WAZIRI MKUU AKASIRISHWA NA MFAMASIA ALIYEKATAA KUMPA MGONJWA DAWA ''HUU NI UUAJI''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • WAZIRI MKUU AKASIRISHWA NA MFAMASIA ALIYEKATAA KUMPA MGONJWA DAWA ''HUU NI UUAJI''
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

ความคิดเห็น • 47

  • @enockngande9114
    @enockngande9114 ปีที่แล้ว +2

    Jamani toka nimalize chuo na miaka 11hadi sasa sijawahi kupata kazi natamani nipate kazi kutokana na ugumu wa maisha ninao pitia vyeti havina kazi jamani fanyeni kazi kwa makini huku mtaani kugumu hongera waziri mkuu kwa kazi nzuri

  • @segelemassawe572
    @segelemassawe572 ปีที่แล้ว +5

    Kwa moyo wangu mkunjufu naanza kufatilia hotuba za waziri mkuu kuanzia leo

    • @marypeter2183
      @marypeter2183 ปีที่แล้ว

      mm pia nmejikuta napenda kuangalia tena kutokana n huyu baba Mungu amtunze

  • @paulhenry6253
    @paulhenry6253 ปีที่แล้ว +4

    Hatari kwa Afya

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 ปีที่แล้ว +3

    Mmh pole sana waziri mkuu, anza na wajuu huko.

  • @evalinatesha3763
    @evalinatesha3763 ปีที่แล้ว +5

    Morogoro baba, ndio usiseme, jamani kama mtu huna uwezo unakufa, tunakuomba uje na hapa morogoro baba, Mimi imenitokea

  • @mustaphawelder7022
    @mustaphawelder7022 ปีที่แล้ว +2

    Mh waziri mkuu, nazani Tanzania nzima wa hudumu wa afya hawafai kwanza hawatoi huduma Bali Ni kupiga stori na kuchati na kuwaacha wananchi wanateketea

    • @allymlanda3139
      @allymlanda3139 ปีที่แล้ว

      MUSTAPHER umeongea jambo zito sana, hilo la kuchati na simu liko idara zote za serikali, Tanesco, Maji, Hospital, Wizara zote , NSSF, hakuna kwenye afadhali nchi nzima, tu napita kipindi kigumu mno kwani kila myu Ana angalia lake tu

  • @pastorykishia7883
    @pastorykishia7883 ปีที่แล้ว

    Mkuranga imeoza mweshimiwa waziri....kuna Madudu sana....hata mgonjwa akifika hapa mkuranga hosp anaweza akafia hapa hapa hosp kwa kweli Karibu Majaliwa mkuranga uondoe uozooooo hosp hiyo ina madaktari wasi na lugha nzuri....

  • @emmymsangi8783
    @emmymsangi8783 10 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndie unayefaa kuwa rais wa nchi hiii salut baba

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 ปีที่แล้ว +1

    Huyu mwamba angekua rais..ingekua safi sana..magufuli kaacha chuma cha pua sema ndo ivo nyundo hajaishika wangekoma jeur😂

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis9991 ปีที่แล้ว +3

    Tangu atutoke JPM watumishi wote wa serikali walifurahi kwa Sasa kauli yao ni Moja tu nikutunyanyasa wananchi yote ni majizi mama anaupiga mwingi

    • @kennywilliam2466
      @kennywilliam2466 ปีที่แล้ว

      Mama ako yupi Huyo anae upiga mwingi au umekurupuka kutoka usingizini jitazameee saana wewe.

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 ปีที่แล้ว +1

    Mh. Waziri Mkuu
    Watu hawapaswi kuelewa Philosophy ya Mh Rais wanapaswa kuelewa Maono ya Nchi yanayoweza kutafusliwa na Rais na watendaji wowote

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 ปีที่แล้ว +1

    Hawa kiboko yao alikua magufuli tu alikua harembi ndio maana wamemuuwa ili wakubwa waendelee kupiga yaan daah nnchi hii tupo kwenye wakati mgumu sana mama km hayupo kimyaa kabisa tumechoka jaman

  • @maxmutungi4530
    @maxmutungi4530 ปีที่แล้ว +2

    Bado narudia. Kichwa Cha HABARI soi halisi na HABARI yenyewe.TCRA Ipo kwa ajili gani ???.Halafu mtu mmkoa akikosea kidogo anaandamwa na nchi yote.
    Waandishi zingatieni masdili acheni Lagha nyepesi ni UONGO UONGO.
    Havho dicho mlivhosomea

  • @marcynhumbi3534
    @marcynhumbi3534 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo tabia ya kuelekezwa sehemu ya kununua dawa zipo hospital nyingi TU Hata huku kwetu ipo,yaan hospital Kuna matatizo sana yaani watu wanakufa Kwaajili ya uzembe wa watumishi wa afya na sio Kwa mapenz ya Mungu

