JINSI YA KUSHINDA ROHO YA MADENI || PASTOR GEORGE MUKABWA - JRC || 09-10-2022

แชร์
ฝัง

ความคิดเห็น • 262

  • @damarisgatwiri1587
    @damarisgatwiri1587 ปีที่แล้ว +6

    Asante mwenyezi Mungu Kwa kutufahamisha kupitia Kwa mchungaji wako, Baba yangu niondolee hii roho ya madeni katika jina la Yesu Kristu

  • @bethmaina3912
    @bethmaina3912 7 หลายเดือนก่อน +2

    Haya yote ni ya.kwangu.pastor.may God help me.nianze pale.kwa jina la yesu kweli wokovu ni mtamu kweli tuki.ufahamu vizuri.

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu naomba niondolee roho ya madeni katika maisha yangu Amen Amen thank you pastor

  • @nicholousthomaslyatuu5545
    @nicholousthomaslyatuu5545 8 หลายเดือนก่อน +1

    Mchungaji unanibariki sanaa mungu azidi kukuinua

  • @ClaraCecil-rq4xf
    @ClaraCecil-rq4xf ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa mchungaji E mwenyezi Mungu niondolee roho ya madeni

  • @judyfulgency6626
    @judyfulgency6626 ปีที่แล้ว +2

    Mungu wangu nisaidie, roho ya madeni inanitesa mno.

  • @damarisgatwiri1587
    @damarisgatwiri1587 ปีที่แล้ว +1

    Ee baba yangu nisaidie ukaniondolee roho ya madeni katika jina la Jesus Christ

  • @damaricemkanyika8293
    @damaricemkanyika8293 ปีที่แล้ว +1

    Ee mwenyezi mungu ni saidie , unitoe katika mandeni.

  • @LaurenciaErasto
    @LaurenciaErasto 7 หลายเดือนก่อน

    Amen mtumishi wa MUNGU umenifundisha jambo kubwa sana. MUNGU akubariki sana aendelee kukutumia ili maisha yetu watoto wa MUNGU yaondolewe katika dhiki hii katika Jina la Yesu Kristu Amina.

  • @j3st660
    @j3st660 3 หลายเดือนก่อน

    Amina mtumishi wa mungu nalia Kila sku na mungu nadaiwa Kodi yanyumba nifanye nn kukopa siwezi

  • @nancyisoyi8164
    @nancyisoyi8164 ปีที่แล้ว +1

    Asande sana pastor MUKABWA🙏🏾
    NYASAYE Akhu Kasitsee Muno muno muno🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @christinachazy8644
    @christinachazy8644 ปีที่แล้ว +2

    Eee Mungu wangu naomba unisaidie hiii roho ya madeni iondoke kwa jina la yesu

  • @kitambalazadock7078
    @kitambalazadock7078 ปีที่แล้ว +1

    Mungu saidiya mume wangu atoke ndani ya roho ya madeni nakuomba utusaidiye ,Asante mtumishi kutufumdisha🙏

    • @jacqueisaac8155
      @jacqueisaac8155 ปีที่แล้ว

      Msaidie kuongeza kipato pia. Madeni husababishwa na kipato kutoweza kutimiza mahitaj😢

  • @ShahaMasuka
    @ShahaMasuka ปีที่แล้ว +1

    Ahsante mchungaji kwa mafundisho mazuri ya kutufungua ufahamu.

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc ปีที่แล้ว +1

    We mungu nisamehe naomba niondoleee roho ya maden siku ya Leo Asante sana mchunganj kwa mahubiri yako

  • @eutropiafreeman1313
    @eutropiafreeman1313 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu aendelee kumimina haya mafuta ya kutufundisha mtumishi. Unanibariki sana.

  • @mercyMahenge-sp2yj
    @mercyMahenge-sp2yj 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ee Mungu nahitaji neema yako katika hili , bila wewe sitaweza.

  • @eutropiafreeman1313
    @eutropiafreeman1313 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu tuondolee hii roho ya madeni ktk familia yetu. Dama ya Yesu ifute kabisa msingi wa hii roho kwenye familia yetu wote. Ktk jina la Yesu Amina.

  • @MUSAMAIKOMALELE-io4rn
    @MUSAMAIKOMALELE-io4rn ปีที่แล้ว +5

    We Mungu nisaidie nikimaliza madeni niliyo nayo nisijope Tena Kwa jina la Yesu

  • @JanetNambeya-ce6lc
    @JanetNambeya-ce6lc ปีที่แล้ว +1

    Bwana Mungu niepushe roho ya maden mungu wangu mpaji was yote naomba niende roho ya baraka

  • @CarolKibali
    @CarolKibali 8 หลายเดือนก่อน

    You are such a blessing. I can't explain how i have received from this message . May God continue using you to change many lives.

