KWANINI MAISHA YANGU HAYABADILIKI? {PART 2} || PST. GEORGE MUKABWA 31-7-2022
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- Pastor George Mukabwa -Senior Pastor-Jesus Restoration Centre (JRC), Mwanza Tanzania.
For Offering you can send from any Network to M-Pesa Lipa Namba 5252176
Gospel Teachings for soul winning Purpose.
Shalom shalom shalom from qatar doha 🇶🇦🇶🇦🇶🇦🥰
Following keenly from qatar doha 🎉🎉🎉
Very powerful sermon 🎉🎉
AMEN, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu,Naomba Mungu aniwezeshe niwe kuhani mkuu katika bustani ya kazi yangu, ndoa yangu, uchumi wangu, Watoto wangu, Mapato yangu,afya yangu,taaluma yangu, familia yangu. Mungu naomba unirudishe kwenye nafasi yangu . 1:37:05 dishe
Following these teachings from Kenya and my church has changed may God continue blessings you co worker in Christ service pastor Mukabwa
Amen babayangu umenifundisha jambo kubwa sana kama vile hii ibada iliandaliwa kwaajili yangu 😥 hakika nimelia na kutambua njia sahihi 😥 ukuhani wangu umeanza sahihi 🙏
Dunia ya leo watumishi kama hawa wachache sana asante mungu kwakunikutanisha na mtumishi wako ukweli nimenifundisha sana
Amen Mtumishi wa Mungu, Yesu akuinue kwenye viwango vya juu na akupe afya njema na umri mrefu kwa jina la Yesu kristo amrn🙏
Nimekula nimeshiba nichakula ninacho kipenda asante yesu kwa kuniongoza kumsikiliza huyu kuhani!!
Asante Yesu kwa somo zuri Mungu ni saidie nidumu katika ukuhani wa kwako tu nitie nguvu Yesu wangu
Eeeeh mwenyezi MUNGU nakushukuru kwa neema ya kupata kibali ya kuingia Utubu nkutane na haya mahubiri,,, naomba pia unipe neema ya kufuatilia na kubadilika na kulitumia neno lako katika maisha yangu yote,,,be blessed pastor George,,, umeinua moyo wangu kabisaaaa,,,, Asante Mungu
Amen barikiwa mtumishi wa mungu kwa mafundisho mazuri
Nasikiliza toka Dodoma, hayo yote mtumishi ni kweli kabisa, naangamia kwa kukosa maarifa, Mungu akubariki sana, naomba niyatendee kazi haya maombi ameni
Very powerful mungu akubariki Sana mtu WA mungu umeniamsha akili
Pastor mungu akubaliki na akushindizie neema
Huyu ndio Mchungaj anafaa kukula sadaka zangu 🙏✍️
Your teachings are strengthening my weak faith each day🙏🙏🙏
Hakika hii message ni Yaku Mungu nisamehee nisaindie Yesu nirutishiwe ukuhani wangu Mungu alelluyah alelluyah blessed
Jesus answer everyone's in a time he plan
Wow very powerful . Nimejifunza mengi sana. Mungu aniwezeshe kwa kina la yesu. Bariki wa sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa baba Mchungaji
Asente Sana kweli mm likuwa nalia nikisema mbona mungu amenicha lakini umenipa Jia ya kutumia🙏🙏🙏🙏
Napenda unavofundisha yananijenga nimepata jambo linalonihusu Moja Kwa Moja
shikamoo,bwana yesu asifiwe,Mimi naitwa grace ninafatiria mahubiri yako Niko mara bunda,natamani kuonana na wewe samahani
Aaamen,mafundisho mazuri mno
Hakika mungu ametuinulia tunda ubarikiwe mtu wa mungu maisha yangu yamebadilika asilimia 90 kupitia mahubiri yako
❤❤❤ napenda sana hayo mahubiri yamenihuza Mimi barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God 🙏🙏
Amen pastor mungu akubariki sana akupe uwezo zaidi wa ukombozi amen
Amen 🙏🙏
Nimebarikiwa Mtumishi wa Mungu,nimejifunza Mimi Ni mkristo lakini nilipoteza nafasi ya ukuhani.... naamini Mungu alinipa kulipata hili somo ili nirudi katk ukuhani.
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu. Tukaze mwendo tufike Mbinguni juu.