  • @hawahussein2056
    @hawahussein2056 ปีที่แล้ว +2

    Wapo wengi tu

  • @saxannjo6173
    @saxannjo6173 ปีที่แล้ว

    umetisha sana MAGUFULI TYPE

  • @saidasimba9979
    @saidasimba9979 ปีที่แล้ว +1

    Haha sasa hivi wamebadiri mbinu wanasingizia mtandao unasumbua yaan kupata dawa za 2,000 /= unasubiri masaa 6 utakata tamaa mwenye na utaenda kununua kwenye maduka yao. Kwa mfano HOSPITAL YA TUMBI. ile hospital bora hata isingekuepoo uhunii mtupuu

  • @amirlehao8945
    @amirlehao8945 ปีที่แล้ว

    Maneno imekuwa mengi kuliko vitendo tembeleeni kwenye hospitali muonane na wagonjwa angalieni changamoto za wahudumu pia saii wengi wenu mmejifungia maofisini hamuwezi kujua nini kinatendeka huo ndo utoafuti wenu na mzee baba Mungu amrehemu

  • @sufoalide1676
    @sufoalide1676 ปีที่แล้ว +2

    Iyo kwa africa yotee

  • @rahmahersi6584
    @rahmahersi6584 ปีที่แล้ว +1

    Pharmacy ya Neema
    Ifungwe...ndiyo chanzo
    Cha vifo vya Raia....

  • @pastorykishia7883
    @pastorykishia7883 ปีที่แล้ว

    Bado idara ya Elimu msingi hapo pia kuna uozoooooo mwingi baba majiwa .......

  • @hajxnasb3849
    @hajxnasb3849 ปีที่แล้ว

    Hayo kila siku tunakutana nayo

  • @benjamindenice53
    @benjamindenice53 ปีที่แล้ว

    Nmeenda pharmacy ya hospital 🏥 ya rufaa nna Bima doctor 😷 akaniandikia nmeze albendazoh dawa za minyoo eti duka hakina dawa

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 ปีที่แล้ว +1

    Fukuza wapo wengi hao

  • @joshuamwamala4795
    @joshuamwamala4795 ปีที่แล้ว

    Kiongoz umeongea vizur ila hii hali mbaya nchi nzima watu tunateseka sana.wengi wanakufa matibabu gharama sana dawa ndo hizo hakuna mahospital ukipewa panado zingine unaandikiwa bei utakayoikuta mtaani shida tu.ukiwa na mgonjwa ukimpeleka hospital ndiko utafikili anaishi shetan cha moto utakiona.

  • @hawahussein2056
    @hawahussein2056 ปีที่แล้ว +2

    Siyo mkuranga tu hadi mwananyamala ndiyo zao

    • @bizoojoh9145
      @bizoojoh9145 ปีที่แล้ว

      Mwanayamara ipi acha umbea kama dawa hmna upewe nni sasa

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 ปีที่แล้ว

    Naomba uje wilaya ya monduli utaona madudu mengi sana

  • @eliahiluka830
    @eliahiluka830 ปีที่แล้ว

    Unaogopa nini kumtaja Mwenye Duka hilo kama sio kuficha waovu hao

  • @user-fw9vk3lo1s
    @user-fw9vk3lo1s 11 หลายเดือนก่อน

    Mkuu haowatu kwenyemahosipitali Kate waganga wallowing ni majizi hadi njombe lufaa hivovitu vipo selekali ichunguze

  • @barikilangoy4737
    @barikilangoy4737 ปีที่แล้ว

    Tanzania nzima hospital za serikali kote nchini akuna dawa yani utaambiwa tu nenda ukanunue dawa madukani

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 ปีที่แล้ว

    Walisha jisahau sana

  • @mmarandu2417
    @mmarandu2417 ปีที่แล้ว

    WANAOSIMAMIA WIZARA YA AFYA WAFANYE KAZI ZAIDI. YAKO MENGI HATA KUHUSU UPASUAJI MKUBWA UNARUHUSIWA WAPI NA SIO WAPI...

  • @mbwanakiting7180
    @mbwanakiting7180 ปีที่แล้ว

    Mpaka leo yapo bado?

  • @rukizaseba5741
    @rukizaseba5741 ปีที่แล้ว

    😂😂ww ndio rais wang naekutambua awo wengine siwatambui (wamchongo)

  • @ashakanyemka3644
    @ashakanyemka3644 ปีที่แล้ว

    Njoo na Tanga hospital zetu zote Tanga nihiyohiyo na hata ukinunua dawa za mgonjwa km ana drip zakuwekewa nikazi utazungushwa mpk uwawezeshe ndiyo wanafanya wamesahau viapo vyao.Tanga tunajikaza sana huduma mbovu

  • @josephswai2374
    @josephswai2374 ปีที่แล้ว

    Wazir needles ivo ivo unaishiha bara bahrani cjui kwa nin

  • @saidsalum6101
    @saidsalum6101 ปีที่แล้ว

    Kasi unajitaidi sana kufukia mashimo yaviongozi wenzako lakini wenyewe wanaonekaka hawapo pamoja nawe wenzako kila mmoja anakufa nachakwake tunakutegemea msimu ujao uwe raisi

  • @ramadhanmgaya1775
    @ramadhanmgaya1775 ปีที่แล้ว

    Huo ni upande wa dawa, matibabu yenyewe Ni shida,

  • @mwanahawakimburaga4423
    @mwanahawakimburaga4423 ปีที่แล้ว

    Ñikwel