  • @juliusndossa201
    @juliusndossa201 ปีที่แล้ว +1

    Namshukuru mungu na namuomba aniepushe na hii roho. Watu wengi wamekufa kwa ajili ya madeni.

  • @ISSABELAKAMGUNA
    @ISSABELAKAMGUNA 10 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji,hakika umenigusa,mungu wangu anisaidie kushinda roho ya madeni, nimechoka sana,Sina firaha na kazi yangu kabisa huwa natamani ata kuacha kazi!

  • @dorcasnekesa625
    @dorcasnekesa625 ปีที่แล้ว +2

    Mungu niondelee roho ya madeni in Jesus name amen

  • @wankaasheri9060
    @wankaasheri9060 ปีที่แล้ว +2

    Mungu niondolee maroho machafu ya madeni umasikini ufukala kukataliwa ajari laana talaka magonjwa mungu niondolee hizo roho za madeni 🇹🇿🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @antusajoseph9360
    @antusajoseph9360 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidiye niondolee roho ya madeni

  • @judymunaniemunanie726
    @judymunaniemunanie726 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana pastor George umekuwa wa baraka katika maisha yangu be blessed

  • @hopesengo6972
    @hopesengo6972 ปีที่แล้ว +1

    Ahsante Mchungaji,somo zuri tunapona.

  • @GodfreyMwaya-xv6cw
    @GodfreyMwaya-xv6cw ปีที่แล้ว +1

    Mungu nirehemu nami nitoke kwa roho ya madeni.

  • @happynescostat7420
    @happynescostat7420 ปีที่แล้ว

    MUNGU akuinue,umeniongelea mimi,sikuwa na madeni ata kidogo,ịla kwa Sasa nadaiwa kula upande,Asante umenikomboa kwa mafundisho yako,ninatoka kwa kina YESU!

  • @ruthabed
    @ruthabed 11 หลายเดือนก่อน +1

    Ee mungu niondolee roho ya umasikini na roho ya madeni na roho ya kukata tamaa

  • @BeckyKerubo-254
    @BeckyKerubo-254 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji kwa huu ujumbe maana maisha yangu haya tabaki jinsi ya livyo tena

  • @violethngailo5088
    @violethngailo5088 6 หลายเดือนก่อน

    Yesu ameniona kupitia somo hili nimefunguliwa kwenye nira ya madeni. Mungu akubariki Mchungaji.

  • @EstherKengelemanjale
    @EstherKengelemanjale 3 หลายเดือนก่อน

    Asante muchungaji kwa mafundisho mazuri

  • @eutropiafreeman1313
    @eutropiafreeman1313 10 หลายเดือนก่อน

    Be blessed, Pastor, for your teaching. We give him the glory for your oil.

  • @maldinahnyakundi6376
    @maldinahnyakundi6376 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nisaidie nitembee katika baraka yako...niondolee roho ya madeni

  • @laurencebenda8280
    @laurencebenda8280 ปีที่แล้ว +3

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu, ibilisi ya deni toka katika jina la Yesu Kristu, Amena

    • @oliveramani5629
      @oliveramani5629 9 หลายเดือนก่อน

      Mungu niondolee roho ya madeni

  • @puritymbodze112
    @puritymbodze112 ปีที่แล้ว

    Thanks 🙏 man of God ni mm tu niliye patwa na hii roho ya madeni, nashkuru mungu maana neno linapo shuka hufungua mtu,,mungu azidi kukupa hekima ya kutufunza ili tumjue mungu zaidii

  • @EldaMdegela
    @EldaMdegela ปีที่แล้ว +4

    Mungu nisaidie roho ya madeni iondoke kwangu.

  • @floramlacha9632
    @floramlacha9632 7 หลายเดือนก่อน

    Kutembea katika madeni Ina MAANA Niko nnje ya baraka za Mungu

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 ปีที่แล้ว

    Hasanti sana mchunganji..nilifunzwa..na mchungaji wangu kitambo..sasa mimi huwa nahishi na furaha 🙏 hasanti kwa somo. Mchungaji..humekuwa wa baraka kwa wengi..

  • @Anifanusura
    @Anifanusura 7 หลายเดือนก่อน

    Pastor asante kwa neno hili limenijenga sana.

  • @ManirakizaGerard-i5f
    @ManirakizaGerard-i5f ปีที่แล้ว +1

    Umenisaidia chungaji nashukuru mblikiwe.