Na hiinuliwa mutumisi wa mungu
Thanks poster
Mchungaji mafundiko yako Yana nijenga Sana mungu anipe neema ya kuniwezesha ubarikiwe
Nimejifunza na nimeitambua nafasi yangu ya kikuhani, Barikiwa sana mtumishi
Amen nabarikiwa nanakuwa kiroho kwauweza wamafundisho yaMungu
Kupitia Mtumishi wako, Jehovah nina imani sitaki Kama nilivokuwa awali
Amen pastor leo ndio nimejua maneno 🙏
I'm really blessed in my spiritual life, pastor my the lord Jesus Christ stay protecting you and your family over there, please I'm trying to send sadaka but not going through, can anyone help me please 🙏🙏
Dah jmn pole sana
Asante kwa Bwana kunisikizisha ujumbe huu...! Barikiwa Sana Mtumishi wa Mungu...!
Amen,Mungu nisaidie
Leo ndio nimeiona hii chanel Mungu nifundishe njia zako vita ni vingi na vikali
Thank you for. Good message
ooh mungu wangu endelea kumpa nguvu zako huyu mtumishi ni mimi Paul wanjala kutoka nrb Kenya
Hakika mwalimu anafundisha vizuri tu Mungu anisadie piaa
Ubalikiwe mtumishi
Aleluya mchungaji nafuatilia sana mfundisho Yako nipo dodoma
Mungu akubariki sana mtumishi wa MUNGU
Uko sawa paster umbarikiwe tuzindi kubarikiwa
EeMungu tupatie nguvu tuwe washindaji
Asante sana mchungazi sasa niniswali ukijikuta namatatijo hayo ao watoto wako wamefanyiwa ubaya huo utmfanya Nini naomba msanda
Haki pasta umekuwa baraka sana kwangu
Nimepata fungu langu,,, ubarikiwe mtumishi 🙏
Neema izidi kwako pastor
Mungu nipe nguvu yamaombi nikamilishe maombi haya ubarikiwe mchungaji
Asante mtumishi kwa neno zuri lililo nitia moyo Sanaa barikiwa sana
Amen amen nimebarikiwa sana na kuna mahali ili neno limenitoa na kunielewesha kabisa be blessed mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏👏🏽👏🏽👏🏽
Aksanti kwa mafundisho hii kubwa
Kila siku ninalia😢 mungu ameniacha kila ninachoomba sijibiwi 😢😢 ila sitokata tamaa najuwa mungu Yuko pamoja na mm 😭😭😭🙏🙏🙏
Mbalikiwe mtumishi wa mungu
Mungu akubariki sanaaa mtu wa Mungu.
Nabarikiwa sana na mafundisho yako, Neema ya Mungu izidi kukutunza baba
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
❤ waaaah hio message imenibariki kweli,, nasikia kama dama💃💃💃
Barikiwa Mtumishi wa Mungu
Great job man of God.iam blessed
Nimebarikiwa Sana asante Yesu Kwa neno hili kupitia mtumishi wako..narejesha ukuhani wangu
Barikiwa sana mtumishi
Mtumishi mungu akubariki saidi ya hapo
Amen Amen 🙏 ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Mungu akuongezeye mtumishi
Asante sana nabarikiwa sana
Mtumishi ubarikiwe kwa ujumbe was leo
Ameni pasta Nimekuelewa sana
Mungu akubariki sana 🙏
Masomo Yako baba ubalikiwe sana
Hakika nimepona katka hili somo
mchungaji unanibariki sana
Amen mahuburi mazuri
Exactly this is what has happened to me,oh DEAR LORD, HAVE MERCY ON ME BY REQUITING MY SINS AND ALL INIQUITIES,DEAR LORD JESUS CHRIST MY SAVIOR.
Ukifuata haya mafundisho nakutendea kazi uwezi Baki ulipo kabisa yesu nipe nguvu na ujasiri
You arectht5u5ba youffxn aresend you are welcome you back to the house to get my car and Widows you are welcome you and to your ytyr gggyty22uu to hear tt ee you are helping me out of my daughter's school today so that we
Naomba namba yako mtumishi nabarkiwa sana na mahubir yako
😊
@@deuselias9220❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Asante mchungaji kweli yesu anaanglia moyo
Amen pastor
Ninetambua nilipotea wapi....asante kwa mungu
Haleluya God bless you pastor nimebarikiwa
Amen ubarikiwe
Amen Amen Amen nimebarikiwa sana mchungaji
MUNGU akubariki mtumishi,somo zuri
Amen amen nahitaji no ya mtumishi
Amina mtumishi wa Mungu
Asante sana pastor nimebariliwa sana
Good teachings. following
Amen 🙏
Kweli mtumishi wa mungu
Diyo papa wangu unyobee Nami neka Ku Congo RDC ville ya Lubumbashi
Amen man of God.. Godbless you..UNANIBARIKI SANA
Ame and amen
Ameni kuhani wa Mungu
Amen mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana pastor
Nice teachings. My life is changing
Ooo Yesu nisaidie
God bless you man of God,lam very much blessed by this message