Nakumbuka kahama kwa mama njunju nikiwa na rafiki yangu kipenzi tukiuza nguo maeneo ya masanja vunjabei 1998. Alipenda sana kuucheza. Sitasahau RIP DEFAO
Thank You for uploading! Have been searching for this song for 20 years. With the money My dear Mother left when she died, i went to Africa. I bought a mix tape in mombassa. This track was on iT. When i was in Zanzibar and song iT all the people sang iT along. Great memories. Lost the tape and have been searching ever since. Thank You! God bless You!
wimbo huu naukumbuka sana kwani hapa nilikua ndio naanza kazi CRDB BANK PLC yaani mwaka 1999. Huu ndio ulikua wimbo unatamba sana pamoja na nyimbo za Awilo Longomba Coupe Dibamba. Rest in peace General Defao
Huu wimbo unanikumbusha mbali Back 1999 nikiwa darasa la saba Vingunguti B P/S tumerud darasani kupiga msuli na kufanya discussion za usiku na jamaa za ngu Saad Ally, Lusungu, Halid n.k Saad alikuwa anapenda sana kusikiliza huu wimbo.
My best song it reminds me of those days when I was fundraising money to get me in college operating with my uncle 's canter going to kashikishi and all around Zambian. Days to remember
Is Swahili language, they sing about amared women to alazy man who don't provide food & clothing,so she decided to married to another new man who provide food, so the first man,
Kiswahili la woman complaining this man didn't take care of her and they have 2 babies together. Now the woman is lamenting the man leaves her alone for she has a new man who takes good care of her. She is saying in the old days with the man he used to have only one kitenge (wrap cloth) mending and mending it for years... Now she enjoys great nursing food like milk, beef, chicken. She is asking the ex not to come to her new home as she will destroy her new fulfilling life. She is also saying the ex was too lazy to wake up his bum and look for job to provide for her...a cry of so many African women😂😂😂 U didn't take care
Mimi Nimetoka TikTok Baada Yakumuona Mwakinyo Akiimba
Hata mimi 😅
😂😂😂mwakinyo katuleta wengi
Hata mm
Sanaaa mwakinyo katuleta humu wahenga. I used to hear from my sisters
Mwakinyo ndo kaleta wengi hivi
Mwakinyo amefanya nije kuitafuta hii nyimbo
tuliokuja baada ya kumuona mwakinyo akiimba like apa
Nilitafuta sikujua jina lake mwaka mzima alivyoimba mwakinyo nikasoma comment nikapata jibu
Naipemda hii nyimbo nimemuona mwakinyo nyie
Nakumbuka kahama kwa mama njunju nikiwa na rafiki yangu kipenzi tukiuza nguo maeneo ya masanja vunjabei 1998. Alipenda sana kuucheza. Sitasahau RIP DEFAO
Inanirudisha Dar es salaam Tanzania mwaka 1998 chez ntemba bar kinondoni hananasif,what a memory
Aisee wewe ni muhenga sana
@@almostcomic cheztemba Kwa abasi cheztemba, huku sterio bar ikiwa active
Ally kilinda Yupo kijana kabisa, goerge rush dj wa moto,kaka yake tid moody punk ndo karudi
This song was the national anthem in Zambia,I used to live near the bar, from morning to night,all was this song
because of chez ntemba (suke chile ) from lusaka zambie
Kama bado unaisikiliza mwaka 2020 gonga like twende sawa
Yaani hiyo kolza baba inanikumbusha mbali sana, yaani hata kama cna pesa mfukon nikiisikia tu huwa najihic tajiri
Mm nasikiliza leo tarehe 6 mwezi 1 mwaka 2025 dah mpaka machozi yananitoka
Tupo pamoja boss
@@anifrutunu1670pamoja boss
Hii ngoma hatariii mnoo...km namuona bi mkubwa hapooo!! 1999
Kitambo sana hii nyimbo,gonga like kama umekuja kusikiliza baada ya kusikia kifo chake
du nimekumbuka mbali mpaka nimelia kitambo sana natoka moshi na mtoto wa miaka 3 sasa ivi ana miaka 23
that was 1996
Nakumbuka hii wakati huo nilikuwa Mkwaja pangani. Maisha ni siri kubwa sana
Nimemkumbuka Mbali Sana.
Hii Nyimbo Has A Good Memory With Me.