  • @selineakoth5170
    @selineakoth5170 11 หลายเดือนก่อน +5

    Pray for me Niko na madeni hata sijui what will happen with those I owe, Niko kwa aibu

  • @ruthmuchina3963
    @ruthmuchina3963 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubarikiye zaidi na zaidi mchungaji

  • @evodiusmligo7661
    @evodiusmligo7661 8 หลายเดือนก่อน +1

    Roho ya madeni iishe leo kwa jina la yesu kristo amen 🙏🙏🙏 27:49

  • @elifurahajackson3072
    @elifurahajackson3072 ปีที่แล้ว +1

    Mungu ninaomba nisaidie nateseka sana na roho ya madeni yananufanya nishindwe kufanya kazi kwa amani

  • @CarolKibali
    @CarolKibali 8 หลายเดือนก่อน

    Have just been a silent follower, and for sure I have learned that there's so many lives have been wasted without knowing. May you live long. Many pastors never tell the truth. They just brain wash us, and before you realize you done.

  • @sherryfuraha3076
    @sherryfuraha3076 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu niondolee roho ya madeni na madhabahu ya umaskini yaishe kuanzia sasa 😭🙌

  • @loreenmwambinguloreen7373
    @loreenmwambinguloreen7373 ปีที่แล้ว

    Amina asante BWANA YESU kwani ufunuo huu

  • @mukashyakaanny560
    @mukashyakaanny560 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana mchungaji ❤❤❤❤❤❤❤

  • @pillyshemsanga4676
    @pillyshemsanga4676 ปีที่แล้ว

    Ameeeeen. Mtumishi. Asante. Kwa. Mafundisho

  • @oliveramani5629
    @oliveramani5629 9 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumish wa Mungu

  • @JohnKaragu-tr9hu
    @JohnKaragu-tr9hu 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asanti Mungu kwasababu ya sauti yako kutuelekesa

  • @merymmbaga2100
    @merymmbaga2100 2 ปีที่แล้ว +1

    Merry mmbaga pasta nimekusikiliza nimejifunza mengi na umenifungua ufahamu Mungu azidi kukubariki

  • @bartholomewluwanja6693
    @bartholomewluwanja6693 10 หลายเดือนก่อน +1

    Asante pastor God bless you

  • @kasokidenise5400
    @kasokidenise5400 11 หลายเดือนก่อน

    Nimefunguliwa asante mutu wa Mungu

  • @psaghouseofgrace1468
    @psaghouseofgrace1468 ปีที่แล้ว

    Asante Roho Mtakatifu kwa Somo zuri kwa Kanisa.

  • @ulderonyango
    @ulderonyango 8 หลายเดือนก่อน

    Niombee mtumishi wa Mungu, niondoke Kwa hii nira ya madeni

  • @omary909
    @omary909 ปีที่แล้ว

    Asanteee kwa somo zuri. Nimebarikiwa mnoo

  • @MUSAMAIKOMALELE-io4rn
    @MUSAMAIKOMALELE-io4rn ปีที่แล้ว

    We Mungu nisaidie roho ya madeni iondoke kwangu Kwa jina la Yesu Amen

  • @ruthmosesmasanja6502
    @ruthmosesmasanja6502 ปีที่แล้ว +1

    Hakika deni ni utumwa, na ndivyo tulivyo, tusaidie tupone. Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu

  • @judithenock2640
    @judithenock2640 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu nisaidie 😭 uniondolee roho ya madeni umaskini kukataliwa ufukara in the name of Jesus Christ ameeeeeeen

  • @FloraMahellah
    @FloraMahellah 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unitoe kwenye roho ya made ni

  • @davidbitsiri6566
    @davidbitsiri6566 ปีที่แล้ว

    mungu akubariki pasta mwagasege kwamafundishoyako kilamara inanibariki

  • @gabriagustino9959
    @gabriagustino9959 5 หลายเดือนก่อน

    Nimebalikiwa sana

  • @festamwaibabile2190
    @festamwaibabile2190 25 วันที่ผ่านมา

    Ee mungu nisaidie nilipe madeni

  • @MITSHANGEL-r8h
    @MITSHANGEL-r8h ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu kwa mafundisho

  • @SolanzaMwasanyage-hq2jy
    @SolanzaMwasanyage-hq2jy ปีที่แล้ว

    Amina tumebarikiwa bc sana

  • @everinemasoka6923
    @everinemasoka6923 8 หลายเดือนก่อน +2

    Amen Amen

  • @asnathmasegenya9890
    @asnathmasegenya9890 ปีที่แล้ว

    Umenibariki mchungaji barikiwa pia zaidi

  • @PatienceNgolotwa-cv5jo
    @PatienceNgolotwa-cv5jo ปีที่แล้ว

    Ahsante sana Mtumishi wa Mungu kiukweli umetupa ufunuo katika eneo zima la uchumi katika maisha yetu....May God bless u

