAAA barikiwa sanaBWANA AkuinuweSANA Mtumishi UBARIKIWE sana
Amina nabarikiwa sana mungu akubariki
Amina karibu Arusha jamani
Amina hallelujah
Haleluya
Tuna muhitaji Mpeta wilaya ya Uvinza mkoa wa Kigoma mwakani Mungu akipenda 2025 mwezi wa 8
Karibu Mkoa wa Kilimanjaro Wilaya ya Same Kijiji cha Makanya kimefungwa
Amen
Amina
Amen Amen .Njili Nyumbn imefika nafurahi
Amenee. Sana
❤❤❤❤❤❤❤❤
Nafurah sana mchungaj aminael amekuja singida kwenye mkoa wangu karibu na section yangu mungu akubarik karibu na section ya isanzu
Andika Mungu kwa herufi kubwa 🙏 huyo mwengine ni shetani.