Like kama umekuja 2025 baada ya kumuona mwakinyo akiimba hili ngoma
😅😅😅 ni mm kbsaa nimeusikia Kwa mwakinyo
Umejuaje😅😅😅
Hahaha tuko hapa
If you're still watching this till now you're the really legend 2023 🇹🇿
Am a legend ❤
Mziki mambo mbaya
Where are you my people 😅🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Sure
Tuko pamoja
Nakumbuka wakati tunamaliza darasa la saba kwenye tulifanya sherehe hii nyimbo ndo ilikuwa nzuri balaaa,jaman zaman rahaaaa sana
Tukopamoja sana
😭😭😭😭 dah!hii nyimbo inanikumbusha mbali sana,wengi tushawapoteza akiwemo mama yangu kipenzi,....nani anausikiliza 2022 plz!!!!?tujuane hapa
Aisee mm apa
Doh!! Kweli nami nipo kwenye orodha ya wahenga,,,, nakumbuka mwaka 1999 nimemaliza darasa la VII
duh hatukufanya graduation mwaka huu nyerere mwaka huu
Dah mwaka mmoja wte
Inanikumbusha mbali sana
Pamoja mzee baba 1999
Pamoja sana, STD VII 1999
Mtoto wa shuleee………………….. those days
I remember Lusaka, Monze and Livingstone Zambia. Those days I was very young boy, my first trip travelling Africa alone
Wow
ngoma nimeilewa enzi hizo
no shida yaan
Wimbo mzuri sana na wenye mafunzo mengi pia. Sauti na mpangilio wa ala za muziki safi sana.
rispect defao
Huyo ndo Le General Defao yani usipime!
Kuna gitaa la umeme linapita chini hapo.... Ni shida.
Thank You for uploading! Have been searching for this song for 20 years.
With the money My dear Mother left when she died, i went to Africa. I bought a mix tape in mombassa.
This track was on iT.
When i was in Zanzibar and song iT all the people sang iT along. Great memories. Lost the tape and have been searching ever since.
Thank You! God bless You!
Jamn song imeukonga moyo wangu
Those times, my siblings and I used to enjoy the holiday season; this song takes me back, and it brought tears to my eyes.😢
Inanikumbusha natoka Moshi 1998 iko na moto wake . bonge la songi
Kumbuka mbali sana enzi hizo unafukuzia gari ya matangazo
Unakalia tu kwa mziki kazi utafute the famous line my late friend Ayuka used to like great memories those were
Unaikalia tu politiki asubuhi yote na Mapema kazi hautafuti tutakula nini?
wimbo huu naukumbuka sana kwani hapa nilikua ndio naanza kazi CRDB BANK PLC yaani mwaka 1999. Huu ndio ulikua wimbo unatamba sana pamoja na nyimbo za Awilo Longomba Coupe Dibamba. Rest in peace General Defao
Nimekumbuka MBALI Sana!😭😭
RIP Général Defao. Tu as marqué mon enfance !
I was very young by then.
Huyu mzee nmegundua ni kipaji sana
daah mbali sana wakati mjomba wangu muhidini kapata mke wa Kwanza
Hii ngoma kwangu inatengeneza kumbukumbu kubwa sana sana
Huu wimbo unanikumbusha mbali Back 1999 nikiwa darasa la saba Vingunguti B P/S tumerud darasani kupiga msuli na kufanya discussion za usiku na jamaa za ngu Saad Ally, Lusungu, Halid n.k Saad alikuwa anapenda sana kusikiliza huu wimbo.
Huku wananiowa kila mwezi na pesa ya kikwembee hahaha
My best song it reminds me of those days when I was fundraising money to get me in college operating with my uncle 's canter going to kashikishi and all around Zambian. Days to remember
Inanikumbusha kwenye harusi ya Dada ang japo nilikuwa mdogo niliinjoi
Tuliikalaga pamoya...très interessant...
Pumzika kwa amani Baba yangu mzazi Hayati Dominick Mholele Mtanzania Mwenye Dodoma Yake muda ulikuwa mtu mwema
Inanikumbusha loooong Time back memories za zamani zinapita kwenye 🧠 yangu
Duu hii nyimbo nakumbuka mwaka 1995 nilikua nauza viazi pale kelema assnte sana
Pumzika kwa amani General defao 6/01/2025
2024 LET'S GO 🧖♂️
RIP my brother Friday bwalya kapolyo this song reminds me of you umweo wenu utushe muchibote😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏God why????
Kila saa na rewind ikiisha..
Kiswahili kidogo safi kabisa
Mwamba in tanzania voice❤❤❤❤❤
duh. kitambo sana I remember this song
nisikilizapo izi nyimbo ufulai sana ujisikia buludani kumtima wangu asante aliyee vumbua sm izi kwani vitu vitamu kama ivi tungevikosa kwa sasa
nakumbuka hii ngoma enzii hizo nipoo dogo
My dad used to play this song..i was so young but i understood he was sick and later passed away...I miss him hearing this😥❤
And now Covid has robbed all of us music lovers by taking this artist just before we welcome 2022. R.I.P General Defao
I'm sorry for your lost
Stay strong @veronica paul
sorry to hear that. May he Rest in Peace
Miss my elder brother. Really loved this song.