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 ปีที่แล้ว

      Ee Mungu naomba uniondolee roho ya madeni maana nilisha inngia asante kwa mafundishe mtumishi naomba uniombee

  • @eliasilwimba187
    @eliasilwimba187 ปีที่แล้ว +4

    Batikiwa pastor George,the lesson is so useful for me

  • @j3st660
    @j3st660 3 หลายเดือนก่อน

    Amina baba😢😢❤

  • @floramlacha9632
    @floramlacha9632 7 หลายเดือนก่อน

    Kwa kweli Mungu naomba unisamehe,nimepalilia tabia ya madeni

  • @byamungubahati5978
    @byamungubahati5978 ปีที่แล้ว

    Ee mungu nitowe kwenye ma deni Baba.

  • @gracehendrick5489
    @gracehendrick5489 5 หลายเดือนก่อน

    MUNGU ninaomba unipe neema ya kuua tabia ya kukopo kopa ishindwe katika jina la Yesu.

  • @atuenemsalilwa2548
    @atuenemsalilwa2548 ปีที่แล้ว

    Thank you Man of God for wonderful message

  • @ElizabethKanuamashi
    @ElizabethKanuamashi ปีที่แล้ว +1

    Nakataa roho ya madeni katika jina la Yesu

  • @Alexei-xu3dp
    @Alexei-xu3dp 6 หลายเดือนก่อน

    Umenibariki pst

  • @apostleelishadismas3380
    @apostleelishadismas3380 ปีที่แล้ว

    Kiukweli2 hili somo limenifungua Sana na nimebarikiwa sana zaidi ya sana

    • @mercyMahenge-sp2yj
      @mercyMahenge-sp2yj 10 หลายเดือนก่อน

      Jamani mwenzangu umefanikiwaje? Naomba unipe ushuhuda

  • @safialuhizo4979
    @safialuhizo4979 ปีที่แล้ว

    BARIKIWA mtumishi sema tupone

  • @tulibakobellon1235
    @tulibakobellon1235 ปีที่แล้ว

    Amen.
    Asante sana Pastor kwa somo hili.
    Mungu na akubariki...

  • @judymunaniemunanie726
    @judymunaniemunanie726 ปีที่แล้ว

    Mungu niondolee roho ya madeni

  • @hussenhafidh3729
    @hussenhafidh3729 8 หลายเดือนก่อน

    Mungu anisaidie niishinde roho ya madeni

  • @FarajaSanga-o7q
    @FarajaSanga-o7q 10 หลายเดือนก่อน

    Ee mungu niondolee Roho ya madeni

  • @sarahkapange252
    @sarahkapange252 ปีที่แล้ว +1

    kweli baba naomba Mungu anisaidiye ujio roho madeni madogo madogo ni dhambi kweli

  • @charleschavala434
    @charleschavala434 ปีที่แล้ว

    Barikiwa mtumishi, Kweli roho ya kupenda kukopa inatusumbua sana.

  • @everlyneimali
    @everlyneimali ปีที่แล้ว

    Be blessed. Pastor nimejifunza kitu

  • @ManirakizaGerard-i5f
    @ManirakizaGerard-i5f ปีที่แล้ว

    Umenisaidia chungaji nashukuruy

  • @maombihabanakize4667
    @maombihabanakize4667 ปีที่แล้ว

    Asante sana mutu mishi

  • @deborahmangula-lg4zf
    @deborahmangula-lg4zf 9 หลายเดือนก่อน

    mungu naomba uniondole roho ya madeni

  • @SophiaSimfukwe
    @SophiaSimfukwe 8 หลายเดือนก่อน

    Eee mungu niondolee roho ya madani

  • @AdamKipara-r3b
    @AdamKipara-r3b ปีที่แล้ว

    Asante mtumishi

  • @alicekaita
    @alicekaita ปีที่แล้ว

    Ni kweli pastor Kenya madeni ni yametawala.

  • @JulianaKamau-m7w
    @JulianaKamau-m7w ปีที่แล้ว

    Waah nmebarikiwa kweli

  • @VenerandaPasian
    @VenerandaPasian ปีที่แล้ว +1

    Nisaidie Mungu nitoke kwenye utumwa huu wa madeni.

  • @joycedaniel1199
    @joycedaniel1199 2 ปีที่แล้ว +2

    Blessed dady tunasaidika sana

  • @penninahmarthias9301
    @penninahmarthias9301 9 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 Ameen Our God is powerful aki Barikiwa sanaa pastor nimejifunza kitu

  • @justineswai5885
    @justineswai5885 ปีที่แล้ว

    Mungu wa mbinguni akubariki baba,mafundisho kama haya ni adimu sana kanisa la leo