Inanikumbusha zamani sana 1998...Bumva Kahama
Je suis general Defao. Rip mon general 😫😫🙏🙏🙏
Daaaa ya kale dhahabu .....Asante kwa wimbo huu .....
Duh, nakumbuka mwak 1999 hapo nipo darasa la pili, tunaambiwa Kwamb mwaka 2000 ndio mwisho wa Dunia,
Enzi zile safi sana ninakumbuka tzi
Aloooo ktambu duh
So sad old days are gone when we used to enjoy life in Lusaka
Sitaki tena posa kama nikuoa oa mwingine..naipenda vibaya hii nyimbo jamani tangy sijaanza hats shule ya msingi mpaka leo nazeeka...2018\02
Na sisi tutasemaje?
Iko poa sana
Iko poa sana
R.I.P my mate Ernest this song brings me back your memory I miss you so much
Pole sana kaka
Duu sina LA kusema juu ya hiyo ngoma
Pole sanaaaa Mussa
pola sana musa
rip Ernest
wakati huo umekuja tzd unapiga live pta sabasaba duuu
This song reminds me of my young late brother Steven malekani banda RIP
Pole sana kaka
Huu wimbo binafsi unanirudisha mbali sana miaka ya 96 kuja 2000s
RIP My brother Captain Joo Mwamfupe this was one of your favourite song 😭😭 najiandaa kwenda Meta Secondary unaipiga hii nyimbo
Ni 2024 na nipo hapa
Wooooh, this peace of Muzik gave me a sleepless night some time back,
Legendary music, i looked for this song till i found it.
Memories indeed💪🎵🎶
Leo ndio nagundua kuwa aliimba, njoo kwa kulee eeh ntakupiga masasi eeh
Oooh kolza unaikalia tu politic asubuhi yote na mapema kazi haitafuti
Nimeipata kwa mwakinyo mwakinyo hassan akiimba.
Imekumbusha mbaaaaali
Naikubali sana hii nyimbo 1999tunatumia tape sio cd km sasa hv
Na chupa moja ya pombe,najenga mwili!!!!, is fantastic
Hii nyimbo naisikiliza mpaka nakumbuka mbali sana
i recall way back when this song was released my uncle jenga jenga he used to dance alot 1999
Who is with me #2024❤❤
Oooh! Finally, nazui nzembo oyo ! 😊👌🏾👌🏾💖👏🏾
Always nice one sana
2021 Bado inakonga nyoyo General Defao fireee
nimekumbuka mbali miaka ya 1999 nikiwa dalasa tano
Huuu mziki uwa unaniamsha balaa
My Dad used to pray this song via Panasonic radio..... I remember .......previous life .......r.I.p.....general defao
Exactly Panasonic ilikuwa habar kipindiki hicho
Generale defao kwenye ubora wake
Nakumbuka mbali sana 1998 hiyo
Am here ❤❤❤ that's when I was 10 year's old 🔥🔥🔥🔥
Kikwembe moya kushona kushonenelea
my mum loved this song,i was yong by then but now i understand why.
Naikubari xana hii nyimbo
I heard it from my mom and here 2021 listen to this masterpiece
I wish I could understand what they are singing about all the love from Zimbabwe 🇿🇼 I just love the song
They were even singing in Swahili a good trial
Is Swahili language, they sing about amared women to alazy man who don't provide food & clothing,so she decided to married to another new man who provide food, so the first man,
Kiswahili la woman complaining this man didn't take care of her and they have 2 babies together. Now the woman is lamenting the man leaves her alone for she has a new man who takes good care of her. She is saying in the old days with the man he used to have only one kitenge (wrap cloth) mending and mending it for years... Now she enjoys great nursing food like milk, beef, chicken. She is asking the ex not to come to her new home as she will destroy her new fulfilling life. She is also saying the ex was too lazy to wake up his bum and look for job to provide for her...a cry of so many African women😂😂😂
U didn't take care
Imagine kuna watu wanaamini muziki ni haramu
Mboka Matata whenever i hear this song i remember you may Allah forgive you all your sins
Mwakinyo bwana izi ni nyimbo za maumivu ya mapenzi
❤❤❤❤❤ 2025 still the best song ever
Just I love it because it remember me the last moment and advise of the life I appreciate it
Pole Sana familia ya Defao
Huruma sana
2025 after see mwakinyo sing 😂
Naikubali sana hii sauti tena nakumbuka nilkiuwa mdogo ila naipenda sana
Am 1 of Rhumba Muzik from way back,back into Time ❤
I remember those days when I was with my father r.i.p until we meet again on the other side 🙏🙏🙏🕊️🕊️🕊️
2025 still fire 💥💥💥